Hip Hop Sana

Hip Hop Sana EAST AFRICA LEADING HIPHOP COMMUNITY
(5)

29/02/2024
HII NI ZAIDI YA MOVIE YENYE KUSISIMUA YA HISTORIA YA MAISHA HALISI YA MTANZANIA.BOFYA LINK KUISIKILIZA ,USISAHAU KULIKE ...
28/02/2024

HII NI ZAIDI YA MOVIE YENYE KUSISIMUA YA HISTORIA YA MAISHA HALISI YA MTANZANIA.

BOFYA LINK KUISIKILIZA ,USISAHAU KULIKE ,KUCOMENT NA KUSUBSCRIBE

JE? Hii Ni DISS KWA FIDO VATO ?, Sikiliza Kionjo Cha  "LAANA YA ULIMI 2" Toka Kwa Rapper "PANISH*T" Kisha Subscribe Kwen...
22/02/2024

JE? Hii Ni DISS KWA FIDO VATO ?, Sikiliza Kionjo Cha "LAANA YA ULIMI 2" Toka Kwa Rapper "PANISH*T" Kisha Subscribe Kwenye YouTube Channel Yake kuipata Ngoma Hii ..

28/10/2023

CHATA NOGA

Jay wa mikumi
22/05/2023

Jay wa mikumi

MUNGU NI MWEMAProfessor Jay
03/05/2023

MUNGU NI MWEMA

Professor Jay

28/04/2023

Choose your preferred music service

16/03/2023

RAISI WA KITAA

Endelea Kupumzika Kwa Amani

PANISH*T Alitabiri mambo haya Yanayoendelea Toka mwaka 2021
13/03/2023

PANISH*T Alitabiri mambo haya Yanayoendelea Toka mwaka 2021

HIP HOP SANA
05/03/2023

HIP HOP SANA

FLASHBACK 2017 NA MWANANGU FAHAD

Picha Ni Nyeusi Sana kwasababu Tulikuwa Hakuna Filta wala Snapchati za Vijana wa Kisasa

Hip Hop Sana

PICHA HII TOKA KWA MPAMBANAJI  Panishee Mdudu  INATUKUMBUSHA KUPAMBANA BILA KUKATA TAMAA ILI KUPIGA HATUA NA KUFIKIA NDO...
28/02/2023

PICHA HII TOKA KWA MPAMBANAJI
Panishee Mdudu INATUKUMBUSHA KUPAMBANA BILA KUKATA TAMAA ILI KUPIGA HATUA NA KUFIKIA NDOTO ZETU

Anaandika Panishee Mdudu ๐Ÿ“Œ
27/02/2023

Anaandika Panishee Mdudu ๐Ÿ“Œ

B.I.N.A.M.U
26/02/2023

B.I.N.A.M.U

KWENYE KILE KIKAO CHA DHARURA CHA SHIRIKISHO LA MUZIKI ,WANAHIP HOP TULIPOKUWA TUNAPINGA UTEUZI WA STEVE NYERERE KUWA MSEMAJI WA MUZIKI ,MWANA FA ALIKUWA REAL SANA POINT KWA POINT , ALISIMAMA KWENYE UKWELI LICHA YA KUWA ALIYETEULIWA ALIKUA MWANACCM MWENZAKE.. TUNAAMINI ATASIMAMIA VIZURI PIA KITI CHA UNAIBU WAZIRI WA SANAA ,UTAMADUNI ,NA MICHEZO ...KUBWA JUU KWAKO MwanaFA

UJASIRIAMALI NI MOJA YA MSINGI WA HIP HOP ..TUKOMAE TUTOKE
21/02/2023

UJASIRIAMALI NI MOJA YA MSINGI WA HIP HOP ..TUKOMAE TUTOKE

HUSTLE IS REAL
Shout Out kwa Wanangu Wapambanaji ,Tuliopo chini Na Tunaokomaa kila Siku kwa namna yoyote kufika juu , Usikubali hata tone mtu kukukatisha tamaa kuwa hutapiga hata hatua moja kutoka ulipo kwa sababu tu umeanzia chini zaidi na michongo yako haioneshi njia yeyote , hata k**a hautofika walipo wao ila hakika ukiongeza juhudi na Dua angalau utawakaribia ..

