20/03/2023
UKURASA HUU NI MAALUMU KWA MAFUNDISHO YA IBADA YA KWELI NA UHALISI WA ANAYESTAHILI KUPEWA IBADA. NA JAMII YA ULIMWENGU KUWEZA KUANDALIWA ILI KUWEZA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA ZA ULIMWENGU KATIKA NYAKATI ZA MWISHO. KUWAFUNDISHA HATUWA ZA MAADILIKO TANGU ADAMU MPAKA LEO NA HUKO MBELE YETU K**A ILIVYO KATIKA UFUNUO WA BIBLIA. NK.
MAMBO YA MSINGI:
Uwepo wa Mungu,
Uumbaji.
Mianga miwili.
Utawala na umiliki.
Anguko la Adamu.
Kupoteza umiliki.
Tumaini jipya.
Mungu na ndoa.
Kipindi cha wazazi.
Nyakati za Nuhu.
Wito wa Abram.
Sadaka za Abram.
Kosa la Ibrahimu.
Utumwa wa Irael.
Kuzaliwa kwa Musa.
Wito wa Musa.
Matendo ya Musa.
Safari ya Israel.
Kuvuka bahari.
Ibada ya Shilo.
Kuvuka Yordani.
Agizo la Yoshua.
Israel na ufalme.
Wito wa Daudi.
Kiti cha Daudi.
Damu ya Abneli.
Ufalme kugawanywa.
Yuda na Irael.
Uhamisho wa Babeli.
Mfalme Ahasuwelo.
Kurudi nyumbani.
Kujenga hekalu upya.
Nebkandreza na ndoto.
Sanamu ya Nebkandreza.
Mgawanyo wa sanamu.
Jiwe kupiga sanamu.
Je Yesu ni nani?
Utume na unabii.
Matendo ya mitume.
Safari ya injili.
Mwenye wito.
Asiye na wito.
Mgogoro kanisa la kwanza.
Nyaraka kwa wote.
Nyaraka kwa wachungaji.
Nyaraka za gerezani.
Makanisa saba.
Vinara saba.
Vitasa saba.
Neno la ushuhuda.
Kurudi kwa Kristo.
Mpinga Kristo.
Utawala miaka elfu moja.
MASOMO HAYA YATAFUNDISHWA NAMI MWENYEWE, NIKISHIRIKIANA NA PROPHET ELIUD E. SEREKI, PAMOJA NA MAMAANGU HAPPYNES SEREKI. AMINA.
[email protected]