Kido Sports

Kido Sports Sports
(1)

FULL TIME : EURO Qualification NETHERLANDS 🇳🇱  1️-0️ IRELAND 🇮🇪 ⚽️ 12" Weghorst FULL TIME SWITZERLAND 🇨🇭  1️-1️KOSOVO 🇽🇰...
19/11/2023

FULL TIME : EURO Qualification

NETHERLANDS 🇳🇱 1️-0️ IRELAND 🇮🇪
⚽️ 12" Weghorst

FULL TIME

SWITZERLAND 🇨🇭 1️-1️KOSOVO 🇽🇰
⚽️ 47" Vargas ⚽️ 82" Hyseni

FULL TIME

ISRAEL 🇮🇱 1️-2️ ROMANIA 🇷🇴
⚽️ 2" Zahavi ⚽️ 10" Puscas
⚽️ 63" Hagi
FULL TIME

FRANCE 🇫🇷 14 -0️ GIBRALTAR 🇬🇮
⚽️ 3" Santos (og) 🟥 18" Santos
⚽️ 4" Thuram
⚽️ 16" Zaire-Emery
⚽️ 30" Mbappe (p)
⚽️ 34" Clauss
⚽️ 36" Coman
⚽️ 37" Fofana
⚽️ 63" Rabiot
⚽️ 65" Coman
⚽️ 73" Dembele
⚽️ 74" Mbappe
⚽️ 82" Mbappe
⚽️ 89" Giroud
⚽️ 90+1" Giroud

FULL TIME : Friendly

GERMANY 🇩🇪 2️-3️ TURKEY 🇹🇷
⚽️ 5" Havertz ⚽️ 38" Kadioglu
⚽️ 49" Fullkrug ⚽️ 45+2" Yildiz
⚽️ 80" Sari (p)



🟥

FULL TIME :caf  SENEGAL 🇸🇳  4️-0️ SOUTH SUDAN 🇸🇸 ⚽️ 1" Sarr⚽️ 6" Mane⚽️ 45" Camara ⚽️ 56" Mane (p)
18/11/2023

FULL TIME :caf

SENEGAL 🇸🇳 4️-0️ SOUTH SUDAN 🇸🇸
⚽️ 1" Sarr
⚽️ 6" Mane
⚽️ 45" Camara
⚽️ 56" Mane (p)

Beki za taifa stars kweli zinapambana sana , ila washambuliaji warekebishe makosa madogo madogo ya kupoteza nafasi za ku...
18/11/2023

Beki za taifa stars kweli zinapambana sana , ila washambuliaji warekebishe makosa madogo madogo ya kupoteza nafasi za kufunga✔

Mwamnyeto aongeze umakini pia kuna makosa anayafanya ni ya kizembe sana✔

Mbwana samatta apewe maua yake leo kapambana sana✔👏

Sospeter bajana aisee👏 yule jamaa ni mkata umeme aswaa yani haogopi kukupunguza makali ya mpinzani kabla ujalisogelea eneo Tanzania✔🤛

Mnoga bonge moja la mchezaji✔👏👏

Ibrahim bacca Mamlaka makubwa uwanjani anacheza kibingwa sana kwenye majukumu anayopewa🤛👏🖐🏽

Novatus dismas Kipaji kingine kikubwa tulichojaaliwa watanzania aisee jamaa yupo moto sana🤛👏

Gusa link ikupeleke kwenye channel yetu ya WhatsApp👇👇

https://whatsapp.com/channel/0029VaEg1PYD8SE5T2mnYt2P

USHINDI WA KIBABE FULL TIME: WCQ CAF NIGER 🇳🇪 0️-1️ TANZANIA 🇹🇿                                 ⚽️ 56" M'Mombwa
18/11/2023

USHINDI WA KIBABE

FULL TIME: WCQ CAF

NIGER 🇳🇪 0️-1️ TANZANIA 🇹🇿
⚽️ 56" M'Mombwa

MECHI ZA KIBABE LEOWorld Championship📢 - Qualification 16:00🧭South Africa➖Benin 19:00🧭Niger ➖Tanzania 22:00🧭Senegal ➖Sou...
18/11/2023

