Lokoma Tv

Lokoma Tv Broadcasting & media production company
Officials page For Lokoma Tv Channel

05/08/2024
20/07/2024
Msanii wa Bongo movie anayejulikana k**a  ametoa ujumbe kupitia ukurasa wake wa instagram huku akiwahasa watu kuamini ka...
08/07/2024

Msanii wa Bongo movie anayejulikana k**a ametoa ujumbe kupitia ukurasa wake wa instagram huku akiwahasa watu kuamini katika vibe wanalopewa sababu energy ya mtu haiongopi, Bibi Amara amesisitiza kwa kusema kuna muda unakaa tu unatulia machozi yanatoka ukikumbuka mapito.

08/07/2024

K**a inavyojulikana kuwepo kwa kutokuelewana kati ya pamoja na na kupelekea kutokea kwa Dis-track kati yao, Zuchu akiwa club ya Dubai amejirekodi video na kupost katika ukurasa wake wa snapchat akiwa anaimba wimbo wa Kendrik Lamar lakini huku akiwa anasema kwamba yeye ni Team Drake na anampenda Drake ingawa anaimba wimbo huo.

08/07/2024

Msanii wa Bongo fleva ambae ameongozana kwenda nchini Dubai na mchumba wake katika performance yake huko Dubai, Zuchu amepost katika ukurasa wake wa snapchat akiwa ana m-hype au ana mpa mzuka Diamond wakati wa performance yake Dubai.Hii performance ya Diamond unaipa asilimia ngapi pamoja na muitikio wa mashabiki?

08/07/2024

Msanii wa muziki kutoka Kenya ambae pia ni social media influencer anayejulikana k**a ameshare video zake katika ukurasa wake snapchat akiwa anatamba na lips zake za surgery kupona na kuwa na muonekano aliokuwa akiutamani.Je, amepwndeza kwenye lips hizi au ni heri angebaki na lips za mwanzo? Tupe maoni yako hapa chini kwenye comment

Msanii wa Afrobeat kutoka Nigeria Fireboy DML amefunguka kuhusu ujio wa Album yake ambayo itatoka mwaka huu.katika mahoj...
04/04/2024

Msanii wa Afrobeat kutoka Nigeria Fireboy DML amefunguka kuhusu ujio wa Album yake ambayo itatoka mwaka huu.

katika mahojianoyake ya hivi karibuni aliyoyafanya na BILLBOARD amefunguka hayo na kusema hataki kuona talanta yake hiyo kubwa kwenye muziki ikipotea.

Fire boy amewasisitiza mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwani albamu yake itakuwa ya kitofauti sana kuliko albamu za wasanii wengine.

  Don’t miss Exclusive with  on our Youtube channel  kuanzia saa saba kamili mchana, Yapo mengi mazito kumuhusu usikose ...
04/04/2024

Don’t miss Exclusive with on our Youtube channel kuanzia saa saba kamili mchana, Yapo mengi mazito kumuhusu usikose kufwatilia.

Je,Una swali kwake?

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana Leo tarehe 03,April, 2023 jijini Dar Es Salaam katika kikao cha...
03/04/2024

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana Leo tarehe 03,April, 2023 jijini Dar Es Salaam katika kikao chake maalumu, chini ya Muungano Wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan imemteua kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM,

Jokate anachukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana Leo tarehe 03 Aprili, 2023 jijini Dar Es Salaam imemteua Amos G...
03/04/2024

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana Leo tarehe 03 Aprili, 2023 jijini Dar Es Salaam imemteua Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa,Itikadi,Uenezi na Mafunzo,akichukua nafasi ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 Aprili,2023 jijini Dar Es Salaam imemteua John Mo...
03/04/2024

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 Aprili,2023 jijini Dar Es Salaam imemteua John Mongella Kuwa Naibu katibu Mkuu Wa CCM Bara,akichukua nafasi ya Ndugu Anamringi Macha ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga.

Moja kati ya Hitsong zinazosumbua hadi muda huu kupitia Digital Platform Nyingi za Muziki   hapa nazungumzia   Ya  Ambay...
03/04/2024

Moja kati ya Hitsong zinazosumbua hadi muda huu kupitia Digital Platform Nyingi za Muziki hapa nazungumzia Ya Ambayo amamshirikisha Kwa Sasa Ina Viewers Millions 70 YouTube.

Video ya ilitoka Rasmi mwaka 2023 na imetimiza miezi 8 Hadi sasa.

*Hii hapa Timu ya Wiki ya Ligi ya Mabingwa ya CAF.* Jonas Mkude (Yanga Sc)Saido Ntibazonkiza (Simba Sc)
03/04/2024

*Hii hapa Timu ya Wiki ya Ligi ya Mabingwa ya CAF.*

Jonas Mkude (Yanga Sc)
Saido Ntibazonkiza (Simba Sc)

Klabu ya ihefu fc yabadilishwa jina kwa sasa itakuwa inatabulika k**a  sio tena ihefuKwa sasa singida black star sasa ma...
02/04/2024

Klabu ya ihefu fc yabadilishwa jina kwa sasa itakuwa inatabulika k**a sio tena ihefu

Kwa sasa singida black star sasa makazi yake mapya atakuwa singida sio tena mbeya k**a zamani

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali nchini vimeripoti kuwa kocha wa zamani wa viungo Simba SC Adel Zrane amefariki Dunia le...
02/04/2024

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali nchini vimeripoti kuwa kocha wa zamani wa viungo Simba SC Adel Zrane amefariki Dunia leo hii.

