TZ Trends

TZ Trends We bring you the latest buzz and hot news / events in the world of entertainment and sports! Karibu

05/09/2024
Muigizaji, Mchekeshaji na Mtengeneza Maudhui ya Kidigitali  ame-share picha yake akiwa na Mhe Rais was Jamhuri ya Muunga...
25/08/2024

Muigizaji, Mchekeshaji na Mtengeneza Maudhui ya Kidigitali ame-share picha yake akiwa na Mhe Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mmoja kati ya Wasanii wengi walioungana na serikali katika kusherehekea Tamasha la ambalo limehitimishaa asubuhi ya leo visiwani Zanzibar.

18/08/2024

Baada ya mafanikio makubwa kwenye hit single ya Mwakitalema, Rich Mavoko na Chino Kidd wamerudi tena na hii! 'Kill My Self' 🙌🏾Ya kwanza umiliki ulikuwa wa Chino, ila round hii ni utawala wa Rich Mavoko a.k.a Billionaire Kid na Chino ndiye aliyeshirikishwa! 🔥 Ume-feel the vibe!? Weka emoji za 🔥🔥🔥k**a unatamani combination hii ikupe album! •

Filamu ya 'Married To Work' imemuwezesha muigizaji, mchekeshaji na mtengeneza maudhui ya mtandaoni  kuibuka kinara k**a ...
11/08/2024

Filamu ya 'Married To Work' imemuwezesha muigizaji, mchekeshaji na mtengeneza maudhui ya mtandaoni kuibuka kinara k**a Muigizaji Bora wa Kiume Afrika Mashariki kupitia tuzo za The Hollywood and African Prestigious Awards zilizotolewa usiku wa kuamkia leo.

Wasanii wengine ambao wame-shine kwenye tuzo hizo ni ambaye ameshinda tuzo ya Msanii Bora anayekua kwa Kasi Kimataifa, ambaye ameshinda Mchekeshaji Bora na hata ambaye ametunukiwa tuzo ya heshima kwa mchango wake kwenye tasnia ya filamu. •

07/08/2024

Msanii Lil Romeo kutoka nchini Marekani 🇺🇸 amewasili nchini Tanzania usiku wa leo ikiwa anatarajiwa kufanya show kwenye tamasha la Eden Garden Arusha weekend hii.Romeo ameeleza furaha yake baada ya kutua Tanzania 🇹🇿 kuvutiwa na utamaduni wa Kimaasai ikiwa moja kati ya mipango katika ratiba yake ni kuzunguka kujionea uzuri wa Tanzania. Romeo anatarajiwa ku-perform siku ya Jumamosi, ikiwa ni siku ya pili ya Tamasha la litakalofanyika kwa muda wa siku 2 mfululizo Eden Garden Arusha. •

29/07/2024
Ubaikumbuka ile Cinderella!? Vipi kuhusu ile 'U Can't Shine Like Me' ambayo ilikwenda k**a diss track kwa Bow Wow!? zina...
28/07/2024

Ubaikumbuka ile Cinderella!? Vipi kuhusu ile 'U Can't Shine Like Me' ambayo ilikwenda k**a diss track kwa Bow Wow!? zinakukumbusha nini na wapi!? Guess what, lil Romeo LIVE in Tanzania 🔥

Ni global way hii 🙌🏾 Romeo kutoka United States anakamilisha list ya Wasanii watakaotoa burudani kwenye Jukwaa la tarehe 8 - 9 August jijini Arusha, location ni Eden Gardwn. •

27/07/2024

‼️ The Global Performer for 2024 anatambulishwa usiku huu 9:30pm(EAT) Stay Alert!!. 🚨 • 🔥 •

Baada ya timu zote mbili za Kariakoo kutambulisha jezi zao mpya za msimu wa sok 2024/25, ni jezi za timu gani zimeukonga...
27/07/2024

Baada ya timu zote mbili za Kariakoo kutambulisha jezi zao mpya za msimu wa sok 2024/25, ni jezi za timu gani zimeukonga moyo wako!?