MECHI ZA KIBABE LEO

World Championship📢 - Qualification
16:00🧭South Africa➖Benin
19:00🧭Niger ➖Tanzania
22:00🧭Senegal ➖South Sudan

EUROPE:📢 Euro - Qualification
17:00🧭Armenia➖Wales
20:00🧭Belarus ➖Andorra
20:00🧭Latvia ➖Croatia
22:45🧭France ➖Gibraltar
22:45🧭Israel ➖Romania
22:45🧭Netherlands ➖Ireland
22:45🧭Switzerland ➖Kosovo

FULL TIME : EURO Qualification  ENGLAND  🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 2️-0️MALTA 🇲🇹 ⚽️ 8" Pepe (og)⚽️ 75" Kane FULL TIME  ITALY 🇮🇹  5️-2️ NOR...
18/11/2023

FULL TIME : EURO Qualification

ENGLAND 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 2️-0️MALTA 🇲🇹
⚽️ 8" Pepe (og)
⚽️ 75" Kane

FULL TIME

ITALY 🇮🇹 5️-2️ NORTH MACEDONIA 🇲🇰
⚽️ 17" Darmian ⚽️ 52" Atanasov
⚽️ 41" Chiesa ⚽️ 74" Atanasov
⚽️ 45" Chiesa
⚽️ 81" Raspadori
⚽️ 90+4" El Shaanawy

FULL TIME :

DENMARK 🇩🇰 2️-1️ SLOVENIA 🇸🇮
⚽️ 26" Mæhle ⚽️ 30" Janza
⚽️ 54" Delaney

FULL TIME

POLAND 🇵🇱 1️-1️ CZECHIA 🇸🇮
⚽️ 38" Piotrowski ⚽️ 49" Soucek

FULL TIME : CAF

IVORY COAST 🇨🇮 9️-0️ SEYCHELLES
⚽️ 20" Haller (p)
⚽️ 24" Sangare
⚽️ 36" Adingra
⚽️ 40" Konate
⚽️ 61" Fofana
⚽️ 77" Traore
⚽️ 84" Krasso(p)
⚽️ 90+4" Traore
⚽️ 90+6" Konate

? FULL TIME : WCQ CAF

TUNISIA 🇹🇳 4️-0️SAO TOME
⚽️ 37" Meriah
⚽️ 53" Msaksin
⚽️ 80" Rafia
⚽️ 88" Larbi

FULL TIME

CAMEROON 🇨🇲 3️-0️ MAURITIUS 🇲🇺
⚽️ 45" Mbeumo
⚽️ 87" N'Koundou
⚽️ 90" Magri

FULL TIME

MALI 🇲🇱 3️-1️ CHAD 🇹🇩
⚽️ 45" Doumbia ⚽️ 53" Marius
⚽️ 77" Niakhate
⚽️ 81" Sissoko

FULL TIME

BURKINA FASO 🇧🇫 1️-1️ GUINEA BISSAU 🇬🇼
⚽️ 62" Traore ⚽️ 21" Balde

FULL TIME :  GHANA 🇬🇭  1️-0️MADAGASCAR 🇲🇬 ⚽️ 90+6" Williams  FULL TIME :   ZAMBIA 🇿🇲  4️-2️CONGO 🇨🇬⚽️ 5" Daka           ...
17/11/2023

FULL TIME :

GHANA 🇬🇭 1️-0️MADAGASCAR 🇲🇬
⚽️ 90+6" Williams

FULL TIME :

ZAMBIA 🇿🇲 4️-2️CONGO 🇨🇬
⚽️ 5" Daka ⚽️ 13" Ganvoula
⚽️ 43" Banda ⚽️ 15" Bassouamina
⚽️ 69" Sakala
⚽️ 90+3" Daka

FULL TIME

LIBERIA 🇱🇷 0️-1️ MALAWI 🇲🇼
⚽️ 78" Mphasi

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia michezo mitatu (3) na faini ya shilingi...
17/11/2023

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia michezo mitatu (3) na faini ya shilingi 500,000 (Laki tano) Mchezaji wa Yanga SC, Khalid Aucho kwa kosa la kupiga kiwiko Mchezaji wa Coastal Union, Ibrahim Ajibu kwenye mchezo wa NBC Premier League uliozikutanisha Coastal Union na Yanga SC.

