Lili News TV

Lili News TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lili News TV, TV Channel, Dar es salama, Dar es Salaam.

07/01/2022

Lili News TV eastafrican
2022
Awards fro Kenya

  News TV eastafricanIta kua changazoo Kwa wasani wa music wanao toka Kima penzi na wake wa Kaka ZaoNikimahanisha  Ndie ...
28/12/2021

News TV eastafrican
Ita kua changazoo
Kwa wasani wa music wanao toka
Kima penzi na wake wa Kaka Zao
Nikimahanisha
Ndie alie kua akitoka kima penzi
Na mrembo Joyce
Ila leo ya onekana kua fastick loshe
Njo ana kaba Kaka Yake mbosso

Ajabuuuu subirieni tuhone Nini ita tokeya

Lili News TV eastafricanOmdimponze Ikobiyoni kwashia wimbo yeye Na Fally Ipupa k**a picha zilizo onekana wakiwa studio
22/12/2021

Lili News TV eastafrican
Omdimponze
Ikobiyoni kwashia wimbo yeye
Na Fally Ipupa k**a picha zilizo onekana wakiwa studio

  News TV eastafricanTuko apa ajili ya kuwapaActualité ambazo zina tembeyaKwasasa c.e.o wa   musicFastick loshe bado aki...
13/12/2021

News TV eastafrican
Tuko apa ajili ya kuwapa
Actualité ambazo zina tembeya
Kwasasa c.e.o wa music
Fastick loshe bado akipatikana
Ichini Niger 🇳🇬
Leo âme post kwenye Instagram Yake k**a
👇👇👇👇
Atimaye nimefanyiwa ku ricod nyimbo mbili ichini Nigeria 🇳🇬
1.usinikubali
2.Dawlod
Next week tuna achaia

Iyo njo ilikua maneno Yake
Tusisau k**a wimbo
niwimbo ambaye Ali mufichi mwana dada Niki toka
Sud Afrique 🇿🇦

Usisau ku like page
News TV eastafrican

Niki amesema fans wano sapoty kijana fastick loshe wa musapoti kwasababu yeye njo Mara ya kwanza kufanya colabo na musan...
10/12/2021

Niki amesema fans wano sapoty kijana fastick loshe wa musapoti kwasababu yeye njo Mara ya kwanza kufanya colabo na musani wa Congo tena kijana mdogo sana
Ok fastick loshe tuna kutakia baraka kubwa kwenye kazi Yako
Asante
News TV eastafrican 🇳🇬

  News TV eastafricanOn interview Nigeria 🇳🇬Niki exclusive interviewTafsiri swahili . On NikiK**a tulivyo watarifu k**a ...
10/12/2021

News TV eastafrican
On interview Nigeria 🇳🇬
Niki exclusive interview
Tafsiri swahili

. On Niki
K**a tulivyo watarifu k**a iyo Jana mwanamuziki marufu sana duniani niki âme tua ichini Nigeria 🇳🇬 pasipo kua na maelezo yoyote
Âme bahatika kuhigia nyumaba kubwa ya Lili News TV eastafrican apo Nigeria kwakujiele Nini kilisho muleta apo
story
Niki kwasasa ww nimoja kati ya wasani wakubwa ichini sud Afrique 🇿🇦 naleo tume bahatika ichini Nigeria 🇳🇬 aswa kitu gani ambasho kime kuleta apa nawakati tuna kuzoa ukiwa swede na umarekani twambie
Ok yes mimi nimekuja nakzi ambayo ime nileta kuja faa wenda next week nitarundia monday owoooo
Ok kazi gani sasa byashara ama
No kazi yangu music ok
Una colabo yoyote apa na wasani wa Niger 🇳🇬 ndio Ila
Mimi nimpigiwa simu na
akia niambia kuna kazi utafanya na musani wangu mimi nikamwambia musani yupi aliniambia no ww kuja bahati munzuri Salima ni best wangu sana
Ika kutana tena wako .na directed deo abel apo njo nika kuja maramoja nilikua Niko Belgique nikawa ambia nitafika pâle le 9/12/2021
Wakati nashuka Air pot walikua wana nisubir tuka enda maramoja Adi mahali wapo
Nika kutana na musani uyo
Kumbe alikua musani mdogo Yake na deo abel tuka nzugumuza bahada ya kumaliza mahongezi Aka nibindi niombe kazi za musani nisikie naka kuta kijana anaweza sikua na bundi tuka enda maramoja studio
Tuka fanya kazi k**a ipasha vyo
Ok asante sana kwakutuweka wazi mana tume kua najihuliza Nini umefta uku ndugu mpendwa wa Lili News TV eastafrican kitu amabsho Niki amefata Nigeria nikuja fanya kazi na musani ambaye sio wa Nigeria 🇳🇬 Ila kijana uyo achat twambie ni loshe njo âme fanya colabo ya kimataifa na musani Niki
Tukijua musani uyo ametokeya Congo 🇨🇩 Drc
Asante sana kijana fastick
Tunahamini kazi ipo

