Caddawizy Tv

Caddawizy Tv Caddawizy Online Tv

Is meant for every Tanzanian Wherever He/She Is In The World. Here We Get Access To Politics, Economic, And Entertainment News.
(6)

As A Community We Deserve The Right Information. This Is A great Place For You To Get Smiles.

Streka mpya ndani ya Wananchi 🔰 Jean Baleke 👏 mwamba anaenda kuungana na Price Dube pamoja na Clement Mzize
11/07/2024

Streka mpya ndani ya Wananchi 🔰 Jean Baleke 👏 mwamba anaenda kuungana na Price Dube pamoja na Clement Mzize

UWANJA WA MPIRA WA YANGA, KAUNDA STADIUM.Ujenzi wa Uwanja wa mpira wa Yanga SC (Kaunda Stadium) umefikia wapi?Ikumbukwe ...
23/04/2024

UWANJA WA MPIRA WA YANGA, KAUNDA STADIUM.

Ujenzi wa Uwanja wa mpira wa Yanga SC (Kaunda Stadium) umefikia wapi?

Ikumbukwe kuwa, miezi michache nyuma Viongozi wa klabu hio walizindua ujenzi wa uwanja huo unaofanyika katika makao makuu ya klabu yaliyopo Jangwani Jijini Dar es Salaam.

Kiungo wa Yanga SC, Aziz Ki amewaambia mashabiki wa Yanga kwamba hana mpango wa kuondoka Jangwani, kwani kilichomleta kw...
06/04/2024

Kiungo wa Yanga SC, Aziz Ki amewaambia mashabiki wa Yanga kwamba hana mpango wa kuondoka Jangwani, kwani kilichomleta kwenye timu hiyo bado hajakifanikisha.

"Hata pesa hauwezi kufikia kiwango cha upendo nilio nao kwa klabu hii (Yanga)," ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram akisistiza kwamba kilichomleta ni kutwaa mataji ya kimataifa na bado hajafanikiwa.

Ki amesema hayo baada ya kuhusishwa na miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanaodaiwa kutaka kumsajili.

"Nina deni kubwa kwenu (mashabiki wa Yanga) na Yanga ni familia yangu," ameeleza zaidi baada ya shabiki mmoja kumuuliza k**a ni kweli anaondoka.

ACCOUNT ya REFA aliyewadhulumu YANGA hii apa k**a vipi tukamuwashie moto kabla hajafunga Coment Watanzania hatujawahi ku...
06/04/2024

ACCOUNT ya REFA aliyewadhulumu YANGA hii apa k**a vipi tukamuwashie moto kabla hajafunga Coment

Watanzania hatujawahi kushindwa twendeni tukamuwashie moto mpuu*i yule

SHARE KWA MAGROUP MPAKA AKOME😂😂

BigBrand🔺️
06/04/2024

BigBrand🔺️

TV Commercial by  ⚡️ Cinematography  Edited
23/03/2024

TV Commercial by ⚡️
Cinematography
Edited

TV Commercial  ⚡️
22/03/2024

TV Commercial
⚡️

Royal⚡️
25/02/2024

Royal⚡️

Paul Makonda (Akipokelewa Dar na CCM): Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye Mitandao, wengi wanahamaki na we...
26/10/2023

Paul Makonda (Akipokelewa Dar na CCM): Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye Mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza ataenda kulipa kisasi

Wanawaza Makonda ataenda kufanya nini? Nimeona na wengine wameanza kuwataja Watu wengine kwamba 'Utaona sasa usiyemtaka kaja'

Viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ihefu SC.
26/10/2023

Viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ihefu SC.

 🔴
27/09/2023

🔴

 HATUWEZI KUIBADILI JANA IMEKWISHAENDA ZAKE. Fanya kitu leo kwa ajili ya SASA na KESHO yako pia.🙏 ✔
28/08/2023


HATUWEZI KUIBADILI JANA IMEKWISHAENDA ZAKE. Fanya kitu leo kwa ajili ya SASA na KESHO yako pia.🙏

  Simba SC Tanzania Amerudi anapostahili kuwepo.Karibu tena nyumbani, Luis Miquissone.
22/07/2023

Simba SC Tanzania
Amerudi anapostahili kuwepo.

