Joelmedia

Joelmedia Tunawasaidia Vijana Kujifunza
Kuingiza Kipato Kupitia Ujuzi wa
Graphics Design na Video Content
Mafunzo ya Graphics Bure
Bonye Link Hapa 👇
(1)

Jinsi ya Kujifunza Graphics Design na Kutengeneza KipatoK**a taaluma zingine unaweza kujifunza Ujuzi huuwa Graphics Desi...
17/08/2024

Jinsi ya Kujifunza Graphics Design na Kutengeneza Kipato

K**a taaluma zingine unaweza kujifunza Ujuzi huuwa Graphics Design na ukatengeneza Maisha kwa aidha kuajiriwa au Kujiajiri ndiyo uchaguzi ni wako

Hatua ni Tatu katika Kutengeneza Ujuzi huo ila katika somo hili nimekuandalia somo lenye mtiririko wa mambo sita ya kufanyia WAKATI unajifunza Graphics Design

Hakikisha unslide Kuanzia Post ya kwanza mpaka ya Kumi Point ya Sita ndo Muhimu Zaidi

Jina Langu
Joel Kadaga
Joel Media

Nakutakia Weekend Njema
Take Care

Muda ni Moja ya Kitu chenye thamani kubwa ya kukufanikisha kufikia malengo yako so hakikisha unatumia vizuri Muda wakoKw...
17/08/2024

Muda ni Moja ya Kitu chenye thamani kubwa ya kukufanikisha kufikia malengo yako so hakikisha unatumia vizuri Muda wako

Kwanini nasema hivyo watu wengi sana wantumia muda mwingi sana kufanya makosa ambayo yanaepukika sasa basi ukiwa unajifunza ujuzi wowote hakilkisha unatafuta njia fupi au shortcut ya kukufikisha unapotaka kufika sijui unanielewa?

Anyway nazungumza na wewe unayejifunza au unataka Kujifunza Graphics Design hakikisha unaepuka makosa matano niliyoanisha katika mfululizo wa post hizi ili kufika unapotaka itakusaidia sana kupunguza back and forth na kuokoa muda wa kufanya makosa, ambayo wengi na hata mimi nlishawahi kujifunza

Slide kwenda kulia ujifunze kupitia Post hii

Follow

Jina Langu
Joel Kadaga
Joel Media

Jinsi ya Kujifunza Graphics Design na Kutengeneza KipatoK**a taaluma zingine unaweza kujifunza Ujuzi huuwa Graphics Desi...
11/08/2024

Jinsi ya Kujifunza Graphics Design na Kutengeneza Kipato

K**a taaluma zingine unaweza kujifunza Ujuzi huuwa Graphics Design na ukatengeneza Maisha kwa aidha kuajiriwa au Kujiajiri ndiyo uchaguzi ni wako

Hatua ni Tatu katika Kutengeneza Ujuzi huo ila katika somo hili nimekuandalia somo lenye mtiririko wa mambo sita ya kufanyia WAKATI unajifunza Graphics Design

Hakikisha unslide Kuanzia Post ya kwanza mpaka ya Kumi Point ya Sita ndo Muhimu Zaidi

Jina Langu
Joel Kadaga
Joel Media

Nakutakia Weekend Njema
Take Care

Follow

Happy New Month GuysMay God Bless You towards your successTake careFollow
31/07/2024

Happy New Month Guys

May God Bless You towards your success

Take care

Follow

Unahitaji Kujifunza Graphics Design?Umehamasika kwa namna yoyote ikiwa Umejibu Ndiyo basi Kuwa huru kuwasiliana nasi kwa...
27/07/2024

Unahitaji Kujifunza Graphics Design?