Ok Niki kitu gani ambasho ungempenda kwambia fans wako mimi kitu ambasho ningesema k**a fans wanao sapoty kijana uyu kwasababu njo Mara kwanza kufanya colabo na musani wa Congo 🇨🇩 wafate kazi

  News TV eastafrican  on sud Afrique 🇿🇦StoryMusani wakike ichini  sud Afrique 🇿🇦Kwasasa amepatikana ichini Nigeria 🇳🇬  ...
10/12/2021

News TV eastafrican
on sud Afrique 🇿🇦

Story
Musani wakike ichini sud Afrique 🇿🇦
Kwasasa amepatikana ichini Nigeria 🇳🇬 mpaka sasa atuja jua kitu ambasho kime muleta uko Nigeria 🇳🇬 kweli ni mwanamuziki mukubwa
Uko sud Afrique lakini makao Yake ne swede

Asante

  chinga on Lili News TV eastafrican Tanzanie 🇹🇿Musani ibraah nikijana ambaye alikuja nakasi sana Ila kwasasa âme hisha ...
08/12/2021

chinga on Lili News TV eastafrican Tanzanie 🇹🇿

Musani ibraah nikijana ambaye alikuja nakasi sana Ila kwasasa âme hisha Leo uta jua megi kuhusu kazi zake

Ibraah vip
Poa mzee una mwaya Nini
Nawakati uko na tembo
No sija icha Ila nipo nakaza buti
Ibraah wembele nawaleo esque umesha hona utofauti
No mbona Niko pâle pâle
Kua mwekweli atuko mak**ani Brown njo ukweli wangu uwo
Sasa kwanini umehamua kubadirika Ila ibraah katika music wako kipindi upo mwara leo konde ka kushukua ivi mabadiliko unahonaje yes mabadiliko ipo kila kitu kikopoa na mshukuru sana Kaka konde ana nijalisaba
Apoooo sasa
Ibraah Leo ungovi ww nawezenu
Wakusema eti haronize anakujali kuliko wawoo kuna ukweli wowote apo no
Mbona kila kitu kikopoa kwasababu sijahona ungovi kati ya mimi nawaoo kila kitu kina enda kwa utaratibu wakazi mzee
Ndio lakini ww njo una iti kuliko wao
Anjella amehisha
Nje unafikiria icho kitu nje wakati zuchu uku ana endelesha kipaji
Tumewza watashikana na zuchu nyinyi muna mwasha shini ibraah tuweke wazi apo

Sina shakusema Bali nikusema tu kila kitu wana tembeya nampago wao na management Yake mimi ibraah nampgo wangu Pia wao wana mpago wawo
Ibraah tuna shukuru kukubali aliko letu tumekua nawaza hutokuja
Ibraah kwakumaliza naweye
Upost picha ikiambatana maneno aya eti n**i imekua tamu Pia
Na ushai wenyu wa buku ivi Nini
Ulikua namahanisha
No ilikua kipindi nita enda fanya concert yangu nyumbani mtwara
Usiku kusha njo wakafanya ujiga uwooo njo chinga sasa njo ukawambia na ushai wao wa buku
Yani ww una wamilloni
No sijasema
Ok asante sana ibraah kazi njema

