BUSIA Border RADIO

BUSIA Border RADIO The Best Radio station in Busia County with best mix of music and presenters. Embraced with well packaged and comprehensive News bulletins.
(1)

Karibu tudunde dunde viwanjani, kipindi cha spoti kipo hewani hadi 7:pm.soka mashinani Hadi ngazi za kimataifa .
08/02/2025

Karibu tudunde dunde viwanjani, kipindi cha spoti kipo hewani hadi 7:pm.

soka mashinani Hadi ngazi za kimataifa .

Ni Ijumaa Tena! Unaskiza Ukiwa Wapi Usiku Sacco ndani ya Busia Border Radio 89.9fm naye Deejay Julius Kenya; 10:30pm-5am...
07/02/2025

Ni Ijumaa Tena!
Unaskiza Ukiwa Wapi Usiku Sacco ndani ya Busia Border Radio 89.9fm naye Deejay Julius Kenya;
10:30pm-5am.
fans

Unapokea baraka ukiwa wapi
07/02/2025

Unapokea baraka ukiwa wapi

JUST IN: Wananchi wenye gadhabu wameteketeza zaidi ya ekari  10 ya miwa katika mtaa wa kisii estate wadi ya Angorom waki...
07/02/2025

JUST IN: Wananchi wenye gadhabu wameteketeza zaidi ya ekari 10 ya miwa katika mtaa wa kisii estate wadi ya Angorom wakidai kuwa mmoja wa familia ya mwenye miwa hiyo ambaye yupo mafichoni alihusika kwa mauaji ya jamaa wao.

Tegea utendeti wa taarifa hii katika taarifa zetu za mwendo WA saa moja jioni BUSIA Border RADIO 89.9fm.

Veteran Kenyan journalist Leonard Mambo Mbotela has passed away at the age of 85
07/02/2025

Veteran Kenyan journalist Leonard Mambo Mbotela has passed away at the age of 85

Sad! "je, kweli huu ni ungwana?"The king of the airwaves has rested. Lenard Mambo Mbotela is known for his unique voice ...
07/02/2025

Sad! "je, kweli huu ni ungwana?"

The king of the airwaves has rested. Lenard Mambo Mbotela is known for his unique voice that dominated the airwaves for many years. The legend has been confirmed death, today,7 of February 2025.

Rest well sir!

|| BUSIA Border RADIO 89.9 ||

๐Ÿ”ฅ DABO DABO NA LOTTO! ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽŸ 1 Ticket = 4 Chances!๐Ÿ’ฐ 1.2 MILLION kila saa!๐Ÿ› Shopping Vouchers za KSh 50K!๐ŸŒด Valentineโ€™s Getawa...
07/02/2025

๐Ÿ”ฅ DABO DABO NA LOTTO! ๐Ÿ”ฅ
๐ŸŽŸ 1 Ticket = 4 Chances!
๐Ÿ’ฐ 1.2 MILLION kila saa!
๐Ÿ› Shopping Vouchers za KSh 50K!
๐ŸŒด Valentineโ€™s Getaway to Mombasa โ€“ Diani kwa wawili!
๐ŸŽซ FREE Ticket ya Live Show!
Na cha maana zaidiโ€ฆ CHOCHOTE UNASHINDA, UNAPATA DABO DABO! ๐Ÿš€๐Ÿ’ธ
๐Ÿ‘‰ Lipa na Mpesa Paybill 777000, Akaunti: SASA, KSh 60

Wangwana Kuna shida aki๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€wababazi wako na Doo na pia vijana wamepata helb cjui hii weekend kutakua voi walai   ndani ya...
07/02/2025

Wangwana Kuna shida aki๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€wababazi wako na Doo na pia vijana wamepata helb cjui hii weekend kutakua voi walai ndani ya 89.9fm BUSIA Border RADIO ukiwa nawo Victoria Magar Hyrax De Bwoy Dj Jastoh

Lala Salama naye Dj-bestkid Jay.Follow BUSIA Border RADIO.Tash anasema mjomba anamtaka kimapenzi. Tumshauri afanye nini?
06/02/2025

Lala Salama naye Dj-bestkid Jay.
Follow BUSIA Border RADIO.
Tash anasema mjomba anamtaka kimapenzi. Tumshauri afanye nini?

