ADPlus Swahili

ADPlus Swahili Africa Swahili Digital Plus

12/01/2026

MUNGU AKIKUNYIMA VINAVYODHIBITI PESA HUNA SAADA , Unaweza tizama video kamili kupitia link kwenye comment ,

11/01/2026

MTAJI WA DUNIA ,...video kamili link ipo kwenye comment

08/01/2026

je! unatamani kufanya biashara ? k**a jibu ni NDIO basi anza hapa .

07/01/2026

WATU WANAPESA LAKINI WAMEKOSA FURAHA: podcast kamili kupitia youtube link kwenye comment

06/01/2026

Je! UCHUMBA una mipaka gani ?

FURAHA ya kweli haipatikani kwa wingi wa mali au pesa, bali kwa ufahamu sahihi wa maisha, kuridhika, na ukaribu na Allah...
04/01/2026

FURAHA ya kweli haipatikani kwa wingi wa mali au pesa, bali kwa ufahamu sahihi wa maisha, kuridhika, na ukaribu na Allah 🤍
Katika kipindi hiki cha MAFAAHIM_PODCAST, tunazungumza kwa kina kuhusu: ✨ Furaha ni nini hasa?
💰 Je, pesa zina mchango gani katika furaha?
🧠 Amani ya moyo vs mali ya dunia
Ungana nasi katika mazungumzo yenye kufungua fikra, yakiongozwa na Sheikh Twaha Bane pamoja na Ndugu Abubakar Ally, na ugundue maana halisi ya furaha katika mwanga wa Uislamu.

LINK KWENYE COMMENT

🎧 Sikiliza sasa | Fikiria | Badilika



03/01/2026

Kuna watu pesa inawanyima furaha: "HASANA ni zaidi ya PESA 😅..." ,
Usikose kutizama video kamili kuanzia kesho kupitia Youtube .
Kesho saa 2 usiku.

02/01/2026

Siku ya kiama kuna Baadhi ya Makosa Mja atasamehewa na Allah hata bila kuomba Msamaha Kwa SHARTI HILI

31/12/2025

WANAUME HILI LINAWAHUSU !

30/12/2025

JINSI YA KUPUNGUZA KUWA OMBAOMBA MISIKITINI

30/12/2025

KISA; HESABU YA HALALI NA HARAMU

29/12/2025

Maimam wanatakiwa wajue hali za kidini za watu wanaoswali katika misikiti yao (wanayoswalisha) kwani wao ni sehemu ya kuaminiwa na jamii pindi yanapokuja maswala yanayohitaji kuangalia dini ya mtu k**a vile ndoa na mfano wake.

Tazama kipindi kamili cha Ncha Kali kupitia youtube ya ADPlus Swahili.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ADPlus Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ADPlus Swahili:

Share