Olake melody on InterviewLili News TV akiwa ichini Tanzanie 🇹🇿Story musani chibukizi kwenye tasnia ya music wa bongo fle...
08/12/2021

Olake melody on Interview
Lili News TV akiwa ichini Tanzanie 🇹🇿

Story musani chibukizi kwenye tasnia ya music wa bongo fleva mwenye kipaji chake
Olake Melody kwasasa kijna uyu tumeha hapua kumutafuta na kupiga story naye kuhuy music wake anasema fans wake wawe tayari
Muda wowote anaweza Aka achia New vidéo yake Pia
Atimaye kwasasa iko location ya vidéo yake

Izo njo story tumefanya na kijana olake melody

Olake vip
Poa karibu kwenye Lili News TV eastafrican
Asante ww ni musani ambaye tumehona kazi zako nyigisana kwenye mtadao na inahonekana una mpendwa na watu sna
Wimbo wako ft baranaba ina endeleya kufanya mahajabu kwenye acompte ya ko ya boompaly
Ww ni musani wa bongo fleva amaje
Ok asante sana kwa kunipa nafasi mimi ni musani wa bongo fleva Ila bado chibukizi
Asante Nini ambayo uta cheya na fans wako
Nikua ambia chabiki wanipokeya vinzuri kwenye tasnia ya music wa bongo fleva
Asante tuna taka kua live na ww
Wito wako mimi ni po kbs

News TV eastafrican
melody

  Lili News TV eastafricanOn interviewStory Kwasasa guchi ni musani mwenye mwenekano wa kazi akijia na kazi nawegi wamem...
08/12/2021

Lili News TV eastafrican
On interview
Story
Kwasasa guchi ni musani mwenye mwenekano wa kazi akijia na kazi nawegi wamemufahamu kupitia colabo yéyé na chui Rayvanny

Story

Guchi karibu ndani ya Lili News TV eastafrican on Niger 🇳🇬
Asante sana
Kazi vip tuna clerifaikazi kwa utaratibu
Kwasasa guchi watu wegi weme kufahmu kuoiy chui
Ww kwako je no
Mimi ni mekua tangu kitambo sana Ila ndio Rayvanny njo amenitoa upande wa Africana machariki
Na una mpa Nini Rayvanny kwakazi alio kufanyia no na mshukuru sana

Ok ili tugumboe Time
Nyimbo ww na Zlatan
Inakupa tia nafasi gani kwenye music wako
Kweli bado nyimbo nyipia na in**indi faaa mahajabu
Www na zaltan Nani ème fichi mwezio uhhhhh
Sisi wote tume shagia ayindia
Ok guchi ivi sisi atujai kuhona kwenye awards yoyote
Kwanini. Nipo Ila sija tasua kufanyiwa kushukua ushindi
Nakitu kina sho kupushi usishukue ushindi Nini no sizuwikiki nakitu mbali sija fikia na fasi yangu je Lili News TV eastafrican
Ina adaa awards itafanyika Kenya je
Una jisia je
Duuuuh tupo nitakuepo wala siwezi kosa

Unahogopa Nani kwenye game ya eastafrican sio gopi mutu kila mutu ana fanya kazi yake

Asante kwakumalizana na Ww
Fans wa guchi wa ende wasikie
Kazi yangu na Zlatan
Asante tuna taka kua live na ww
Yes nipo asante

  plantumzMara kwanza kua inviter kwenye media kubwa ya Lili News TV eastafrican ichini Tanzanie 🇹🇿StorySimba ww kwasasa...
08/12/2021

plantumz
Mara kwanza kua inviter kwenye media kubwa ya Lili News TV eastafrican ichini Tanzanie 🇹🇿
Story
Simba ww kwasasa unahonekana k**a ww ndie musani mwenye kumiliki pesa na ma nyumba
Kwa bongo fleva ivi unajisikia je

