OKUMU ACTOR

OKUMU ACTOR MBÎÑGÏ

31/01/2024

Hello guys 👋 👋 kwa wale hamnjui naitwa Isaac from 039 Pure (mnaelewa) wengine wanajua "Okumu " my stage name ,, nmekua nkiwaburudisha katika kipindi cha "Engo western movies " tukiwa na ushirikiano mkubwa na ndugu yenu Choffuri kadhalika ingawa maisha lazima iwe na misukosuko na mwanadamu hataishi kula mkate tu akiona ubinafsi umekita kambi kote nlijitoa mhanga angalau juani nchumie burudani mpate nyie ilhali vitoza machozi mwazirusha nyie bado ashakum sio matusi na wala sikejeli wala ntanie mja hivi ninaponena ,, nataka kuwapa kwaheri huku social media nyie wote tuonane tena 2027 mwenyezi Mungu akipenda nimeenda kufanya shuguli zangu binafsi kutimiza ndoto zangu ukinmiss hii hapa nambangu 0798457360 nashkuru ukarimu wenu na uhusiano mzuri kutoka kwenu mengi nmejifunza 😘😘🙏🙏 nawapenda nyote mbarikiwe

31/01/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Imbwaga Phanice, Hassan Sikiriet, Ronald Juma, Nakaya Arap Nakaya, Oliviel Debruyne, Oscah Bilasio, Dilla's Nyongesa, Okumu Cf

Big shout-out to my newest top fans! Gloria Khayanga
30/01/2024

Big shout-out to my newest top fans! Gloria Khayanga

Unajua maana ya kula pilipili ama niachane nawewe 😁😁😂press @  ule wa kwanza kutokea uliza yeye k**a anajua maana ya kula...
29/01/2024

Unajua maana ya kula pilipili ama niachane nawewe 😁😁😂press @ ule wa kwanza kutokea uliza yeye k**a anajua maana ya kula pilipili isiwe ni kujionyesha tu 😂😂

Sometimes munaniona Niko offline Sana mnadhani Niko busy 🤦🤭 kumbe najiuliza nibuy food ama mbs 😂😂😂
26/01/2024

Sometimes munaniona Niko offline Sana mnadhani Niko busy 🤦🤭 kumbe najiuliza nibuy food ama mbs 😂😂😂

Nothing hurts😭💔 more than begging for attention💔😭 from  the person you love😥😩 .You reply them fast❤️ but they take hours...
26/01/2024

Nothing hurts😭💔 more than begging for attention💔😭 from the person you love😥😩 .You reply them fast❤️ but they take hours to reply you💔 you double text them 😤😟 they reply when they're bored😔❤️ You make time for them 💔 but they don't make time for you 🚶💔 Dear king 🤴 and queen 👰 just because you love someone ❤️ doesn't mean you should be treated like trash 🚮👌💖 . You're worth more than seeking somebody attention💘. You deserve better life 💪😦❤️

Press , if it appears blue then your account is ready for monetization !👌🏾
26/01/2024

Press , if it appears blue then your account is ready for monetization !
👌🏾

039 county majamaa wako wakiona uko na pesa kidogo hata umetumwa change na shosh yako 🙆 wanaanza kusema uko illuminati j...
25/01/2024

039 county majamaa wako wakiona uko na pesa kidogo hata umetumwa change na shosh yako 🙆 wanaanza kusema uko illuminati juu wameomba umewakazia na si pia wewe uingie huko ama Sura huna ??🤦 but me nauliza hivi ndo tutaishi ma youths ??🤷🤷 Mbona Kila mtu asijitume tu hata Kwa siku upate 100/= zako,,,,,,, anyway nataka life yangu tu juu shetani ako kona zote mtu akifa kifo yake ndo nyinyi bado mnasema nmemtoa mwenzangu kafara mnataka kutuona tukiomba misaada tuchangiwe online iwe furaha kwenu 🤷🤷🤷 sijakuja na ubaya hata nmenyoa ishara ya Amani 🙏🙏

Make a sentence using the instructions given below 😂😂😂wacha nsome comments MwàMwàkã WãñgûñMwàkã Wãñgû
23/01/2024

Make a sentence using the instructions given below 😂😂😂wacha nsome comments MwàMwàkã WãñgûñMwàkã Wãñgû

Mh nae sijawai ona umuhimu wa dates ama outs,huwa naprefer kukaa kwa nyumba  na mpoa wangu tunakulana toka asubuhi adi j...
23/01/2024

Mh nae sijawai ona umuhimu wa dates ama outs,huwa naprefer kukaa kwa nyumba na mpoa wangu tunakulana toka asubuhi adi jioni💯💯💯
😂😂😂😂😂 K**a hujanfollow kumbuka ni mwaka mpya Feb inakaribia 🙏

