Vann't boy

Vann't boy If you need the very interesting story and help you in our daily life tell me 0767001513

Kwaajili ya muendelezo na story mbalimbali nicheki0767001513
01/09/2024

Kwaajili ya muendelezo na story mbalimbali nicheki

0767001513

01/09/2024

PENZI LANGU MATATANI
INAENDELEA
Lakini sikumoja Anna alikuwa anapita njiani alikutana na kijana mmoja alikuwa na hela sana, huyo kijana aliyetokea kumpenda anna, aliamua kumuita Anna na kuanza kuongeanaye, baada ya kuongea na Anna kwa mda mlefu akaamua kumelezea Anna hisia zake juu yake kuwa anampenda, lakini anna alikataa kabisa, na kuwa mimi kwanza ni mtoto wa masikini, pia ni mfanyakazi wa ndani katika nyumba ya bosi wangu na teyale ninampenzi wangu, lakini Yule kijana baada ya kukataliwa na anna aliumia sana, huku alisema pamoja na pesa zangu zote hizi amenikata, lakini akajisemea moyoni kuwa siwezi kukubali mpaka nimpate.
Basi Yule kijana baada ya kusikia kuwa Anna ni mfanyakazi wa ndani, ilimbidi amfuatiliye mbaka ajue kwenye nyumba anayofanyia kazi Anna, na baadaye alifanikiwa kipajua anapoishi Anna, baada ya wiki moja Yule kijana alienda mpaka kwenye nyumba anayoishi anna na kukutana na baba mwenye nyumba na kutaka amsaidie ampate Anna mfanyakazi wake halafu atampa pesa nyingi baada ya kumpata Anna.
Baba mwenye nyumba alikubali kumsaidia yule kijana, akaamua kusafili kwenda mpaka nyumbani kwa wazazi wake Anna kijijini kukutana na wazazi wake, alifika na baada ya mda kupita alianza kuwaelezea wazazi wa Anna, kuwa mtoto wenu ametokea kupendwa na kijana mmoja anapesa nyingi na ameahidi kuwa mkikubali tu amuowe binti yenu, basi familia yenu yote ataipeleka mjini na mtaishi katika nyumba nzuri sana.
Basi baada ya kusikia hivyo familia ya Anna walikubali binti yao kuolewa na huyo kijana ili waweze kupelekwa mjini kwani maisha ya kijijini yalikuwa ni magumu, baada ya mda aliondoka yule bosi wake Anna na kuludi mjini, baada ya kufika akamfuata Anna na kumwambia kuwa kuna mtu anataka kukuowa na amehaidi kuileta familia yako mjini na wazazi wako nimewaambia wamekubali, Anna akasema lakini mimi mbona sitaki kuolewa na huyo kijana, pamoja na kukataa baadae alikubali kwasababu wazazi wake wamesema na hapendi kuwapinga wazazi wake, pia na yeye alitamani wazazi wake

01/09/2024

PENZI LANGU MATATANI
INAENDELEA
Anna akamua amuage john na kumwambia asiwaze hata msahau, na watakuwa wakiwasiliana kwa kutumia Barua pindi wanapotaka kuwasiliana.
Siku zilienda ikafika mda wazazi wake John walitaka aowe, kulingana na tamaduni zawo zinaonesha umri wake wa kuowa umefika, lakini John alikuwa hataki kabisa kwani alikuwa bado anampenda sana Anna, hatak**a alienda mjini lakini aliamini ipo siku watakutana na Anna na wataowana.
Bado wazazi wake walizidi kumsisitiza John aowe, lakini John bado alikuwa amesimamia msimamo wake, ikafika kipindi ilibidi wazazi wake wamtafutie mwanamke ambaye atakubali kuolewa na John, lakini bado John alikataa kumuowa huyo mwanamke aliyetafutiwa na wazazi wake, kitendo hicho kiliwafanya wazazi wake John kukasilika sana, kwasababu John ameshindwa kuwasikiliza kabisa.
Na baadaye wazazi wake John waliamua kumfukuza John nyumbani kwao mbaka pale atapokubali kuowa, lakini aliendelea kusimamia msimamo wake hawezi kumuowa mwanamke mwengine zaidi ya Anna, ilimbidi John aondoke nyumbani kwao na kwenda mjini kutafuta maisha na pamoja na kumtafuta Anna popote alipokwenda, baada ya siku moja kupita John alikuwa teyale ameshafika mjini.