Aaah mbona swali gumu aise kawaida tu ivi wegi wana pesa nasio wasani
Mimi nasema k**a musani
Kweli njo ivo ni mimi

Diamond plantumz alikiba ajihita kua yéyé king wa bongo fleva
Ww je aaaah frenchi mimi ni musani wake siwezi kosa adabuu mbelezake kwa Ni yéyé ndie alianza music mbele yangu nakila mutu anajua ilo
Poa diamond plantumz
Album Yako watu wegi wana subir sana nik**a vile ahijawa oficion k**a imetoka ina ba kiki tetezi tu kwenye media ana mtadao
Ww kwako vip no
Nimehashia bahazi ya nyimbo
Ila sio zote kwasababu colabo nimefanya na wasani wa kubwa sijahachia ata moja
Ok diamond plantumz
Sisi k**a wangazaji kuna vitu ambavyo vina tuhuma
Ichini Niger 🇳🇬 nimefanyiwa
Interview na musani mudogo ambaye amefanya kazi na zuchu Pia ww ulioneka kwenye location Yake ata kwenye tamacha yaki ulikuepo
Sasa wakati musani uyu ana fanyiwa editing za picha officini kwako nawakati kweli interview imefanyiwa na interview yenye we kila mutu aliona apa Tanzanie 🇹🇿
Ume ipokeye je
Kwanza mimi ayo mambo sunihulize
Sasa tusikuhulize na ww ndie boss mkuu wa offici
Yes unajua iyokitu nimekuja officini nikakuta wanazugumuzia ilo swala sasa mimi sikua na shoshote chakusema nawakati picha dogo amesha post kwanza picha ya ke nimekutananyo Instagram
Ila yashapita tukutakie mafanyikio mema kwaku nikijana mwenye kipaji
Pia management Yake nirafiki zangu siwezi taka ungovi
Sasa Simba tariki le ichirini na sita umezidua commpany nypia ya ya wasafi bet
Kwanini no iyo nimpago wangu
Ivi umehona pesa ziko nyigi njo uwamue kufanya iyo dili
No iyo nihadia yangu nimekua nayo tangu zamani
Ok tunashukuru kwakukubali aliko letu Pia tuna taka Siku teu en direct na ww
Safi nitakuja ukiwa umarekani unafanyiwa atakule kwasababu offici iko uko
Asante tutafanya yote

Fastick losheOn NigerInterview on Lili News TV eastafricanKwasasa akiwa ichini Nigeria 🇳🇬Amepatikana kwenye studio akiri...
08/12/2021

Fastick loshe
On Niger
Interview on Lili News TV eastafrican

Kwasasa akiwa ichini Nigeria 🇳🇬
Amepatikana kwenye studio akiricod nyimbo Yake
Ila kwamujibu ya management Yake wamesema kesho tariki 9/12/2021
Atakua kwenye utaratibu wakuhaza kuricod colabo

Story
Fastick loshe Ww ni musani kwasasa una endeleya kufanya mahajabu ichini izi mbili 🇳🇬🇹🇿
Ww umetokeya wapi

