Lord nicky shorts

Lord nicky  shorts new knowledge,photos sharing,bizness,gosp,breaking news please like this page u wil enjoy Lets have funny and learn new issue in here!! Welcome

24/12/2023

Story ya police aliyetikisa ulimwengu wa wahuni wa dar miaka ya 90 na 80 mk**a sharp



22/12/2023

Story ya original mhuni achana nao hao waduduu wa arusha hao vichaa vibaka tu ...

Frank lyatuu alitikisa arusha miaka hiiyo

18/12/2023

Nimeeleze nilichookioana kwenye video ya mauji ya moller joshua huko israel na kundi la hamas



15/12/2023

Story full ubungo mataa ujambazi msilimuliajie lord nicky



31/10/2023

Jambazi Jombi mbeya na hela za mwarabu alivyoiba na police wakiwepo

Full story JOMBI



25/10/2023

Full story ya wizi/majambazi wa crdb mwak 2002 ....



16/10/2023

Full part 2 ya Israeli na Palestine leo katika historia yao kwa kina ugomvi wa wa kitambo kidogo

16/10/2023

Full story ya waisrael na palestine part 1

Story hii imesimulia na lord nick
Vita vya Palestine na israel na leo vinatokana na historia hii

1 q

10/10/2023

Full story ya nyerere na maasi ya mwaka 1964 na jinsi waingereza walivyotusaidia kumaliza maasi



Full ipo youtube

https://youtu.be/llILwgKTdpQ

17/09/2023

Hii ni story ya majambazi hatari sana walivamia bank ya nmb mwanga mwaka 2007 hii ni part 1 part 2 inatoka kesho follow uione kesho







15/09/2023

Kaburi hii la maajabu liko mkoani iringa eneo la mlolo ndio lili wasumbua sana tanesco maana umeme ulikuwa hauwaki ukipita juu yake

Jambo hii la kichawi liliwasumbua sana tanesco

11/09/2023

Magufuli ni mmoja ya viongozi wanaopendwa sana hata baada ya kufa k**a ilivyo baba wa taifa na sokoine hadi leo hii magufuri watanzania bado wanamlilia

Story hii ni jinsi uchaguzi ndani ya ccm mwaka 2015 ulivyobadilisha upepo hadi magufuli kuchukua nchi baada ya vita vya ndani kati lowassa na membe




07/09/2023

Leo katika story book au kitabu changu cha story
Nina hii hapa ya mdada anaitwa ilse koch mchuna ngozi katika gereza la buchenwald

Maoni weka kwenye comment maoni yako sio lazima nichukue kumbuka hilo






06/09/2023

Hii ni story ya mkwawa na wabena walivyowasaidia wa german kumk**ata mkwawa hadi anajiua mwaka 1898 ...story hii imesimulia kwa design ili kuleta maana ya story na kumfanya mtazamaji aendelee kufuatilia

Msimuliaji lord nicky









01/09/2023

History of iddi amin na israel in 1976

29/08/2023

Story ya jambazi hatari duniani mwenye akili kutoka india mohn sigh ...anajifanya usalama wa taifa kisha anapiga tukio kubwa la kimataifa

09/04/2022

SLICER BAKURI NZURI WAPISHI

05/04/2022

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lord nicky shorts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share