PENZI LANGU MATATANIAlikuwepo John ambaye alikuwa na mpenzi wake anayeitwa Anna, tangu watokee kupendana na sasa ni mwak...
01/09/2024

PENZI LANGU MATATANI
A
likuwepo John ambaye alikuwa na mpenzi wake anayeitwa Anna, tangu watokee kupendana na sasa ni mwaka wa pili, pia walikuwa wanaishi katika kijiji cha Nazaramo, maisha ya wazazi wa John na Anna yalikuwa ni ya hali duni sana.
Ikafika kipindi John alitamani amuowe Anna kutokana na mapenzi ya dhati ya John kwa mchumba wake Anna, lakini penzi la John lilikuwa matatani kutokana na maisha magumu ya familia ya mchumba wake, kwasabau familia yake Anna walitaka kumpeleka Anna mjini kuwa mfanyakazi wa ndani, ili aweze kupata ela ambazo zitasaidia katika familia yake kijijini kwao kuishi pamoja na yeye mwenyewe.
Siku moja mama yake Anna alimuita Anna na kumwambia kuwa nimekutafutia kazi huko Mjini, kuna mtu mmoja alikuja alikuwa anahitaji mfanyakazi wa kazi za ndani ya nyumba wa k**e, nilipoangaliya maisha yetu naona ni magumu sana hata pesa ya matumizi ni ngumu kuipata, kwahiyo nahitaji wewe uende ukafanye kazi ili upate pesa kwaajili ya matumizi hapa nyumbani na wewe huko mjini, baada ya Anna kuambiwa na mama yake, hakuwa na namna nyingine ya kufanya, ilimbidi akubali kwasasabu akiangalia pia maisha yawo pale nyumbani kweli ni magumu sana, (Anna hakutaka kuonyesha kibuli kwa mama yake kabisa).
Baada ya mda Anna alienda kukutana na mpenzi wake John, baada ya kukutana, Anna alikuwa mtu mwenye huzuni mbele ya mpenzi wake, bila hata ya mpenzi wake kujua ilimbidi kumuuliza Anna mbona huna fulaha kabisa kanini, Anna akamwambia mpenzi wake kwamba wazazi wangu wameniomba niende mjini kufanya kazi wameshanitafutia, maana maisha yetu ni magumu hapa kijiini, (Anna hakutaka kumwambia mpenzi wake k**a anaenda kuwa mfanyakazi wa ndani), John baada kusikia kuwa Anna anataka aondoke, John alianza kulia sana kwani alikuwa anampenda sana Anna, huku akiwaza sana kwamba Anna baada ya kwenda mjini anaweza akamkosa kabisa, na akiangalia hana simu yeye wala Anna, lakini kulikuwa hakuna namna ilimbidi akubali Anna aende mjini ili kusaidia familia yake, Anna akamua amuage j

Soft copy kwa shilling elfu 2500 Kitabu kinaitwa maisha ya mtaani kina stori jumal tano (5) #  YA MTAANI # #Tell: 076700...
24/12/2023

Soft copy kwa shilling elfu 2500
Kitabu kinaitwa maisha ya mtaani kina stori jumal tano (5)
# YA MTAANI # #

Tell: 0767001513

23/11/2022
Kwenye hii picha Mwanaume hajui kuwa  chini kuna nyoka. Mwanamke pia hajui kuwa kuna jiwe limemkandamiza mwanaume. Mwana...
01/11/2022

Kwenye hii picha Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka.

Mwanamke pia hajui kuwa kuna jiwe limemkandamiza mwanaume.

Mwanamke anafikiria: "Nitaanguka! Na siwezi kupanda kwa sababu nyoka ataniuma! Kwa nini huyu hatumii nguvu zaidi kunivuta! "

Mwanamume pia anafikiria: “Nina maumivu sana! Hata hivyo bado ninamvuta kadri niwezavyo! Kwanini asiongeze bidii kupanda juu kidogo !? ”.

SOMO:
👉Huwezi kujua mwenzako anapitia nini, na mtu mwingine hawezi kuona maumivu uliyo nayo kwenye maisha, iwe ni kazi, familia, mahusiano au marafiki, tunapaswa kuelewana, kuaminiana na kutokuwaziana mabaya.

Muda mwingine usilaumu watu tu kuwa hawakusaidii, ooh hajanikopesha pesa, huwa hanipi pesa, hajanichangia mchango, hajanipa kazi, hatoi Connection nk.

Hujui wanachokipitia.
Inawezekana huyo Unayetaka akusaidie anapitia maumivu magumu kuliko wewe, zungumza naye muelewane hii itakusaidia kuacha kulaumu na kuondoa mawazo hasi kwa huyo unayemlaumu.

Hivi Hujawahi kuombwa msaada alafu ukiangalia una shida kuliko anayekuomba alafu yeye anadhani umemnyima?