Mimi ni metokeya congo Drc
Ila Niko kwenye utaratibu wakuja kazi Ichi izi ambazo nimefanyiwa kufika saaa loshe Ww kwanini
Wapiga picha wa wasafi wa mekufanyia ujiga uwooo
No kwanza mimi sikukua natambua saptaime acha niwapongeze kwasababu wameniraishishia kazi zangu
Sasa kwakumaliza naweye ju tumesha fanya actualité ya ko nyigi natunataka tufe Siku Uwe live apa kwenye Lili News TV eastafrican
Ivi unajisikia je kwa atua kubwa ambayo unafaa kwanza na mshukuru mungu atimaye ndoto yangu imekamilika najua kila kitu kita kua raisi
Sasa fastick loshe
loshe Yako kwa Nini ulishukua jina la loshe nawakati zuchu alijipatia kwenye album ya kutambulishwa wasafi amejipa ilo jina iam zuchu kwanini
Ama ju mumehimba naye njo charti alikupa
No kwanza mimi Jina ilo nimelivutia njomana nimelipa kwa album yangu
Sawa na album Yako ita shukua wimbo ngapi ili ikamilike kwasababu watu wegi kwasasa wanasubir kazi
Album yangu itashua nyimbo 40
Kwasababu colabo zitakua nyigi sana tena za kimataifa

Duuuuuh ongera sana achat tukutakie mafanyikio mema kwako asante Pia na shukuru sana kwa sapoti najisikia raha kua kwenye nyumba kubwa la Lili News TV eastafrican
Asante

Apo njo story tume piga na fastick loshe bahada yakusema Yale yalio muzaraulisha ili ilikua baraka kwake

News TV eastafrican

  loshe On interviewLili News TV EastafricaNigeria 🇳🇬  News TV eastafricanMusic sio ww tu mbaye uko kila siku nyuma kuna...
08/12/2021

loshe
On interview
Lili News TV Eastafrica
Nigeria 🇳🇬

News TV eastafrican
Music sio ww tu mbaye uko kila siku nyuma kuna wanao kujaaa
Leo liii News TV eastafrican
Tumevutiwa na musani chibukizi kwenye tasnia ya music ichini Dr Congo 🇨🇩
Ikionekana kijna uyu anasapoty na watu wenye kumiliki pesa Zao
Apo na muhona boss
Pia deo abel
kua makini apa afu kupitia comment ya musani uyu tukuanaye en direct next week

Fastick loshe ni moja kati ya wasani amabo Leo wana onekana k**a wana kuja navitu flani kwenye gamme ya music tariki 29/11/2021
Kijnana uyu alionekana ichini Tanzanie 🇹🇿 akiwa napita kwenye officini za wasani wa kubwa akishika vipicha bahadaa ana post sasa
Kumetokeya na kitu bahazi yéyé kupost vipicha ivyo
On teime aka bahatika kuhigia
Kwenye officin kubwa ya
Kufanyiwa interview Ila mkoshi mbaya alio fanyiwa picha ambazo tunazoe kuhona kwasani wegine nazake zimekua tofauti ikimahanisha ame fanyiwa editing na wapiga picha ya officini ya wasafi
Nawakati kweli interview imefanyiwa
Kilisho muhuma management wa diamond plantumz smk
akihuliza kwanini ujingauu mumehufanya wapiga picha walijibu picha zilikua sio nzuri kwenye caméra
Sasa wakati musani uyu fastick loshe akienda shukua picha
Apo officini wa wasafi Aka kutana na boss mama ndagote
Nik**avile ujinga walio fanyiya musani uyu
Ili kua bahati kwake
Management ya wasafi wame mupa fastick loshe na fasi ya kuimba na wasani wote wa wasafi kwa ujinga walio mfanyia Pia na kwamini kazi zake yani fastick loshe akilipa pesa ya kufanya colabo na musani wawasafi ata punguziwa garama

Bahada ya apo musani uyu akahaza kuhonekana na musani wakiwa pamoja na bahada ya apo kumetokeya na song kubwa ya kizazi sana ilio ricod bahina ya musani uyu fastick loshe na zuchu
Ikonaka ushirikiano kati ya team ya wasafi kwenda kwenye location ya vidéo ichini Nzambar

Mafanyikio
Musani uyu fastick loshe
Kwasasa bahada ya kumaliza kazi hapo Tanzanie 🇹🇿
Leo ako ichini🇳🇬

  Interview on Lili News TV eastafrican Story  nimoja ya wasani wenye kipaji ichini naigeriaPia leo amefanyiwa interview...
08/12/2021