27/07/2024

Mwanahabari ametangazwa k**a balozi mpya wa Kampuni ya uuzaji wa viwanja ikiwa lengo ni kuongeza ushawishi kwa vijana kufanya maendeleo ya uwekezaji katika ardhi na kusaidia ukuaji wa uchumi wa taifa la Tanzania •

Baada ya kutangazwa kwa awamu ya kwanza ya list ya Wasanii watakaokuwa sehemu ya burudani ya historia kwenye  leo Jumamo...
27/07/2024

Baada ya kutangazwa kwa awamu ya kwanza ya list ya Wasanii watakaokuwa sehemu ya burudani ya historia kwenye leo Jumamosi ya July 27 kupitia Mkurugenzi wa Burudani wa Tamasha hilo
amemtangaza Chui k**a mmoja kati ya headliners kwenye tamasha hilo.

Inaelezwa list bado haijakamilika, bado kuna msanii wa kimataifa kutoka USA 🇺🇸 anatarajiwa kuwa unvealed usiku wa leo!! Unahisi ni nani!? Weka utabiri wako kwenye uwanja wa comments. •

26/07/2024
Kuelekea historia mpya ya burudani na utalii inayokwenda kuandikwa jijini Arusha August 8 - 9 kupitia  2024, tayari imet...
24/07/2024

Kuelekea historia mpya ya burudani na utalii inayokwenda kuandikwa jijini Arusha August 8 - 9 kupitia 2024, tayari imetajwa list ya baadhi ya wasanii ambao wameandaliwa kutoa burudani kwenye tamasha hilo.

List imesimama k**a ifuatavyo.
1. Chino Kidd
2. ⁠WEUSI
3. ⁠Mr Blue
4. ⁠Barnaba
5. ⁠Sholo Mwamba
6. ⁠Moni Centrozone
7. ⁠Frida Amani
8. ⁠Dipper Rato
9. ⁠Dulla Makabila

Inaelezwa list bado ndefu yenye Top Artists na International Artist kutoka nchini Marekani! 🙌🏾 Unadhani ni nani!? Tuandikie kwenye uwanja wa comments. • •

20/07/2024

Mapema leo mwanamitandao amekutana na baadhi ya Wamama wa hali ya chini katika Viwanja vya Biafra Kinondoni Dar es Salaam na kugawa mchele pamoja na pesa ya mtaji kwa baadhi yao, akidai huo ni mwanzo tu wa safari yake katika kuwasaidia wao! •

Pengine hii ni moja kati ya yale yenye hadhi ya kusalia kwenye vitabu vya kumbukumbu na kukumbukwa miaka yote! Imagine ,...
15/07/2024

Pengine hii ni moja kati ya yale yenye hadhi ya kusalia kwenye vitabu vya kumbukumbu na kukumbukwa miaka yote! Imagine , kutoka +254 🇰🇪, na kwenye jukwaa moja la burudani kui-entertain Dunia kuhusu tamaduni na uzuri wa asili ya Tanzania kupitia

Uhodari wao sio swali kwetu, tumewashuhudia kwa miaka wakifanya mengi makubwa ya kui-shape game ya burudani Tanzania kila mmoja kwa nafasi yake na wakati wake! Umewahi kuwaza wakiunganisha nguvu, swaggz na experience yao kwenye burudani kitatokea nini!? Inabidi uwe sehemu ya historia hii! 🙌🏾

Ni August 9 - 10 kwenye ardhi ya Serengeti, Ngorongoro na mengine mengi ya kuishangaza Dunia Eden Garden Arusha.

Pengine hii ni moja kati ya yale yenye hadhi ya kusalia kwenye vitabu vya kumbukumbu na kukumbukwa miaka yote! Imagine ,...
15/07/2024

Pengine hii ni moja kati ya yale yenye hadhi ya kusalia kwenye vitabu vya kumbukumbu na kukumbukwa miaka yote! Imagine , kutoka +254 🇰🇪, na kwenye jukwaa moja la burudani kui-entertain Dunia kuhusu tamaduni na uzuri wa asili ya Tanzania kupitia

