Hancy vipaji

Hancy vipaji 91.7 City fm radio ndio mpango mzima tukutane saa 7 mchna mpk 10 alasiri show ni BOngo kali...............Tishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

BONGO KALI ya 91.7 City Fm radio .................... aaayeeee baaaaabaaaaaaaaaaaaa

08/09/2024

Watch, follow, and discover more trending content.

BWB
26/08/2024

BWB

Gitaa la  leo litacharazwa huku likinogeshwa na sauti ya kibabe ya   Usikose leo saa mbili usiku   hapa  Host: Content p...
17/08/2024

Gitaa la leo litacharazwa huku likinogeshwa na sauti ya kibabe ya

Usikose leo saa mbili usiku hapa

Host:
Content producer:
Music:

Story na ngoma zote za kibongo fleva leo zitapigwa saa mbili Usiku kwenye Bongo Chapter! Huku mkali  atasimama kwenye Ex...
17/08/2024

Story na ngoma zote za kibongo fleva leo zitapigwa saa mbili Usiku kwenye Bongo Chapter! Huku mkali atasimama kwenye Exclusive Interview!

Host:
Content producer:
Music:

Levels (BwB)
06/08/2024

Levels (BwB)




31/07/2024

Check out Hancy Vipaji’s post.

Na tulishakuwa washindi mpaka tukashindikana!
31/07/2024

Na tulishakuwa washindi mpaka tukashindikana!





Kaka yetu, k**anda mwenzetu na kiongozi wetu mpendwa, Mheshimiwa Joseph Haule (Prof Jay) ni mgonjwa yapata wiki 3 sasa, ...
09/02/2022

Kaka yetu, k**anda mwenzetu na kiongozi wetu mpendwa, Mheshimiwa Joseph Haule (Prof Jay) ni mgonjwa yapata wiki 3 sasa, akiendelea na matibabu hospitali ya taifa ya Muhimbili chini ya uangalizi maalum wa kitabibu.

Ni jambo la kutia moyo kwamba anaendelea vizuri ingawa kwa kasi ya taratibu hivyo tuendelee kumuombea aweze kupona kabisa. Kwa kuheshimu misingi ya "right to privacy" kwa sasa imeshauriwa na familia kutoweka hadharani tatizo linalomsumbua. Muda ukifika na familia ikawa tayari basi mtajulishwa anasumbuliwa na nini.

Pamoja na kwamba familia haijaomba msaada katika kumhudumia Jay, lakini sisi k**a jamii tuna wajibu wa kufanya. Jay ni kaka kwa baadhi yetu, ni baba wa familia, ni rafiki, ni kiongozi na ni mwanamuziki ambaye sauti yake imetuburudisha na kukonga nyoyo zetu kwa zaidi ya miongo miwili sasa.

Kwa kuzingatia hayo yote, tuna wajibu wa kufanya kwake. Tusisubiri hadi familia iombe msaada, tutimize wajibu wetu kumuonesha kwamba tupo pamoja nae katika kipindi hiki kigumu.

Mhe.Freeman Mbowe alipovamiwa na kuvunjwa mguu kule Dodoma, vijana wa BAVICHA walijichanga fedha kidogo za matibabu wakampelekea nyumbani kwake. Haimaanishi kwamba Mhe.Mbowe alikosa pesa za matibabu, lakini ni ishara ya upendo na mshik**ano.

Vivyo hivyo kwa ndugu yetu Jay tushik**ane na familia kuonesha upendo wetu kwake katika wakati huu wanapomuuguza mwenzao. Taarifa zinaonesha Jay anatumia zaidi ya 4M kwa wiki hospitalini. Pamoja na kwamba familia inapambana kumudu gharama hizo lakini si vibaya na sisi kumshika mkono.

Tunaweza kuweka malengo ya kumsupport matibabu yake kwa mwezi mmoja ujao wakati tukiendelea kumuombea na tathmini za kitabibu zikiendelea kupima unafuu na utoshelevu wa huduma za ndani au hitaji la matibabu ya ziada nje ya nchi.

Tujipe challenge ya masaa 72 (siku 3 kuanzia leo hadi jumamosi jioni kumshika mkono mwenzetu.

Michango yote itapokelewa na familia kwa niaba yake kupitia;
MPESA: 0757919192 Joseph Haule,
TiGOPesa: 0715919192 Joseph Haule,
CRDB account no: 0112044845200 Joseph Leonard Haule.

Mungu akubariki ukafanye jambo kwa ajili ya uhai na uzima wa mpiganaji mwenzetu huyu. Amen!

