Sauti Ya Pwani FM

Sauti Ya Pwani FM Sauti Ya Pwani Fm is Coastal based radio station. Invested in promoting coastal culture, upcoming ar
(26)

  na UncleLee  na@joy_kelly4  kuanzia 10am hadi 1pm. Unatpata ukiwa wapi?
24/08/2024

na UncleLee na@joy_kelly4 kuanzia 10am hadi 1pm. Unatpata ukiwa wapi?

"Huyu kaleft group!!"Watu Wanamuandama Captain Nyota kisa muonekano wake mpya馃槄馃槄 Tumpeni blogger wetu asilimia kwa muonek...
23/08/2024

"Huyu kaleft group!!"
Watu Wanamuandama Captain Nyota kisa muonekano wake mpya馃槄馃槄

Tumpeni blogger wetu asilimia kwa muonekano huu mpya buana na muache wivu!

Unampa alama ngapi kati ya kumi.

Aunty Mwakio kutoka katika shirika la Usaidizi Women and Girl Child Society yupo ndani ya
23/08/2024

Aunty Mwakio kutoka katika shirika la Usaidizi Women and Girl Child Society yupo ndani ya

3pm-7pm:     ukiwa na Y na Joy, hivi ndo tunaanza wikendi, uko na form?
23/08/2024

3pm-7pm: ukiwa na Y na Joy, hivi ndo tunaanza wikendi, uko na form?

23/08/2024

Balaa!馃槄馃槄馃槄

23/08/2024

Mtaani mambo ni live馃槀馃槀馃槀
馃摴:J virtuix entertainment park

Tuko na msanii Davy Gze leo akizungumzia kuhusu njia panda Remix, Una swali lolote Kwake, dondosha kwenye comment box.  ...
22/08/2024

Tuko na msanii Davy Gze leo akizungumzia kuhusu njia panda Remix, Una swali lolote Kwake, dondosha kwenye comment box.

Karibu ndani ya   ukiwa na Y na Joy kuanzia 3PM-7PM, unasikiliza ukiwa wapi?
22/08/2024

Karibu ndani ya ukiwa na Y na Joy kuanzia 3PM-7PM, unasikiliza ukiwa wapi?

Khadija Binti Mzee na Da K ndani ya   kuanzia saa 10am hadi 12pm. Unatupata ukiwa wapi?
22/08/2024

Khadija Binti Mzee na Da K ndani ya kuanzia saa 10am hadi 12pm. Unatupata ukiwa wapi?

Hapa shawn anauliza swali ambalo linahusu wengi sana, utamwambiaje?
22/08/2024

Hapa shawn anauliza swali ambalo linahusu wengi sana, utamwambiaje?

Karibu ndani ya   ukiwa na   Sophie na Uncle Lee kuanzia saa 6am hadi 10am.
22/08/2024

Karibu ndani ya ukiwa na Sophie na Uncle Lee kuanzia saa 6am hadi 10am.

Karibu ndani ya   na Maryam Rachuo kuanzia 10pm hadi 12am.
21/08/2024

Karibu ndani ya na Maryam Rachuo kuanzia 10pm hadi 12am.

Naitwa Nick, nina mahusiano mazuri na mke wangu kabisa ila haelewani na mamangu mzazi, nimeshindwa kujua chanzo cha ugom...
21/08/2024

Naitwa Nick, nina mahusiano mazuri na mke wangu kabisa ila haelewani na mamangu mzazi, nimeshindwa kujua chanzo cha ugomvi kati yao maana hawawezi kaa pamoja kwa amani, tafadhali naomba ushauri nitumie njia gani ili niweze kuwaunganisha waelewane?

Queen Crush wako leo ni nani hebu mtag hapo kwenye comment box naye atambie watu mtaani,   3pm hadi 7pm.
21/08/2024

Queen Crush wako leo ni nani hebu mtag hapo kwenye comment box naye atambie watu mtaani, 3pm hadi 7pm.

