Buraq TV

Buraq TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Buraq TV, TV Channel, Kinondoni, Dar es Salaam.

*Walio poteza maisha walipokuwa hajj*Mashahidi wa Hajj Tukio linalotoa machozi. *INNALILLAH WAINNALILLAH RAJIUN*  Sisi n...
21/06/2024

*Walio poteza maisha walipokuwa hajj*

Mashahidi wa Hajj Tukio linalotoa machozi. *INNALILLAH WAINNALILLAH RAJIUN* Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea Warehemu,

(Ewe Mola wasamehe na uwarehemu, wasamehe na uwahifadhi salama, iheshimu makazi yao, panua mlango wao, na uwaoshe kwa maji, theluji na mvua ya mawe, na uwatakase na madhambi k**a walivyovaa, vazi jeupe likiwalinda dhidi yao. uchafu, na akawapa nyumba bora kuliko nyumba yao, na familia bora kuliko ahali zao, na mume bora kuliko mume wao, na awakinge na kaburi na adhabu ya Moto.

11/05/2024
28/03/2024



Ibrahim Sow Mshindi wa kwanza mashindano makubwa africa Mshiriki Kutoka Ivory Coast Ibrahim Sow Ameibuka Mshindi Wa Kwan...
24/03/2024

Ibrahim Sow Mshindi wa kwanza mashindano makubwa africa
Mshiriki Kutoka Ivory Coast Ibrahim Sow Ameibuka Mshindi Wa Kwanza Katika Mashindano Ya Kuhifadhi Na Kusoma Quran Tukufu Africa Mwaka 2024
Yaliyofanyika Katika Uwanja Wa Mkapa Jijini Dar Es Salaam Leo Tarehe 24/03/2024
TV

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KTK MASHINDANO MAKUBWA BARANI AFRICA YA QUR AN TUKUFU YANAYOANDALIWA NA AL HIKMA FOUNDATION
24/03/2024

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KTK MASHINDANO MAKUBWA BARANI AFRICA YA QUR AN TUKUFU YANAYOANDALIWA NA AL HIKMA FOUNDATION

انا لله وانا اليه راجعون  Ndugu yetu kipenzi chetu Bwana Abdlkarim Msengakamba mwandishi wa gazeti IMAAN na alikuwa repo...
18/03/2024

انا لله وانا اليه راجعون
Ndugu yetu kipenzi chetu Bwana Abdlkarim Msengakamba mwandishi wa gazeti IMAAN na alikuwa reporter wa tv Imaan kwa hapa Dar es salaam leo amefariki katima hospitali Ya Amana Dar es laam mazishi yake yatafanyika mkoani tanga kesho Inshaallah, kwa sasa msiba upo nyumbani kwake kule uwanja wa ndege, Allah amsamehe alipo teleza.

Rapa maarufu wa Marekani Lil John, Asilimu katika Msikiti wa King Fahd huko Los Angeles, miji mikubwa ya California.
17/03/2024

Rapa maarufu wa Marekani Lil John, Asilimu katika Msikiti wa King Fahd huko Los Angeles, miji mikubwa ya California.

Kasisi wa Ufilipino Rick Alcantara, ambaye Amejiunga Na Uislamu.Sasa Ameandika Kwenye Ukurasa Wake Wa kibinafsi: "Sema U...
12/03/2024

Kasisi wa Ufilipino Rick Alcantara, ambaye Amejiunga Na Uislamu.

Sasa Ameandika Kwenye Ukurasa Wake Wa kibinafsi:

"Sema Unachotaka Kusema Na Utangaze Unachotaka La Muhimu Kwangu Sasa Ni Kuwa Mimi Ni Muislamu.. Abdullah"

Mashaallah Allah Amjaalie Uthabiti Ameen 🤲🏻

  tv  mubaraq
11/03/2024

tv

mubaraq

25/02/2024

Mwisho Wa Nyondo

22/02/2024

ISHI KWA KUSTIRI WATU ALLAH ATAKUSTIRI NAWEWE MAMBO YAKO

Swala ndio ufunguo wa maisha  kwa viutendo
18/02/2024

Swala ndio ufunguo wa maisha

kwa viutendo

  TV
17/02/2024

TV

*KANUNI*Amesema Umar bin khatwab Allah amridhie  :من أظهرَ منكم خيرًا ظننَّا به خيرًا، ومن أظهر منكم شرًا ظننَّا به شرًّ...
16/02/2024

*KANUNI*

Amesema Umar bin khatwab Allah amridhie :
من أظهرَ منكم خيرًا ظننَّا به خيرًا، ومن أظهر منكم شرًا ظننَّا به شرًّا، سرائركم فيما بينكم وبين ربِّكم.
Yeyote miongoni mwenu atakae dhihirisha kheri tutamdhania kheri , na Yeyote atakae dhihirisha shari basi tutamdhania shari , Yalio yasiri kwenu ni kati yenu na mola wenu mlezi
📚• سنن سعيد بن منصور (٥٧٥٧)
Nimesema :

Sisi hatumiliki yaliojificha katika vifua vya watu katika kheri na shari zao , bali tutawahukumu kutokana na yale yaliodhihiri kwetu ya kheri na shari

Ni kweli uchamungu upo kifuani mwako sasa kwa kipi unawalazimisha watu wakuhukumu na uchamungu na kheri huku unadhirisha uovu na madhambi na uasi