Angalia Hiyo Picha ya kwanza , Mdudu baada ya kumaliza elimu yangu ya Chuo Kikuu pale University Of Dodoma na Kukosa Ajira ,Sikuona Aibu kwenda kujichanganya na Wapambanaji Pale Msimbazi kariakoo na kuwa machinga wa kuuza Cover za Simu na Protector ,Pamoja na shuruba zote za kukimbizana na Askari wa Jiji (Migambo) bado niliamini ipo siku angalau nitaona japo kivuli , ...sikujali maneno na kejeli za wana walioniona nimefeli na michongo ninayofanya ni ya kizamani au kimasikini ,Nikikaza nikiamini hata nisipokaza hawatanipa Chakula , Kibishi Bishi Ado Ado ,Harakati za mtu mweusi mpaka Picha ya Pili ambapo Juhudi zangu Zinaonesha matunda japo hayajaiva bado ila angalau Nina uhakika kidogo wa kuvuna , Japo Bado Msoto ni Mkali lakini Nimejifunza kuwa Hakuna linalo shindi kana ,Pia nimejifunza kutokuonea Aibu michongo yetu eti Kisa Tutaonekana Tumefeli ....Tuendelee Kupambana Wanangu ,Kutoboa Kupo ....

Wanangu mnaomaliza vyuo msikae ghetto kusikilizia makampuni yawaajiri , MAMCEE Wanahip hop wenzangu Msikae Masikani Kusikilizia Game itoboe ndio mpate Mishiko ya Kujikimu , HUSTLE IS REAL

09/02/2023

BillBoard Hawana Tofauti Na Tale ..
Hii ndio List Yao ya Wanahip Hop Bora wa Muda wote ๐Ÿ˜‚๐Ÿซฃ

06/02/2023

"๐‘จ๐’๐’ ๐’˜๐’† ๐’†๐’—๐’†๐’“ ๐’˜๐’‚๐’๐’•๐’†๐’… ๐’˜๐’‚๐’” ๐’•๐’ ๐’ƒ๐’† ๐’‚๐’ƒ๐’๐’† ๐’•๐’ ๐’ƒ๐’† ๐’•๐’‰๐’† ๐’ƒ๐’Š๐’ˆ๐’ˆ๐’†๐’”๐’• ๐’–๐’๐’…๐’†๐’“๐’ˆ๐’“๐’๐’–๐’๐’… ๐’‚๐’“๐’•๐’Š๐’”๐’• ๐’๐’‡ ๐’‚๐’๐’ ๐’•๐’Š๐’Ž๐’†โ€
๐Š๐„๐๐ƒ๐‘๐ˆ๐‚๐Š ๐‹๐€๐Œ๐€๐‘

05/02/2023

AAAH WAPI WEWE MDUDU SIKU HIZI HUNA KITU , UMEVABA VIBAYA MNO, UMEONA MENSTRIM IMEKUSHINDA UMEAMUA KURUDI HANDAKINI UNATIA TIA HURUMA KWA WAUNI , SASA TUMEKUSHTUKIA ....

29/01/2023

Mahater wakisikia umefeli watafurahi sana ,kusmile ka yule jamaa anakuanga kwa promo ya Chai Jaba ..

18/01/2023

Inatrend mjini Yuchubu na spotifai weweee

14/01/2023

Mdogo wangu unatuaibisha machalii wote wa Ara kwa kuparamia mavitu isiyokuhusu ,Tengeneza kitu yako , Punguza kimbelembele ,sio tu ukiona Kichaka unataka kunya ,jifunze kujicontrol k**a mtoto wa kiume arif, Uliingilia Beef ya kikosi kazi na weusi wauni tukapiga kimya ,tukajua kwa vile unaendesha Bolt ya G Nako lazima untetee coz anakupa Ugali , Sasa umeingilia vita isiyokuhusu Dizasta na Rapcha , Mbona machalii wa Ara hatupo Hivyo?. Tunajua wazi we ni snitch kitambo ,bado sijafuta Comment zako ulizonitukanaga huku insta ,tukakutana studio kwa tonny drizzy ukajifanya unataka peace ?.
Unakumbuka Kipindi kile Pale Mgombazi kwenye Ghetto la Sightmore Ulitoka dar ukaja kututambia machizi kuwa umekutana na kina Nikki mbishi ,one na Songa , Leo unajisahau unajiona uko juu yao ..Unaiaibisha Hip Hop ,na wala Huiwakilishi Arusha ..ACHA MAPEPE