Interview on Lili News TV eastafrican
Story

nimoja ya wasani wenye kipaji ichini naigeria
Pia leo amefanyiwa interview
Na Lili News TV eastafrican
On Niger 🇳🇬
Musani uyu a endeleya kuhonyesha ujuzi wa kipaji chake nakua ana onekana na kua nza fanay kazi nawasani wa kubwa Pia kwasasa kuwa nza vita na wa kubwa zake wa music
Story njo iyi sasa
Rema ww ni moja kati ya wasani walio toka na speder kwenye game ya music wa logos hiti Niger
Na kwasasa inahonekana unafatwa sana nawatu wegi dunia
Ivi iyi nafasi ina kupatia atua gani
Yes mimi music nimehimba nikiwa mdgo Ila sikusikika ina tokeya na ubo ambao nilio kua nayo
Ila sasa niko free kbs na ujuzi wakufaanya kazi
Sasa rema alie kufanya leo
Usikike mua sani wakubwa wa apa Nigeria ninani
No sio mutu Bali kazi zangu njo zime nifanikubalike sana
Nasapoty ya manager njo ika nipushi kwanda mbele
Sasa Leo ina oneka kua na vita na musani
Kwa Nini no sina vita naye wenda mimi sijui awu jui wakati story iko live kbs
Kila ana tambua ilo brow
Yes ime kua Ila tumemalizana ili ungovi wakujipinga kifuani eti yéyé ni star mukubwa nikamwambia Brown ndio ww ni star Ila tunza eshima Yako Pia acha uzembe mukazi
Asante sana rema
Sisi ni Lili News TV eastafrican
Ambayo ww unafahamu k**a
tv

  musicLili News TV eastafricanMusani uyu lody musicNimusani mdogo sana tena anahonekana ana kahujanja flani kwenye musi...
08/12/2021

music
Lili News TV eastafrican
Musani uyu lody music
Nimusani mdogo sana tena anahonekana ana kahujanja flani kwenye music
Story iko ivi
Lody music Leo amepata bahati kufanyiwa interview na Lili News TV eastafrican
Lody music ww kwasasa inahonekana wimbo wako kubali njo ulikutambulisha kwenye music wa bongo fleva
Kweli ama
Ndio music wangu kubali njo ilinifaa Leo niwe na kubalika nawatu kumbe dogo uyu ana kipaji ivi
Lody music ww inasemekana kwamba una iga ibraah wa konde music kweli ama
No sihigi mutu Bali nafanya yangu
Safi kwasasa unahona vip maendeleo ya music wako namapokezi iko je kwakweli na mshukuru mungu kwanini amenitegenezeya jina kubwa kwaguvu zangu singe weza

Sasa lody tuhongeleye wimbo
mbona umefanya k**a marioo na style zile za marioo
Ina onekana kwanini ufanye vile
No. Music sio mupira iila mutu ana ujuzi wake ok
Swala tamasha lako je
Ndio natamasha kubwa itafanyika le 11/12/2021
Apo xtra un beach
Ok asante sana lody music
Pia asante sana Ila bado tv nipia no sio nyipia sisi tuna tumikana MV tv ichini umarekani

   News TV eastafricanPatyWimbo wa Nandy ft bellenaisNandy ni musani namba moja wakike Ichi Tanzanie 🇹🇿 ambaye Aja shuka...
08/12/2021


News TV eastafrican
Paty
Wimbo wa Nandy ft bellenais
Nandy ni musani namba moja wakike Ichi Tanzanie 🇹🇿 ambaye Aja shuka wala kupungukiwa
Na kwasasa inasemekana kwamba yéyé na mpenzi wake bellenais wame achana story iko ivi

Nandy amesema kwamba music sio ilisho kua nia Yake alikua natamani Siku moja awe dactari laki bahati baya k**a munzuri amepe ndenzwa na music kupitia mwa dada baeyonce wa umarekani yéyé ndie alie fanya Nandy kuhimba music

