I.F tv Online

I.F tv Online Welcome to our Official Iraqw Foundation Television 📺 Online (I.F tv Online) FB Page Karibu kweny

30/12/2024
02/12/2024
I.F tv Online: Meya Maxmillian Matle Iranqhe wa Jiji la Arusha  awahamasisha Wananchi kuendelea na Juhudi za upandaji Mi...
01/12/2024

I.F tv Online: Meya Maxmillian Matle Iranqhe wa Jiji la Arusha awahamasisha Wananchi kuendelea na Juhudi za upandaji Miti hususan kipindi hiki Cha mvua za vuli.

Leo Disemba Mosi 2024 Mstahiki Meya Jiji la Arusha Mhe Maxmillian Matle Iranqhe ameongoza zoezi la usafi wa mazingira ka...
01/12/2024

Leo Disemba Mosi 2024 Mstahiki Meya Jiji la Arusha Mhe Maxmillian Matle Iranqhe ameongoza zoezi la usafi wa mazingira katika maeneo ya Soko la Kwa 'Mrombo' Kata ya Muriet, akizungumza wakati wa tukio hilo Meya Maxmillian amewataka Wananchi wa Jiji hilo kujenga utamamaduni wa usafi wa kila mara huku akiielekeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kusimamia zoezi la usafi wa Jiji kikamilifu na kuweka utaratibu wa kuyaendeleza majengo ambayo yamebaki kuwa magofu katika eneo la soko la kwa mrombo ambayo yamegeuzwa kua damponla taka, Aidha Meya Maxmillian pia amewahamasisha Wananchi kutumia kipindi hiki Cha mvua kuotesha miti katika maeneo yao.

26/11/2024

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Arusha ambaye pia ndie Meya wa Jiji la Arusha Maxmillian Matle Iranqhe mapema leo September 2...
27/09/2024

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Arusha ambaye pia ndie Meya wa Jiji la Arusha Maxmillian Matle Iranqhe mapema leo September 27.2024 ameongoza kikao Cha ALAT Mkoa kilichoketi Mjini Karatu kabla ya kuanza ziara ya Jumuiya hiyo ya Tawala za Mitaa Tanzania katika Wilaya ya Karatu yenye lengo la kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Karatu Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
06/08/2024

Samia Suluhu Hassan 🇹🇿

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mh. Eng. Juma Hamsini amesema kupitia mradi mkubwa wa stendi ya Mkoa huo ina...
03/05/2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mh. Eng. Juma Hamsini amesema kupitia mradi mkubwa wa stendi ya Mkoa huo inayotarajiwa kujengwa eneo la Bondeni City sambamba nayo Utajengwa uwanja wa Kisasa wa Michezo k**a unavyoonekana pichani, Uwanja huo utagaharimu Tsh. BILIONI 4.

03/05/2024

EXCELLENCE EDUCATION CENTER, MBULU MJINI

Address

East Africa Community Road
Arusha
P.O.BOX7302

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when I.F tv Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to I.F tv Online:

Videos

Share