25/11/2024
๐ฅ Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake ๐
"Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo" Sead Ramovic