๐ŸŽ‰ Double the Joy, Double the Wins! ๐ŸŽ‰Hapa Lotto, mwezi huu mambo ni DABO DABO! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฐ LEO EVERY HOUR โ€“ Ksh 50 inaweza kukush...
06/02/2025

๐ŸŽ‰ Double the Joy, Double the Wins! ๐ŸŽ‰

Hapa Lotto, mwezi huu mambo ni DABO DABO! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ’ฐ LEO EVERY HOUR โ€“ Ksh 50 inaweza kukushindia 1.2M DABO DABO CASH! ๐Ÿ˜ฑ
๐Ÿ’ต Ukicheza na 50 โ€“ INAKUPEA 1M! ๐Ÿ’ฅ
โœˆ๏ธ Valentineโ€™s Trip โ€“ Tunapeana 10 trips kwa wewe na bae! โค๏ธโœจ
๐Ÿ›๏ธ Shopping Bonus โ€“ Ukishinda 50K, tunadabo hadi 100K! ๐Ÿค‘

๐Ÿ’ณ Lipa M-Pesa Paybill: 777000
๐Ÿ“Œ Account: SASA | Amount: Ksh 50

๐Ÿ”ฅ Jaribu Sasa โ€“ Inaweza kuwa siku yako! ๐Ÿ”ฅ

Wadau ndo kudonjo...      bado kuna home banks??  ndani ya 89.9fm BUSIA Border RADIO ukiwa nawo Victoria Magar Hyrax De ...
06/02/2025

Wadau ndo kudonjo... bado kuna home banks?? ndani ya 89.9fm BUSIA Border RADIO ukiwa nawo Victoria Magar Hyrax De Bwoy Dj Jastoh the playlist terrorist

Kumekucha kumepambazuka!!Amka tujitume kazini , Asubuhi hii kwenye gumzo la kisiasa   corner , Mjadala kuu : 1.Siasa za ...
06/02/2025

Kumekucha kumepambazuka!!Amka tujitume kazini , Asubuhi hii kwenye gumzo la kisiasa corner , Mjadala kuu : 1.Siasa za Busia county
2. Ujio wa Rais Dr William Ruto Busia, kumefaidi wananchi wake?

shiriki mahojiano haya kwa 0791269092/0752358133

|| BUSIA Border RADIO 89.9fm ||

Yoh vipi Lala Salama naye Dj-bestkid Jay ndani ya BUSIA Border RADIO. 10pm till midnight
05/02/2025

Yoh vipi Lala Salama naye Dj-bestkid Jay ndani ya BUSIA Border RADIO. 10pm till midnight

Update:Maafisa wa coast guard katika Kituo cha Sumba eรฑeo Bunge la budalangi Kaunti ya Busia wamewatia mbaroni maafisa w...
05/02/2025

Update:Maafisa wa coast guard katika Kituo cha Sumba eรฑeo Bunge la budalangi Kaunti ya Busia wamewatia mbaroni maafisa wawili wa jeshi la Uganda UPDF katika kisiwa cha Sumba walipokuwa wanajaribu kuwatia mbaroni wavuvi wa Kenya katika Ufuo wa Kisiwa hicho.

|| BUSIA Border RADIO 89.9fm ||

kalunch kamebisha hodi, unakula kutokana na njaa ama unakula kulingana na masaa???!.hapa ishaivi, karibisha watu mezani ...
05/02/2025

kalunch kamebisha hodi, unakula kutokana na njaa ama unakula kulingana na masaa???!.

hapa ishaivi, karibisha watu mezani tule pamoja .

|| BUSIA Border RADIO 89.9fm ||

President Donald Trump has directed the United Nations to immediately freeze U.S. funding used for Haiti mission.|| BUSI...
05/02/2025

President Donald Trump has directed the United Nations to immediately freeze U.S. funding used for Haiti mission.

|| BUSIA Border RADIO 89.9fm ||

To day is that day wangwana tunawaletea   ndani ya 89.9fm BUSIA Border RADIO     ukiwa nawo Victoria Magar mamayao Hyrax...
05/02/2025

To day is that day wangwana tunawaletea ndani ya 89.9fm BUSIA Border RADIO ukiwa nawo Victoria Magar mamayao Hyrax De Bwoy unyafunyula mwenyewe and Dj Jastoh the playlist terrorist

Lala Salama iko hewani naye Dj-bestkid Jay. Imefika mwezi wa mapenzi unaplan kufanyia umpendaye kitu gani siku ya Valent...
04/02/2025

Lala Salama iko hewani naye Dj-bestkid Jay. Imefika mwezi wa mapenzi unaplan kufanyia umpendaye kitu gani siku ya Valentine?
Follow > BUSIA Border RADIO

Address

Busia

Telephone

+254791269092

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BUSIA Border RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BUSIA Border RADIO:

Videos

Share