Chiefbaru TV

Chiefbaru TV media for up coming young talented people

JIPATIE huduma nzuri kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa Nyumba yako, Kiwanda chako , Kampuni yako , Biashara yako kwa bei ...
04/05/2024

JIPATIE huduma nzuri kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa Nyumba yako, Kiwanda chako , Kampuni yako , Biashara yako kwa bei nafuu.

CTC pia tunatoa huduma ya kufunga na kusambaza ,tunasaidia mafundi kwa HARAKA:-

✅ BIOMETRIC INSTALLATION

✅ CCTV CAMERA INSTALLATION

✅ TIME ATTENDENCE

▶️ REPAIR OF DVR ,NVR & COMPUTER

▶️ ACCESS CONTROL INSTALLATION & CONFIGURATION

➡️ Kujiunga Nest, GPSA ATMIS

▶️ TURNSTILES INSTALLATION & CONFIGURATION

▶️ METAL DETECTOR INSTALLATION

▶️ COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE SYSTEM HARDWARE & SOFTWARE

Tuwasiliane kupitia
WhatsApp : 0764935365 / +255713935366

Kwa maelezo zaidi tembelea

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=829203882553907&id=100063929084222&mibextid=Nif5oz

Vuta kumbukumbu
25/04/2024

Vuta kumbukumbu

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya usalama kuelekea Maadhimisho ya she...
25/04/2024

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya usalama kuelekea Maadhimisho ya sherehe za Muungano kesho April 26, 2024 yatakayofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam, limesema kesho baadhi ya barabara zitafungwa kwa muda kuanzia saa 12 asubuhi ili kupisha misafara mbalimbali ya Viongozi.

Barabara zitakazohusika zaidi ni zile zinazoingia katikati ya Mji na kuelekea Uwanja wa Uhuru ambazo ni barabara ya Nyerere kuanzia Airport hadi Vingunguti, Tazara, Veta, Gerezani, Sokoine Drive mpaka Kivukoni.

Barabara nyingine ni ya Kilwa kupitia Bendera tatu, Mivinjeni, Uhasibu kuelekea Uwanja wa Uhuru, pia barabara ya Umoja wa Mataifa inayopita Ocean Road, Hospitali ya Aga Khan, Daraja la Tanzanite, Toure Drive na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi nazo
zitafungwa kwa muda.

Watumiaji wengine wa vyombo vya moto wanashauriwa kutumia barabara ya Mandela, Kawawa, Buza, Jeti Lumo, k**a njia mbadala kwa kipindi hicho ili kuepuka msongamano Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashauri Wananchi kuwahi kwenda Uwanja wa Uhuru mapema ili kuepuka msongamano.

“Tunashauri pia Madereva na Watu wengine kufuata sheria za usalama barabarani na maelekezo ya Askari ambayo yatakuwa yanatolewa mara kwa mara kutegemea jambo litakalokuwepo kwa wakati huo” ——— Polisi.

25/04/2024

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaini Mkataba wa ukarabati wa uwanja wa uhuru uliopo jijini Dar es salaam na kampuni ya CRSEG ya China.

Katika hafla ya utiaji saini wa mkataba huo Serikali imeweka wazi gharama itakayotumika kukarabati huo ni bilioni 19.7 za Kitanzania na ukarabati huo utachukua miezi 12 sawa na mwaka mmoja.

Hongera Serikali kwa hatua hii ambayo inatoa mwanga kuelekea michuano ya Fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2027’ ambayo Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji kwa pamoja.

*KONDA WA KIZAZI KIPYA ALIYEKUJA KUBADILISHA DHARAU YA MAKONDA HIVI SASA UKONDA UNA HESHIMIKA DADA ZANGU TAFUTENI PESA J...
25/04/2024

*KONDA WA KIZAZI KIPYA ALIYEKUJA KUBADILISHA DHARAU YA MAKONDA HIVI SASA UKONDA UNA HESHIMIKA DADA ZANGU TAFUTENI PESA JAMANI* CONGRATULATIONS 🎉 NAYCE MOSHI🥰🥰 NAYCE Wasafi TV Ikulu Mawasiliano Azam FC Zitto Kabwe Ruyagwa East Africa Radio CRDB Bank Plc Alikiba Donnalyn Abdul Baru Oscar Oscar Jr

Daah ! Watu hawaogopi maji/mafuriko.
25/04/2024

Daah ! Watu hawaogopi maji/mafuriko.

21/04/2024

JIPATIE huduma nzuri kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa Nyumba yako, Kiwanda chako , Kampuni yako , Biashara yako kwa bei nafuu.