PLZ SHARE.❗

  leo tunaangaza uwanja muhimu katika Game ya muziki nao ni Uandishi wa nyimbo.Mara nyingi hatuwaimbi waandishi wa nyimb...
05/02/2022

leo tunaangaza uwanja muhimu katika Game ya muziki nao ni Uandishi wa nyimbo.

Mara nyingi hatuwaimbi waandishi wa nyimbo aidha kwa makusudi au kujisahau lakini hawa ni muhimu sana kuliko tunavodhani.

Leo tumeualika Father P moja ya waandishi mahiri kutokea nchini

Baadhi ya kazi amehusika nazo ni

1.Pengo-waswahili (album nzima)

2.Haiwezekani-sadat wa waswahili (prod Roy)

3.Mkiwa-K'sal

4.Selina & moyo-Ali com

5.Mademu wa kibongo-Bizzman

6.Mungu yuko busy-Bw. Misosi

7.Amore-baby madaha

8.Dunia mapito-Matonya

9.Chondecbonde-Nuruely ft Mishi

10.Music na shule-Mr. Blue

11.Nisamehe-Chid Benz ft Ben pol

12.Vibonge si uzembe-big black wa solid ground family

N.k karibu umfahamu kiundani kwenye kuanzia saa 8 kamili mchana

Cc

Kuna maisha ya kujifunza sana kwa boss wangu  ! Short... Upendo,Wema na kuamini ndio vitu wanataka watu wanaokuzunguka h...
03/02/2022

Kuna maisha ya kujifunza sana kwa boss wangu ! Short... Upendo,Wema na kuamini ndio vitu wanataka watu wanaokuzunguka hivyo ndio yeye anaishi!Mungu tunamuombea Umri mrefu sana kwenye uso wa ulimwengu Boss Dizzo

   Pc
02/02/2022




Pc

MOSHI NJOO TUKUPE MAFUTA BUURE.Tuko hapa kwenye kituo cha mafuta cha PANONE.Njoo na pikipiki au bajaji tukujazie Wese.
27/01/2022

MOSHI NJOO TUKUPE MAFUTA BUURE.
Tuko hapa kwenye kituo cha mafuta cha PANONE.
Njoo na pikipiki au bajaji tukujazie Wese.

Are You?    .tanzania
25/01/2022

Are You?

.tanzania

Tunakwenda Kaskazini kwa nguvu ya ushirika wetu na  :   imepata baraka 103.7.Shukrani KCB na washirika wetu wote kwenye ...
25/01/2022

Tunakwenda Kaskazini kwa nguvu ya ushirika wetu na : imepata baraka 103.7.

Shukrani KCB na washirika wetu wote kwenye safari hii, lakini shukrani nyingi zaidi kwa wasikilizaji wetu wa Moshi na Arusha.
Tutakuwa nao kuanzia Alhamisi (Moshi) hadi Jumamosi kwenye shughuli kubwa zaidi Arusha :
Cc/

  Tumesikia hapo Moshi kuna washkaji zetu zaidi ya 93.9 wanataka Wese, Arusha wako 103.7 na wao wanataka Wese.Time imefi...
25/01/2022



Tumesikia hapo Moshi kuna washkaji zetu zaidi ya 93.9 wanataka Wese, Arusha wako 103.7 na wao wanataka Wese.
Time imefika, Moshi na Arusha mpate zile faida za uwezeshaji ambazo mlikosa miaka kibao. Alhamisi hii tutagawa Wese hapo Moshi, kisha Arusha watapata Ijumaa na Jumamosi. Yani hulipii hata jero🙌🏻.
Endele kusikiliza EFM.
Cc:

Jumamosi hii kiwanja ni kimoja tu  MBEZI BEACH KWA ZENA  It's    ngoma juu ya ngoma Huku burudan yote hiyo ikisimamiwa n...
30/07/2021

Jumamosi hii kiwanja ni kimoja tu
MBEZI BEACH KWA ZENA It's

ngoma juu ya ngoma
Huku burudan yote hiyo ikisimamiwa na THE INTERNATIONAL DJ FROM EFM RADIO
hii ndio code ya Jumamosi hii sasa unakosaje kwa
mfano....!! Vinywaji bei chee Local beer 1500/= Imported beer 2500/=
HAKUNA KIINGILIO.

