It's Namalwa Chesoli

It's Namalwa Chesoli Laugh you life ! Queen MC
(1)

18/10/2025

Ewewe unapokea utamu peke yako halafu baadaye unaanza luumbuchu because of why?

The King is Dead,But long Live the Crown!
17/10/2025

The King is Dead,
But long Live the Crown!

BABA power
17/10/2025

BABA power

16/10/2025

😭🕊️

Fare thee Well Jakom😰
15/10/2025

Fare thee Well Jakom😰

14/10/2025

Mutiembu yaani kunyimwa 70/- unablock gangster hadi macho inatoa mvua because of why😂😂

13/10/2025

A gift that lasts all seasons!
Maasai fleece blanket
Order on :0712112778

13/10/2025

Celibacy nisio si ?

12/10/2025

Sasa mlimi anafanya mtu alilie utamu yake because of why😂

11/10/2025

Yaani because of why mutiembu 😂

09/10/2025

Mbona mnaharibu ndowa sa watu nyinyi😂😂
Chocha 💥

Mambo Namalwa,Kwa kina ndoa ni kugumu haki. Imagine ndugu mdogo wa bwana yangu humpiga kila wakati asipoelewa na mambo Y...
08/10/2025

Mambo Namalwa,
Kwa kina ndoa ni kugumu haki. Imagine ndugu mdogo wa bwana yangu humpiga kila wakati asipoelewa na mambo Yao especially kwa mambo ya shamba. Mama mkwe na kijana mdogo hutaka kuuza shamba but bwana yangu hukataa juu yeye ndiye administrator. Haki namhurumia but sina la kufanya. Nikimwambia tuhame anakataa akisema akihama watauza mpaka kaburi ya babake. Tume report chifu na mpaka kwa Mca but wao husema tumalize K**a familia. Na pia mama anajua kuchanganya ulimi akienda hizo office. Bwana yangu husema wampige tu lakini hatakosea mama yake heshima na bora wasiuze shamba.
Haki huyu namsaidiaje?

Senge’s advice: kuchanganya ulimi ndio kukalikania?😂Eii banee mambo ya mashamba ni ngumu Uuwi kwanza ya mkufi. Lakini sasa wanataka kuuza shamba waende wapi😆very bad people! Wanafaa nyaunyo

Address

Bungoma

Telephone

+254712112778

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when It's Namalwa Chesoli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to It's Namalwa Chesoli:

Share