Umehamasika kwa namna yoyote ikiwa Umejibu Ndiyo basi

Kuwa huru kuwasiliana nasi kwa utaratibu zaidi wa mafunzo
kwa kubonyeza Link iliyopo kwenye Biography

Au Bonyeza hapa: https://bit.ly/3SpGNIs

Hongera pia kwako kwa kuwa sehemu ya hamasa na mafanikio ya Kijana wetu

Au
Piga/Whatsapp
0745 152 680

e! Niambie unapata changamoto gani kujifunza kupitia madarasa ya online (Tutorial)Unahisi kwa kiasi gani unahitaji Daras...
17/07/2024

e! Niambie unapata changamoto gani kujifunza kupitia madarasa ya online (Tutorial)
Unahisi kwa kiasi gani unahitaji Darasa la ana kwa ana?

Makosa Matano yanayokugharimu na HujayagunduaSoma mpaka mwisho…………..Kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano ya kufanya Gra...
09/07/2024

Makosa Matano yanayokugharimu na Hujayagundua

Soma mpaka mwisho…………..

Kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano ya kufanya Graphics Design na kufundisha nimefanya makosa mengi na nimeshuhudia wanafunzi wangu wakifanya makosa mengi sana

…………Leo nataka nikusaidie wewe kupata shortcut ya kuepuka makosa ambayo yanawagharimu wengi sana wanaojifunza Design

Haya hapa Makosa matano yanayowagharimu wengi sana kujifunza na kumaster kwa haraka ujuzi wa Graphics Design

1. KUTOJIFUNZA COMPOSITION

Composition
Ni mpangilio wa elements za design katika page ili kutengeneza design yenye muonekano mzuri na unaovutia, Composition inatumika kila mahali kuanzia kwenye
Photography, Posters, Flyers nk

Hizi ni elements muhimu za composition unatakiwa kuzielewa (Hierachy, Balance, Alignment, White space, Repetition na Contrast)

Swali: Je Ulishawahi kukutana na design mbaya ukashindwa kujua k**a Composition ndo kosa lililofanyika?

2. KUTOJIFUNZA SOFTWARES SAHIHI

Wengi wanaonza hufanya kosa la kutojifunza ujuzi sahihi hasa kujifunza softwares softwares ambazo sio Industry Standard

Au kujifunza software moja pekee na kuamini itamaliza kila kitu mfano Wengi hujifunza Photoshop na kuamini kwamba itafanya kila kitu mfano kudesign posters, flyers, brochures, Logo, banner, Business profile kitu ambacho sio sahihi.

Swali: Je inafaa kutumia Adobe Photoshop kwa ajili ya Design zako zote?

3. MAKOSA YA TYPOGRAPHY

Watu wengi huwa wanafanya makosa makubwa sana katika.matumizi ya Typography jambo zinazopelekea

Kutumia Fonts Nyingi kwenye Design Moja
Matumizi ya Fonts Zisizofaa Mfano script katika design nzima
Kuweka font size sawa au kubwa sana

Swali: Je umeona namna Fonts zinavyoplay role kubwa katika design? Je unadhani ni muhimu kuzingatia somo hili?

4. MAKOSA YA COLOR PALETTE
Ni muhimu kujia ni rangi za aina gani zinazofanana na zinatumikaje katika design, kweli ni kwamba color can make or break your design

Je unafahamu umuhimu wa kuanza kudesign ukiwa tayar na color palette sahihi?

5. KOSA LA KUFANYA MAZOEZI
Bila kufanya mazoezi kila ulichokifunza kitaingia katika sikio moja na kutokea katika sikio Lingine, hivyo basi ili kubwa bora katika design hakikisha unafanya mazoezi kila siku ili uwe bora zaidi

Je somo la leo limekusaidia kujifunza kitu kipya?

Niandikia katika sehemu ya comment

Makosa Matano yanayokugharimu na HujayagunduaSoma mpaka mwisho…………..Kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano ya kufanya Gra...
09/07/2024

Makosa Matano yanayokugharimu na Hujayagundua

Soma mpaka mwisho…………..

Kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano ya kufanya Graphics Design na kufundisha nimefanya makosa mengi na nimeshuhudia wanafunzi wangu wakifanya makosa mengi sana

…………Leo nataka nikusaidie wewe kupata shortcut ya kuepuka makosa ambayo yanawagharimu wengi sana wanaojifunza Design

Haya hapa Makosa matano yanayowagharimu wengi sana kujifunza na kumaster kwa haraka ujuzi wa Graphics Design

1. KUTOJIFUNZA COMPOSITION

Composition
Ni mpangilio wa elements za design katika page ili kutengeneza design yenye muonekano mzuri na unaovutia, Composition inatumika kila mahali kuanzia kwenye
Photography, Posters, Flyers nk

Watu wengi sana hasa wanaonza kujifunza Design wanafanya makosa mengi sana hasa kutokujua composition katika design jambo linalopelekea design kuwa mbaya.

Hizi ni elements muhimu za composition unatakiwa kuzielewa (Hierachy, Balance, Alignment, White space, Repetition na Contrast)

Swali: Je Ulishawahi kukutana na design mbaya ukashindwa kujua k**a Composition ndo kosa lililofanyika?

2. KUTOJIFUNZA SOFTWARES SAHIHI

Wengi wanaonza hufanya kosa la kutojifunza ujuzi sahihi hasa kujifunza softwares softwares ambazo sio Industry Standard

Au kujifunza software moja pekee na kuamini itamaliza kila kitu mfano Wengi hujifunza Photoshop na kuamini kwamba itafanya kila kitu mfano kudesign posters, flyers, brochures, Logo, banner, Business profile kitu ambacho sio sahihi.

Photoshop ni kwaajili Photographers Ni pixel based softwares ambapo ukiscale design kwenye ukubwa zaidi yake inatengeneza blur kitu ambacho kinapoza ubora wa kazi

Kwahiyo basi kwa kazi yoyote ambayo ni kwaajili ya kuprint inafaa utumie Adobe Illustrator na Adobe Indesign

Swali
Je inafaa kutumia Adobe Photoshop kwa ajili ya Design zako zote?

3. MAKOSA YA TYPOGRAPHY

Watu wengi huwa wanafanya makosa makubwa sana katika.matumizi ya Typography jambo zinazopelekea

Kutumia Fonts Nyingi kwenye Design Moja
Matumizi ya Fonts Zisizofaa Mfano script katika design nzima
Kuweka font size sawa au kubwa sana

Je umeona namna Fonts zinavyoplay role kubwa katika design? Je unadhani ni muhimu kuzingatia somo hili?

4. MAKOSA YA COLOR PALETTE
Ni muhimu kujia ni rangi za aina gani zinazofanana na zinatumikaje katika design, kweli ni kwamba color can make or break your design

Je unafahamu umuhimu wa kuanza kudesign ukiwa tayar na color palette sahihi?

5. KOSA LA KUFANYA MAZOEZI
Bila kufanya mazoezi kila ulichokifunza kitaingia katika sikio moja na kutokea katika sikio Lingine, hivyo basi ili kubwa bora katika design hakikisha unafanya mazoezi kila siku ili uwe bora zaidi

Je somo la leo limekusaidia kujifunza kitu kipya?

Niandikia katika sehemu ya comment

NDIYO NI JUMAMOSI HII Kwa mara nyingine tena baada ya muda mrefu  tutafanya darasa la Graphics (GRAPHICS DESIGN MASTERCL...
01/07/2024

NDIYO NI JUMAMOSI HII

Kwa mara nyingine tena baada ya muda mrefu tutafanya darasa la Graphics (GRAPHICS DESIGN MASTERCLASS)

Tunakutana Zoom Meeting Jumamosi -Jumapili ya Tar 6-7 2024 Muda saa 3:00 Usiku darasa liemaandaliwa na Joel Media

Mambo utakayo Jifunza Katika Darasa hili
Matumizi na Umuhimu wa Graphics Design kwenye Digital Marketing
Makosa Matano ya Kuepuka wakati unajifunza Graphics Design
Adobe Photoshop Basics
Social Media Branding & Portfolio
Njia Kuu mbili za Kupata Kazi za Graphics Design

Huwa sifanyi madarasa ya namna hii mara kwa mara hivyo kiwa utapenda kujifunza Graphics design na kukua zaidi basi hakikisha unajisajili na kulipia darasa hili

