Dir Chrisnix

Dir Chrisnix Like us on Facebook: https://www.facebook.com/Rafiki chrisnix
Follow us on Twitter: https://twitter.

Mr creative
26/10/2023

Mr creative

🙏
26/10/2023

🙏

Mr Yanish
11/07/2023

Mr Yanish

Karibu *CHRISS STUDIO* 📸💻🖱️Huduma zipatikanazo👇🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦-Indoor Photoshoot-Outdoor Photoshoot-Birthdays coverage -Bride S...
20/06/2023

Karibu *CHRISS STUDIO* 📸💻🖱️
Huduma zipatikanazo👇
🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦
-Indoor Photoshoot
-Outdoor Photoshoot
-Birthdays coverage
-Bride Shower coverage
-Wedding Coverage
-Sendoff Coverage
-Kitchen party coverage
-Graphics Design (logo, Poster n.k)
-Documentary & All Event Coverage
Ur Welcome 🙏
https://instagram.com/chriss.studio?igshid=YmMyMTA2M2Y=
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Piga namba hi 0767160028 kwa Picha kali
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

**aneno 🇰🇪
**aneno #2023 #5

my trust is in you Lord       Mungu ni mwema sana Wakati wote
17/06/2023

my trust is in you Lord Mungu ni mwema sana Wakati wote

Hello! Unahitaji Photography  ambaye atakufanyia Kazi yako? Bas Wasiliana nami leo... Nitaweza kufanya Kazi na ww popote...
17/06/2023

Hello! Unahitaji Photography ambaye atakufanyia Kazi yako? Bas Wasiliana nami leo... Nitaweza kufanya Kazi na ww popote ulipo TZ.
________________________________
LOGO DESIGN| ONLINE POST DESIGN| BUSINESS CARDS DESIGN| ID CARD DESIGN| BROCHURE DESIGN| LETTER HEAD DESIGN| BANNER DESIGN| FLYER DESIGN| n.k......
________________________________
DM me💌
Call me: 0625100028 (Whatsapp)
Email me: [email protected]

# 💯💯gainwithillest #22

21/05/2023

God is good

Sooo good seeing all of you! Thank you for coming to the show…I really hope you enjoyed it. I can’t wait to spend some q...
15/05/2023

Sooo good seeing all of you! Thank you for coming to the show…I really hope you enjoyed it. I can’t wait to spend some quality time soon! ♥️
🫶🏽😎😎😎

Pictured: Angela Bassett, Ciara, Christian Siriano & Alicia Silverstone, Questlove, Katie Holmes, Maxwell, Ralph Carter

10/05/2023
24/01/2023

86 Today! Happy Bday, Mom-Mom.

24/08/2022
Hello! Unahitaji Photography  ambaye atakufanyia Kazi yako? Bas Wasiliana nami leo... Nitaweza kufanya Kazi na weweLOGO ...
16/07/2022

Hello! Unahitaji Photography ambaye atakufanyia Kazi yako? Bas Wasiliana nami leo... Nitaweza kufanya Kazi na wewe
LOGO DESIGN| ONLINE POST DESIGN| BUSINESS CARDS DESIGN| ID CARD DESIGN| BROCHURE DESIGN| LETTER HEAD DESIGN| BANNER DESIGN| FLYER
DM me💌
Call me: 0625100028 (Whatsapp)
          💯💯gainwithillest                      💯                         

Loading.......
10/11/2021

Loading.......

𝐇𝐁𝐃 💥🕊️🍖🍿🍝🥧🎂🎂🍾🍾🥂🍽️♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥📷Studio || 📸 Photo || Assistant || On Frame ||  ♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦...
08/09/2021

𝐇𝐁𝐃 💥🕊️🍖🍿🍝🥧🎂🎂🍾🍾🥂🍽️

♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥
📷Studio || 
📸 Photo || 
Assistant || 
On Frame || 
♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦

Karibu Tukuhudumie✌🏽
Wasiliana Nasi:
0752413506
0625100028

⏭️⏭️⏭️⏭️⏭️⏭️
Kwa Huduma Zingine za Designing

•• Logo
•• Flyer
•• Banner
•• Poster
•• Brochure
•• Calendar
•• ID Card
•• Businesses


______________

                                        #  #star_.princess .maina_ .am_shakilla@mchina._ .rince_junior .f.a.n.a.s@miss_biressy .oxygen_ ._@_mbitu_ 

♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥📷Studio || 📸 Photo || Assistant || On Frame || ♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦Karibu Tuku...
08/09/2021

♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥
📷Studio || 
📸 Photo || 
Assistant || 
On Frame || 
♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦♦

Karibu Tukuhudumie✌🏽
Wasiliana Nasi:
0752413506
0625100028

⏭️⏭️⏭️⏭️⏭️⏭️
Kwa Huduma Zingine za Designing

•• Logo
•• Flyer
•• Banner
•• Poster
•• Brochure
•• Calendar
•• ID Card
•• Businesses


______________

                                        #  #star_.princess .maina_ .am_shakilla@mchina._ .rince_junior .f.a.n.a.s@miss_biressy .oxygen_ ._@_mbitu_ 

Ukilisilkia jina la Adolf Hi**er ni wazi kwamba kuna mawazo mengi juu ya utawala kandamizi wenye mateso yanakujia kichwa...
13/08/2021

Ukilisilkia jina la Adolf Hi**er ni wazi kwamba kuna mawazo mengi juu ya utawala kandamizi wenye mateso yanakujia kichwani mwako, huyu ni mmoja kati ya watawala ambao inawezekana historia ikachukua maelfu ya miaka kumsahau kutokana na ubabe wake barani Ulaya hasa Ujerumani katika miaka ya 1940.