Sasa Nandy music wako kweli ww ndie l'arène wa music wa bongo fleva unafikiria kesho zuchu ata shukua nafasi Yako ama je
Mimi sijawai kataaa kwasababu sijui kesho kuna nini nak**a yanafika basi sina bundi nipinge
Ila Nandy kwasasa unahongoza maduka kubwa za kuhuza mavazi na vyegine music njo inafaa Uwe navyo
Ndio music njo inafaa leo niwe nakitu nahatak**a nikihasha music
Nitakua poa na life yangu

Sasa Nandy kwa kumalizana naweye
Nyimbo niwimbo mpya kbs ilio fanya na bellenais
Sasa ime kuaje wakati tumesikia ma mpezi yenyu imehisha kbs
Tena leo muko pamoja duuu kitu nitasema wezi Ichi myaka yote vila vurungu na mume kitugani aswa kili wafanya muvurugane
Mambo ya sisi wawili Ayo
Ok poa Nandy wimbo paty kwasasa inahonekana kua ina endeleya kufanya mahajabu kwenye music wako kushinda yuda
Ndio kilakitu ni ratimba kwanza wimbo paty nimefanya na bellenais lazma chabiki wafatilie wajue Nini asua kina hongeleka sana

Iyo jimoja kati ya story tume fanya na African prencence

Mac voice  News TV eastafricanÂme bahatika kufanyiwa interview na Lili News TV eastafricanIchini Tanzanie 🇹🇿Kwenye offic...
08/12/2021

Mac voice
News TV eastafrican
Âme bahatika kufanyiwa interview na Lili News TV eastafrican
Ichini Tanzanie 🇹🇿
Kwenye officini kwake next level music
Musani uyu kwasasa ambaye amehonekana kua na vairo ya kizazi sana na kujitegenezeya jina kubwa kwenye music wa bongo fleva
Amehonekana kua sikuhizi ana kujia na vi clips ambavyo ana post sana picha tume amua kumufata tujue Nini ina endeleya
Amesema ndio kuna wimbo tayari nimericod na muda wowote ule naweza achia audio na vidéo
Pamoja tuka mwambia mac voice kwasasa utofauti gani unahona kipindi ulipokua kwabwana chenge
Nahapa ulipo Leo amesema tofauti ni mkubwa sana wezi liganisha alie kwenye gurofa lajuuu na lié kua kwenye gorafa lachini Ila sija mzarau Kaka yangu chenge kwasababu yéyé ndie amekutegenezeya jina kubwa Adi kushukuliwa na level music
Voice tusubir fichiringi sikugani ya kimataifa tukiona ibraah wa konde music an**ifanya
Amesema kila kitu ambasho nafaa ni management yangu ikisema faaa ivi nafaaa Voici tusubir lini musani mwegine kwenye label ya next level music aaaah wasani wajeee
Sikuzote baba lazma aweee na watoto

Eeeeeh iyo njomoja ya story tume fanya na mac voice
Asante

Maramoja vipengele tuna haza na spec Diana musani wa unganda kapala🇺🇬  News TV eastafricanSpec Diana âme fanyikiwa kufan...
08/12/2021

Maramoja vipengele tuna haza na spec Diana musani wa unganda kapala🇺🇬
News TV eastafrican
Spec Diana âme fanyikiwa kufanya interview kwenye Lili News TV eastafrican
Musani uyu wakike kwenye tasnia ya music wa kimataifa
Amehingia studio ijo Juma tatu
Ichini Kenya akiricod nyimbo Yake
Amesema wimbo wake tangu ayimbe music njo itakua wimbo wake wa kwanza kufanya music wa ama piano tuka muhuliza kwa Nini
Kuhamia amapiano akasema sio kuhamia mbali nimpendezwa kufanya style iyi ilinione chabiki wata ipokeya je
Sisi k**a tv atukua wasubuvu kwasababu njo style kila musani anaimba asante sana