Karibu tena nyumbani, Luis Miquissone.

...  NYIEEEE 🔥🔥K**a ilivyokuwa kwa Rivers United .... Yanga imekuwa klabu ya kwanza kuifunga klabu ya Marumo Gallants 🇿🇦...
17/05/2023

... NYIEEEE 🔥🔥

K**a ilivyokuwa kwa Rivers United ..
.. Yanga imekuwa klabu ya kwanza kuifunga klabu ya Marumo Gallants 🇿🇦 nyumbani kwake 🇿🇦 kwenye michuano ya (CAF) 🔥

📌 Ikumbukwe Gallants waliitoa klabu ya Pyramids 🇪🇬, na Monastir 🇹🇳 walimtoa Bingwa mtetezi RS Berkane !!!!

NB ; Naomba wale waliokuwa wanapost mara kwa mara rekodi ya michezo aliyoshinda Marumo Gallants (CAF) akiwa nyumbani kwake wapost tena 🤪🤣

... 🚨 OFFICIAL !Baada ya kutinga fainali CAFCC klabu ya Yanga imeongeza points (5) zingine na kufikisha Points (+20).» K...
17/05/2023

... 🚨 OFFICIAL !
Baada ya kutinga fainali CAFCC klabu ya Yanga imeongeza points (5) zingine na kufikisha Points (+20).

» Klabu ya Simba katika misimu mitano wamekusanya jumla ya points (+35).. Yanga katika msimu mmoja wamekusanya jumla ya Points (+20)

Msimu huu 2022/23 wakati unaanza klabu ya Yanga ilikuwa na points (0.5) !!

Iwapo watatwaa Ubingwa wa CAFCC wataongeza points zingine (6) na kufikisha (26) ndani ya msimu (1) 🔥

🅿️ +20 - Yanga
🅿️ +35 - Simba
🅿️ +1.5 - Namungo

» Kutoka points +51.1 ilizokuwa nazo TANZANIA sasa zimeongezeka hadi +56.1.

» Kwa hiyo, Nchi ya Tanzania imepanda kutoka nafasi ya (7) Africa hadi ya (6) na kuishusha DRC Congo 🇨🇩 kutoka (6) hadi (7) kwenye Ranks za (CAF).

Faida yake ni kuwa, sasa ni uhakika katika misimu (2) ijayo TANZANIA itaendelea kutoa timu 4 kwenye michuano ya (CAF).

NB ; Nchi zilizo katika nafasi ya 1 hadi 12 ndizo hutoa klabu (4) kwenye michuano ya CAF Confederations cup na Champions league.

🙌Bakari Mwamnyeto🔥
23/04/2023

🙌Bakari Mwamnyeto🔥

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA🏟️ Godswill Akpabio, UyoRIVERS UNITED 🇳🇬 0-2 🇹🇿 YANGA SC⚽⚽ Mayele 73' 81'Yanga SC imeingiza mg...
23/04/2023

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

🏟️ Godswill Akpabio, Uyo

RIVERS UNITED 🇳🇬 0-2 🇹🇿 YANGA SC
⚽⚽ Mayele 73' 81'

Yanga SC imeingiza mguu mmoja kwenye nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiwa na uongozi wa 2-0 ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Mipango ya Wananchi kulipa kisasi cha kufungwa nje-ndani dhidi ya Rivers United mwaka 2021 inaendelea, Yanga wanahitaji kumaliza shughuli kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa Aprili 30, 2023 na kufuzu nusu fainali ya

KOLO PAINT 🎨Unatoa asilimia ngapi kwa u*i huu?
07/08/2022

KOLO PAINT 🎨
Unatoa asilimia ngapi kwa u*i huu?

Tangulini Team mandonga wakashinda😂😂😂
06/08/2022

Tangulini Team mandonga wakashinda😂😂😂

unatoa asilimia ngapi?
02/08/2022

unatoa asilimia ngapi?

