01/08/2023
πππππππ: πππππ πππ ππππππ
Follow St Joseph's Nalondo bSt Joseph's Nalondo boys high schoolsSt Joseph's Nalondo boys high schoolhSt Joseph's Nalondo boys high school St Joseph's Nalondo boys high school St Joseph's Nalondo boys high schoolπSt Joseph's Nalondo boys high schoolmbo ndio hayo,tunaanzia kwa mwajiri wa Becky na msisahau leo ndio first day ya Becky kufanya kazi huko na already ashaingia red flag ya madam. Tuliacha Becky akifanya usafi sebuleni na ni wakati sasa wa Mama Sally kuja kukagua aone k**a amefanya kazi safi,wueh,sema madhe kuchunguza,kisha akamuangalia Becky na huyooo akaenda zake. Becky akajua baaasi kazi ni kuisha imeisha,lakini Sally alimuangalia,akasmile na akamwambia Becky,kidole,ina maana,madhe amefurahia kazi yako,hallelu..hallelujah.
Upande nje,wageni washafika,wamekuja kuhudhuria big brother's birthday na mwenye yafaa awe hapa,gari ilikataa wako njiani wanakanyaga miguu. All in all,juice,wine,afkado awww,soda ya passion zote zinapeanwa huku kwa furaha sana. Sally alimcall bro wake akamuuliza kibro uko wapi bna? Akamwambia nakuja lakini sasa,hapa ndio tulimalizia,gari ilisimama ikakataa kuenda,ikabidi sasa Trish na bae wake watembee guu mosi,guu pili. Trish alishangaa sana hadi akamwambia bae wake this is weird but acha niwambie ukweli wa mambo,gari haijakaa,huyu jamaa ni plan alimake ndio iwe surprise kwa TrishπππIt was all planned.
Wakati waliingia kwa gate,Trish alishangaa sana kupata watu wamemngoja lakini sasa,haaa! Kimeanza kuumana sasa,Becky akiwa huko ndani,aliangalia nje kuona mgeni amekuja alishtuka kuona ni nani? Junior mpenzi wake,and that wa one,very big,mistake. Becky na Junior,walikua wapenzi na sasa Becky ndio anafanya kazi kwa kina Junior na Junior amekuja na mpenzi wake kwa jina Trisha. Becky ndio haamini,ashajua sasa,anafanya kazi kwa kina Junior. Wah! Kimeanza kumramba sasa. Alafu Becky ni kajinga kanaanza kujiconsole kakisema I think Trish ni mtoto wa madam bossππActually birthday ni ya Trish wala si ya Junior,big brother.
ππππ π
Trish pia ako surprise,hakutarajia hii birthday yake itakua hivi. Becky na yeye alikuja akapigia beshte wa Tracey mwenye alimconnec