MERRY XMASS
26/12/2022

MERRY XMASS

PICHA 1 : ๐๐š๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ญ ๐€๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐“๐ฌ๐ก๐ซ๐ญ ๐˜๐š ๐€๐ง๐ญ๐ข๐•๐ข๐ซ๐ฎ๐ฌ ๐„๐ง๐ณ๐ข ๐ณ๐š ๐•๐ข๐ญ๐š ๐ฒ๐š๐จ ๐ง๐š ๐‚๐ฅ๐จ๐ฎ๐๐ฌ๐…๐ฆ PICHA 2 : ๐๐š๐š๐๐š ๐˜๐š ๐’๐ฎ๐ ๐ฎ ๐Š๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐‘๐ฎ๐ ๐ž ,๐๐š...
15/12/2022

PICHA 1 : ๐๐š๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ญ ๐€๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐“๐ฌ๐ก๐ซ๐ญ ๐˜๐š ๐€๐ง๐ญ๐ข๐•๐ข๐ซ๐ฎ๐ฌ ๐„๐ง๐ณ๐ข ๐ณ๐š ๐•๐ข๐ญ๐š ๐ฒ๐š๐จ ๐ง๐š ๐‚๐ฅ๐จ๐ฎ๐๐ฌ๐…๐ฆ
PICHA 2 : ๐๐š๐š๐๐š ๐˜๐š ๐’๐ฎ๐ ๐ฎ ๐Š๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐‘๐ฎ๐ ๐ž ,๐๐š๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ญ ๐€๐ฅ๐ข๐ค๐š๐ญ๐š ๐€๐ง๐ญ๐ข๐•๐ข๐ซ๐ฎ๐ฌ ๐๐š ๐Š๐ฎ๐ฐ๐ž๐ค๐š ๐‚๐ก๐š๐ญ๐š ๐‹๐š ๐Š๐ฎ๐ง๐๐ข ๐ฅ๐š๐ค๐ž ๐ฅ๐š ๐†๐š๐ณ๐š

14/12/2022

TUNAVAA MACHATA KITAMBO

Kinega Wa AntiVirus

Vinega wenzangu Mpo??

Harakati kitambo
14/12/2022

Harakati kitambo

TUNAVAA MACHATA KITAMBO

Kinega Wa AntiVirus

Vinega wenzangu Mpo??

Kwa Wale Wenzangu na mimi Tunaolalaga kwenye Vitu vya Bar Panishee Mdudu  Ana Ujumbe Huu kwetu ..Download   Ft   -   Lin...
29/11/2022

Kwa Wale Wenzangu na mimi Tunaolalaga kwenye Vitu vya Bar Panishee Mdudu Ana Ujumbe Huu kwetu ..

Download Ft - Link ipo kwenye comment Session

28/11/2022

Moja kati ya mistari mingi yenye mafunzo inayopatikana kwenye wimbo wangu Niliomshirikisha

Cheki link ya wimbo kwenye Comment

27/11/2022

Panishee Mdudu Ft Walter Chilambo - Kiroho Safi

๐‘๐Ž๐Œ๐€ : Wanafuga Rasta Ili wapate mademu wa kizungu.แตแตƒแต—สฐแต‰แตแตƒแต—โฑแถœหข๐๐€๐๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐“ :Nikiaona Nifuge Rasta Labda nitadaka mzungu ,Kum...
27/11/2022

๐‘๐Ž๐Œ๐€ : Wanafuga Rasta Ili wapate mademu wa kizungu.แตแตƒแต—สฐแต‰แตแตƒแต—โฑแถœหข
๐๐€๐๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐“ :Nikiaona Nifuge Rasta Labda nitadaka mzungu ,Kumbe Roma alidanganya nikadata nikapata Uchungu.แต—แต’แต—แต’ แตโฑสฒโฑสทแต‰ หขแต—โฑแตโฑ

NDOIGE YAMWANGUSHA MTU KWA KNOCK OUT ROUND YA SITAKARIM MANDONGA VS SAID MBELWA ..
25/11/2022

NDOIGE YAMWANGUSHA MTU KWA KNOCK OUT ROUND YA SITA

KARIM MANDONGA VS SAID MBELWA ..

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hip Hop Sana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hip Hop Sana:

Videos

Share