Credit: LuoBoy Media

Cheka kidogo 😁😁😁 Share and like
26/10/2022

Cheka kidogo 😁😁😁

Share and like

🚨 YANNICK LITOMBO BANGALAKocha mkuu Mohamed Nasreddine Nabi amewajibu maswali mashabiki wa Yanga kuhusu Yannick litombo ...
14/09/2022

🚨 YANNICK LITOMBO BANGALA

Kocha mkuu Mohamed Nasreddine Nabi amewajibu maswali mashabiki wa Yanga kuhusu Yannick litombo bangala kuwa kwa nini asimchezeshe nafasi ya kiungo K**a msimu uliopita.

Nabi amesema anamfahamu vizuri Yannick litombo bangala toka miaka minne nyuma nafasi gani nzuri kwake anaweza kucheza kwa ufasaha,,Nabi amesema Yannick litombo bangala kwa sasa amemrudisha kwenye nafasi yake halisi ya beki wa Kati na kumpa majukumu yote ya kuanzisha mashambulizi Kutokea kwake kuanzia nyuma.

Ni kweli Bangala ana sifa zote za kuwa beki ambaye anaweza kucheza K**a kiungo na ndio maana msimu huu tumeongeza kiungo ili kuja kuleta kitu tofauti kwenye nafasi hiyo na kumrudisha nyuma Bangala wawe viungo watatu ambao wanaweza kuipa usawa timu kuisukuma timu kutokea nyuma na ndio maana kwa sasa unaweza kumwona Bangala anacheza juu ya mstari nyuma ya Aucho,, Feisal na kufanya kuwa na viungo wanne ambao wanaanza kufanya kazi sawa ya kuipa timu nguvu kushambulia kwa kasi na kumpa Uhuru namba 10 wetu kufanya mikimbio ya kumpa mshambuliaji mipira ya kufunga.

Yanga tuna wachezaji wazuri kila idara msimu huu na ndio maana nawambiaga wachezaji wangu kila mchezaji ambaye yupo Yanga basi anatakiwa kujitolea kwa jasho kuipambania timu,,nitampa kila mchezaji nafasi ya kucheza na ndio napendaga kufanya hivyo siku zote.

Mnadhani mnaweza kuona Aucho alivyopata majeraha nilikuwa naweza kumuingiza Bakari nondo Mwamnyeto na Bangala akacheza nafasi ya Aucho lakini nilimpa nafasi Mauya na akaonyesha kitu Bora kwenye nafasi yake hivi ndivyo nataka kuona kwa kila mchezaji wangu na lazima watambue Yanga ni timu kubwa sana.

Mwisho lazima mashabiki wetu watambue mpira unabadilika kila siku kutokana na mpinzani ambaye tunacheza nae na ndio maana unaweza kuona Kuna siku mchezaji labda K**a Fei Toto haanzi au K**a leo Azizi ki kanzia benchi haya ni Mambo ya kawaida tunaandaa timu kulingana na mpinzani ambaye tunacheza nae na lazima wajue hakuna mchezaji ambaye yupo juu ya mwenzie ama timu

RATIBA YA MECHI ZA LEO DUNIANI.Tanzania : NBC Premier League16:00 Tanzania Prisons vs Simba SCEurope : Champions League ...
14/09/2022

RATIBA YA MECHI ZA LEO DUNIANI.

Tanzania : NBC Premier League
16:00 Tanzania Prisons vs Simba SC

Europe : Champions League - Group Stage
19:45 AC Milan vs D. Zagreb
19:45 Shakhtar Donetsk vs Celtic
22:00 Chelsea vs Salzburg
22:00 FC Copenhagen vs Sevilla
22:00 Juventus vs Benfica
22:00 Maccabi Haifa vs Paris SG
22:00 Manchester City vs Dortmund
22:00 Rangers vs Napoli
22:00 Real Madrid vs RB Leipzig

England : Championship
21:45 Luton vs Coventry
21:45 Millwall vs QPR
21:45 Norwich vs Bristol City
21:45 Rotherham vs Blackpool
22:00 Reading vs Sunderland
22:00 West Brom vs Birmingham

Morocco : Botola Pro
20:00 Union Touarga vs FAR Rabat

Rwanda : Premier League
16:00 AS Kigali vs Musanze
19:30 Rayon Sport vs Rwamagana City

Saudi Arabia : Saudi Professional League
18:55 Al Taee vs Al-Fateh
21:00 Al Adalh vs Al-Shabab

South Africa : Motsepe Foundation Championship
16:00 Baroka vs Pretoria Callies
16:00 Black Leopards vs MM Platinum
16:00Platinum City vs Tshakhuma
16:00 Pretoria U. vs Cape Town Spurs
16:00 Uthongathi vs Hungry Lions







🇹🇿


If someone make you happy make them happierSikuzote jitahidi kujiweka mbali na mtu ambaye anakufanya usiwe unafulaha San...
31/08/2022

