BBC Swahili

BBC Swahili Hii ni Idhaa yako na mtandao wako. Usisite kutoa maoni yako. website: www.bbcswahili.com
(4376)

Inaaminika kuwa kwa mara ya kwanza katika hali ya mapigano, Urusi ilitumia "Dagger" mnamo mwezi Machi 2022.https://bbc.i...
04/09/2024

Inaaminika kuwa kwa mara ya kwanza katika hali ya mapigano, Urusi ilitumia "Dagger" mnamo mwezi Machi 2022.
https://bbc.in/4ebp7ti

04/09/2024
Miongo miwili iliyopita, aliwaambia Warusi, kuwa amepigana na kushinda vita dhidi ya ugaidi. Na sasa anawaambia kuwa ana...
04/09/2024

Miongo miwili iliyopita, aliwaambia Warusi, kuwa amepigana na kushinda vita dhidi ya ugaidi. Na sasa anawaambia kuwa anapigana na "Wanazi mamboleo" na “maadui Magharibi” huko Ukraine
https://bbc.in/3XtCRdh

India inamlaumu Azhar, ambaye alianzisha kundi la Jaish-e-Mohammad baada ya kuachiliwa kwake, kwa mashambulizi kadhaa nc...
04/09/2024

India inamlaumu Azhar, ambaye alianzisha kundi la Jaish-e-Mohammad baada ya kuachiliwa kwake, kwa mashambulizi kadhaa nchini humo. Pia anatajwa na Umoja wa Mataifa kuwa ni gaidi.
https://bbc.in/4gfr7CH

Maduro atangaza kuwa Krismasi itaanza mapema huku mzozo wa kisiasa ukiwa bado unafukutahttps://bbc.in/3XyiMS7
04/09/2024

Maduro atangaza kuwa Krismasi itaanza mapema huku mzozo wa kisiasa ukiwa bado unafukuta
https://bbc.in/3XyiMS7

04/09/2024

Matangazo ya Dira ya Dunia

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inatarajia dozi zake za kwanza za chanjo ya mpox Septemba 5https://bbc.in/4dNzcfX
04/09/2024

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inatarajia dozi zake za kwanza za chanjo ya mpox Septemba 5
https://bbc.in/4dNzcfX

Ilikuwa karibu nusu karne baadaye, mnamo Agosti, wakati mpelelezi wa polisi wa Pennsylvania alipofuatilia alama za vidol...
04/09/2024

Ilikuwa karibu nusu karne baadaye, mnamo Agosti, wakati mpelelezi wa polisi wa Pennsylvania alipofuatilia alama za vidole za Grubb
https://bbc.in/4cQohB1

Urusi yaishambulia Ukraine kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya hypersonic https://bbc.in/47gi8Nd
04/09/2024

Urusi yaishambulia Ukraine kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya hypersonic
https://bbc.in/47gi8Nd

Inaaminika kuwa kwa mara ya kwanza katika hali ya mapigano, Urusi ilitumia "Dagger" mnamo mwezi Machi 2022.https://bbc.i...
04/09/2024

Inaaminika kuwa kwa mara ya kwanza katika hali ya mapigano, Urusi ilitumia "Dagger" mnamo mwezi Machi 2022.
https://bbc.in/3XkhmKS

Vijana wamekuwa wakiendeleza "maudhui" ya ngono kwa kutumia picha zilizobadilishwa za wanawake vijana kwenye Telegramhtt...
04/09/2024

Vijana wamekuwa wakiendeleza "maudhui" ya ngono kwa kutumia picha zilizobadilishwa za wanawake vijana kwenye Telegram
https://bbc.in/3TfCDEc

Ilichukua miaka 20 kwa Putin kutembelea magofu ya School No. 1. Hata hivyo, hakujiunga na hafla za ukumbusho na familiah...
04/09/2024

Ilichukua miaka 20 kwa Putin kutembelea magofu ya School No. 1. Hata hivyo, hakujiunga na hafla za ukumbusho na familia
https://bbc.in/4gd4u1r

Ni vyakula gani vinapochanganywa hugeuka kuwa sumu?
04/09/2024

Ni vyakula gani vinapochanganywa hugeuka kuwa sumu?