Wachezaji wa Simba SC, Kibu Denis na Henock Inonga wametozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) kila mmoja kwa makosa...
17/11/2023

Wachezaji wa Simba SC, Kibu Denis na Henock Inonga wametozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) kila mmoja kwa makosa tofauti waliyoyafanya kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba dhidi ya Yanga SC.

Kibu Denis ametozwa faini hiyo kwa kosa la kushangilia bao lake mbele ya jukwaa la mashabiki wa Yanga huku akionyesha ishara ya kuwafunga midomo wakati Inonga yeye ametozwa faini hiyo kwa kosa la kushangilia bao mbele ya Maafisa wa Benchi la Ufundi la Yanga SC.

✊🏽

FULL TIME :    COMOROS 🇰🇲  4️-2️CENTRAL AFRICA 🇨🇫 ⚽️29" M'Dahoma          ⚽️ 10" Abdallah (og⚽️ 50" Youssouf       ⚽️ 74...
17/11/2023

FULL TIME :

COMOROS 🇰🇲 4️-2️CENTRAL AFRICA 🇨🇫
⚽️29" M'Dahoma ⚽️ 10" Abdallah (og
⚽️ 50" Youssouf ⚽️ 74" Zahary (og)
⚽️ 58" Said
⚽️ 78" Maolidi

FULL TIME

GUINEA 🇬🇳 2️-1️UGANDA 🇺🇬
⚽️ 10" Camara ⚽️ 30" Bayo
⚽️ 90+5" Guirassy

Timu ya Taifa “Taifa Stars” imewasili Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa k...
16/11/2023

Timu ya Taifa “Taifa Stars” imewasili Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023.

FULL TIME : WCQ CAF  BURUNDI 🇧🇮  3️-2️ GAMBIA 🇬🇲 ⚽️ 31" Bigirimana             ⚽️ 45+4" Colley ⚽️ 35" Nasabiyumva     ⚽️...
16/11/2023

FULL TIME : WCQ CAF

BURUNDI 🇧🇮 3️-2️ GAMBIA 🇬🇲
⚽️ 31" Bigirimana ⚽️ 45+4" Colley
⚽️ 35" Nasabiyumva ⚽️ 90+7" Colley (p
⚽️ 75" Sudi

FULL TIME : WCQ CAF

BOTSWANA 🇧🇼 2️-3️ MOZAMBIQUE 🇲🇿
⚽️ 74" Tihalefang ⚽️ 14" Bauque
⚽️ 52" Ratifo
⚽️ 85" Seakanyeng ⚽️ 75" Muiomo

FULL TIME  SOUTH KOREA 🇰🇷  5️➖️0️ SINGAPORE 🇸🇬 ⚽️ 44" Chon⚽️ 50" Hwang ⚽️ 63" Son⚽️ 67" Hwang (p)⚽️ 85" Lee
16/11/2023

FULL TIME

SOUTH KOREA 🇰🇷 5️➖️0️ SINGAPORE 🇸🇬
⚽️ 44" Chon
⚽️ 50" Hwang
⚽️ 63" Son
⚽️ 67" Hwang (p)
⚽️ 85" Lee

“Leo tunazungumzia maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Utachezwa siku ya Novemba 25, ...
16/11/2023

“Leo tunazungumzia maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Utachezwa siku ya Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Mkapa. Wageni watawasili Novemba 23, 2023 wakiwa na msafara wa watu 31. Waamuzi wa mchezo watatoka nchini Misri.”

“Viingilio vya mchezo huu ni;
Mzunguko - Tsh. 5,000.
VIP C - Tsh. 10,000.
VIP B - Tsh. 20,000.
VIP A - Tsh. 30,000
Platinum - Tsh. 150,000.”

“Kikosi kipo mazoezini kuanzia siku ya Jumatatu. Mazoezi yanawahusu wachezaji wote ambao hawana majukumu ya timu za taifa. Ambao wapo kwenye timu za taifa watajiunga na wenzao wakitoka huko. Kikosi bado kipo chini ya Kocha Seleman Matola na Dani Cadena. Uongozi unaendelea na jitihada za kutafuta kocha mpya, mchakato utakamilika muda si mrefu.”