If someone make you happy make them happier

Sikuzote jitahidi kujiweka mbali na mtu ambaye anakufanya usiwe unafulaha San hat Kam ww unamjali kihasi gani lakin yeye aoneshi nia ya kukufanya uwe na fulala labla kukupa moyo , ushauli au kukujali Bali unatakiwa kumfanya mtu anayekupa fulaha na wewe kumpa kufaha hii inatokana na kumjali na kumthamini.

inspired
a multiple person
speaker
Sikiliza na elimika

Pray, trust and waitSikuzote subila ni msingi mkubwa wa malengo yoyote dunian na imekuwa ni vigumu kwa watu wengi kuwa n...
29/08/2022

Pray, trust and wait
Sikuzote subila ni msingi mkubwa wa malengo yoyote dunian na imekuwa ni vigumu kwa watu wengi kuwa na subila Kwan uvumilizu unakatisha tamaa katita ndoto za watu wengi hata Mimi uvumilivu ni kitu bado sijafanikiwa kukiweza kwa asilimia kubwa Sana lakini najalibu kuendelea kupambania hivyo hivyo na kitu ambacho kinaweza kikakusaidia kushinda ni sala na kuomba pasipo mungu mwadamu awezi chochote kumbuka hata hiyo ndoto unayoipambania mungu ndiye amekupa ndiye atakayekuwezesha kufikia ndoto yako. Pia vyote hivyo unaweza ukawa unaomba Sana pia ni mvumilivu pasipo kuwa mkweli uwezi fikia ndoto zako namaanisha njia ambazo unapitia kutafuta mafanikio he ni sahii ambazo hazipo kinyume na maadili au tamaduni zenu .
dream is coming true
inspired
a multiple person

28/08/2022
✍️✍️✍️Always problem is the way that make you fighting. means through problem it make your self to be judged why me ? Wh...
28/08/2022

✍️✍️✍️

Always problem is the way that make you fighting. means through problem it make your self to be judged why me ? Why me ? And this always I believe it make you try another way sometimes thinking better about your life .and the way you thinking better about your life there are some changes come on your mind 😉 and through those mind challenge thinking it allows you brain growth and starting feel happy by saying in our hearts one day yes let tell example in failure the examination always you feel sad Everytime then there are some word come to your mind one day I pass and reach my dream so need to allow you mind to feel sad Everytime when you failure something it make some changes 😔 get another way to pass your goals 😍 is the same to this word STARS CAN'T SHINE WITHOUT DARKNESS 💪 means darkness ni giza na giza ni matatizo na stars ni malengo kwahiyo ili uweze kuyafikia malengo yako unatakiwa kuwa mvumilivu usione Kam matatizo ndio kushindwa Bali matatizo ndio njia ya kukufanya ww upambane uwaze vitu vingi ambavyo vitakusogeza katika malengo .

The king of inspirations

inspired

multiple person

✍️✍️✍️✍️Sikiliza na elimika Vann't boy
24/08/2022

✍️✍️✍️✍️
Sikiliza na elimika Vann't boy

✍️✍️✍️Sikiliza na elimikaWORDVann't boy
24/08/2022

✍️✍️✍️
Sikiliza na elimika
WORD
Vann't boy

Zamalek sporting club wapo teyale kushangilia ubingwa wao ✍️✍️Zamalek SCSikiliza na elimikaVann't boy
24/08/2022

Zamalek sporting club wapo teyale kushangilia ubingwa wao ✍️✍️
Zamalek SC
Sikiliza na elimika
Vann't boy

Swali ? Fumbofumbua✍️Mtu mmoja alilipotiwa kujiuwa mwenyewe kwa kujilusha Toka golofani Hadi shini akaitwa mpelelezi aje...
22/08/2022

Swali ? Fumbofumbua✍️
Mtu mmoja alilipotiwa kujiuwa mwenyewe kwa kujilusha Toka golofani Hadi shini akaitwa mpelelezi aje kupeleleza mauaji hayo.
Alipofika mpelelezi akapanda akaingia chumba Cha juu kabisa , akafungua dilisha akatoa sarafu akairusha chini kwa usawauleule alipodondoke malehemu akafanya hivyo kwa madirisha yote ya upande yalikotokea mauaji Kisha Mpelelezi akagundua kuwa marehemu ajajiuwa mwenyewe Bali Kuna watu waliohusika na kifo !
Swali?
Je nikigezo kipi alichotumia mpelelezi kutambua kuwa marehemu ajajiuwa mwenyewe Bali Kunawatu waliohusikanakifohicho✍️✍️

Address

Kihesa
Dar Es Salaam
51222

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vann't boy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vann't boy:

Videos

Share


Other News & Media Websites in Dar es Salaam

Show All

You may also like