Zafar kassim

Zafar kassim Chiungokh
(1)

IDADI YA WALIOFARIKI YAONGEZEKA, WAFIKIA 19: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ...
06/11/2022

IDADI YA WALIOFARIKI YAONGEZEKA, WAFIKIA 19: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai.

Waziri mkuu amesema hayo akiwa katika eneo la ajali baada ya kuwasili mchana wa leo na kuongeza kuwa zoezi linaloendelea na kwa sasa kinachoendelea ni utambuzi wa watu waliopoteza maisha na kufanya utaratibu wa kuwapata ndugu zao.

Address

Zanzibar
Dar Es Salaam
HIOPTANZ

Opening Hours

Monday 14:11 - 17:00
Tuesday 18:00 - 17:00
Wednesday 15:04 - 22:05
Thursday 11:51 - 22:15
Saturday 18:00 - 08:05
Sunday 11:24 - 05:03

Telephone

+447855018695

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zafar kassim posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share


Other Digital creator in Dar es Salaam

Show All