“Tupo katikati ya mashindano lazima tutafute kocha ambaye yupo active, atakuwa tayari kuanza majukumu ili akifika kazi ianze.”

“Kuhusu majeruhi Kibu tayari amerudi, Kanoute anaendelea vizuri, Isra Mwenda tayari amerudi mazoezini na Kramo bado anaendelea kuuguza jeraha. Akipona atarudi kutumikia klabu.”

“Wageni rasmi wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas watakuwa ni mashabiki wa Simba. Kwanza wametoka kushinda tuzo ya mashabiki bora hivyo kila Mwanasimba akija siku hiyo ajue yeye ni mgeni rasmi.”

“Tusahau yaliyopita na tuangalie mbele. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa tukipoteza na tukiwa nyumbani hatutakuwa kwenye sehemu nzuri ya kwenda hatua ya mbele. Twendeni tukawape moyo wachezaji wetu kwamba tunaanguka pamoja na kusimama pamoja.”- Ahmed Ally.

FULL-TIME :   JAPAN 🇯🇵 5️-0️ MYANMAR 🇲🇲 ⚽️ 11" Ueda⚽️ 28" Kamada⚽️ 45+4" Ueda⚽️ 50" Ueda⚽️ 88" Doan
16/11/2023

FULL-TIME :

JAPAN 🇯🇵 5️-0️ MYANMAR 🇲🇲
⚽️ 11" Ueda
⚽️ 28" Kamada
⚽️ 45+4" Ueda
⚽️ 50" Ueda
⚽️ 88" Doan

FULL TIME :   DR CONGO  🇨🇩  2️-0️ MAURITANIA 🇲🇷 ⚽️ 63" Wissa⚽️ 82" Bogonda
15/11/2023

FULL TIME :

DR CONGO 🇨🇩 2️-0️ MAURITANIA 🇲🇷
⚽️ 63" Wissa
⚽️ 82" Bogonda

FULL TIME :  RWANDA 🇷🇼  0️-0️ ZIMBABWE 🇿🇼  FULL TIME EQUATORIAL GUINEA 🇬🇶 1️-0️ NAMIBIA 🇳🇦 ⚽️ 67" Nsue
15/11/2023

FULL TIME :

RWANDA 🇷🇼 0️-0️ ZIMBABWE 🇿🇼

FULL TIME

EQUATORIAL GUINEA 🇬🇶 1️-0️ NAMIBIA 🇳🇦
⚽️ 67" Nsue

  picha WEKA NENO MOJA
15/11/2023

picha

WEKA NENO MOJA

Kiungo wa zamani wa Klabu za Arsenal na FC Barcelona n.k Alex Song ametangaza rasmi kustaafu soka lake la ushindani akiw...
14/11/2023

Kiungo wa zamani wa Klabu za Arsenal na FC Barcelona n.k Alex Song ametangaza rasmi kustaafu soka lake la ushindani akiwa na umri wa miaka 36.

Michezo 400
Mabao 45
Makombe 2

🎵KOMANDO🎵 Komando🎶 RAGE ANASEMA SIMBA ILIPWE KISA BANGO LA WANANCHI 🎵KOMANDO🎶“Aliyeweka yale mabango ni kampuni ya Outdo...
14/11/2023

🎵KOMANDO🎵 Komando🎶 RAGE ANASEMA SIMBA ILIPWE KISA BANGO LA WANANCHI 🎵KOMANDO🎶

“Aliyeweka yale mabango ni kampuni ya Outdoor ambayo ni kampuni ya kibiashara ,imeweka mabango na nembo ya Simba bila ruhusa yetu ,nimewashauri viongozi kesho wachukue hatua za kisheria ,tulipwe milioni 100 kwa kuchezea nembo yetu bila sababu ya maana “

“Hili tangazo limewekwa na kampuni ya outdoor , ni tangazo la kibiashara ambao wamekubaliana na Yanga ,sisi hatuna tatizo na Yanga waweke matangazo vyovyote wanavyotaka lakini wasiweke tangazo la biashara”

“Kwaa kuwa wameweka tangazo la biashara ,sisi tunawadai watu wa outdoor watulipe pesa “

Aden Rage,Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC
........ ..