Wakati wa utawala wake huko Ujerumani katika ngazi mbalimbali kati ya mwaka 1921-1945 alikuwa na askari wake aliyekuwa anamwamini sana aliyekuwa anaitwa Reinhard Heydrich, huyu jamaa mwaka 1942 alitekwa na akaenda kuuliwa mbali katika kijiji cha Lidice Massacre kilichokuwepo huko Czechoslovakia.

Czechoslovakia ni nchi ambayo tangu January 1, 1993 ilibadilisha jina, ndiyo inayoitwa Jamhuri ya Czech kwasasa. Nchi hii inapakana na Ujerumani katika upande wake wa mashariki, katika nchi hii ndiko kuna kijiji hiki ambacho huyu Askari wake Hi**er alienda kuuliwa, kipo katika mji wa Kladno kilomita 22 kutoka mji mkuu wa Prague, Czech.

June 10, 1942 Hi**er akafika kibabe katika kijiji hiki, akawak**ata wanaume wote 173 waliokuwa na umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea, akawanyonga palepale !!! na wanaume wengine 11 waliokuwa wamesafiri walifuatwa na kunyongwa siku kadhaa mbele. Akawakusanya akina mama wote 184 kijijini hapo na watoto 88 na kuwapelekea kwenye magereza ya mateso makali.

Kijiji kilichafuka, ilikuwa hakuna mtu kutoka, jeshi la hi**er likaanza kuuwa watu wengine wote waliobaki, inaelezwa kuwa zaidi ya wanakijiji 340 waliuliwa akidai kuwa analipiza kisasi kwa askari wake kuuliwa hapo, na baada ya kulizika akakimaliza kijiji chote kwa kuchoma moto, kikapotea.

Kijiji hiki kilikuja kuanzishwa tena miaka kadhaa baadae katika maeneo ya karibu tuu na kilipokuwa kijiji cha zamani, hadi sasa kipo, na kinaitwa kwa jina hilo hilo la mwanzo.

Hi**er alikuwa anafanya anavyotaka katika nchi hii ya Jamhuri ya Czech licha ya kuwa yeye alikuwa ni Mjerumani kwasababu hiki kilikuwa ni kipindi cha vita ya pili ya dunia, Ujerumani iliiweka chini ya utawala wake nchi hii ya Jamhuri ya Czech.

07/05/2021

Chrissdesign

Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa lebo ya  Hamisi Taletale Maarufu k**a  amelishauri Baraza la Sanaa la T...
07/05/2021

Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa lebo ya Hamisi Taletale Maarufu k**a amelishauri Baraza la Sanaa la Taifa - BASATA kurekebisha Upya sheria zao za usimamizi wa kazi za wasanii

ameyasema hayo kufuatia kuanza utelezwaji wa Sheria inayomtaka msanii kupeleka wimbo BASATA kabla ya kuuachia ameseme Kuna umuhimu wa kuwa na chombo kinachofanya kazi kwa wakati wa sasa na kutoa faida kwenye Sanaa badala ya maumivu, huku akisisitiza kuwa k**a wadau wa sekta ya sanaa watashirikiana pamoja kulinda maadili ikiwa ni pamoja na kuweka maudhui yasiyo bomoa misingi na maadili ya Taifa

"Kumekuwa na mjadala na mitazamo tofauti juu ya kazi na faida za BASATA kwenye sanaa yetu hususani Muziki.

Kila BASATA iliposikika au kujitokeza haikuwahi kuacha tabasamu, bali ni maumivu tu, na hii ni kwasababu chombo hiki kimegeuza maudhui yake ya kuwa msaada kwenye kazi za sanaa na kuwa Mahak**a inayoshughulika na vifungo na sio suluhisho.

Matumizi ya chombo hiki kwa Sanaa na Wasanii ni sawa na Mto wenye Mamba kwa maana usipovuka haufiki na ukivuka huko hatarini kutoweka.

Mimi kwangu k**a Msimamizi wa Wasanii kutoka Lebo ya WCB ni muumini wa maadili katika muziki wetu na nakubaliana na jukumu la msingi la kusimamia maadili ya Nchi na Bara la Afrika kwa ujumla wake.

Nitawapa mfano kutoka kwenye Lebo ninayowasimamia Wasanii wake yaani WCB, ambapo BASATA inakagua kila wimbo tunaoutoa.

Lakini sisi tumeshawahi kufungiwa nyimbo ambazo kwa mujibu wa BASATA walidai hazina maudhui yanayobeba maadili yanayohitajika, kwa mfano HALELUJAH na JEJE ambazo zilifungiwa kwa madai ambayo hayakujali mahitaji ya sasa.

Nyimbo k**a HALELUJAH juu ya kukataliwa lakini imetuingiza kwenye GRAMMY na pia imetumika kwenye sinema kubwa ya COMING TO AMERICA PART TWO.

Sasa unaweza kushangaa k**a muziki unoweza kupasua anga za Kimataifa na kupata heshima, kwanini nyumbani ukataliwe?, hapo utagundua kuwa yako mapungufu makubwa ndani ya chombo kinachosimamia huu muziki wetu."... ✍️

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00
Saturday 09:00 - 14:00
Sunday 09:00 - 14:00

Telephone

+255625100028

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dir Chrisnix posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dir Chrisnix:

Videos

Share


Other News & Media Websites in Arusha

Show All