NYOTA MEDIA

NYOTA MEDIA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NYOTA MEDIA, Media/News Company, Mombasa.

KINDLY VIEW, LIKE SHARE AND COMMENT HABARI HIZI NA WENGINE ILI  WAHABARIKE
07/04/2024

KINDLY VIEW, LIKE SHARE AND COMMENT HABARI HIZI NA WENGINE ILI WAHABARIKE

za wiki kutoka Swahili Voice : Imam mkuu wa Masjid Alnoor, Sheikh Munir Nassor wiki hii alipata fursa ya kuongoza ibada kubwa ya sala iliofanyi...

https://youtu.be/8i9H6CxkyD8
03/04/2024

https://youtu.be/8i9H6CxkyD8

Mahojiano Maalum na Ahmed Omar, aliyekuwa Katibu wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu Zanzibar, marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, akichukua maswali muhimu manne ...

Very informative article.view and inbox  your Mpesa Number with the screen shot
11/02/2022

Very informative article.view and inbox your Mpesa Number with the screen shot

Reports concerning cases of toxic or unhealthy relationships among Campus students in the Country have been rampant in the current years ....

Kindly click the link and Drop your comments guys
02/02/2022

Kindly click the link and Drop your comments guys

NA NYOTA SULEIMAN MOHAMED Viongozi mbalimbali wamekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kujiandikisha k**a wapiga kura kabla la zoezi k...

14/06/2021

Aliyekuwa Mwaniaji wa Kiti cha ugavana kaunti ya Mombasa Suleiman Shahbal amekihama chama cha Jubilee na kuregea katika chama Cha ODM huku u...

12/06/2021

Kinara wa Chama cha ODM Raila Odinga, Ameitaka serikali kuweka wazi maswala yaliyopelekea kutoteuliwa majaji Sita kati ya arubaini waliyop...

11/06/2021

Waziri wa hazina ya kitaifa Ukur Yatani amebainisha sera saba zilizopewa kipaumbele na serikali kwa ajili ya kufufua uchumi wa nchi kwa kasi...

Click
09/06/2021

Click

Wabunge wa bunge la kitaifa wanatishia kulemaza vikao vya bunge siku ya alhamisi wakati wa usomwaji wa bajeti ya kitaifa, kwa k...

Click the link
08/06/2021

Click the link

Viongozi kutoka mrengo unaomuegemea naibu wa rais William Ruto wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kuhakikisha miradi yote iliyosimami...

07/06/2021

Polisi katika eneo bunge la Kuria Magharibi kaunti ya Migori wanawazuilia watu kumi waliyopatikana wakijivinjari katika klabu ch...

05/06/2021

Polisi wamewak**ata washukiwa watatu zaidi wanaohusishwa na sakata ya utoaji kazi ghushi iliyogunduliwa na Makachero wa idara ya DCI wiki m...

04/06/2021

Chama cha Mahakimu na majaji nchini (KMJA) na kile cha wanasheria (LSK) Kwa pamoja vimemkosoa rais Uhuru Kenyatta kwa kile wanachodai ni ute...

03/06/2021

Maafisa kutoka idara ya upelelezi DCI na wenzao kutoka idara ya polisi kituo cha Cherangani, mnamo usiku wa jumanne walifanikiwa kupata bun...

01/06/2021

Serikali imehimizwa kuutafakari upya na kuufufua ujenzi wa bandari ya samaki uliyosimama katika eneo la Shimoni kaunti ya Kwale. Viongozi ...

31/05/2021

PICHA ZA KUWASILI RAIS EVARISTE NDAYISHIMIYE WA BURUNDI NCHINI Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps May 31, 2021 Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps Comments Post a Comment

31/05/2021

Marufuku ya kitaifa ya watu kutotoka nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri imeongezwa kwa siku sitini zaidi. Kupitia notisi ya ...

30/05/2021

Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uwiano na utangamano Francis Ole Kaparo amewarai viongozi kutoka jamii za wafugaji kutafuta njia...

29/05/2021

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye anatarajiwa kuwasili humu nchini siku ya jumatatu na anatarajiwa hudhuria sherehe za mwaka huu za Mad...

We are Back.
29/05/2021

We are Back.

Makachero kutoka idara ya upelekezi ya DCI siku ya Ijumaa walimk**ata Irene Njoki Irungu kwa madai ya kuwalaghai wateja katika kumbi za star...

01/09/2020
Wabunge sasa wanataka mradi wa Kazi mtaani ulioanzishwa na rais Uhuru Kenyatta kwa ajili ya kuwapiga jeki vijana wakati ...
27/08/2020

Wabunge sasa wanataka mradi wa Kazi mtaani ulioanzishwa na rais Uhuru Kenyatta kwa ajili ya kuwapiga jeki vijana wakati huu mgumu wa janga la Covid_19 usimamishwe kutokana na madai kwamba haukupangiliwa vizuri na hivyo basi umetoa fursa ya kufuja fedha za umma.
Wabunge hao walimweleza waziri wa hazina ya Kitaifa Ukur Yatani kuwa mradi huo hauna manufaa hivyo basi serikali haina budi kuutathmini upya mradi huo na kuupangilia vyema katika njia bora zaidi.

Wakiongea jumatano katika mkutano wa kutathmini uongozi wa bunge ,wabunge hao walilalamika kuwa idadi kubwa ya vijana katika maeneo bunge wamekosa fursa katika mradi huo.

Mbunge wa Limuru Peter Mwathi alisema kuwa mradi huo umesababisha migawanyiko miongoni mwa vijana nchini kutokana na kuachwa nje kwa wengi wao.
Aidha Naibu spika wa bunge la Kitaifa Moses Cheboi alisema kuwa serikali inafaa kuzingatia thamani ya pesa inayolipa vijana katika mradi huo na kazi wanayoifanya.

Hatahivyo waziri Yatani alisisitiza kuwa mradi mradi huo utaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu k**a ulivyopangwa na serikali hapo awali kwa ajili ya kuwasaidia vijana wakati huu mgumu wa janga la Covid 19, ingawa waziri huyo alikiri kuwa katika baadhi ya maeneo mradi huo uliharakishwa bila mpango muafaka,alisema kuwa hatua madhubuti na mipango kabambe imechukuliwa ili kuhakikisha kuwa mradi huo unaendelea vyema katika maeneo hayo.

Aliyekuwa Mbunge wa Likoni na wakati mmoja  Meya wa Mombasa Masoud Mwahima  Mwalimu ameaga dunia.Marehemu Mwahima atakum...
25/08/2020

Aliyekuwa Mbunge wa Likoni na wakati mmoja Meya wa Mombasa Masoud Mwahima Mwalimu ameaga dunia.

Marehemu Mwahima atakumbukwa kwa kuleta Maendeleo eneo bunge la Likoni na Mchango wake katika Jiji la Mombasa k**a Meya kipindi cha nyuma.

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NYOTA MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NYOTA MEDIA:

Share

Nearby media companies