29/07/2021

Hip hpo Base kilikuwa kipindi kikubwa sana cha Tv kilichokuwa na mahudhui yaliyobeba mziki wa Hip hop. Kipindi hicho kilikuwa kinaruka kupitia na alikuwa anatangaza hicho kipindi kilizalisha maneno mengi mtaani ambayo mengi yanatumika mpaka sasa mfano Oih oih oih, Kalinye kalinye na ebwana dah! ebwana dah! ebwana dah! sikia anatusanua kuhusu neno LUNDUNO lilivyozaliwa wakati huo na mpaka sasa mtaani watu wanavyomuita au watu wanavyompa hi!
Entervew yote iko youtube

Mafanikio yapo kwenye juhudi na kujituma huku akili na moyo na nguvu ukivielekeza kwenye kufanikiwa ukiwataza kwa heshim...
27/07/2021

Mafanikio yapo kwenye juhudi na kujituma huku akili na moyo na nguvu ukivielekeza kwenye kufanikiwa ukiwataza kwa heshima na busara wote wanaokutazama kwenye mafanikio yako zingatia umakini na ufanisi vinakuwa fagio la kufagia njia ya mafanikio yako.

Mziki unaongea
25/07/2021

Mziki unaongea

Hip hop ni mziki wenye misingi na tamaduni hasa iliyojengwa kwenye maisha halisi ya watu! Kwa vile Hip hop ni maisha hiv...
24/07/2021

Hip hop ni mziki wenye misingi na tamaduni hasa iliyojengwa kwenye maisha halisi ya watu! Kwa vile Hip hop ni maisha hivyo hujenga watu wenye maisha yaliyojaa misingi lakini wakikupa Elimu na Burudani! Hapa tulitaje jina la ni msanii ambae amefanya makubwa kwenye mziki hasa wa hip hop kuanzi Enzi za DE-PLOW-MATZ na show yake ya Tv iliyokuwa inahusu Hip hop ilitengeneza ukubwa wake sana maneno k**a Oih Oih Oih, Eh bwana Dah Eh bwana Dah Eh Bwana Dah na Kalinye kalinye yamezalishwa na kukuzwa kwa mdomo wa huyu jamaa leo anatondoka kwenye hapa kuanzia 8 mchana mpka 10 nitaisimamia show na wanangu na stay bleased!

Ijumaa hii kiwanja ni kimoja tu  GOBA It's    ngoma juu ya ngoma Huku burudan yote hiyo ikisimamiwa na THE INTERNATIONAL...
23/07/2021

Ijumaa hii kiwanja ni kimoja tu
GOBA It's

ngoma juu ya ngoma
Huku burudan yote hiyo ikisimamiwa na THE INTERNATIONAL DJ
hii ndio code ya LEO sasa unakosaje kwa
mfano....!!
HAKUNA KIINGILIO.

Kuna homa na kizungu zungu!
22/07/2021

Kuna homa na kizungu zungu!

  Ni monday lazima iwe na blue tik na til na radio  kuanzia 9 mpaka 10 Leo tuna link Story na  baadae! Mjamaa  kwenye se...
12/07/2021


Ni monday lazima iwe na blue tik na til na radio kuanzia 9 mpaka 10 Leo tuna link Story na baadae! Mjamaa kwenye session 2 za kibabe.

   ni kwa ajili ya mungu
30/06/2020

ni kwa ajili ya mungu

Mungu akupe wepesi brother kwa njia hii unayoipitia akupe Subra na uvumilivu mkubwa. Mungu wetu mwema anamuita mja kwa s...
28/06/2020

Mungu akupe wepesi brother kwa njia hii unayoipitia akupe Subra na uvumilivu mkubwa. Mungu wetu mwema anamuita mja kwa sekunde,saa au muda anaotaka yeye! lala mahari pema Shammy umetangulia tu njia yetu sote.

Happybday
09/06/2020

Happybday

Huyu mama  nampenda tu mimi yaani. Unamkumbuka marehemu Omari kopa? mtoto wa huyu mama ni alipigana kipindi kile mpaka O...
11/05/2020