Kwasababu sina uhakika k**a ntafanya darasa lingine la namna hii hivi karibuni

Gharama halisi ya program ambayo wanafunzi wamekua wakiilipia na kufundishwa ka zaidi ya mwaka mmoja sasa ni Tsh 750,000 ila leo ntakupa ofa ya kufa mtu kwa Tsh 35,000 tu utalipia na kujifunza ujuzi huu wote

Ili Kulipia Ofa yako Sasahivi tumia
Lipa Namba ya Tigo Pesa
7032075 Jina Joel Media

Fanya malipo Kisha tuma Ujumbe wa muamala Kupitia whatsapp
Kwa namba 0745 152 680

Utawekwa kwenye Group na kusajiliwa tayari kwa kusubiri mafunzo

Mwisho wa Kufanya malipo ni Ijumaa July 05 2024

Naitwa Joel Kadaga
Joel Media
0745 152 680

30/06/2024

K**a Unashindwa kutengeneza Angalau Laki Tano 500,000 kwa mwezi Hii inakuhusu, hakikisha Unasoma mpaka Mwisho

Ni kweli tupo katika kipindi kigumu kipindi ambacho ajira imekua changamoto sana lakini haina maana hakuna kazi

Research Kutoka katika vyanzo vifuatavyo zinaonyesha kwamba mwaka 2024 Graphics Designer anapokea wastani wa mshahara wa Tsh 650,000/= kwa mwezi

Nenda kasome katika site zifuatazo utaelewa nnachoongea https://www.glassdoor.com/
https://mywage.org/
https://www.paylab.com/tz
https://worldsalaries.com/

Mimi naamini hata wewe unaweza kuwa miongoni mwao baada ya kusoma na kufanyia kazi hiki nnachoenda kukueleza siku ya leo

Naitwa Joel kadaga mimi ni Content Creator Nimekua Nikifanya kazi za Graphics kwa zaidi ya miaka mitano sasa,

Nilianza kwa kujifunza na kufanya Freelancing nikaajiliwa Healthy Eating Company nikafanya kazi na baadae nikaamua kuacha kazi kwa hiari ili nijikite zaidi katika kutengeneza kazi za wateja na kufundisha zaidi

Sijawahi kwenda Chuo Kujifunza Graphics nimejifunza online na mpaka nilipofikia nimefanya makosa mengi ambayo yalifanya nipate changamoto

Ndio maana nimeandaa training hii kukusaidia wewe kuepuka makosa na kupita shortcut itakayokusaidia kufanikiwa kwa haraka

Moja ya Kitu muhimu kinachozingatiwa katika ulimwengu wa Graphics design sio vyeti ulivyosomea bali portifolio yako ndio msingi wa kukufanya uwe hired k**a freelancer au kuajiliwa k**a designer.

Darasa hili ni kwaajili ya nani? Swali zuri sana

1. K**a uliwahi kujifunza Graphics design Mwenyewe kwa kutumia Video za How to au Jinsi ya kupitia Youtube pamoja na platform na hukufanikiwa kuelewa na kupata msingi mzuri wa Graphics Design

2. K**a wewe ni Mpya kwenye Graphics Design industry na haupo tayar kuwekeza muda mwingi na pesa nyingi kwenda college kupata maarifa ya Graphics Design

3. Au wewe ni Graphics Designer ambaye umejifunza mwenyewe ila unachotafuta ujuzi zaidi na upate kuongeza maarifa na kujiamini?

