
28/02/2025
VIWANJA NBC PREMIERE LEAGUE HALI TETE:
Ligi yetu tunasema ni ya nne AFRIKA lakini viwanja vyetu haviakisi kabisa hayo mafanikio. Picha hio ni mchezo wa mchana huu kati ya Tabora utd na Dodoma Jiji. Tabora wapo mbele kwa bao moja lkn jakustahajabisha ni hali ya uwanjwa kukosa sifa lakini mpira unachezwa hivo hivo.