CTC pia tunatoa huduma ya kufunga na kusambaza ,tunasaidia mafundi kwa HARAKA:-

✅ BIOMETRIC INSTALLATION

✅ CCTV CAMERA INSTALLATION

✅ TIME ATTENDENCE

▶️ REPAIR OF DVR ,NVR & COMPUTER

▶️ ACCESS CONTROL INSTALLATION & CONFIGURATION

➡️ Kujiunga Nest, GPSA ATMIS

▶️ TURNSTILES INSTALLATION & CONFIGURATION

▶️ METAL DETECTOR INSTALLATION

▶️ COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE SYSTEM HARDWARE & SOFTWARE

Tuwasiliane kupitia
WhatsApp : 0764935365 / +255713935366

Kwa maelezo zaidi tembelea

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=829203882553907&id=100063929084222&mibextid=Nif5oz

Rais wa Kenya ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Kenya Dkt. William Rutto amemteua na kumuap...
20/04/2024

Rais wa Kenya ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Kenya Dkt. William Rutto amemteua na kumuapisha Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Wanamaji na Naibu Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Kenya (VCDF) kuwa Mkuu wa Majeshi mpya wa Majeshi ya ulinzi na usalama (CDF) nchini humo, akichukua nafasi ya Jenerali Francis Omondi Ogolla aliyefariki kwa ajali ya helikopta Aprili 18.2024.

Luteni Jenerali Kahariri ambaye pia amepandishwa cheo kuwa Jenerali Aprili 18.2024, sasa ana wajibu wa kuongoza maziko ya Jenerali Francis Omondi Ogolla kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Kenya nafasi ya CDF haipaswi kuwa wazi lakini pia CDF huzikwa na CDF mwenzake.

Dubai bana😄Wasafi TV Ikulu Mawasiliano East Africa Radio Azam FC Zitto Kabwe Ruyagwa Donnalyn
20/04/2024

Dubai bana😄

Wasafi TV Ikulu Mawasiliano East Africa Radio Azam FC Zitto Kabwe Ruyagwa Donnalyn

 :Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya...
20/04/2024

:Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.



ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI. Wasafi TV Azam FC Ikulu Mawasiliano East Africa Radio Zitto Kabwe Ruyagwa Alikiba CRDB Bank Plc Abdul Baru Airtel Tanzania

K**ati ya kufuatilia miandamo ya mwezi ya BARAZA KUU LA JUMUIYA ZA ANSAAR SUNNAH TANZANIA (BASUTA), imewatangazia Waisla...
08/04/2024

K**ati ya kufuatilia miandamo ya mwezi ya BARAZA KUU LA JUMUIYA ZA ANSAAR SUNNAH TANZANIA (BASUTA), imewatangazia Waislamu wanaofunga na kufungua saumu kwa kufuata mwandamo wa mwezi unaoonekana na kuthibiti Kishari'ah popote pale duniani ya kwamba leo siku ya Jumatatu tarehe 08 Aprili 2024 ilikuwa mwezi 29 Ramadhan, 1445 Hijriyyah.

Taarifa ya BASUTA ya jioni hii imeeleza kuwa k**ati hiyo haijapokea taarifa ya kuthibiti kuandama mwezi wa Shawwal si kutoka ndani ya Tanzania wala kutoka nchi nyingine yoyote ile duniani hivyo tunakamilisha Siku 30 Ramadhan kesho Jumanne tarehe 9 Aprili, 2024.

“K**ati imepokea taarifa za kutokuandama mwezi kutoka mamlaka mbali mbali za kutangaza mwezi katika nchi za Saudia, Qatar, U.A.E, Misri, Baharain, Kuweit, Yemen, Lebanon, Palestina, Iraq, Syria” imesema taarifa hiyo

“Kwa taarifa hizi, siku ya Jumatano tarehe 10 Aprili 2024 itakuwa ndiyo mwezi Mosi Mfungo wa Mosi (Shawwal) 1445 Hijriyyah Sikukuu ya Idul Fitr.”

K**ati imefikia maamuzi haya kutokana hadithi iliyopokewa na Imam Bukhari na Muslim (Allah awarehemu) kutoka kwa Swahaba Abu Hureira (Allah amridhie) akieleza kuwa Mtume wa Allah (Allah amshushie rehma na amani) anasema:

"Fungeni kwa kuonekanwa kwake (mwezi) na fungueni kwa kuonekanwa kwake (mwezi). Na iwapo mtagubikwa (msiuone mwezi), basi kamilisheni hesabu ya mwezi siku thelathini".

