MKOI TV Online

MKOI TV Online Karibu kwenye kurasa yetu ya habari na matukio pamoja na makala za kweli za simulizi za kusisimu zin

https://youtu.be/bXl3lufZu_Q?si=C-UhesPpUwv3iW7aUTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE,...
14/12/2025

https://youtu.be/bXl3lufZu_Q?si=C-UhesPpUwv3iW7a
UTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE, WALIFARIKI MIAKA MINGI MORO

AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE DAR ES SALAAM, WALISHAFARIKI MIAKA MINGI ...

12/12/2025
DADA KITUO CHA MASSAGE ALIVYOKUTANA NA BABA YAKE MZAZI AKIWA UCHI KWENYE CHUMBA CHA MASSAGE.  HAKUJUhttps://youtu.be/4vz...
12/12/2025

DADA KITUO CHA MASSAGE ALIVYOKUTANA NA BABA YAKE MZAZI AKIWA UCHI KWENYE CHUMBA CHA MASSAGE. HAKUJU
https://youtu.be/4vzcGgDLRfI
https://youtu.be/4vzcGgDLRfI
DADA KITUO CHA MASSAGE ALIVYOMFANYIA MASSAGE BABA YAKE MZAZI AKIWA UCHI WA MNYAMA. HAKUJUA KAMA…

Mrembo huyu afichua mambo ya hatari, Asema usione mwanaume anarudi nyumbani kapendeza tu wapo baadhi ni wateja wakubwa wa ngono kwenye baadhi ya vituo vya massage. TAZAMA VIDEO hii

Mrembo aliyekuwa anafanya kazi kwenye vituo vya massage aambulia ukimwi, Aelez alipokutana na baba yake ili amfanyie massage huku akiwa mtupu kabisa.

Ashauri wanawake kwenye ndoa wajifunze kuwafanyia massage wanaume zao la sivyo taifa lijiandae kuangamia kwa Ukimwi.

Asema huduma kwenye vituo vya Massage kuna UFUSKA wa kutisha, Wanaume za watu na baadhi ya Vigogo Serikali ndiyo wateja wakubwa.

Aongeza kusema huduma ya BODY TO BODY inayomtaka muhudumu na mteja kuwa WATUPU bila nguo ndiyo inayosambaza UKIMWI kwa kasi na ndiyo inayopendwa sana na wengi kwani huwa baada ya Massage kinachofuatia ni ngono nzembe.

Ni Mungu aingilie kati tu😭😭😭

DADA KITUO CHA MASSAGE ALIVYOMFANYIA MASSAGE BABA YAKE MZAZI AKIWA UCHI WA MNYAMA. HAKUJUA KAMA…Mrembo huyu afichua mambo ya hatari, Asema usione mwanaume an...

Pumnzika kwa aman home boy😭😭
11/12/2025

Pumnzika kwa aman home boy😭😭

09/12/2025

2025 Ulikuwa wa baraka kwa Wagogo Family, Unaweza kujiunga na familia hii kupitia simu namba +255 699 447 228 Karibuni sanaaa

https://youtu.be/hUmdzp_Y0Yg?si=znKebMwmtLKRs8nDWatoto wakojolea na kunisaidia haja kubwa juu ya kaburi la baba yao pamo...
09/12/2025

https://youtu.be/hUmdzp_Y0Yg?si=znKebMwmtLKRs8nD
Watoto wakojolea na kunisaidia haja kubwa juu ya kaburi la baba yao pamoja na kuchapa fimbo kisa kwa nini amekufa masikini na kuwaacha wakiteseka namna hii. Wakai miak hiyo Kariakoo viwanj ilikua bei chee.

Video hii hapa Mtoto wa k**e wa marehemu mzee huyu AONGEA na Mkoi Tv kwa uchungu na kueleza kilichotokea.

Share, SUBCRIBE Mkoi TV, Comment na Like.

Au wasiliana na chumba chetu cha habari 0713575718πŸ™πŸ»

Watoto wakojolea na kunisaidia haja kubwa juu ya kaburi la baba yao pamoja na kuchapa fimbo kisa kwa nini amekufa masikini na kuwaacha wakiteseka namna hii. ...