Ikiwa wewe ni mmoja kati watu hapo juu mafunzo haya ni kwaajili yako. Nina furaha sana kwamba unaenda kutimiza malengo yako mudo si mrefu

Hii ndio sababu imenifanya nikuandaelie darasa hili la Graphics design darasa ambalo litakufanya ujifunze mambo yafuatayo

1. Matumizi na Umuhimu wa Graphics Design kwenye Digital Marketing
2. Makosa matano ya kuepuka wakati unajifunza Graphics Design
3. Adobe photoshop Basics
4. Social Media Branding & Portfolio Design
5. Njia kuu Mbili za Kupata kazi za Design

Darasa Hili litafanyika Jumamosi July 06 na Jumapili July 07 Kuanzia saa 3:00 Usiku na litafanyika kwa siku mbili mfululizo kupitia Zoom Meeting Application

Huwa sifanyi madarasa ya namni hii mara kwa mara hivyo kiwa utapenda kujifunza Graphics design na kukua zaidi basi hakikisha unajisajili na kulipia darasa hili

Kwasababu sina uhakika k**a ntafanya darasa lingine la namna hii hivi karibuni

Gharama halisi ya program ambayo wanafunzi wamekua wakiilipia na kufundishwa ka zaidi ya mwaka mmoja sasa ni Tsh 750,000 ila leo ntakupa ofa ya kufa mtu kwa Tsh 35,000 tu utalipia na kujifunza ujuzi huu wote

Ili Kulipia Ofa yako Sasahivi tumia
Lipa Namba ya Tigo Pesa
7032075 Jina Joel Media

Fanya malipo Kisha tuma Ujumbe wa muamala Kupitia whatsapp
Kwa namba 0745 152 680

Utawekwa kwenye Group na kusajiliwa tayari kwa kusubiri mafunzo

Mwisho wa Kufanya malipo ni Ijumaa July 05 2024

Naitwa Joel Kadaga
Joel Media

27/06/2024

AMEJIFUNZA KWAMBA MIMI NI MKARIMU NA MVUMILIVU

Niambie katika sehemu ya comment wewe binfasi umejifunza nini cha kipekee kutoka kwangu?

Full Video Ipo Youtube Joel Media

Follow

20/06/2024

AMETOA SABABU ZILIZOFANYA ATUAMINI

Niambie wewe katika sehemu ya Comment Ukiangalia page yetu unaona zipo sababu za msingi za kutuamini? kwa kusema sisi sio k**a hao wengine wenye tabia za ulaghai wa kuiba na kutofanya k**a wanavyojitangaza

Basi shusha comment yako hapo chini una mtazamo gani

Nimekaa na Kuzungumza na Iddy Creative Ni design mzuri na ameanza kujifunza kutoka kwetu Mwaka 2023 Akiwa na mwaka mmoja na nusu ameshapata ajira anafurahia maisha

Kutazama video nzima Nenda Youtube Joel Media ujifunze zaidi

Follow

Ujumbe Muhimu kwa Vijana wote wanaotaka Kufanikiwa kupitia ujuzi wa Kidigitali Video Production, Graphics Design na Digi...
29/05/2024

Ujumbe Muhimu kwa Vijana wote wanaotaka Kufanikiwa kupitia ujuzi wa Kidigitali Video Production, Graphics Design na Digital Marketing

……..Kwa zaidi ya miaka mitano sasa natengeneza maudhui ya kufundisha Graphics Design na Video Production

Nilianza rasmi kuifanya kazi hii fulltime mwaka 2018 baada ya kuhitimu chuo Kikuu cha Dar es salaam.

……..Mwaka 2020 Niliajiriwa katika Kampuni ya Afya Healthy Eating k**a Graphics Designer na Video Content Creator baadae nikahudumu k**a Social Media Manager kisha Head of Department wa Marketing, na Kabla ya kuacha kazi kwa hiari mwaka 2023 nilihudumu k**a Sales Manager,

Shukran kwa Uongozi wa Healthy Eating Company, ikiongozwa na Bosy wangu Dr Boaz Mkumbo this guy is Genius nimejifunza mengi sana. Healthy Eating imepanda kitu kikubwa sana katika maisha yangu God Bless You mfanikiwe zaidi.

Kabla ya Kuajiriwa nilikua na kiu kubwa ya kuelimisha jamii juu ya ujuzi mbalimbali wa digitali Ikiwemo masuala ya Graphics Design, Video Content Creation na Digital Marketing

…….naweza kusema kwa kujiamini ni vitu nilivyofanikiwa kuvipata kwakiasi kikubwa kujifunza kwa muda huu wa miaka niliyofanya kazi zangu binafsi, kazi za kampuni mbalimbali na wateja wangu binfasi.

