Muramba Broadcasting Station

Muramba Broadcasting Station Ni shirika la uandishi la habari ambalo lipo kwenye shule ya upili ya ya Muramba High School ambalo

26/05/2022
https://youtu.be/JastAiGj0p4
26/04/2022

https://youtu.be/JastAiGj0p4

Ebimaa latest Lughya COMEDY sichihi mtwome comedian with Born Champ πŸ”₯ like,comment, share and subscribe.

04/12/2021

FT West Ham United vs Chelsea Football Club
3-2

https://www.facebook.com/144839529463284/posts/972602666686962/?app=fblHy people kindly nominate me as the best male sec...
02/12/2021

https://www.facebook.com/144839529463284/posts/972602666686962/?app=fbl
Hy people kindly nominate me as the best male secular artist of the year under Busta Awards
Just link the link above comment I nominate king max music as the male secular artist of the year

Nominate through the page inbox or Whatsapp only +254717122048.Kindly no direct calls.

22/10/2021

Never Give Up

Giving up is the sign of the weak hearted soul,
Such a person will never be able to reach his goal.
Believe in yourself, you will come up with flying colors,
Like a warrior you will shine even in a dark, stormy weather.

22/10/2021

Hatimaye shule ya sigalame yarehelea shughuli zake za kawaida baafa ya kufungua kwa muda usio julikana no baada ya kuripoti visaa vya Moto kadhaa

https://youtu.be/HXXvJheLT7sHello dear FANS..,am KING MAX THE BADDEST from busia county..,I kindly request you to suppor...
02/06/2021

https://youtu.be/HXXvJheLT7s
Hello dear FANS..,am KING MAX THE BADDEST from busia county..,I kindly request you to support me by watching my songs for at least 2 Minutes then subscribe,,, please subscribe after watching for the subscription to be added,, thank you and may the Almighty God bless you abundantly πŸ™πŸ™
I DO OFFICIAL VIDEO LYRICS IS OUT
WORK IS TO ENTERTAIN NOT TO DISAPPOINT YOU MY FANS
MAX MUSIC KENYA TO THE NEXT LEVEL🎀🎼🎧🍷

Sam De ft V quality ft Tripple B ft Timoo ft King max the baddest ft Young Jojo ft Uncle phabyshow love subscribe,, watch at least 2minustes,, comment and sh...

26/05/2021

Sam De ft V quality ft Tripple B ft Timoo ft King max the baddest ft Young Jojo ft Uncle phabyshow love subscribe,, watch at least 2minustes,, comment and sh...

Are you ready
24/08/2020

Are you ready

21/04/2020

Hujambo mpenzi msikilizaji wa taarifa za mbs ikiwa ni awamu ya saa tatu jion.
Jina langu n max mazuri

Timothy otieno apongezwa na vijana kutoka kaunti ya nairobi
Raisi uhuru kenyatta atarajiwa kuanda mahojiano hiyo kesho na redio ya citizen
Idadi ya vifo vya waathiriwa wa janga la korona laongezeka

karibu
Mwanahabari wa runinga ya ktn aliweza kupongezwa na vijana kutoka kaunti ya na Nairobi..inarifiwa kua vijanq hao walikuwa wakiishi katika mazingiri na hata kukosa chakula tangia janga hili lianze kusamba humu inchini
Kwingineko Rais Kenyatta ataraijiwa kuhudhuria nahojiano baina yake na redio ya citizen hyo ksho.. Baadhi ya wanaichi wamemtaka Raisi kuzungumzia mambo ya janga la corona na pia kuwapa chakula na hela za kujikimu kwa muda wa siku21
Idadi ya vifo humu inchini kutokana na janga la korona imeongezeka kwa kasi hadi vifo 14 wakenya wameomba kufuata njia mbadalq ili kuzuia kusambaa kwa virusi

Kwa taarifa hzo nahitimisha jarida la mbs..jarida lingine litakujia hpo kesho mwendo wa saa moja asubuhi.. Naitwa max mazuri lakini kabla sijafunganyq virago vyqng nakuachq na maoni yako
Je raisi anafaa amfidie kila mkenya aliye na hudumq namba hela za kujikimu??

06/04/2020
Naam! Ndugu mpenzi msomaji was habari za m.b.s ..Mimi n mwandishi wako MAX MAZURI.Wanainchi wajamuhurj ya Kenya wameagiz...
27/03/2020

Naam! Ndugu mpenzi msomaji was habari za m.b.s ..Mimi n mwandishi wako MAX MAZURI.
Wanainchi wajamuhurj ya Kenya wameagizwa kusalia nyumbani mwao kutokana na ongezeko la idadi La virusi vya corona.. Ambpo hiyo Jana kulitipotiwa kifo Kimoja kutokana na corona..vile vile waziri wa Afya Mutahi Kahiga Alisisitiza kuwa wakenya wamekua wakaidi na kukosa kufuata maagizo ya serikali

Ripoti nyingene nikuwa pindi itakapo fika mwendo was 7:00pm kamili amna yule mkenya ambaye ataruhusiwa kutoka majumbani mwao..maafisa wa polisi watakuwa kote inchini wakishka doria...zidi kuwa nasi..taarifa zingine zitakujia mwndo was saa tatu mchana mwema

26/03/2020
10/03/2020

Wakaazi wa kijiji cha mulukhoni na lukure wakadiria hasara kubwa baada ya mvua kubwa ilionyesha mnamo juzi kung'oa paa za nyumba

09/03/2020
09/03/2020
09/03/2020
09/03/2020
Sisi k**a wana m.B.S we wish happy women's day
08/03/2020

Sisi k**a wana m.B.S we wish happy women's day

07/03/2020

Mwili wa mwenda zake surgent Kemei wazikwa nyumbani kwake

07/03/2020

Hujambo mpenzi msomaji wa m.B.S news

05/03/2020

Ninatangaza kupotea kwa wabafunzi wawili wa shule ya upili ya muramba Emily and Manuel ambao walipotea wiki mbili zilizopita iwapo unatarifa kuwahusu piga ripoti kwa stesheni ya polisi iliyoko karibu nawe au tembelea afisi kuu ya shule

05/03/2020

Kwingineko wachambuzi wa vitabu vya setbook waitembelea shule ya upili bujwanga kwa minajili ya kuwapa wanafunzi mafunzo..hafla hyo imehuduriwa na mtangazi wa radio ya citizen Christine Ojiambo ambaye amesistiza wanafunzi kutia bidii masomoni hasa kwa lugha ya kiswahili

Address

Funyula
Busia

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+254791897071

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muramba Broadcasting Station posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Muramba Broadcasting Station:

Share