Happy Friday ๐
The weekend is calling, but first, letโs get through this! Who else has been in this situation? ๐
#FridayFeels #StudentLife #LonghornPublishers #HappyFriday
When you just got paid, but January had other plans...
๐ธ๐ Salary: 'I'm just a guest here.'
#BrokeAlready #JanuaryStruggles #PaydayDisappeared #Salary #LonghornPublishers
A New Chapter Begins at Longhorn Publishers!
Today, we had the pleasure of welcoming our new Group Chairman, Prof. Githu Muigai, EGH, SC, to the Longhorn Publishers team. Prof. Githu, who previously served on our board, is back to steer us toward even greater heights, succeeding Hon. Francis Thome Nyammo as of Thursday, 19th December 2024.
In his first meeting with the team, Prof. Githu expressed his enthusiasm for this new journey and his commitment to building on Longhorn's legacy of excellence in publishing. His vast experience and visionary leadership promise to guide us on the right path forward.
๐ธ Pictured from left to right: Hillary Kiprop (HR & Admin Manager), Prof. Githu Muigai (Group Chairman), Maxwell Wahome (CEO & Group Managing Director), James Ong'ang'a (CEO, LOHO Learning), and Patricia Muganda (Publishing Manager).
Welcome back, Captain! ๐ Together, we look forward to achieving even more milestones under your leadership.
#Leadership #WelcomeBack #LonghornPublishers #Teamwork #Innovation #PublishingExcellence
Je, unahangaika na uhaba wa vitabu vipya vya Mtaala wa Kiumilisi? ๐
Longhorn Publishers tumejizatiti kuhakikisha kila mwanafunzi anapata rasilimali za kisasa na zinazohitajika! Tunaharakisha upatikanaji wa vitabu bora ili kuwasaidia walimu na wanafunzi kufanikisha safari ya elimu. ๐
#VitabuKwaWote #MtaalaWaKiumilisi #LonghornPublishers #ExpandingMinds
Je, unajua Mtaala wa Kiumilisi unavyosaidia kuchangamsha na kuchochea vipaji vya wanafunzi? ๐๐
Kupitia mbinu za ubunifu na mafunzo yanayolenga ustadi, wanafunzi wanapata fursa ya kugundua na kukuza uwezo wao wa kipekee.
Tukumbushe, kipaji gani ungependa mwanafunzi wako akikuze? ๐
#MtaalaWaKiumilisi #VipajiNaUbunifu #LonghornPublishers #ExpandingMinds
Pata kujua jinsi nafasi ya mzazi katika vitabu vya mtaala wa Kiumilisi inavyoimarisha elimu ya mtoto!
Je, unajua kwamba ushirikiano wa wazazi ni kiini cha mafanikio katika CBC?
Tukumbushe mawazo yako hapa๐
#MtaalaWaKiumilisi #ElimuBoraNaCBC #LonghornPublishers #ExpandingMinds
Je, unajua mwandishi wa vitabu vya kisasa katika mtaala wa CBC ni nani?
Pata majibu na maelezo zaidi kuhusu mfumo wa CBC kutoka Longhorn Publishers.
#CBC #LonghornPublishers #ElimuBora #ExpandingMinds
Habari Mpya!
Toleo jipya la Kamusi ya Karne ya 21 limefika! ๐
Sasa ukiwa na toleo la 5, unapata vidahizo vipya vilivyoboreshwa na istilahi za kisasa kutoka nyanja za tiba, utawala, sayansi, elimu, dini, na teknolojia ya habari na mawasiliano.
Hii si kamusi ya kawaida โ ni hazina ya maarifa kwa wanafunzi, walimu, na wapenda Kiswahili wote. ๐
Usikose! Pata nakala yako leo na uendelee kufurahia Kiswahili kilichosanifiwa!
#KamusiYaKarneYa21 #KiswahiliSanifu #LonghornPublishers #ElimuNiNguvu
Habari Njema kutoka Longhorn Publishers!
Toleo la 5 la Kamusi ya Karne ya 21 sasa linapatikana!
Kamusi hii imeboreshwa kwa vidahizo vipya na maelezo yaliyosanifiwa kwa umakini, ikijumuisha istilahi za kisasa kuhusu:
โ
Tiba
โ
Utawala
โ
Sayansi
โ
Elimu
โ
Dini
โ
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Ni nyenzo muhimu kwa mwanafunzi, mwalimu, na mpenzi wa Kiswahili anayeienzi lugha yetu ya taifa. ๐ฐ๐ช
๐ Pata nakala yako leo!
#KamusiYaKarneYa21 #LonghornPublishers #Kiswahili #ElimuBora #ExpandingMinds
Parents, guardians, and teachers! ๐จ
Don't let your child or student be that one ๐
Make Back-to-School epic with the new rationalized and revised Longhorn CBC course booksโnow available nationwide!
From PP1 to Grade 9, we've got your little geniuses coveredโจ
Grab them today at all leading bookstores and make learning count!
You can also make your orders directly from our customer care on 0736 308525 / 0713 793734
Because success starts with the right tools. Letโs expand minds together! ๐
#LonghornPublishers #ExpandingMinds #CBC #Education #BackToSchoolVibes
No better way to say 'Welcome back' than with a pop quiz...๐
#SchoolLife #BackToSchool #LonghornPublishers #firstdayofschool
Ready for the new school year? ๐
Start on a positive note with Longhorn Publishers' Rationalised and Revised Booksโperfect for back to school next week! ๐
Find them at leading bookshops near you or call us to order directly at 0736 308 525 / 0713 793 734.
Letโs make this year a success!๐ก
#BackToSchool #LonghornBooks #expandingminds #RationalizedCBCBooks