AfricanBase.net

AfricanBase.net Mtandao wa habari moto moto za michezo..Kuwa wa kwanza kupata habari punde tu zinapotokea kwa kulike

Like ukurasa huu ili uweze kujipatia BREAKING NEWS NA HABARI MOTOMOTO Kutoka kwenye mtandao wa mzalendohuru.com

13/01/2024

1995 : Springboks Won World cup
1996 : Bafana Bafana Won AFCON
2023 : Springboks Won World cup
2024 : Bafana Bafana is playing in AFCON
Hmmm... Are you thinking what I'm thinking 💬 😳🤣

Top 10 African countries with the most expensive fuel prices at the start of 20241. Central African Republic2. Senegal3....
13/01/2024

Top 10 African countries with the most expensive fuel prices at the start of 2024
1. Central African Republic
2. Senegal
3. Seychelles
4. Morocco
5. Zimbabwe
6. Mauritius
7. Sierra Leone
8. Burundi
9. Malawi
10. Ivory Coast
Africa's Cheapest Fuel Prices
1. Libya - $0.03
2. Algeria -$0.34
3. Angola- $0.36
4. Egypt - $0.40
5. Sudan - $0.70
6. Nigeria- $0.72
7. Tunisia -$0.82
8. Gabon- $1
9. Liberia- $1.02
10. Ghana -$1.033
Source: Global Petrol Prices.

📍Tanzania🇹🇿
08/12/2023

📍Tanzania🇹🇿

08/12/2023

📍South Africa🇿🇦

Khaaa nilikuwa nampago Wa kuhama hii inchii jmn Nimejikuta niegahiri gafula bora nibaki tz😂😂😂😂😂😂
11/10/2023

Khaaa nilikuwa nampago Wa kuhama hii inchii jmn Nimejikuta niegahiri gafula bora nibaki tz😂😂😂😂😂😂

AMKENI AMKENI KUMEKUCHA UKU😳Lulu aonesha ujauzito mwingine Ishakua k**a mashindano sasa😂😂😂LULU MCHAGA UYU JAMANI  TAGETI...
11/04/2023

AMKENI AMKENI KUMEKUCHA UKU😳

Lulu aonesha ujauzito mwingine
Ishakua k**a mashindano sasa😂😂😂

LULU MCHAGA UYU JAMANI TAGETI YAKE HAPA NI MALI ZA URITHI 😂 KWELI TENA 👌

Watu wa uzazi wa mpango njooni uku aisee 😁
HATA K**A JAMANI NYIE NYIE 🙄

NGOJA NINYAMAZE TU MAANA NIKIONGE SANA NAONEKANA MMBEA MIE KWELI TENA

Unahisi huyu ni baba mzazi?
10/04/2023

Unahisi huyu ni baba mzazi?

Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda...MambooWanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman...
10/04/2023

Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda...

Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare.

Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga

LEO NGOJA NINYAMAZE TU 👌Muimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka nchini Kenya Nicah The Queen Amedai Yeye Na Mpenzi Wake Dj S...
10/04/2023

LEO NGOJA NINYAMAZE TU 👌

Muimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka nchini Kenya Nicah The Queen Amedai Yeye Na Mpenzi Wake Dj Slhaver Hawajakutana Kimwili Kwa Miaka Miwili Sasa.

"Kwa Sasa Nimefunga Kabisa Miguu Yangu, Yeye Na Mimi Tumekubaliana Kutokushiriki Kwichi Kwichi. Tumasubiri Ndoa"

TOA MAONI YAKO KWENYE COMMENT ✍️

Hellow lovers,Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa kh...
10/04/2023

Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi k**a zawadi.

LEO NGOJA NINYAMAZE TU 👌Muimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka nchini Kenya Nicah The Queen Amedai Yeye Na Mpenzi Wake Dj S...
10/04/2023

LEO NGOJA NINYAMAZE TU 👌
Muimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka nchini Kenya Nicah The Queen Amedai Yeye Na Mpenzi Wake Dj Slhaver Hawajakutana Kimwili Kwa Miaka Miwili Sasa.
"Kwa Sasa Nimefunga Kabisa Miguu Yangu, Yeye Na Mimi Tumekubaliana Kutokushiriki Kwichi Kwichi. Tumasubiri Ndoa"… See more

INASIKITISHA SANA TENA SANA😭TUTAKUJA KUSIKIA AMEOKOKA JAMANI DIAMOND PLATNUMZ AOMBEWA UKU😳Prophet Clear Malisa akimuombe...
10/04/2023

INASIKITISHA SANA TENA SANA😭
TUTAKUJA KUSIKIA AMEOKOKA JAMANI
DIAMOND PLATNUMZ AOMBEWA UKU😳
Prophet Clear Malisa akimuombea Baraka na Mafanikio Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) kwenye MTOKO WA PASAKA Mlimani City .
KWA DINI YA KISLAMU IPO IVI 👇
anaeombewa ni Yule Alielala ndani ya kabuli Au yupo Kwenye mkeka na kashavalishwa Sanda kwa ajili ya kwenda kumzika Ivii Tukisema Yatauwaa utubu Arayina Tunamaanisha Kujiombea histifaki sio kwenda kuombewa😪
YANI HAPA MASHEKHE WANASEMA KiMOYO MOYO AKISHATAKAFULAI AKISHAFUKAIIIIII👌
TOA MAONI YAKO KWENYE COMMENT ✍️

Address

Kasulu-kigoma
Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfricanBase.net posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Nearby media companies