Mahakama ya upeo yasitisha hatua ya Bunge la Seneti la kumbandua Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza mamlakani.www....
21/08/2024

Mahakama ya upeo yasitisha hatua ya Bunge la Seneti la kumbandua Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza mamlakani.
www.sautiyapwanifm.com

David Otieno Kujia Demu wako huku!! Anatamba huku nje na Mawigi ya bei ghali halafu mapishi ndo hayaaa馃槀馃槀馃槀馃槀
21/08/2024

David Otieno Kujia Demu wako huku!! Anatamba huku nje na Mawigi ya bei ghali halafu mapishi ndo hayaaa馃槀馃槀馃槀馃槀

10AM-12PM: Khadija Binti Mzee na Da K wanakupambia mchana wako ndani ya  . Unasikiliza ukiwa wapi?
21/08/2024

10AM-12PM: Khadija Binti Mzee na Da K wanakupambia mchana wako ndani ya . Unasikiliza ukiwa wapi?

Gavana wa Meru Kawira Mwangaza ameondolewa mamlakani baada ya Bunge la Seneti kupitisha hoja za kubanduliwa kwake.www.sa...
21/08/2024

Gavana wa Meru Kawira Mwangaza ameondolewa mamlakani baada ya Bunge la Seneti kupitisha hoja za kubanduliwa kwake.
www.sautiyapwanifm.com

Caro aende sherehe ama afanyeje?
21/08/2024

Caro aende sherehe ama afanyeje?

Samuel Mwaura ambaye ni mwakilishi wadi ya Kongowea atakuwa ndani ya   kuangazia ufanisi wa ugatuzi akiwa pamoja na  .
21/08/2024

Samuel Mwaura ambaye ni mwakilishi wadi ya Kongowea atakuwa ndani ya kuangazia ufanisi wa ugatuzi akiwa pamoja na .

Good Morning? ni   ukiwa na Sophie na Uncle Lee, unasikiliza ukiwa wapi?
21/08/2024

Good Morning? ni ukiwa na Sophie na Uncle Lee, unasikiliza ukiwa wapi?

  10PM-12AM: ukiwa naye Maryam Rachuo. Unasikiliza kipindi ukiwa wapi?
20/08/2024

10PM-12AM: ukiwa naye Maryam Rachuo. Unasikiliza kipindi ukiwa wapi?

MJADALA;Muda gani mtu anafaa kuchukua kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya. Ama ni kuoga na kurudi soko?馃槀馃槀馃槀
20/08/2024

MJADALA;
Muda gani mtu anafaa kuchukua kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya. Ama ni kuoga na kurudi soko?馃槀馃槀馃槀

Kitaa kinasemaje, karibu ndani ya   kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni, unasikiliza ukiwa pande za wapi...
20/08/2024

Kitaa kinasemaje, karibu ndani ya kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni, unasikiliza ukiwa pande za wapi?
Ukiwa na Y na Joy

Washukiwa 13 akiwemo mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jumaisi watoroka katika kituo cha polisi cha Gigiri.www.sa...
20/08/2024

Washukiwa 13 akiwemo mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jumaisi watoroka katika kituo cha polisi cha Gigiri.
www.sautiyapwanifm.com

Khadija BintiMzee na Da K ndani ya   kuanzia saa nne hadi saa sita mchana, unasikiliza ukiwa wapi?
20/08/2024

Khadija BintiMzee na Da K ndani ya kuanzia saa nne hadi saa sita mchana, unasikiliza ukiwa wapi?

Address

Vraj Dham Building, , 1st Floor Off Sauti Ya Kenya Road, Opposite DT Dobie, Ganjoni
Mombasa
97378-80112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti Ya Pwani FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sauti Ya Pwani FM:

Videos

Share

Introduction

Sauti ya Pwani FM is a progressive radio station that was established in 2017 with frequencies in Mombasa 94.2FM having coverage in Mombasa, Kilifi and Kwale counties respectively. The core principle of Sauti Ya Pwani FM is based on Culture, Doctrine, Customs and Civilisation of the coastal people.

Sauti Ya Pwani FM seeks to:

路 Facilitate sustained growth and poverty reduction.