17/09/2024
BORESHA BIASHARA YAKO MTANDAONI, najua umechoshwa kupoteza PESA kufanya matangazo ambao hayakupi matokeo mazuri…
Na pia inawezekana watu wanakutafta lakini wanaishia kuuliza tu
Ama unafanya matangazo yaani sponsored ads aidha fecebook au Instagram lakini hakuna matokeo yoyote unayopata na hakuna pesa unayokatwa
Lakini inawezekana unashindwa kabisa kufanya matangazo aidha kwa kukosa ujuzi wa namna bora ya kufanya matangazo au akaunti yako imefungwa.
Na umekuwa ukifungiwa whatsapp yako mara kwa mara leo ndio mwisho tutakupa suluhisho..
Changamoto zote hizo zinaweza kusababishwa na kutokuwa na ujuzi sahihi wa kufanya matangazo ya kulipia yaani sponsored ads facebook na Instagram hivyo unashindwa kufuata kanuni na taratibu za kufanya matangazo hivyo akaunti yako kufungiwa ama kukutana na changamoto zifuataza
Account disabled..
No permission..
You can’t run ads..
Ad account not found..
Account based in Russia..
Whatsapp yako kufungiwa
Account disabled due to temporary hold of fund failure
Kuwa na madeni yaliyokuwa makubwa sana..
Kupitia benja media solution program tutakufundisha namna sahihi ya kufanya matangazo ya kulipia mtandaoni kupitia training zetu ambazo ziko za online ama one to one kwa maana kuonana na kukufundisha..
Pia tutarekebisha akaunti yako yenye changamoto na kukupa warranty ya mwezi mmoja kufuatilia akaunti yako…
Wasiliana nami 0764661680 kwa msaada na ushauri zaidi