“Kwa mnasaba huu, uongozi wote wa BASUTA unawatakia Waislamu wote kheri ya Siku Kuu ya Idul Fitr mwaka 1445 Hijriyyah pamoja na kuwahimiza kutimiza kutoa Zakatul Fitr kabla ya kuswali swala ya Idd na pia kusherehekea Sikukuu ndani ya mipaka ya Kishari'ah kwa kujiepusha na yale yote yenye kumuudhi Allah (Subhaahuu Wa Taala).”

“Taarifa hii imethibitishwa na masheikh wajumbe wa K**ati ya BASUTA ya kufuatilia Mwandamo wa mwezi na iwapo tutapokea taarifa tofauti na hizi tulizozipokea wakati huu kuhusu kuandama mwezi, K**ati haitasita kuwajulisheni.”

DARSA LA TAFSIRI MASJID KIPATA KUFUNGWA RASMI KESHO JUMAMOSIViongozi wa Taasisi kubwa tatu Nchini watashirikiNi Masheikh...
05/04/2024

DARSA LA TAFSIRI MASJID KIPATA KUFUNGWA RASMI KESHO JUMAMOSI

Viongozi wa Taasisi kubwa tatu Nchini watashiriki

Ni Masheikh :
1. Ndauga wa Hay'atul Ulamaa
2. Walid wa Sheikh wa Mkoa BAKWATA
3. Ali Zubeir Amiri wa BASUTA taifa

Pia watashiriki Masheikh wengine wengi Maarufu Nchini

Waislamu wamehimizwa kushiriki kwa wingi kupata faida Kutoka kwa Vigogo hao

Kutoka ukurasa wa Chiefbaru TV

Hili hapa tangazo la kufunga Darsa hilo

TANGAZO LA KUFUNGA DARSA.

Kesho Jumamosi April 6 ndiyo siku ya kufunga Darsa La Tafsiri katika Msikiti Wa Kipata .

Siku hiyo itahudhuriwa na Sheikh Walid Alhadi Sheikh Wa Mkoa, Sheikh Abdallah Ndauga Mwenyekiti Wa Umoja Wa Wanazuioni Wa Kiislaam Tanzania , Sheikh Ali Zuberi Amir Wa Basuta na wengineo InshaAllah.

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Klabu za soka za Simba na Red Star za Dar es Salaam, Abbas Said Muhunzi, maarufu k**a Abbas K...
31/03/2024

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Klabu za soka za Simba na Red Star za Dar es Salaam, Abbas Said Muhunzi, maarufu k**a Abbas Kuka, aliyefariki dunia jana jioni baada ya kuanguka akiwa msikitini katika swala ya Magharibi, anazikwa leo.

Kuka ambaye alikumbwa na umauti akiwa katika Msikiti wa Kionga, Magomeni Mapipa mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Magomeni alikokimbizwa baada ya kuanguka.

Taarifa za awali zimeeleza kuwa maziko ya mchezaji huyo yanatarajiwa kufanyika mchana wa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu, Magomeni Mapipa, Dar es Salaam.

Baadhi ya mashekhe wamesema Kuka amekufa kifo kizuri kwani hadithi ya Mtume Muhammad (SAW) inasema kwamba mtu atafufuliwa Siku ya Kiama katika mazingira aliyofia. K**a ulikufa kwenye jambo la heri k**a la kufanya ibada utafufuliliwa katika mazingira hayo ya ibada na k**a ulikufa ukifanya jambo ovu k**a wizi au zinaa pia utafufuliliwa katika jambo hilo.

 :  Bila shaka uliitazama kazi ya kiungo wa Yanga, Jonas Gerald Mkude kwenye mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika d...
31/03/2024

: Bila shaka uliitazama kazi ya kiungo wa Yanga, Jonas Gerald Mkude kwenye mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, ‘akizima’ pale kati.

Kipi kilikuvutia zaidi kutoka kwa mkongwe huyo?

(Imeandikwa na leo na )

C & PKutoka HALISI MEDIA ARUSHA NDIO NGOME YA MASHOGA "MWAKYEMBE""Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza ...
31/03/2024

C & P

Kutoka HALISI MEDIA

ARUSHA NDIO NGOME YA MASHOGA "MWAKYEMBE"

"Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia ninayo, serikali ikihitaji nitawasilisha. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini"

"Ngome Kuu ya Mashoga Nchini Tanzania ni Arusha, na Kuna Kanisa linalohubiri na kuhamasisha Mambo ya Ushoga Kanisani Mkoani Arusha"

Mstaafu Dkt. Harrison Mwakyembe

30/03/2024
DAR ES SALAAM: Kocha wa Simba Abdelhak Benchikha, ameeleza kuwa kinachomgharimu ndani ya timu hiyo ni kukosa namba kubwa...
30/03/2024

DAR ES SALAAM: Kocha wa Simba Abdelhak Benchikha, ameeleza kuwa kinachomgharimu ndani ya timu hiyo ni kukosa namba kubwa ya wachezaji wa daraja la juu.
-
Akizungumza baada ya kupoteza dhidi ya Al Ahly Benchikha amesema ubora ndio ulioamua matokeo katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Benjamini Mkapa.