Tufatilie pia kwenye channel yetu ya WhatsApp ili upate taarifa za chap chap

Gusa link👇👇👇

https://whatsapp.com/channel/0029VaEg1PYD8SE5T2mnYt2P

Kiungo mshambuliaji wa  Stephanie Aziz Ki amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Burkina Faso inayojiandaa na Mechi za K...
14/11/2023

Kiungo mshambuliaji wa Stephanie Aziz Ki amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Burkina Faso inayojiandaa na Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Guinea Bissau.

Tufatilie pia kwenye channel yetu ya WhatsApp ili upate taarifa za chap chap

Gusa link👇👇👇

https://whatsapp.com/channel/0029VaEg1PYD8SE5T2mnYt2P

DAH! AISEEEEEEEEEEMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,Salim Abdallah Try Again amesema alipokua kwenye fainali ya AF...
14/11/2023

DAH! AISEEEEEEEEEE

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,Salim Abdallah Try Again amesema alipokua kwenye fainali ya AFL ,Rais wa FIFA, Gian Infantino alimwambia wekundu wa msimbazi wanacheza mpira mzuri kuliko Mamelodi Sundown na Wydad Athletic Club.

Tufatilie pia kwenye channel yetu ya WhatsApp ili upate taarifa za chap chap

Gusa link👇👇👇

https://whatsapp.com/channel/0029VaEg1PYD8SE5T2mnYt2P

✊🏽

Nyota wa Tanzania wanaocheza nje Novatus Miroshi  Abdi Banda na Morice Abraham wamejiunga na kambi kuelekea michezo ya k...
14/11/2023

Nyota wa Tanzania wanaocheza nje Novatus Miroshi Abdi Banda na Morice Abraham wamejiunga na kambi kuelekea michezo ya kufuzu Kombe la Dunia vs Niger na Morocco.

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
14/11/2023

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

"Instagram tuna watu zaidi ya 5.5 milioni, Facebook zaidi ya 1.9 milioni, Twitter zaidi ya 1.5 milioni, YouTube tukiwa n...
14/11/2023

"Instagram tuna watu zaidi ya 5.5 milioni, Facebook zaidi ya 1.9 milioni, Twitter zaidi ya 1.5 milioni, YouTube tukiwa na zaidi ya 438k, kwenye app imepakuliwa zaidi ya laki saba na hivi karibuni tumeshinda tuzo ya mashabiki bora."

"Leo tunazindua Simba Sports Club WhatsApp channel. WhatsApp imepakuliwa na watu Bilioni 2.2 duniani ndio mtandao umepakuliwa zaidi duniani. WhatsApp wenyewe walitufata kuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa na chaneli hii."

"Ni timu chache k**a Kaizer Chiefs, Al Ahly, Barcelona, Real Madrid na Simba tumejiunga. Katika kuijaribu kabla ya kuzindua ndani ya wiki tumepata wafuasi laki moja. Faida kubwa ni mashabiki kupata taarifa na wadhamini wetu kuonyesha bidhaa zao."

"Hili ni lingine la kwanza kwa Simba kuwa karibu kwa Wenye Nchi. Simba inataka kuja kuwa timu namba moja Afrika na katika hili moja ya sehemu ya kuboresha ni namna ya kutoa habari."

"Tunapokuwa na chaneli k**a hivi ni sehemu ya Wanasimba na watu wengine kupata taarifa sahihi za klabu. Hii ndio klabu ambayo inafanya vitu vyenye faida na tofauti."

"Ujio wa Simba WhatsApp Channel unakuja na ajira kwa mtu maalumu kuwa na kazi ya kutoa habari."

"Kuhusu kocha tupo kwenye mchakato wa mwisho."- CEO wa Imani Kajula.