Baki na sisi kufata vipengele vyegine
News TV eastafrican

  News TV eastafricanMaramoja wakati njo huu tumesha mpinga mushongo mzima nawasaniIla bahazi ya wamoja waliokua kwenye ...
08/12/2021

News TV eastafrican

Maramoja wakati njo huu tumesha mpinga mushongo mzima nawasani
Ila bahazi ya wamoja waliokua kwenye play liste Awa jajitoke
Ila achat twanze nawalio kuepo
Ila tufanya kwa tafsiri kila mutu aelewe

  News TV eastafricanLeo kwenye Lili News TV eastafricanTutakua na actualité ya wasani wegi wapya kwenye gamme ya music ...
08/12/2021

News TV eastafrican
Leo kwenye Lili News TV eastafrican
Tutakua na actualité ya wasani wegi wapya kwenye gamme ya music na wa zamani
1.Olake Melody
2.Rema
3.Diamond plantumz
4.Fastick loshe
4.Mac voice
5.Guchi
6.Lody music
7.Ibraah
8.Juma jux
9.spece Diana
10.Nady

Usiko ku like page ya Lili News TV akiwa
Ili upi kuhona actualité ya wasani wa music
Asante

  news tv Eastafrica  Melody ft baranabaKupitia acompte ya Instagram ya musani uyu olake melody Ambaye amefanya kazi na ...
07/12/2021

news tv Eastafrica
Melody ft baranaba
Kupitia acompte ya Instagram ya musani uyu olake melody
Ambaye amefanya kazi na musani mukongwe wa Eastafrica Pia
Musani wa bongo flava
Barnaba classic Leo imehonekana
Nyimbo iyi kukimbiza vema kupitia plantfom ya Booblay Pia mitandao zigine kuhonesha kiasigani musani uyu ana sapoty na fans wake

Ila atuja jua k**a musani
Olake ni bongo flava ama wa ije ya Ichi
Sisi k**a Lili news tv Eastafrica
Tutakutafutia ayé ili tuhone jisi gani tuna pinga naye story tujue makao Yake

news tv Eastafrica
melody

  News TV eastafricanKupitia acompte ya Instagram Ya Lili News TV eastafricanTumekutana na tatizo la ungonjwa Kwa musani...
07/12/2021

News TV eastafrican
Kupitia acompte ya Instagram
Ya Lili News TV eastafrican
Tumekutana na tatizo la ungonjwa
Kwa musani ambaye anakuja nakasi kujitegenezeya jina kubwa kwenye music wa Eastafrican
champagne musani wa Ichi ya Burundi 🇧🇮
Analzwa hospitali
Toweni dua angalao mungu amusaidie

News TV eastafrican
champagne

Big Boss lady From   News TV eastafricanAtowa mpogezi kwa watu wote wanao igia kwenye page ya Lili News TV eastafricanNe...
07/12/2021

Big Boss lady
From News TV eastafrican
Atowa mpogezi kwa watu wote wanao igia kwenye page ya Lili News TV eastafrican
Nenda officini kwake hutapata maelekezo k**a ww ni musani
🇰🇪🇱🇷🇳🇬🇹🇿

  News TV eastafrican  anasema yéyé ndie musani na MBA moja tangu Tanzanie 🇹🇿 kupata uwuru kua musani mwenye viuws nyigi...
07/12/2021

News TV eastafrican
anasema yéyé ndie musani na MBA moja tangu Tanzanie 🇹🇿 kupata uwuru kua musani mwenye viuws nyigi kupitia
Kupitia tasinia ya music wa Bongo flava
News TV eastafrican
wcb

  News TV eastafricanJuma jux musani wa bongo flevaAzidua commpany ya   boyJiji dar es salamaSiza   News TV eastafrican ...
07/12/2021

News TV eastafrican
Juma jux musani wa bongo fleva
Azidua commpany ya boy
Jiji dar es salama
Siza
News TV eastafrican
jux

06/12/2021

New TV Lili
Eastafrican
Karibu

Address

Dar Es Salama
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lili News TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All