Uhodari wao sio swali kwetu, tumewashuhudia kwa miaka wakifanya mengi makubwa ya kui-shape game ya burudani Tanzania kila mmoja kwa nafasi yake na wakati wake! Umewahi kuwaza wakiunganisha nguvu, swaggz na experience yao kwenye burudani kitatokea nini!? Inabidi uwe sehemu ya historia hii! 🙌🏾

Ni August 9 - 10 kwenye ardhi ya Serengeti, Ngorongoro na mengine mengi ya kuishangaza Dunia Eden Garden Arusha. •

13/07/2024

Tuna kila sababu ya kujivunia utamaduni wetu tukiwa na utamaduni wenye nguvu zaidi barani Afrika. Imagine party kwenye ardhi ya Serengeti, Ngorongoro na mengine mengi ya kuishangaza Dunia.

Ni Maasai Festival inakwenda kuiteka attention ya Ulimwengu tarehe 9 - 10 ya mwezi August mwaka huu! Save the date! 🔥 •

05/07/2024

Mara nyingi umemuona akiambatana na gang ya , anaitwa .nerry anakujaribisha kucheza na yeye kwenye hii Tucheze ambayo ameiachia mapema asubuhi ya leo! Enjoy kwenye Youtube channel yake. •

24/06/2024

Kwenye Jukwaa la tuzo zinazotunukiwa kwa Wanawake wapambanaji walioleta matokeo chanya kwenye jamii zao kipande cha Kahama Msanii ndiye ambaye alipata nafasi ya kuwaburudisha Malkia hao, hivi ndivyo burudani ilivyokuwa! •

Leo ni kilele cha Malkia wa Nguvu Mkoa wa Shinyanga wilaya ya Kahama ambapo lengo likiwa ni kutoa tuzo kwa Wanawake amba...
23/06/2024

Leo ni kilele cha Malkia wa Nguvu Mkoa wa Shinyanga wilaya ya Kahama ambapo lengo likiwa ni kutoa tuzo kwa Wanawake ambao wanafanya makubwa na wanastahili kupongezwa kwa jitihada zao ambao wamekuwa wakizionyesha na tuzo tano zimetolewa katika sekta tano tofauti ambazo ni Sekta ya Madini, Sekta ya Chakula, Sekta ya Mitindo na Urembo, Sekta ya Mapambo na Mjasiriamali Bora.

Hii ikiwa ni kuendelea kusherehekea mapambano ya Malkia katika sekta tofauti tofauti na kauli mbiu ya mwaka huu inavyosema Weka Tuweke yenye lengo la Malkia akiweka na CMG inaweka na Mgeni Rasmi akiwa ni Waziri wa Madini Anthony Mavunde. • •

10/06/2024

Akiwa k**a kinara wa kizazi cha Amapiano kwenye ardhi ya Bongo Fleva ame-tease ujio wa kazi mpya kutoka kwake akiwa na God Father wa sanaa yake Messi wa Bongo Fleva 🙌🏾 (Swipe Left)

Katika hatua ya kujitafuta kisanaa, ndiye msanii wa kwanza kumuamini k**a Dancer na kumpa platform ya kuonyesha uwezo wake katika crew yake miaka hiyo wakati akiwa kwenye kilele cha mafanikio yake kimuziki, kabla ya Chino kujipata kwa na leo wanakutana k**a waimbaji! 🙌🏾

Swali ni, kamvuta Kaka yake kwenye Amapiano ama kaendeleza ufalme wake wa Bongo Fleva!? Unatamani nini kitokee!? Share na sisi kwenye uwanja wa comments! •

02/06/2024

Mapema leo katika makao makuu ya limefanyika Tamasha kubwa la uimbaji wa nyimbo za sifa 'Sauti Moja Festival' lililoshirikisha waimbaji mbalimbali kutoka katika familia ya kwenye matawi ya Kanisa Halisi Nchi nzima.

Kwa niaba ya waimbaji wengine amezungumza mafanikio ya tamasha hilo na nini hasa lengo la tamasha. •

30/05/2024

Kutoka Clouds Media Twangala Twizzy na Madame President wametambulishwa k**a sehemu ya wahandisi wa burudani ya tamasha la Maasai Global Festival linalotarajiwa kufanyika mwezi August mwaka huu jijini Arusha.