✊🏽

"Katika maeneo yote ya mitandao ya kijamii Simba tumekuwa tukifanya vizuri na leo tunakwenda kuzindua mtandao mwingine n...
14/11/2023

"Katika maeneo yote ya mitandao ya kijamii Simba tumekuwa tukifanya vizuri na leo tunakwenda kuzindua mtandao mwingine na itakuwa na faida kwa namna gani kwa mashabiki."

"Tunafahamu urahisi wa kutumia WhatsApp kwa hiyo hii itakuwa njia rahisi ya kufikia watu wengi. Kuna wengine hawatumii Instagram wala Facebook lakini wana WhatsApp."- Ahmed Ally.

𝐌𝐍𝐀𝐑𝐀 mwingine umesoma Wananchi 𝟓𝐆🖐🏼🤩C:
14/11/2023

𝐌𝐍𝐀𝐑𝐀 mwingine umesoma Wananchi 𝟓𝐆🖐🏼🤩

C:


Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” wakiendelea na mazoezi kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia vs Niger n...
13/11/2023

Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” wakiendelea na mazoezi kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia vs Niger na Morocco , mazoezi yamefanyika uwanja wa JKT, Kunduchi

WAMEPASUNA VYA KUTOSHA SASA WAKALALE😂😂😂😂FULL TIME :     CHELSEA FC  4️-4 MAN CITY                                       ...
12/11/2023

WAMEPASUNA VYA KUTOSHA SASA WAKALALE😂😂😂😂

FULL TIME :

CHELSEA FC 4️-4 MAN CITY
⚽️ 29" Silva
⚽️ 25" Haaland (p)
⚽️ 37" Sterling
⚽️ 45+1" Akanji
⚽️ 67" Jackson
⚽️ 47" Haaland ⚽️ 90+5" Palmer (p) ⚽️ 86" Rodri



Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania,Mbwana Samatta amefunga goli moja na kuisaidia Klabu yake ya PAOK FC kushinda Goli...
12/11/2023

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania,Mbwana Samatta amefunga goli moja na kuisaidia Klabu yake ya PAOK FC kushinda Goli 2-1 dhidi ya Panetolikos kwenye Ligi Kuu Nchini Ugiriki.

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali , Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah maarufu k**a Tr...
12/11/2023

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali , Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah maarufu k**a Try Again amepewa tuzo kwa niaba ya Klabu ya Simba.

Tuzo hiyo ni maalumu kwa mashabiki wa Simba wakitambuliwa na waandaaji k**a mashabiki bora kwenye mashindano .

Nb: Kuna mdau kanitumia ujumbe DM " Eti kuna timu imepewa tuzo ya kunywa Supu😂

✊🏽

FULL TIME  LIVERPOOL  3️-0️ BRENTFORD ⚽️ 39" Salah ⚽️ 62" Salah ⚽️ 74" JotaFULL TIME ASTON VILLA  3️-1️FULHAM ⚽️ 27" Rob...
12/11/2023

FULL TIME

LIVERPOOL 3️-0️ BRENTFORD
⚽️ 39" Salah
⚽️ 62" Salah
⚽️ 74" Jota

FULL TIME

ASTON VILLA 3️-1️FULHAM
⚽️ 27" Robinson (og) ⚽️ 70" Jimenez
⚽️ 42" McGinn
⚽️ 64" Watkins

FULL TIME

WEST HAM UTD 3️-2️NOTTINGHAM
⚽️ 3" Paqueta ⚽️ 44" Awoniyi
⚽️ 65" Bowen ⚽️ 63" Elanga
⚽️ 88" Soucek

FULL TIME

BRIGHTON 1️-1️ SHEFFIELD UNITED
⚽️ 6" Adingra ⚽️ 74" Webster (og)

THE FUTURE IS BRIGHTMSHAMBULIAJI WA  THAPELO MASEKO AMEBABA TUZO MBILI ZA KWENYE FCC   1:👉 Mfungaji bora wa mashindano (...
12/11/2023

THE FUTURE IS BRIGHT

MSHAMBULIAJI WA THAPELO MASEKO AMEBABA TUZO MBILI ZA KWENYE FCC

1:👉 Mfungaji bora wa mashindano (Top score)

2: 👉Mchezaji bora wa mashindano (MVP)

