Azam fc Fans Forum

Azam fc Fans Forum Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Azam fc Fans Forum, Media/News Company, Dar es Salaam.

https://youtu.be/0BUNxH0ZUcU
28/06/2024

https://youtu.be/0BUNxH0ZUcU

Baada ya tetesi za kipre jnr kuhusishwa kutimka katika klub ya azam fc Mkuu wa kitengo cha habari zaka zakazi ameweka wazi juu ya swala hilo.

Yupo wapi bajana? Je ni kweli manula anarudia azam fc? Sakata la Dube limefikia wapi? Nimepata exclusive interview na za...
27/06/2024

Yupo wapi bajana? Je ni kweli manula anarudia azam fc? Sakata la Dube limefikia wapi?
Nimepata exclusive interview na zakazakazi amefunguka, ametoa majibu yote.

Mkuu wa habari na mawasiliano wa Azam fc zakazakazi amefunguka mengi kuhusu maendeleo ya azam fc

K**a ulikuwa na mashaka juu ya kuachwa kwa lyang, manyama, amoah na wengine msikilize hapa mchambuzi George Ambangile
24/06/2024

K**a ulikuwa na mashaka juu ya kuachwa kwa lyang, manyama, amoah na wengine msikilize hapa mchambuzi George Ambangile

waliopewa thank you na je ni upi mwelekeo wa Azam fc

24/06/2024

Kipa wa Azam fc Mohamed Mustafa ambaye alikuwa kwa mkopo Azam fc kutokea klub ya El Merrikh ya Sudan amenogewa na maisha ya azam complex na kuwa tayari kubakia katika viuonga hivyo. Uwongozi pamoja na kocha Dabo wanamhitaji kipa huyo kwa udi na uvumba kwa lengo la kufanya vizuri kimataifa. Taarifa zinasema makubaliano ya awali yamefikia na Mustafa amesaini mkataba wa awali huku wakisubiri baadhi ya vipengele viweze kukamilika.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Azam fc Fans Forum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Nearby media companies