SeTv Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SeTv, TV Channel, Dar es Salaam.

14/10/2024

KANUMBA THE GREAT

28/06/2024
18/01/2024

Unatoa Alama ngapi kwa Mwamba huyu?

14/01/2024

MELI IKIWA UFUKWENI HUWA SALAMA ZAIDI KULIKO IKIWA KATIKATI YA BAHARI IKIFANYA SHUGHULI ZAKE LAKINI IKUMBUKWE KUWA MELI HAIKUTENGENEZWA KUKAA UFUKWENI"
======================================

Watu wengi wameshindwa kuwndelea kutumia talanta zao kwakuhofia changamoto. Ni ukweli usiopingika kwamba ukikaa pembeni unaweza kuwa salama k**a meli inavyoweza kuwa salama inapoamua kurelax ufukweni lakini wewe hukuumbwa kuja duniani kutalii, kuna sababu kubwa ya wewe kuibadili dunia lakini tatizo lako unaogopa changamoto katika kukipa uhai kipaji chako. Meli ikipaki ufukweni kwa muda mrefu kunahatari ya baadhi ya vital kuharibika, na uwezo wake uliokusudiwa ukashuka. Kipaji lazima kinolewe na kinachonoa kipaji ni changamoto. Usipokukubali kutumika hatutajua uwezo wako na hatutajua tukurekebishe wapi.

Wewe ni mshindi hukubwa kuna duniani kutalii Bali kutimiza agizo uliloitiwa hapa duniani. Usikae penbeni, ingia ulingoni pambana mkuu.

By Mc_mecktz
Tanga Tz

16/09/2023

JUA KALI; Kimeumana Mr. Thomas na Frank.

https://youtu.be/hyxQNak8NsQ
30/08/2023

https://youtu.be/hyxQNak8NsQ

Baada Dr. Cassypool anayejitafutia umaarufu nchini Tanzania kwa kudai kuwa Watanzania HAWAJUI KIINGEREZAWatanzania wamemjibu kwa vitendo kuwa Tanzania sio ka...

15/08/2023

Huko Kenya kimeuma. Nadhani jamaa angesamehe tu au unasemaje?

29/07/2023

FAHAMU MATUMIZI YA GIA L, 2 NA 3 KATIKA GARI AUTOMATIC

Katika gari za Automatic kuna gia za L, 2, na 3. Watu wengi hawafahamu kiundani matumizi ya gia hizi hivyo mara nyingi hujikuta wanakosea wapi na namna ya kuzitumia. Katika maelezo haya hapa chini, tumekufafanulia namna ya kutumia gia hizo.

Kwanza kabisa ujue katika hali ya kawaida gari lako linapaswa kuwa katika D (Drive) na hii inategemeana na mazingira ya barabara na hali ya hewa k**a ni nzuri. Lakini 2, 3, hutumika tu pale unapokuwa aidha unateremka au unapanda mlima mkali na unataka ushuke au upande kwa spidi isiyozidi 40/60, hapo ndipo unaruhusiwa kutumia 2, na 3.

Namba 2, 3 na L ina maana kuwa unalock giaboksi (gearbox) ili gia zisibadilike (+/-) k**a ambavyo zinabadilika ukiweka D. Itambulike kuwa unaweza kubadili kutoka D kwenda 2 au 3 wakati wowote gari inapokuwa katika mwendo ila hakikisha usiwe katika mwendokasi wa zaidi ya 40/60. Maana kinachofanyika ni kwamba D inasababisha sahani (disk) zilizomo ndani ya gearbox kufanya kazi na hii husababisha ile hydrolick iliyomo kupata joto linalotoka katika zile sahani ambalo joto lile husababisha gearbox kutokuwa na nguvu ile ile (Constant velocity) na ndiyo maana ukiweka 2, 3 au L, Gearbox inakuwa kwenye lock na sahani hazisuguani maana inakuwa inatumika sahani (Disk) moja tu.

Hii inasaidia hydrolick kupoa pia na ndiyo maana gari huongeza nguvu kwa ghafla.

Gia L inatumika pale unapokuwa aidha umekwama au unavuta gari jingine au tela, lakini inapaswa itumike kwa muda mfupi sana maana ina nguvu na inaongeza ulaji wa mafuta. K**a ukishatoka katika mkwamo na unaona bado barabara siyo nzuri labda utelezi au unavuta mzigo kwa mwendo mrefu basi unaweka 2 au 3 na wakati huo huo unaweza kuweka hata D k**a hali ya njia na mzigo vinaruhusu na unaweza kuongeza walau spidi 40/60 au zaidi k**a utaweka D.

Kwa maana rahisi zaidi ni kwamba, gia 2, 3 na L zinafanya kazi k**a gari ya manual transmission na hii inakuwa rahisi kwa yeyote ambaye anafahamu kuendesha manual.
Jiunge na group la madereva Tanzania nzima telegram gusa link hii bure kabisa>≥> https://t.me/KijiweChaMaderevaTanzania
KIJIWE CHA MADEREVA TANZANIA

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SeTv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All