Bravo👏 Thapero maseko

Golikipa wa mamelod sundowns Ronwen Williams Ameshinda tuzo ya kipa bora wa
12/11/2023

Golikipa wa mamelod sundowns Ronwen Williams Ameshinda tuzo ya kipa bora wa

MASANDAWANA WAMEBEBA UBINGWA WA   FULL TIME : AFL Final (AGG 🇿🇦 3-2 🇲🇦)MAMELODI 🇿🇦 2️-0️WYDAD ATHLETIC 🇲🇦 ⚽️ 45+3" Shalu...
12/11/2023

MASANDAWANA WAMEBEBA UBINGWA WA

FULL TIME : AFL Final (AGG 🇿🇦 3-2 🇲🇦)

MAMELODI 🇿🇦 2️-0️WYDAD ATHLETIC 🇲🇦
⚽️ 45+3" Shalulile
⚽️ 53" Modiba

Vikosi vinavyoanza kwenye mchezo wa fainali ya pili ya    vs
12/11/2023

Vikosi vinavyoanza kwenye mchezo wa fainali ya pili ya

vs

WANANCHI SUPU DAY:supu inanywewa hapa Jangwani Makao Makuu ya Wananchi.Ni sehemu ya sherehe za ushindi walioupata Novemb...
12/11/2023

WANANCHI SUPU DAY:

supu inanywewa hapa Jangwani Makao Makuu ya Wananchi.

Ni sehemu ya sherehe za ushindi walioupata Novemba 5, 2023 dhidi ya Simba.

📷

RATIBA YA SOKA LEO ULIMWENGUNIAFRICA📢 16:00Mamelodi Sundowns ➖ Wydad SOUTH AFRICA📢Premier League16:30 Golden Arrows ➖Ama...
12/11/2023

RATIBA YA SOKA LEO ULIMWENGUNI

AFRICA📢
16:00Mamelodi Sundowns ➖ Wydad

SOUTH AFRICA📢Premier League
16:30 Golden Arrows ➖AmaZulu
16:30 Richards Bay ➖ Cape Town Spurs
18:45 Sekhukhune - ➖upersport Utd

NETHERLANDS📢 Eredivisie
14:15PSV ➖Zwolle
16:30Almere City ➖Ajax
16:30FC Volendam ➖ Sparta Rotterdam
18:45Feyenoord ➖AZ Alkmaar
22:00Utrecht ➖ Excelsior

SPAIN📢LaLiga
18:15 Barcelona ➖Alaves 
20:30 Sevilla ➖ Betis 
23:00 A.Madrid ➖ Villarreal

TURKEY📢 Super Lig
13:30Pendikspor ➖Samsunspor
16:00Besiktas ➖Basaksehir
16:00Rizespor ➖Istanbulspor AS
19:00Adana Demirspor ➖Fenerbahce

ENGLAND📢 Premier League
17:00🧭Aston Villa ➖ Fulham
17:00🧭Brighton ➖Sheffield Utd
17:00🧭Liverpool ➖Brentford
17:00🧭West Ham ➖Nottingham
19:30🧭Chelsea ➖Manchester City

FRANCE📢Ligue 1
17:00🧭Clermont ➖Lorient
17:00🧭Lille ➖ Toulouse
17:00Metz ➖Nantes
19:00🧭Rennes ➖ Lyon
22:45🧭Lens ➖Marseille -

GERMANY: 📢Bundesliga
17:30🧭Bayer Leverkusen ➖ Union Berlin
19:30🧭Werder Bremen ➖ Eintracht Frankfurt
21:30🧭RB Leipzig ➖ Freiburg

ITALY: 📢Serie A
15:30🧭Napoli ➖ Empoli
17:00🧭Fiorentina➖ Bologna
17:00🧭Udinese ➖ Atalanta
20:00🧭Lazio ➖AS Roma
22:45🧭Inter ➖Frosinone

BELGIUM: 📢Jupiler Pro League
14:30🧭Club Brugge KV - ➖Cercle Brugge KSV
18:00🧭Genk - Leuven
20:30🧭Gent ➖ Anderlecht
21:15 🧭Royale Union SG ➖Kortrijk

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255785215296

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kido Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Digital creator in Dar es Salaam

Show All