Makolo mnachakisema? utopolo ndo washaachia fiesta k**a mnavyoona ivo😂
28/07/2022

Makolo mnachakisema? utopolo ndo washaachia fiesta k**a mnavyoona ivo😂

klabu ya yanga imetambulisha jezi mpya.ebu toa maoni yako k**a mdau u*i mkali, au famba tu?
28/07/2022

klabu ya yanga imetambulisha jezi mpya.
ebu toa maoni yako k**a mdau u*i mkali, au famba tu?

JEZI MPYA ZA YANGA KICHEKESHO😂😂😂 unatoa aailimia ngapi hapa?
28/07/2022

JEZI MPYA ZA YANGA KICHEKESHO😂😂😂 unatoa aailimia ngapi hapa?

Leo saa 1 kamili usiku klabu ya yanga kutambulisha jezi mpya💛💚
28/07/2022

Leo saa 1 kamili usiku klabu ya yanga kutambulisha jezi mpya💛💚

Klabu ya yanga yafikisha followers million 2
28/07/2022

Klabu ya yanga yafikisha followers million 2

JEZI MPYA💚💛Rais wa klabu ya Yanga Mhandisi Hersi Said ametangaza kuwa kesho Julai 28, 2022 mabingwa hao wa ligi kuu wata...
27/07/2022

JEZI MPYA💚💛
Rais wa klabu ya Yanga Mhandisi Hersi Said ametangaza kuwa kesho Julai 28, 2022 mabingwa hao wa ligi kuu watatambulisha rasmi jezi mpya zitakatumika kwa msimu wa 2022/23

Hers ameongeza kuwa Yanga ni klabu pekee inayoongoza kwa kutengeneza jezi zenye ubora na wamekuwa wakiivunja rekodi hiyo wao wenyewe.

Hersi ameyasema hayo leo Julai 27, wakati wa utiaji saini wa udhamini na kampuni ya SportPesa ambapo wamesaini makataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Bilioni 12.

Made by me 👇

MEXIME ATOFAUTISHA USAJILI YANGA NA SIMBA🔥🔥🔥"Watazame YANGA kwa jicho la tatu utagundua kwanza wamepitisha panga hasa kw...
27/07/2022

MEXIME ATOFAUTISHA USAJILI YANGA NA SIMBA🔥🔥🔥

"Watazame YANGA kwa jicho la tatu utagundua kwanza wamepitisha panga hasa kwa kuwatoa wachezaji wasioendana na falsafa ya mwalimu pia wachezaji wengine walikuwa mizigo mizito tu kwa klabu bila sababu--mexime

Watazame Simba Sasa hawajui hata wanalofanya Kuna wachezaji pale rundo na ambao msimu uliomalizika hakuna la maana walilofanya wamechoka na wamezeeka na Simba wenyewe wanajua Hilo Ila Wana vigugumizi eti kuvunia mikataba wanashindwa Ni ubabaishaji tu kwenye soka.

Kuwaacha waendelee kikosini wachezaji waliokosa mipango Ni hatari sana Hawa ndo huwa wanageuka na kuwa wachawi kuroga na kuzuru wachezaji vijana wanaoperfom ili wapate nafasi ya kucheza.

Nimecheza mpira nayajua haya siongei kufurahisha genge bro, Simba watatafuta mchawi na hawatampata sababu ya kurundika mizigo yao pale, YANGA ujinga huo wameachana nao na ukiwatizama unaona kabisa wanaelekea wapi ndo soka la kisasa linataka mipango K**a ya YANGA.

Unaanzaje kumbeza BIGIRIMANA mtu amecheza ulaya EPL siyo wa kawaida huyo Ana kitu huyu, Joyce Mutambala beki Bora Afrika ametajwa kwenye kikosi Bora Cha CAF wenyewe miaka kadhaa nyuma, hao Ni baadhi tu Sasa angalia Simba timu ipo pre season bado unafanya "Ana Ana Dooo" za usajili lini timu itanconcentrate na program za mwalimu??.

-Mecky MEXIME, Coach by Proffesional.
.. Je unampa BIG YES AU BIG NO?

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255672027772

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Caddawizy Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Caddawizy Tv:

Videos

Share

Category

Caddawizy Tv

Enjoy Better


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All