Lengo langu kubwa la kushare ujumbe huu na wewe ni kuonyesha dhamira yangu ya kuelimisha jamii kuhusiana na ujuzi wa kidigitali na nimekua nikifanya hivyo kwa zaidi ya miaka mitano sasa

Ninayo majukwaa mbalimbali ya kuelimisha jamii ikiwemo Youtube Yenye wafuasi takribani 9000 sasa Instagram wafuasi 9000 na Facebook zaidi ya 7500 ninayo website yangu ya mafunzo yenye zaidi ya wanafunzi 1300 waliojifunza na wanaoendelea kujifunza mpaka sasa.

Nashukuru sana Mungu kwa nafasi na mafanikio ambayo mimi binafsi na wanafunzi wangu tumekua tukiyapata kwa pamoja

Na hapa napenda kuweka wazi kwamba mpaka sasa nnao wanafunzi wengi sana waliofanikiwa kupitia maarifa niliyoyasomo na kuyaweka katika majukwaa yangu wapo waliojiriwa, wapo waliojiajiri na wengine wametengeneza ajira kwa wengine

Leo nataka Nikukaribishe katika majukwaa yangu la Instagram na Youtube. Ambako pia nashare content nyingi za kuelimisha so kuna baadhi ya vitu huwa situmi humu ili kuwapata nafasi watu wengine Kujifunza na kushare kazi zaidi.

Ikiwa utapenda Kujifunza Graphics Design na Video Content Creation Kutoka kwangu hakikisha unanifollow Instagram, Facebook na kusubscribe katika chaneli yangu ya Youtube utajifunza mengi

Link ya akaunti yangu ya Instagram: https://www.instagram.com/joelmedia_/
Link ya akaunti ya Youtube: https://www.youtube.com//videos

Kwaheri kwa sasa
Naitwa Joel Kadaga
Content Creator

Naijenga Joel Media

22/05/2024

Jinsi alivyopata ofa ya Ajira baada ya Mafunzo yetu ya Graphics Design

Je na wewe unataka Kujiunga na program zetu za coaching ili utengeneze kipato kupitia kazi za Graphics na Video content Creation

Karibu Joel Media tunazo program za kukuwezesha kujifunza na kutimiza ndoto zako

Wasiliana nasi Piga au Whatsapp
0627 150 780

05/05/2024

JE UNAHITAJI INTERNET YA KULIPIA MWISHO WA MWEZI YA BIE RAHISI?

Jaribu Airtel 5g Router ya Nimefanya review ya Internet hii Youtube ya Joel Media unaweza kutazama ili ujifunze karibu sana

Follow

30/04/2024

Unahitaji Ujuzi gani Ili uweze Kupata Kazi au kukuza biashara yako
Msikilize Captain Rio. Tumezungumza mengi sana katika
Joel Media Podcast tembelea channel ya Joel Media Ujifunze

Follow

29/04/2024

CAPTAIN LIO MWANZILISHI NA MMILIKIWA amekaa na kuzungumza na mimi kuhusu historia ya maisha yake na namna alivyoanza Kampuni yake ya Soko huru ambayo Ilianza rasmi Mwaka 2023 na kufikia mwaka 2024 wamefanikiwa kutoka kwenye chumba kimoja cha ofisi na hatimaye kupanga ghorofa lenye ofisi nane na kuajiri zaidi ya watumishi 50

Tazama Video nzima katika channeli yangu ya Youtube kwa Jina la Joel Media

VIDEO NZIMA TAZAMA HAPA: https://youtu.be/dhvssaEAVW0?si=hL4oZff2p3SGSdiX

Follow

26/04/2024

EDIT INTERVIEW AU PODCAST KWA KUTUMIA FIRE CUT

Katika Video hii utajifunza namna ya kutumia Fire Cut Artificial Intelligence ndani ya Adobe Premiere pro inaweza kukusaidia kukata shots za interview au podcast kwa haraka bila kutumia effort kubwa. tazama mpaka mwisho ujifunze.

