11/08/2023
Me👨🏾: hello babe🥰🤗🤩.
Her🧑🏽🦳: Hello too my love☺😚.
Me👨🏾: unaweza come hivi makejani beb🙄imagin nimeboeka tu pekeangu aki😓 na hii baridi.
Her🧑🏽🦳: aki sai siwezi make😰😩..niko Busy.
Me👨🏾:OK sweetheart💖🥰tutameet kesho basi.
Her🧑🏽🦳: Mmmmh😏😒..
Me👨🏾: Beb what's up🙄😵?
Her🧑🏽🦳: Don't call me beb😡so nowadays ushaboeka na mimi?? you don't need to beg me anymore😏..mbona nakuambia siwezi make kucome na unakubali tu hivo haraka😠..ama uko na form mingi hadi huwezi nibeg unibembeleze nikam🤔?
Me👨🏾: no beb si umeniambia uko busy aki😵.
Her🧑🏽🦳: Niko busy but mbona unakubali haraka ivo? at first you used to beg me until I come..sikuizi ulipata chenye ulikuwa unataka so you don't beg me again😒..?
Me👨🏾: kaa ilishaahapen we can't undo hio kitu enyewe nilishaapata but beb please am sorry🙏.
Her🧑🏽🦳: sorry for yourself🚮.its Over between us💔.
Me👨🏾: 😭😭😭💔.
(Me try to think what to say ndo askie vibaya) Ata hujui nilikuwa na backup ya wengine kaa saba😂😂
Her:(calling immediately me alafu nachukua na kiherehere thinking mambo iko m***i then I hear) wee Mbwa hii futa na unikome vile ulikoma kunyonya
Me:Na si nilikunyonya juzi.... hio nayo aje🙈
Me:(I call her... line busy, I call again... Line but line busy) na hivo niliachwa wakuu😂😂😂
So elders there is a new kibanda in the market available kwa mwenye anataka kueka soko😜😜
😅😅😅