Tapla Media

Tapla Media 𝑭𝒓𝒐𝒎 𝑬𝒂𝒔𝒕 𝑚𝒇𝒓𝒊𝒄𝒂,𝑻𝒂𝒏𝒛𝒂𝒏𝒊𝒂
•Author | Editor |News writer
•Social Net.Operator & Presenter. Entertainment||Sports||Politics||Trends||Active 24/7HRS

  :-Makamu wa Rais wa Marekani, **alaharris , amewasili nchini Tanzania ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ...
29/03/2023

:-Makamu wa Rais wa Marekani, **alaharris , amewasili nchini Tanzania ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. , katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.

  :-Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. **alaharris awasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Sa...
29/03/2023

:-Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. **alaharris awasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
-
Ni ziara rasmi nchini Tanzania kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt

  :- 💭 Hon.  ••••••••••••
01/03/2023

:- 💭 Hon.

•
•
•
•
•
•
•
•
•
•
•
•

KHERI YA SIKUKUU YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA.tanzania
09/12/2022

KHERI YA SIKUKUU YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA.tanzania

  :•Kupitia Chanzo cha kuaminika cha Habari za Burudani toka nchini Marekani cha Hollywood Unlocked, imeripoti usiku huu...
01/11/2022

:•Kupitia Chanzo cha kuaminika cha Habari za Burudani toka nchini Marekani cha Hollywood Unlocked, imeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) Rapa wawili katika kundi la Migos ambao ni Quavo na Takeoff wameshambuliwa vibaya kwa risasi mjini Houston huku Rapa akiripotiwa tayari amekwisha kupoteza maisha.
-
Pia, Mtandao huo umeeleza kwamba wanapicha za uthibitisho za kifo hicho lakini hawawezi wakazishare mitandaoni. Marehemu rapa TakeOff amefariki akiwa na umri wa miaka 28.





Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

  :•   :• Mieleka (WWE) ni mchezo wa maigizo lakini yenye uhalisia. Kila kinachofanyika kimepangwa tayari (scripted) na ...
10/10/2022

:• :• Mieleka (WWE) ni mchezo wa maigizo lakini yenye uhalisia. Kila kinachofanyika kimepangwa tayari (scripted) na wapiganaji huwa wanajua lakini unachokiona kina uhalisia ndiyo maana kuna muda wanaumia. Kwa ufupi Mieleka' wanakuonesha kile wanachotaka uone na sio uhalisia wa kinachotokea.






Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
.

  :•   :•Siku ya Leo Oktoba 10,2022 Uongozi wa Konde Music Wordwide (Kondegang) umetangaza kuagana na kusitisha mikataba...
10/10/2022

:• :•Siku ya Leo Oktoba 10,2022 Uongozi wa Konde Music Wordwide (Kondegang) umetangaza kuagana na kusitisha mikataba ya Wasanii Ally Kili Omary al-maarufu k**a ( Killy ) na Rashid Daudi Manga al-maarufu k**a ( Cheed ) kwasababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wa Konde Music.

Taarifa rasmi ya Konde Gang imeeleza ;-
“Wasanii hawa watakuwa Wasanii huru na kufanya kazi na kuingia mkataba na Kundi au Mtu yeyote na kuendeleza kazi zao kwakuwa tunaamini ni Vijana Wasanii wenye uwezo mkubwa wa kufanikiwa katika safari ya muziki”

“Aidha, Konde Music Worldwide haitahusika na jambo lolote litakalohusisha Wasanii hawa kuanzia leo, tunapenda kuwashukuru Killy na Cheed Kwa ushirikiano wao katika kipindi chote cha kuwa pamoja na tunawatakia mafaniko mema katika kazi zao hapo baadaye“ .




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  :•   Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Feisal Salum, al-maarufu k**a   ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi...
10/10/2022

:• Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Feisal Salum, al-maarufu k**a ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Septemba huku Hanour Janza ambaye alikuwa Kocha Mkuu wa Namungo akitangazwa kuwa kocha bora wa mwezi Septemba.






Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  :•"Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa kwa kiasi kikubwa, ndani ya mwaka 1 bidhaa kutoka Kenya kuja Tanzania zi...
10/10/2022

:•"Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa kwa kiasi kikubwa, ndani ya mwaka 1 bidhaa kutoka Kenya kuja Tanzania zimeongezeka kutoka shilingi bilioni 31 hadi bilioni 45, bidhaa zilizosafirishwa kutoka Tanzania kwenda Kenya zimeongezeka kutoka shilingi billioni 27 - 50" -Rais William Ruto

"Hatuwezi kugawana umasikini na njaa lakini tunaweza kugawana utajiri na fursa na kuvikuza pamoja, kwahiyo nawaambia ndugu zangu Watanzania ile historia ya zamani ya mabishano tumeiweka nyuma tunataka kujenga urafiki wenye faida kwa pande zote mbili " -Rais William Ruto
-
•Rais wa Kenya William Ruto yupo nchini Tanzania kwa ziara rasmi ya siku mbili akiwa ameambatana na Mkewe Rachel Ruto ambapo leo amekutana na Mwenyeji wake Rais Samia Ikulu Dar es salaam na kufanya mazungumzo.



Chanzo: Nipashe


Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
.

  :•   :•Andiko la Wakili ‘Bashir Yakub’ kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kab...
08/10/2022

:• :•Andiko la Wakili ‘Bashir Yakub’ kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa.
-
•Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu chochote kibaya wakati wa kumuona.
-
•Anayenyimwa haki hiyo anaweza kufungua malalamiko Mahak**a ya Mwanzo au ya Wilaya iliyopo ndani ya eneo analoishi mtoto (Awe na chini ya miaka 18).
-
•Sababu za kumtima mzazi haki hiyo kwa madai hatoi matunzo au alimtelekeza Mtoto hazina mashiko kisheria, kwani mzazi au mlezi naye ana haki ya kufikisha malalamiko yake Mahak**ani kuhusu madai yake hayo lakini si kumnyima mzazi mwenzake haki ya kumuona mtoto.




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  :•Hatimaye namba ‘D’ iliyokuwa ikitumika kwa usajili wa magari hapa nchini Tanzania yafikia mwisho na hivyo kuruhusu n...
24/08/2022

:•Hatimaye namba ‘D’ iliyokuwa ikitumika kwa usajili wa magari hapa nchini Tanzania yafikia mwisho na hivyo kuruhusu namba mpya ‘E’ kuanza kutumika rasmi kwa ajili ya usajili wa magari mapya hapa nchini Tanzania.
-
•Itakumbukwa kwamba namba ‘D’ ndiyo namba ambayo imeweka rekodi ya kutumika kwa muda mrefu Zaidi kwa ajili ya usajili wa magari hapa nchini ukilinganisha na namba nyingine k**a ‘A’, ‘B’, ‘C’. ambazo zilitumika kwa muda mfupi, ambapo inakadiriwa kwamba namba D imekuwa ikitumika kwa Zaidi ya miaka 6 tangu ilipoanza kutumika mwaka 2014.
-
•Kutumika kwa namna ‘D’ kwa muda muda mrefu kulisababishwa na kupungua kwa kasi ya uagizaji wa magari mpaka pale ilipofikia mwezi Machi, 2021 ambapo ongezeko kubwa la uagizaji wa magari kutoka nje ya nchi ulishuhudiwa na hivyo kupelekea namba ‘D’ kuanza kutumika kwa kasi hadi kufikia mwisho wake wa matumizi.




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

  :•Mkongwe wa mchezo wa kupigana Mike Tyson (56) aonekana akiwa mdhoofu kwenye kiti cha magurudumu katika uwanja wa nde...
19/08/2022

:•Mkongwe wa mchezo wa kupigana Mike Tyson (56) aonekana akiwa mdhoofu kwenye kiti cha magurudumu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Miami.
-
•Tyson ambaye ni mmoja wa mabondia waliofanikiwa sana kwenye mchezo huo duniani alistaafu mwaka 2005, hata hivyo amekuwa akirudi ulingoni mara kadhaa katika mfumo wa maonyesho.

Taarifa zinasema kuwa Tyson anasumbuliwa na matatizo ya mgongo yanayotokana na jeraha.