Ukiwa n Dem hana sura but Ako n matako ile time ya introduction kwa familia huwa unasema "Beb simama sasa wakuone" 😪😪😂😂😂...
23/01/2024

Ukiwa n Dem hana sura but Ako n matako ile time ya introduction kwa familia huwa unasema "Beb simama sasa wakuone" 😪😪😂😂😂😂😂💔💔💔

Siezi lala na msichana mwenye hajawahikula hizi k**a mboga 😂😂😂😂😂
23/01/2024

Siezi lala na msichana mwenye hajawahikula hizi k**a mboga 😂😂😂😂😂

Wakuu ndo nmeoa halafu wife analeta mezani ikiwa hivi 🙆🙆 what does it mean ?? 🙆 Ama hataki tukule pamoja ?? 🤦
23/01/2024

Wakuu ndo nmeoa halafu wife analeta mezani ikiwa hivi 🙆🙆 what does it mean ?? 🙆 Ama hataki tukule pamoja ?? 🤦

Peana masharti moja ya huyu legend kisha toka zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
22/01/2024

Peana masharti moja ya huyu legend kisha toka zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Do you miss him ??? 😂😂😂😂😂😂 Who knows the guy ???
22/01/2024

Do you miss him ??? 😂😂😂😂😂😂 Who knows the guy ???

22/01/2024

Hawa wazazi aky 😂😂 mamangu use to tell me "naenda chama leo tembea wajue nlizaa watalii😤😂🙈 leta wako na msemo wake 😂

K**a uko narobi mwenzangu osikufe na njaa niko na maindi dada yangu alinitembelea nayo karibu uchukue moja ikusukume 😂😂😂...
22/01/2024

K**a uko narobi mwenzangu osikufe na njaa niko na maindi dada yangu alinitembelea nayo karibu uchukue moja ikusukume 😂😂😂😂

Mlikua mnaitaje hii kwa kabila yenu 🤣🤣🤣🤣
22/01/2024

Mlikua mnaitaje hii kwa kabila yenu 🤣🤣🤣🤣

23/12/2023

Na wamama wa ploti wajifunze kukojoa polepole..ehee si leo nimetoka mbio na mitungi nikidhani maji yamerudi buana🤫🙉😂🤭

07/11/2023

FAIDA KUU TATU ZA SIGARA AMINI USIAMINI

1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi

UFAFANUZI
"""""""""""''"""
●. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu

●. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na muda wote hulazimika kutembea na bakora mkononi

●. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali. Atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho kumbe kikohozi tu.

05/11/2023

Bana bengo mwesi nabasimaa luli lukali Sana wele khakaba abawe chikhabi

Hawa wanapatikana upande gani Kenya ?
19/10/2023

Hawa wanapatikana upande gani Kenya ?

13/09/2023
        Masinde Aweis Okumu Comedian Choffuri
17/07/2023

Masinde Aweis Okumu Comedian Choffuri

06/07/2023

Taja tool moja ya chemestry na uses 🤣🤣

Call me Msãngafů Mbîñgï na mniambie kati ya Sokoto 039  na Wamocha classic chichi nani amezeeka sana 🤣🤣🤣
21/04/2023

Call me Msãngafů Mbîñgï na mniambie kati ya Sokoto 039 na Wamocha classic chichi nani amezeeka sana 🤣🤣🤣

11/04/2023

Alinipata kwa bed nimenyamaza tu😒akanikiss kwa forehead 😘me nimenyamaza tu 🤐akasonga na kukaa karibu yangu mi nimenyamaza tu 🙄akanishikashika chest✋ romance me nimenyamaza tu ☺️akatoa mjulus nje🍆akaanza kusuc😋me nimetulia tu🤗akainua dress ju👗 akaanza kuride😋me nimenyamaza tu 😀ak**aliza akanikiss kwa forehead tena then akajipanguza akaenda🚶🏼‍♀️me nimenyamaza tu☺️Leo amenitext eti haoni period yake🤔wakuu nifanye aje😌😀😀

Kuliko nkae Western kutafutana beef eti mara hoo !! Hii !! Hawaaa! Upusiii 🤣🤣 wacha njitaftie kwani nlinyang'anywa mikon...
10/04/2023

Kuliko nkae Western kutafutana beef eti mara hoo !! Hii !! Hawaaa! Upusiii 🤣🤣 wacha njitaftie kwani nlinyang'anywa mikono akili ni ile ile vijana tujitume tusilalishe 👍👍👍

Address

Bungoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OKUMU ACTOR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to OKUMU ACTOR:

Videos

Share