Nuhu Bakari
Tumefika kilele katika maadhimisho yetu ya #SikuYaKiswahili Hata hivyo, bado tupo katika safari ya kueneza lugha ya Kiswahili. Safari hii inahitaji tupige jeki na tuendelee kutia bidii pamoja bila kuchoka. Tukumbuke kwamba umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. #Kiswahili #KiswahiliKitukuzwe
Prof Kimani Njogu
Shabash!! Hatimaye #SikuyaKiswahiliDuniani2024 imewadia. Siku iliyo na furaha iloyoje kwa wapenzi wa Kiswahili na kwa ugani, sisi sote. Lengo la leo ni kujadili dhima ya Kiswahili na wingi-lugha katika kujenga na kuendeleza elimu kuhusu amani. #KiswahiliKitukuzwe #Kiswahili
Prof Iribe Mwangi- Chuo Kikuu cha Nairobi.
Hayawi hayawi haya!! Siku tuliyokuwa tukingojea kwa hamu na ghamu imewadia. Siku ya Kiswahili duniani!! Nyote mwakaribishwa kuadhimisha siku hii! #SikuyaKiswahiliDuniani #Kiswahili #KiswahiliKitukuzwe
What are the key things we must do to decolonize our culture?
@jnyairo
#culturegrows
Cc
@ke_British @kimaniwanjogu @mwihaki254 @anyikopr
@museumsofkenya @TheBookBunk
Vijana bila Ukabila n St Georges
NCIC and Min of Education
Balloon Challenge: Google and CA