Hivi karibuni akiwa jijini New York bondia huyo mstaafu alihitaji kutumia fimbo ili kuweza kupata balansi ya kutembea.

Picha hizi zimezua wasiwasi kwa mashabiki zake baada ya hivi karibuni Tyson kuutabiri mwisho wake kupitia kipindi cha HotBoxin ambapo alisema;-

”Wote tutakufa siku moja bila shaka. Nikijiangalia kwenye kioo, nayaona mabadiliko usoni mwangu, hii inaamaanisha tarehe ya kumalizika kwangu iko karibu.”





Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

.

  :•   :•Basi la Mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanaenda Arusha kwenye mchezo dhidi ya Coastal union kesho limepata a...
19/08/2022

:• :•Basi la Mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanaenda Arusha kwenye mchezo dhidi ya Coastal union kesho limepata ajali maeneo ya mwaitemo karibu na msata.
-
•Taarifa Kutoka kwa mmoja wa shuhuda wa ajali hiyo amesema hali ni mbaya sana kwa majeruhi ambao walikuwa kwenye basi hilo.

Chanzo:




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

09/08/2022

:•Baada ya Kusambaa kwa taarifa mbalimbali mtandaoni kuhusu Msanii kufungiwa na Baraza la Sanaa La Taifa (BASATA) baada ya kuingia na jeneza siku ya .
-
Katibu Mtendaji wa BASATA Dkt. Kedmon E. Mapana amezungumza na Waandishi wa Habari kuelezea mkasa mzima.

Unaweza kuitizama full kwenye YouTube channel yetu ya 𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀.



Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

  :•Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, Msanii Kizz ...
08/08/2022

:•Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, Msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria amek**atwa na Polisi.
-
•Chanzo kutoka kwa waratibu wa shoo hiyo kimeeleza kuwa msanii huyo alichelewa ndege kutoka Nigeria na kuwasili Dar es Salaam usiku mwingi muda mfupi kabla ya shoo kuanza.
-
•Mara baada ya kuwasilia Dar ikagundulika kuwa begi lake la nguo halionekani.

•Usiku huohuo simu zikaanza kupiga sehemu tofauti ili msanii huyo apate nguo, baadaye zikapatikana baadhi ya nguo lakini alizikataa zote, hadi inafika saa tisa usiku hakukuwa na mwelekeo na mwisho hakutokea kwenye shoo.




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

  :•Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu k**a Mkongo...
28/07/2022

:•Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu k**a Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Vi**ra).
-
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Masanja Malebo, ametoa kauli hiyo Julai 27, 2022 mjini Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari.
-
Profesa Malebo alisema Baraza katika uchunguzi wake, lilibaini dawa iitwayo 'Hensha' maarufu k**a 'Mkongo', yenye usajili namba TZ17TM0027, ilikutwa imechanganywa na dawa ya kisasa ya nguvu za kiume iitwayo sildenafil, kwa jina maarufu la biashara Vi**ra ama Erecto.
-
Alisema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na miongozo ya usajili wa dawa za tiba asili na mbadala.

Alisema kituo hicho kimetakiwa kuhakikisha kinaiondoa sokoni mara moja dawa hiyo, vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mmiliki.

CHanzo: Habari Leo




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

27/07/2022

:•VDIEO: Alamba dili la Ubalozi, Mapenzi yake kwa Yanga zaidi kuliko Simba/ arusha kijembe "Kazi yao kunitukana....." Unaweza tizama full kupitia link 👉🏜 https://youtu.be/57P772OPWfM au link ipo kwenye Bio👆🏜.




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

  :•📋 Kutoka kwa .tanzania                                                                    Tafadhali tembelea Kurasa ...
23/07/2022

:•📋 Kutoka kwa .tanzania




Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM👉🏜@𝐭𝐚𝐩𝐥𝐚𝐊𝐞𝐝𝐢𝐚

YOUTUBE👉🏜@𝐓𝐀𝐏𝐋𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀
(Subscribe, Like👍🏻, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsante®

•
•
•
•
•
•
•
•
•
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  ғᎏʟʟᎏᎡ ᮍᮇ ᎋᎡᎀ ʜᎀʙᎀʀɪ ᎍ᎘ʏᎀ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

  .

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tapla Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tapla Media:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share