wigis_design

wigis_design news comedy entertainment business

Bei poa
09/05/2022

Bei poa

20/07/2021

Comedian mkojani Ni hatari

19/07/2021

Comedy

25/11/2019

Mziki MZULI unauzwa.

16/11/2019

,,,kutibu uvimbe WA tishu za msuli kwenye moyo na kutetemeka.""3 kila siku kabla ya kula cha kula kunywa gilasi ya ya maji baridi yaliochanganywa na asali vijiko viwili, utaendelea ivyo mpaka upone unaweza kuzidisha wiki moja.by director Mr. Everything

15/11/2019

NEWS. Tiba ya mgonjwa""episode"1" nguvu msuli WA moyo""chukua asali kijiko kimoja na uchanganye katika maji kidogo yaliochemshiwa maganda ya komanga, tiba hii huupa moyo nguvu sana vilevile unaweza mkate WA nyuki kiasi cha matone matatu hivi na ambari, tiba hii huupa moyo nguvu na kuupa nishati.by director Mr.everything

Nuksi tu.
14/11/2019

Nuksi tu.

. Paka nimdudu MZULI kimuonekano anamdhara makubwa. Paka aligundulika huko nchini Brazil na profess mmoja kuwa katika damu yake paka inavirusi vya ukimwi vya kuzaliwa navyo kila paka akizaliwa yupo ivyo. lakini virusi hivyo avifanani na vya maambukizi ya binadam kaa mbali. By director Mr everything.

Shetani
12/11/2019

Shetani

,,,,,__episode...8,,inaendelea. Wakiwa kwa mganga. MGANGA+anaendelea kuongea tenauo ujauzito wako tumaini hapo ulipo ni mkubwa na utajifungua na wewe hans ili uishivizuli katika dunia hii achana tumaini maana tatizo alilonalo akuna MGANGA WA kutibu utakufa kwa kumfata huyu binti kwani mwenzio amesha pendwa na kiumbe nakuombeni muondoke sasa hivi msije kunipa matatizo mengine. MGANGA undokeni nimesema! Mjomba-mzee mwenzangu tusaidie MGANGA hakuna msaada nitakauweza ondokeni nimesema basi wakaamua kuondoka huku kila mmoja akiangusha kilio na kumuogopa mwenzie basis usikose episode. Inayo fata

03/11/2019

Jenguo k**a jini anatisha.

02/11/2019

Lingo mkweche.

14/10/2019

Lingo comedian.

14/10/2019

Umbea nao nikazi ila k**a utaupangilia.

12/10/2019

Jenguo ni MZEE hatari katika uigizaji.

Hatari
11/10/2019

Hatari

SHETANI.,,episode.. 6=tunaendelea pale tulipoishia. Mganga"Mimi nimeoteshwa na majini yangu matatizo yenu yote ninayo na simimi tu hata waganga wengine wanayajua basis wote kwa pamoja walishangaa sana hapo hapo Hans akauliza swali Hans"mzee naomba uniambie matazo unayo ya jua ni haya ya ujauzito au! Kunamengine mganga" alicheka sana hahahahaha.! Matatio mlionayo so hayo tu makubwa sana mwenzio tumaini anayajua..tumaini"we mzee matatizo gani mimi na ya jua niwafiche wenzangu! Mganga"ebu kumbuka siku za nyuma kilikutokea nini tumaini"Mimi sikumbuki wewe tuambie Mimi uongo sipendi mzee nakueshimu sana. Anko"tumaini mkwe wangu naomba utulie na tumsikilize. Mganga"kunasiku za nyuma ulilala na asubui ukajikuta ukoje? Tumaini"mmh. Nikweli. Hans kweli umefanya mini?tumaini"nilililala asubui. Basis usikose episode ifatayo by Mr.everything

11/10/2019

Business man

Shetani
07/10/2019

Shetani

SHETANI,,episode..5.tunaendelea tulipoishia baada ya kutembea mda mlefu waka fika katika nyumba moja mbayo anaishi MZEE mmoja ambae MGANGA WA kitabu walipoingia wakakalibishwa na MZEE huyo wakapewa mkeka na kukaa chini ndipo MZEE huyo akaanza kuwa sikiliza anko.,,bwana sisi tumekuja hawa wapwa zangu ndio wanamatatizo hans ebu elezea hans.,,tumaini elezea matizo yako tumaini.,,Mimi na dalili zote za ujauzito nimekwenda hospital nimeambiwa akionekani kitu ndipo tumekuja huku. Mganga,,. Sawa nimesikia Mimi mbona najua kila kitu chenu nimeoteshwa na majini yangu ukweli ni kwamba. Basi usikose episode inayofata.

06/10/2019

Hatari

04/10/2019

Pazuli.

04/10/2019

Kweli.

Mmh.
04/10/2019

Mmh.

SHETANI,,episode..3,,tunaendelea tulipoishia,,baada ya hans kuliza kwani vipi? Tumaini alimzuga na kumwambia tumaini_hans badae uje nyumbani hans_sawa basis simu ikatika tumaini anaendelea kuongea na rose wakiwa lanchi..rose_da tumaini Shem hans anasemaje! Tumaini_Anna amejaa tele OK tumalize twende rose..,rose_aya Dada ..baada mda wakaondoka nasikuikaisha jioni take hans alifika nyumbani kwa tumaini wakiwa pale wanaongea ghafra tumaini akaanza kutapika hans alishangaa sana nakubaki na butwa..hans_vipi tena tumaini. Tumaini_sijui! Hans_umekula nini? Tumaini_hapana.! Basi ndipo hans akachukua jumu LA kumpeka hospitali..,,usikose episode.. Inayofata.by Mr.everything

04/10/2019

Nyie oweni tu.

01/10/2019

Never give up.bring it on.

SHETANI ni simulizi..ifatilie
01/10/2019

SHETANI ni simulizi..ifatilie

SHETANI,,episode..3,,tunaendelea tulipoishia,,baada ya hans kuliza kwani vipi? Tumaini alimzuga na kumwambia tumaini_hans badae uje nyumbani hans_sawa basis simu ikatika tumaini anaendelea kuongea na rose wakiwa lanchi..rose_da tumaini Shem hans anasemaje! Tumaini_Anna amejaa tele OK tumalize twende rose..,rose_aya Dada ..baada mda wakaondoka nasikuikaisha jioni take hans alifika nyumbani kwa tumaini wakiwa pale wanaongea ghafra tumaini akaanza kutapika hans alishangaa sana nakubaki na butwa..hans_vipi tena tumaini. Tumaini_sijui! Hans_umekula nini? Tumaini_hapana.! Basi ndipo hans akachukua jumu LA kumpeka hospitali..,,usikose episode.. Inayofata.by Mr.everything

Address

Tabata Kinyerezi
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255676683730

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when wigis_design posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to wigis_design:

Videos

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All

You may also like