Yanga Sc Updates

Yanga Sc Updates Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga Sc Updates, Social Media Agency, Dar es Salaam.

๐„๐ฑ๐œ๐ฅ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฏ๐ž ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ฏ๐ข๐ž๐ฐ๐Ÿ”ฐโ€œKutokana na marekebisho yanayoendelea kwenye Uwanja wa Mkapa, mechi yetu  ya marudiano dhidi ya Vit...
21/08/2024

๐„๐ฑ๐œ๐ฅ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฏ๐ž ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ฏ๐ข๐ž๐ฐ๐Ÿ”ฐ

โ€œKutokana na marekebisho yanayoendelea kwenye Uwanja wa Mkapa, mechi yetu ya marudiano dhidi ya Vitalโ€™O, hatutacheza tena uwanja wa Mkapa, Tutacheza katika uwanja wa Azam Complex, Jumamosi majira ya saa 1:00 jioni.

โ€œMechi iliyopita wenzetu Vital O walisema watatunywa k**a supu lakini tulifanikiwa kupata ushindi wa Goli 4, Lakini kwenye mchezo huu wa marudiano ni zamu yetu sasa kuwanywa wao k**a supu.โ€ Eng Hersi Said.


SEMA WEWE MAANA TUKISEMA SISI AMTOSEMAWananchiiiiiiiiiii๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ”ฐ
27/07/2024

SEMA WEWE MAANA TUKISEMA SISI AMTOSEMA

Wananchiiiiiiiiiii๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ”ฐ

Sema kimeumana kikatoa cheche kikalika mwisho kikaisha
28/06/2024

Sema kimeumana kikatoa cheche kikalika mwisho kikaisha

Burudani ya kibingwa itakayofanyika Jumamosi hii Kwa Mkapa umewafikia wanamtaa๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐKata tiketi muda huu Mwananchi tukashuhu...
25/06/2024

Burudani ya kibingwa itakayofanyika Jumamosi hii Kwa Mkapa umewafikia wanamtaa๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐ

Kata tiketi muda huu Mwananchi tukashuhudie burudani safi kati ya Kikosi cha Wananchi dhidi ya Safari Champions.


Baada ya kuliona Kombe la Mabingwa akapanda juu ya mti kwa Uoga๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚CRDB Bank Plc
23/06/2024

Baada ya kuliona Kombe la Mabingwa akapanda juu ya mti kwa Uoga๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚

CRDB Bank Plc


Tembo wa CRDB Bank Plc amekutana na Tembo wa Hifadhi Bora ya Kitalii Barani Afrika ya Serengeti ๐Ÿคฉ
23/06/2024

Tembo wa CRDB Bank Plc amekutana na Tembo wa Hifadhi Bora ya Kitalii Barani Afrika ya Serengeti ๐Ÿคฉ


Mwananchi sasa unaweza kusoma Kitabu cha Historia ya Mabingwa kupitia Yanga SC App kwa Tshs. 10,000 tu! Pakua na Yanga S...
22/06/2024

Mwananchi sasa unaweza kusoma Kitabu cha Historia ya Mabingwa kupitia Yanga SC App kwa Tshs. 10,000 tu!

Pakua na Yanga SC App๐Ÿ“ฒ


Maofisa wa CSKA Moscow wakiongozana na Mtendaji Mkuu wa Klabu yetu Andre Mtine tayari wametia kambi Zanzibar ikiwa ni mw...
22/06/2024

Maofisa wa CSKA Moscow wakiongozana na Mtendaji Mkuu wa Klabu yetu Andre Mtine tayari wametia kambi Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa kliniki maalumu ya kusaka vipaji๐Ÿ”ฐ


Maafisa wa Klabu ya CSKA Moscow kutoka Urusi, wamewasili Leo nchini kwa ajili ya programu maalumu ya kutambua vipaji vya...
20/06/2024

Maafisa wa Klabu ya CSKA Moscow kutoka Urusi, wamewasili Leo nchini kwa ajili ya programu maalumu ya kutambua vipaji vya soka vya vijana wa Kitanzania.

Programu hii itaendeshwa na CSKA Moscow kwa kushirikiana na Young Africans Sports Club, itaanza kesho na itafanyika katika mikoa mitatu, Dar Es Salaam, Tanga na Zanzibar.


Twende zetu ๐Œ๐Ž๐‘๐Ž na ๐’๐†๐‘๐Ÿš„ tukawape Tabasamu watoto wetu kwenye mchezo wa hisani wa Team Dickson Job dhidi ya Team Kibwana...
20/06/2024

Twende zetu ๐Œ๐Ž๐‘๐Ž na ๐’๐†๐‘๐Ÿš„ tukawape Tabasamu watoto wetu kwenye mchezo wa hisani wa Team Dickson Job dhidi ya Team Kibwana Shomari tarehe 22.06.2024

DARAJA LA UCHUMI - NAULI 26,000 (KWENDA NA KURUDI)
DARAJA LA BIASHARA - NAULI 43,000 (KWENDA NA KURUDI)
KUONDOKA SAA 12:00 ASUBUHI - KURUDI SAA 1:00 USIKU

WASILIANA NASI | +255 713 443 636

Tanzania Railways Corporation

Historia inaendelea kuandikwa na ๐Œ๐€๐๐ˆ๐๐†๐–๐€Magoli ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ“ kwenye mashindano yote msimu wa 2023/24๐Ÿ”ฐ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
17/06/2024

Historia inaendelea kuandikwa na ๐Œ๐€๐๐ˆ๐๐†๐–๐€

Magoli ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ“ kwenye mashindano yote msimu wa 2023/24๐Ÿ”ฐ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ



Wajumbe wa Kamati ya Utendaji kutoka kushoto Munir Said, Alexander Ngai na Gerald Kihinga kwenye picha ya pamoja na Rais...
15/06/2024

Wajumbe wa Kamati ya Utendaji kutoka kushoto Munir Said, Alexander Ngai na Gerald Kihinga kwenye picha ya pamoja na Rais Eng. Hersi mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC, Hyatt Regency.


Christian Bella atakuwepo leo kutoa ๐๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐š๐ง๐ข kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC, Hyatt Regency....
15/06/2024

Christian Bella atakuwepo leo kutoa ๐๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐š๐ง๐ข kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC, Hyatt Regency.


Mama yetu Fatma Karume, Mjumbe wa Kudumu wa Baraza la Wadhamini atakuwepo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Youn...
14/06/2024

Mama yetu Fatma Karume, Mjumbe wa Kudumu wa Baraza la Wadhamini atakuwepo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC kesho kwenye Ukumbi wa Hyatt Regency.


Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) na Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Young Africans SC Mhe. Kapt. Geo...
14/06/2024

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) na Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Young Africans SC Mhe. Kapt. George Mkuchika atakuwepo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC kesho kwenye Ukumbi wa Hyatt Regency.


Mkurugenzi Mtendaji wa SportPesa na Mjumbe wa Baraza la Wadhamini Young Africans SC Mhe. Abbas Tarimba atakuwepo kwenye ...
14/06/2024

Mkurugenzi Mtendaji wa SportPesa na Mjumbe wa Baraza la Wadhamini Young Africans SC Mhe. Abbas Tarimba atakuwepo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC kesho kwenye Ukumbi wa Hyatt Regency.


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Wallace Karia atakuwepo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya You...
14/06/2024

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Wallace Karia atakuwepo kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Young Africans SC kesho kwenye Ukumbi wa Hyatt Regency.


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga Sc Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yanga Sc Updates:

Videos

Share


Other Social Media Agencies in Dar es Salaam

Show All