Full Video: https://youtu.be/hCq5rFE7cfs?si=as6T-Zae4KS-6kBp

Download Fire Cut Ai 👉🏽: https://bit.ly/4aoLJVI
DISCOUNT CODE: JOELMEDIA

22/04/2024

Katika Video hii Nimekufundisha Njia rahisi ya Kumanage mapato na matumizi katika Biashara yako kiurahisi zaidi kwa kutumia sheet moja tu ya Microsoft excel ambayo itakusaidia kujua mapato yako, matumizi ya mwenendo wa biashara yako kwa Siku, Wiki na Mwezi kiurahisi kabisa hata k**a hauna utaalamu wa mahesabu kabisa, Enjoy

Download Templates Jinsi ya Kumanage Mapato na Matumizi: https://bit.ly/47za7C0

22/04/2024

NAMNA YA KUPATA KIBALI KWA MTU UNAYETAKA KUFANYA NAE KAZI AU KUOMBA MSAADA

Tazama hii clip ni sehemu ya Video yenye zaidi ya saa moja ambayo nimefanya na Chief Administrator wa

Tembelea chaneli ya Joel Media Utazame Video nzima na Ujifunza zaidi

Follow Joelmediatz

21/04/2024

Jinsi ya Kutumia Firecut Ai Ndani ya Adobe Premiere pro Kuadd Caption au subtitles kwa kutumia click chache sana

Tazama Video nzima YouTube ya Joel Media ili Ujifunze zaidi

Follow

21/04/2024

Ikiwa unajiuliza ni Camera gani unataka kuinunua mwaka huu basi hakikisha unatazama Video hiii na kuweka kwenye akili yako hoja hiziTano nilizoeleza katika Video,

Acha maoni katika sehemu ya comment share like video hii iwafikie watu wengi zaidi

Kwa Mawasiliano zaidi
0627 150 780

Follow

15/04/2024

Ikiwa unajiuliza ni Camera gani unataka kuinunua mwaka huu basi hakikisha unatazama Video hiii na kuweka kwenye akili yako hoja hizi nilizoeleza katika Video hii,

Acha maoni katika sehemu ya comment share like video hii iwafikie watu wengi zaidi

Full Video Ipo Youtube Joel Media

Follow

14/04/2024

Jinsi ya Kubadilisha Video ya Youtube na Kuifanya Reels kwaajili ya Instagram Reels hatua kwa hatua kwa kutumia Njia fupi zaidi kwa kufuata Click sizizozidi tatu then boom, tazama mpaka mwisho ujifunze.

Full Video Tazama hapa: https://youtu.be/8gUkcC9BlzE?si=UrvcAnnblPay3qsk

Acha maoni katika sehemu ya comment k**a umejifunza na umependa share na rafiki zako see you in the next one

09/04/2024

Web Design ni Moja ya Niche Yenya Fursa kubwa ya kukufanya
upate wateja na kukuza career yako na kutengeneza Kipato

Je Una biashara yako unahitaji Kutengenezewa Website
Hit my dm/Call or Whatsapp 0627 150 780

Follow for more tips

Tulikua na Wakati bora sana wa Kuzungumza na  kuhusu Technology na Fursa mbalimbali zilizopo.Kwa takribani Saa Moja  ame...
08/04/2024

Tulikua na Wakati bora sana wa Kuzungumza na kuhusu Technology na Fursa mbalimbali zilizopo.

Kwa takribani Saa Moja ameshare mambo mengi ambayo ukiyasililiza hutabaki k**a ulivyokua awali tenga muda kutazama Episode hii kupitia Chaneli ya Joel Media

Follow us

08/04/2024

Catch Your Favorite Tech Content Creator on my Podcast This Week on YouTube Channel Joel Media

Kaa mkao wa Kula usikie Historia yake Namna Safari yake Ilivyoanza unayo Mengi ya Kujifunza katika Episode hii

Follow him

Address

Kinondoni Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joelmedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share



You may also like