Inaelezwa umahiri na uzoefu wa kwenye uandaaji wa matamasha makubwa ya burudani nchini, uhodari wa kwenye live music akiwa kwa stage ni miongoni mwa vitu ambavyo vimewashawishi waasisi wa tamasha hilo kuwashirikisha wawili hao kwa mwaka huu ambapo tamasha hilo linaelekea Global level. •

30/05/2024

Sio rahisi kwa mtu kuamini kuwa licha ya ufundi na umahiri wa kiungo wa klabu ya Stephen Aziz Ki ndani ya pitch ya Mpira wa Miguu, anaweza kuwa mpenzi wa mchezo mwingine tofauti na Soka! Amelidhihirisha hilo baada ya kuhudhuria mazoezi ya timu ya Mpira wa Kikapu ya .

Mfungaji Bora wa msimu wa 2023/24 Ligi Kuu ya Tanzania Bara Aziz Ki amejumuika katika mazoezi ya na kueleza kuwa mchezo wa Basketball ndio mchezo wake anaupenda zaidi japo kuwa anafanya mpira wa miguu k**a kazi.

Rais wa timu ya M***a Mzenji amesema kuwa Dar City na Yanga wamekuwa na uhusiano mzuri ndio mana imekuwa rahisi kwa Aziz Ki kushiriki katika mazoezi pamoja na timu hiyo. •

27/05/2024

Ikiwa Taifa la Tanzania linatarajia kuingia katika zoezi la uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge mwaka 2025, viongozi wa dini kutoka madhehebu na mataifa mbalimbali barani Africa wakiongozwa na Prophet Rolinga wamejipanga kuungana na kuliweka taifa la Tanzania kwenye maombi kwa dhumuni la kuliepusha na matatizo ambayo yanaweza kutokea kipindi cha uchaguzi, kulikabidhi mikono I mwa Mwenyezi Mungu na kuilinda amani ambayo imekuwepo nchini kwa miaka mingi. • •

23/05/2024

Aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Rhino King' na baadae kugeukia muziki wa Sifa na kutambuliko k**a mapema asubuhi ya leo ameshiriki katika tukip la Utakaso la ambao wametembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Kinondoni (Mwananyamala Hospital) kutoa msaada kwa wenye mahitaji na kusafisha baadhi ya maeneo hospitalini hapo!

Akielezwa namna alivyoguswa na ushiriki wake katika kusaidia jamii amedai kuwa kiimani viti hivyo vilivyotolewa leo ni zaidi ya viti vya kawaida na yeyote ambaye atakaa katika viti hivyo basi changamoto yake itakuwa imekwisha! •

23/05/2024

Mapema asubuhi ya leo, uongozi wa Kanisa Halisi lenye makao yake makuu Tegeta Dar es Salaam, umetembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Kinondoni (Mwananyamala Hospital) kushiriki ibada ya uzalishaji kwa kutoa misaada kwa wenye uhitaji katika Hospitali hiyo pamoja na kufanya usafi katika baadhi ya maeneo hospitalini hapo!

Wakikabidhi kwa uongozi wa Hospitali hiyo vimekabidhiwa ni Sabuni, Maji (Damu Safi Nyeupe) pamoja Wheel Chair 5 ambazo kwa imani, wanaamini kuwa yeyote atakaye kaa katika viti hivyo basi changamoto yake itakwisha mara moja! •

22/05/2024

Moja kati ya makampuni makubwa ya kimataifa wabobezi katika masuala ya ujenzi wametambulisha bidhaa yao mpya leo ikiwa ni katika kuendeleza huduma na kuwapa kilicho bora watanzania ambao wameingia kwenye shughuli za ujenzi! •

19/05/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ameipongeza Clouds Media Group kwa kutoa hamasa kwa Wanawake nchini, na kwa kuendelea kuandas tuzo za kila mwaka jambo linalochochea ukuaji wa Malkia kiuchumi.

Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa wakati wa kilele cha Kanda ya Ziwa iliyofanyika Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo! •

Address

Mwananyamala A
Dar Es Salaam
1411

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TZ Trends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TZ Trends:

Videos

Share

Category


Other Media in Dar es Salaam

Show All

You may also like