Huyu mama nampenda tu mimi yaani.
Unamkumbuka marehemu Omari kopa? mtoto wa huyu mama ni alipigana kipindi kile mpaka Omari akawa msanii mkubwa wa Taarabu mungu akampenda zaidi mama huyu akashukuru tu.
Leo zuchu yuko usafini kwa sababu ya mama wakati natazama mahojiano yale ya kwa chini nikaona mahojiano mengine ya akiwa analia nikasema siwezi kuacha ipite Loh! kumbe tayari alishaamua kuchukua njia nyingine ya kuajiliwa baada ya WASAFI kuwa hawamtoi ila mama alikuwa anamkataza asiajiliwe ili tu aendelee kusubiri kwenye mziki wakati huo mama amemsomesha mtoto huyo India leo hataki haajiliwe kwa sababu ya kipaji.
Ndugu zangu bado tunajiuliza UMAMA NI NINI?
Ona sasa kwa sababu ya mama leo nasikiliza kipaji kikubwa alicho nacho mdada huyu ona sasa leo sababu ya mama maisha yanaenda kubadilika ya mdada huyu kupitia kwenye label kubwa na yenye heshima kwa sasa Africa.
Asante kwa Wcb kwa kumpokea mtoto kutoka kwa mama na kuamini kipaji chake zuchu huyu ni zaidi ya star wa k**e tunaemtegemea Africa.
Anajua kuimba huyu dada anajua kutunga watoto wa mtaani kwetu watakuambia huyu demu hatari!Eeh hatari k**a ujio wake EP ya (Im Zuchu) unaona unaenda kuchangia kitu kwenye mziki wetu wa Tanzania na pia utakuja kusaidia maisha yake ila siku moja atakuja kusaidia watu wengine wenye vipaji k**a alivyosaidiwa yeye.
Wapenda mziki eeh huyu Zuchu ni msanii mkali ambae tukimsaport ki ukweli tutakuwa tumesaidia kipaji cha kweli na chenye kutuburusha kwa sababu ya uwezo wake mkubwa mimi kwa macho yangu huyu naona ni msanii wa k**e ambae anakuja kufanya vitu vingi ambavyo wasanii wa k**e wangine hawakufanya( Tulizeni mtima tutajionea mbele)
Mwisho UMAMA NI NINI
Jibu....Katika historia na utamaduni wa makabila na mataifa mengi, umama ni sifa maalumu ya mwanamke inayotangaza kuwa amekomaa na kukamilika kwa kuendeleza uhai wa binadamu kadiri anavyoelekezwa na umbilelake upande wa mwili na wa nafsi.
MWISHO......Mama kwa ajili ya mama!

Kuna siku moja hivi wakati bado niko mtoto nilitoroka nyumbani baada tu ya kujua kuwa siku hiyo nitachezea mboko kwa sab...
10/05/2020

Kuna siku moja hivi wakati bado niko mtoto nilitoroka nyumbani baada tu ya kujua kuwa siku hiyo nitachezea mboko kwa sababu sikwenda shamba kumwagilia bamia na matango jioni mimi nilienda kucheza mpira.
Tena kipindi hiko ni golikipa wa kutegemewa sana kwenye timu yangu( Kuna mtu k**a atabisha) ila sitaki kubishana nae kwa sababu watu nilikuwa nakaa nao kibaha Tanita,Kwa mathiasi watakuwa wanajua.
Sasa ndugu zangu baada ya kutoroka nyumbani nikajua mama atanitafuta bwana ila haikuwa hivyo mpaka ile siku ikaisha mimi nikalala kwa shangazi ila moyoni niliumia sana nikahisi mama hainipendi kabisa.Siku iliyofuata nikarudishwa nyumbani na shangazi nilikuwa muoga ila mama alinipokea vizuri sana na story zikaendelea kwa vicheko mpaka nikawa na amani moyoni ikafika muda shangazi aliaga na kuondoka hapo sasa ndio nilijua nini kilichomtoa kanga manyoya, Unajiuliza? (Nilikula bakora kwa makosa mawili siyo moja tena)
Ila yale yote mafunzo aliyonipa MAMA leo ndio njia zangu za maisha. Tafakari UMAMA NI NINI?
Juzi niliwaza sana kuhusu UMAMA wakati huo nasikiliza wimbo unaitwa KWARU wa dada mmoja anaitwa ZUHURA eeeh ndio yule unaemjua kwa jina la hakika sauti yake iliifanya ngoma iliyokuwa kwenye masikio ipeleke taarifa haraka kiasi nikajikuta natamani kusikiliza zaidi na zaidi.Nikasema moyoni sasa huyu si ndio ametambulishwa wasafi? ooh mungu wangu huyu mtoto anasauti tamu na mashairi ya moyonikabisa.Nikamkumbuka ingekuwa kipindi kilee tayari angekuwa ameshanicheki kwa ajili ya zuchu nikasema hapa wasafi wameninyima haki ya kumfaidi huyu dada mapema( Mafisi watakuwa na maana yao)
Macho yakatamani kumuona Zuchu nilipiga vizinga kupata ela ya kuunga bando niingie youtube nilichelewa lakini usiku sana nikafanikiwa kuingia jamani wimbo ulikuwa na siku kadhaa lakini viwes za kutosha.
Hamu yangu ya kumfaidi huyu dada ikawa kubwa sana nikataka kujua alifika vipi WASAFI? Ndio! nikatafuta mahojiano ya boss akisema kuwa zuchu alipelekwa wasafi na mama yake!
Oh mama ni yule malkia wa mipasho Tanzania hapo ndio nikaanza kutafakari UMAMA NI NIN?
Itaendeleaa...

Address

Msasani
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hancy vipaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hancy vipaji:

Videos

Share

Nearby media companies


Other Media/News Companies in Dar es Salaam

Show All