"Unapopata nafasi zaidi ya sita kwenye box la mpinzani unahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuzitumia nafasi hizo

Mfano wenzetu Al Ahly wana Modeste, Kahraba, ambao wote hawa wanaweza kuzitumia nafasi hizo" amesema Benchikha baada ya mchezo.
-
Ameongeza kuwa ufinyu wa wachezaji wenye ubora kikosini unamgharimu ndio maana alipofanya mabadiliko bado hakupata kitu ambacho alikitamani tofauti na ikivyokuwa kwa wapinzani wake.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa ...
30/03/2024

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Makonda anachukua nafasi ya Mhe. John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua Uteuzi wa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu(...
30/03/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua Uteuzi wa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu( Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu) Prof Joyce Ndalichako na kumteua Deogratius Ndejembi kuchukua nafasi hiyo.

Ndejembi alikuwa Naibu Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofi...
24/03/2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Je kiongozi wako weekend anatokaga mtaani na kusalimia ndugu jamaa na marafiki?. Even Chiefbaru TV

Mshiriki kutoka Nchi ya Ivory Coast, Ibrahim Sow (14) ameibuka mshindi wa Mashindano Makubwa ya Kusoma Quran ya Afrika n...
24/03/2024

Mshiriki kutoka Nchi ya Ivory Coast, Ibrahim Sow (14) ameibuka mshindi wa Mashindano Makubwa ya Kusoma Quran ya Afrika na kuzawadiwa kitita cha Dola za Marekani 10,000 (Tsh. milioni 27).

Akiwa k**a mshiriki mdogo kuliko wote miongoni mwa washiriki 21 kutoka bara la Afrika na wengine waalikwa kutoka nje ya bara hilo. Mshiriki mwenye umri mkubwa alikuwa na miaka 25.

Mashindano hayo yamefanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, leo Machi 24, 2024. Chiefbaru TV

🚨𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐕𝐬 𝐀𝐇𝐋𝐘Mwanasimba hiki ndo Kikosi kilichoanza mara ya mwisho tulipokutana na Al Ahly Oktoba Mwaka janaMchezo ulic...
24/03/2024

🚨𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐕𝐬 𝐀𝐇𝐋𝐘

Mwanasimba hiki ndo Kikosi kilichoanza mara ya mwisho tulipokutana na Al Ahly Oktoba Mwaka jana

Mchezo ulichezwa kwenye Uwanja wa Cairo International Misri na kumalizika kwa Sare ya 1-1

🇹🇿Salim
🇹🇿Kapombe
🇹🇿Zimbwe Jr
🇨🇩Inonga
🇨🇲Che Melone
🇨🇩Ngoma
🇹🇿Kibu
🇲🇱Kanoute
🇹🇿Bocco
🇧🇮Ntibazonkiza
🇿🇲Chama

Kwa mtazamo wako, Nani atoke Nani aingie hapa ili Mwarabu apigwe kwa Mkapa?

🤔

Mh Zitto kabwe
24/03/2024

Mh Zitto kabwe

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema kuwa imewapa watumishi wake nafasi ya kuchagua ama kubaki T...
24/03/2024

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema kuwa imewapa watumishi wake nafasi ya kuchagua ama kubaki TPA au kusitisha mkataba wa ajira na TPA na kuajiriwa na kampuni ya DP World ya Dubai.

TPA ilisema hayo katika taarifa yake ya ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za watumishi wake katika Bandari ya Dar es Salaam na ilisema kuwa Machi 20, ilitoa taarifa kwa watumishi wake juu ya mabadiliko ya uendeshaji wa bandari hiyo, gati namba sifuri (RoRo) hadi gati namba saba.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa TPA katika taarifa yake ya Machi 20, mwaka huu watumishi walielekezwa kuwa mabadiliko hayo yamesababishwa na mkataba wake na Kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 30 kuanzia Oktoba 22, mwaka huu.

“Kutokana na mabadiliko hayo katika usimamizi na uendeshwaji wa maeneo tajwa, Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam walitakiwa kuchagua ama kubaki TPA au kusitisha mkataba wa ajira na TPA na kuajiriwa na DP World papo hapo,” ilifafanua taarifa hiyo

Una maoni, tuandikie
Zaidi tembelea //habarileo.co.tz
Imeandaliwa na Lidya Inda Chiefbaru TV

Address

Kigogo Mkwajuni/police Post
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chiefbaru TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All