Zrane raia wa Tunisia alikuwa kipenzi cha mashabiki wa amekutwa na umauti huo akiwa na timu ya APR ya Rwanda.

Kiungo wa zamani wa Simba SC Mganda ambaye yuko pamoja na kocha huyo ndani ya APR ndiye aliyetoa taarifa za kifo hicho.


Je nani atafuka hapa,je ni  au  Toa maoni yako hapo chini
31/03/2024

Je nani atafuka hapa,je ni au

Toa maoni yako hapo chini

Unadhani Kwa Sasa Hii ndio Hali ya Maisha Ya Msanii  Au Ni maandalizi ya Kazi Mpya..?__ Yapi Maoni Yako Kwenye Hili ..?
28/03/2024

Unadhani Kwa Sasa Hii ndio Hali ya Maisha Ya Msanii Au Ni maandalizi ya Kazi Mpya..?

_

_

Yapi Maoni Yako Kwenye Hili ..?

 ameamua kuwauliza mashabiki zake kuhusiana na wimbo wake wa number one uliotoka wiki moja iliyopita ambapo humo ndani a...
25/03/2024

ameamua kuwauliza mashabiki zake kuhusiana na wimbo wake wa number one uliotoka wiki moja iliyopita ambapo humo ndani amemshilikisha Mbosso

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Billnass amewauliza mashabiki zake kuwa nikipi wanahitaji hivi sasa kati ya wimbo mpya au Remix ya number one ambayo inafanya poa hivi sasa ikishika Trending namba 5 huko YouTube

Je unatamani kipi kati ya hivyo alivyo vitaja Nenga??

✍️LKM STAFF


Msanii wa muziki wa kizazi kipya  ameamua kummwagia mkongwe  baada ya kukutana nae Msanij Appy ametimiza moja ya ndoto y...
25/03/2024

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ameamua kummwagia mkongwe baada ya kukutana nae

Msanij Appy ametimiza moja ya ndoto yake aliyokuwa anaiota kwa kukutana na msanii ambae amekuwa akimfatilia na kumpenda katika tasnia yake ya mziki wa Bongo Fleva

Appy amefunguka kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa ku-share picha akiwa na mkongwe huyo akiisindikiza na ujumbe mzito sana

Swipe 《《《

✍️LKM STAFF


Baada ya kusumbua sana na wimbo wake wa Water ulifanya vizuri ulimwenguni mwanadada  kutokea nchini South afrika anaandi...
25/03/2024

Baada ya kusumbua sana na wimbo wake wa Water ulifanya vizuri ulimwenguni mwanadada kutokea nchini South afrika anaandika historia nyengine katika mtandao wa Spotify

Tyla anaingia kwenye rekodi ya kuwa msanii kwanza wa Afrika kuwa na wasikilizaji wengi kwenye mtandao wa Spotify kwa mwezi

Tyla anampita Rema na kuwa msanii wa Kiafrika mwenye wasikilizaji wengi zaidi kila mwezi kwenye Spotify

Kwa sasa ana wasikilizaji Milioni 30.1 kila mwezi kwenye Spotify

✍️LKM STAFF


Utaratibu wa Wananchi unaendelea pale ulipoishia baada ya Pacome sasa ni zamu ya  Kuelekea mchezo wao wa hatua ya robo f...
25/03/2024

Utaratibu wa Wananchi unaendelea pale ulipoishia baada ya Pacome sasa ni zamu ya

Kuelekea mchezo wao wa hatua ya robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Mamelodi Sundown kutokea nchini South Afrika utakao chezwa siku ya tarehe 30 mwezi huu Wananchi wamemkabidhi kijiti kiuongo wao Mudathir Yahya kuhakikisha anawarudisha Masandawana nchini South Afrika wakiwa vichwa chini

✍️LKM STAFF

Makundi ya mashindano ya Copa America yametoka rasmi ikiwa jumla ya makundi manne Mashindano hayo yanayotarijia kuanza m...
25/03/2024

Makundi ya mashindano ya Copa America yametoka rasmi ikiwa jumla ya makundi manne

Mashindano hayo yanayotarijia kuanza mwezi wa Sita mwaka huu ambapo mechi ya kwanza inatarajiwa kuwa siku ya tarehe 20 ambayo Argentina atacheza na Canada

✍️LKM STAFF

Taarifa umeipata ukiwa wapi??
25/03/2024

Taarifa umeipata ukiwa wapi??

Msanii kutokea kwenye lebo ya WCB ameandika historia mpya kupitia wimbo wake wa Sukari uliotoka miaka 3 iliyopita  anaan...
25/03/2024

Msanii kutokea kwenye lebo ya WCB ameandika historia mpya kupitia wimbo wake wa Sukari uliotoka miaka 3 iliyopita

anaandika historia mpya ya kuwa msanii wa kwanza kutokea Afrika Mashariki kufikisha watazamaji Milioni 100,000,000 kupitia wimbo wake wa sukari uliotoka miaka 3 iliyopita

Wimbo huo ulioandaliwa na Mtayarishaji unaandika historia mpya kwa msanii Zuchu na mziki wa Tanzania kwa sasa pongezi nyingi ziende kwa msanii na Mtayarishaji kwa kufanya jambo kubwa kwenye mziki wetu

✍️LKM STAFF

Address

Empire Lokoma Limited
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lokoma Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lokoma Tv:

Videos

Share


Other Media/News Companies in Dar es Salaam

Show All