MWIZI ALIYEKUFA VIBAYA SANA WALICHUKU KIPANDE CHA UFAGIO WA CHELEWA KIREFU WAKAMUINGIZA KWENYE TUNDU LA UUME HADI MWISHO...
07/12/2025

MWIZI ALIYEKUFA VIBAYA SANA WALICHUKU KIPANDE CHA UFAGIO WA CHELEWA KIREFU WAKAMUINGIZA KWENYE TUNDU LA UUME HADI MWISHO.

KISA WAKAUKUNJA KUNJA UUME WAKE ILI KIPANDE CHA MTI KIVUNJIKIE NDANI KISHA WAKAMUACHIA. HAKUMALIZA HATUA KADHA…

MWIZI ALIYEPONA ATOA SHUHUDA NZITO.

VIDEO HII HAPA, SHARA, LIKE, COMMENT NA SUBCRIBE MKOI TV AU WASILIANA NASI KWa A SIMU NO 0713575718πŸ™πŸ»
MWIZI ALIYEKUFA VIBAYA WALICHUKU KIPANDE CHA UFAGIO WA CHELEWA KIREFU WAKAINGIZ KWENYE TUNDU LAUUME

MWIZI ALIYEKUFA VIBAYA SANA WALICHUKUA KIPANDE CHA UFAGIO WA CHELEWA KIREFU WAKAMUINGIZA KWENYE TUNDU LA UUME HADI MWISHO.KISHA WAKAUKUNJA KUNJA UUME WAKE IL...

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI, RAIS SAMIA AMTEUA MH PAUL MAKONDA WIZARA YA HABARI.https://youtu.be/eA2_AqaHTHURais wa Jamhuri...
17/11/2025

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI, RAIS SAMIA AMTEUA MH PAUL MAKONDA WIZARA YA HABARI.
https://youtu.be/eA2_AqaHTHU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Nov 17.2025 ametangaza baraza jipya la Mawaziri huku Mbunge wa Arusha mjini Mh Paul Christian Makonda akiteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo huku Waziri kamili akiwa MHE. Prof. Palamagamba Kabudi.

MAWAZIRI WALIOACHWA KATIKA UTEULIZI WA AWAMU HII NI HAWA HAPA AMBAO AWAMU ILIYOPOTA WALIKUWEPO KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI
ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.

SUBSCRIBE MKOI TV

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Nov 17.2025 ametangaza baraza jipya la Mawaziri huku Mbunge wa Arusha mjini Mh Paul...

MTANZANIA ASIMULIA MATESO ALIYOPATA NCHINI MALAYSIA, ALIAMBIWA KAZI ZA NDANI KUMBE KUUZA MWILI WAKE
16/11/2025

MTANZANIA ASIMULIA MATESO ALIYOPATA NCHINI MALAYSIA, ALIAMBIWA KAZI ZA NDANI KUMBE KUUZA MWILI WAKE

FUNDISHO KUBWA KWA WOTE MNAOTAMANI KUKIMBILIA ULAYA, MAREKANI. NA ASIA KWA KUDHANI KUNA MAISHA KITONGA..!π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• 2025 Mkoi Tv Online. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Š?...

https://youtu.be/Or5m0-TTzrU?si=5NOFMR4ZPcF0-IOaKUMBE MKURUGENZI ALIYETEKWA NA FAMILIA YAKE WALIKUWA WANATOKA KULA SIKUK...
16/11/2025

https://youtu.be/Or5m0-TTzrU?si=5NOFMR4ZPcF0-IOa
KUMBE MKURUGENZI ALIYETEKWA NA FAMILIA YAKE WALIKUWA WANATOKA KULA SIKUKUU TABORA.

WALITEKWA MAENEO YA SINGIDA USIKU WA MANANE, FAMILIA ZASHAURIWA WASITEMBEE USIKU NYAKATI HIZI HALI MBAYA.

KAKA AELEZA KWA UCHUNGU TUKIO ZIMA…!

VIDEO hii hapa, share, Like, Comment na Subscribe au tupigie kwa simu namba +255713575718 Ipo Whats app

KUMBE MKURUGENZI ALIYETEKWA NA FAMILIA YAKE WALIKUWA WANATOKA KULA SIKUKUU TABORA.WALITEKWA MAENEO YA SINGIDA USIKU WA MANANE, FAMILIA ZASHAURIWA WASITEMBEE ...

Address

NYAKASANGWE Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255713575718

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MKOI TV Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share