*Na kwa kipi tukudhanie Uovu na shari haliyakua umetudhihirishia kheri , wema na uchamungu?*

Kamwe hatuwezi kuwafanya wema k**a waovu na kuwafanya waovu kiwa wema utahukumiwa kwa yale unayo dhihirisha na yaliomo ndani yako tutakuachia kati yako na mola wako

Matendo yako yataongea uhalisia wako na usifanye kwa ajili ya watu utakosa ujira kwa mola wako mlezi na uasiache kufanya kwa ajili ya watu utaingia katika shirki ndogo

🌹🌹🌹🌹

kwa vitendo
🌻🌻🌻🌻

  TVInakuliza ww
14/02/2024

TV

Inakuliza ww

1.Chini pameenda watu, na zimepita Dahari.Mafukara mapukutu, bali hata matajiri.Wale viongozi wetu,Mpaka madaktari.Hajaf...
12/02/2024

1.
Chini pameenda watu, na zimepita Dahari.
Mafukara mapukutu, bali hata matajiri.
Wale viongozi wetu,
Mpaka madaktari.
Hajafanikiwa mtu, kwenye kukwepa kaburi.

2.
Wameacha kila kitu, majumba pia magari.
Yule watoto watatu, na mke wake mzuri.
Wengine Kipenz chetu, kaenda bado kigori.
Hakuna alothubutu, kuuruka mstari.

3.
Mara ajali ya chatu, maji na wanyamapori.
Wengine rafiki yetu, kafia kwenye k**ari.
Kafariki ndugu yetu, kwa sababu ya sihiri.
Ilimradi kila mtu, kifo kinamsubiri.

4.
Baaadhi ya ndugu zetu, wafia hospitali.
Kuna magonjwa kwa watu, yanang'ang'ania mili.
Miaka hadi mitatu, kitandani hana hali.
Mwisho wa siku mautu, humwacha akiwa chali.

5.
Kiko wapi kilo chetu, kwamba ni chetu cha kweli.
Mauti ni fumb kwetu, ni la siri jambo hili.
Tuzinduke enyi watu, tamaa tuache mbali.
Akhera wendi na kitu, Ispokuwa Amali.

TV kwa vitendo

TUZINDUKE

INA LILLAH WAINA ILEIH RAJIUN
28/01/2024

INA LILLAH WAINA ILEIH RAJIUN

Imam Hassan Sharif apigwa risasi na kuuawa nje ya Msikiti. Alipigwa risasi jana, mapema asubuhi baada ya Swalatul Subhi ...
04/01/2024

Imam Hassan Sharif apigwa risasi na kuuawa nje ya Msikiti. Alipigwa risasi jana, mapema asubuhi baada ya Swalatul Subhi huko New Jersey, Marekani.

ALLAH amsamehe makosa na amuweke kwenye Pepo yake ya juu kabisa ya Firdaus.... Aamiin 🤲

  TVIjue dini yako kiuwakika
26/12/2023

TV
Ijue dini yako kiuwakika

Kwa Nini Nimeacha Dini Ya Ukristo Na Nikawa Muislamu...👉 Sikukuu za Kikristo Hazina Ushahidi Wowote Katika BIBLIA, Bali ...
23/12/2023

Kwa Nini Nimeacha Dini Ya Ukristo Na Nikawa Muislamu...

👉 Sikukuu za Kikristo Hazina Ushahidi Wowote Katika BIBLIA, Bali Ni Sikukuu za Kutungwa na Makasisi.

👉 Utata Mkubwa Katika Historia Ya Kufa Kwa Yesu. BIBLIA Ya NEW STANDARD VATION,Na INTERNATIONAL AMERICAN VITION, Na BHN, Zinapingana Kuhusu Kifo Cha Msalaba.

👉 KUSUJUDU, BIBLIA Imetajaja Kusujudu Mara 66, Lakini Hakuna Mkristo hata Mmoja Anae Sujudu Kanisani Zaidi ya Kuzungusha Viuno Kucheza Kwaya.

👉 Uislamu Unazingatia Usafi Kuliko Kitu Kingine. Mtume Kafundisha Unadhifu.

👉 UISLAMU unafundisha Mungu Ni Mmoja Tu, Ila Ukristo Wanasema Mungu ni Katika Utatu, jambo Lenye Mashaka makubwa Katika BIBLIA.. K/SHERIA 4-34-35

👉 STARA. Wanawake Waislamu, Awaendi Msikitini Wakiwa awajavaa Stara. Wanafunika hata Nywele huoni. 1TIMOTHEO 2-8-9

👉 Kutawadha kabla Ya Kusali. Yesu, Musa na Haruni, Wamefundisha Kutawadha ila hakuna Anaye Tii Katika Wakristo.

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU 🤝

Mtayarishi ✍️ # Buraq tv

Onyo kampuni inayo tengeneza biskuti hizi zinao itwa oreo imethibitisha kua ni marufuku kwa waislam kwa sababu inachanga...
13/12/2023

Onyo kampuni inayo tengeneza biskuti hizi zinao itwa oreo imethibitisha kua ni marufuku kwa waislam kwa sababu inachanganywa na maziwa ya nguruwe tafadhali sambaza ujumbe kadri uwezavyo TV

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Buraq TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Buraq TV:

Videos

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All

You may also like