Kila binadamu ana kile alichojaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.

04/09/2024

Nilishauriwa ‘kuzaa’ mapema ili kupona ugonjwa wa Endometriosis

Familia ya mfanyakazi wa aliyeuawa na shambulizi la Israel huko Gaza yataka uchunguzi uhuru ufanyikehttps://bbc.in/3Tf89...
04/09/2024

Familia ya mfanyakazi wa aliyeuawa na shambulizi la Israel huko Gaza yataka uchunguzi uhuru ufanyike
https://bbc.in/3Tf89SI

India inamlaumu Azhar, ambaye alianzisha kundi la Jaish-e-Mohammad baada ya kuachiliwa kwake, kwa mashambulizi kadhaa nc...
04/09/2024

India inamlaumu Azhar, ambaye alianzisha kundi la Jaish-e-Mohammad baada ya kuachiliwa kwake, kwa mashambulizi kadhaa nchini humo. Pia anatajwa na Umoja wa Mataifa kuwa ni gaidi.
https://bbc.in/3Tfj4Mj

“Nimekuwa katika jamii ambayo unaambiwa ni kawaida mwanamke kupata maumivu anapokuwa katika hedhi’’-Ritha Mwambene, Mtan...
04/09/2024

“Nimekuwa katika jamii ambayo unaambiwa ni kawaida mwanamke kupata maumivu anapokuwa katika hedhi’’

-
Ritha Mwambene, Mtanzania ambaye akiwa na umri wa miaka 18 alianza kupata dalili za maumivu yasiyo ya kawaida kila alipoingia katika hedhi.

Je ugonjwa huu uliathiri vipi maisha yake? je alitambua vipi kuwa ana tatizo la Endometriosis? na alikuwa anakabiliana vipi na maumivu?
-
Ritha Mwambene, ataelezea kwa kina katika Waridi wa BBC leo kuanzia majira ya saa nane mchna kupitia ukurasa wa Facebook na Youtube wa BBCSwahili
-
-
-

Watu saba wafariki Ukraine kufuatia mashambulizi mapya yaliotekelezwa na Urusihttps://bbc.in/3TegTZj
04/09/2024

Watu saba wafariki Ukraine kufuatia mashambulizi mapya yaliotekelezwa na Urusi

https://bbc.in/3TegTZj

Tume ya Haki za Binadamu Uganda yataka kuachiliwa kwa wanawake walioandamana wakiwa utupuhttps://bbc.in/3XbvllR
04/09/2024

Tume ya Haki za Binadamu Uganda yataka kuachiliwa kwa wanawake walioandamana wakiwa utupu
https://bbc.in/3XbvllR

"Nilitamani kurukja juu na chini na kulia na kupiga kelele" - Alisema Jodie Grinham ambaye ni mjamzito wa miezi saba"Lak...
04/09/2024

"Nilitamani kurukja juu na chini na kulia na kupiga kelele" - Alisema Jodie Grinham ambaye ni mjamzito wa miezi saba

"Lakini kwa kuwa ni mjamzito, jambo bora la kufanya lilikuwa ni kukaa chini na kutulia kwa sekunde moja, kisha kuanza kupongezana na mambo mengine."
-

Wimbi jipya la mashambulizi ya Urusi laikumba Ukraine baada ya shambulio la Poltavahttps://bbc.in/3MvGitG
04/09/2024

Wimbi jipya la mashambulizi ya Urusi laikumba Ukraine baada ya shambulio la Poltava
https://bbc.in/3MvGitG

Je, ungependa kumiliki silaha nchini Kenya? ni rahisi, fuata masharti hayahttps://bbc.in/47f56Qn
04/09/2024

Je, ungependa kumiliki silaha nchini Kenya? ni rahisi, fuata masharti haya

https://bbc.in/47f56Qn

WARIDI WA BBC: Nilishauriwa ‘kuzaa’ mapema ili kupona ugonjwa wa Endometriosishttps://bbc.in/3XfniEy
04/09/2024

WARIDI WA BBC: Nilishauriwa ‘kuzaa’ mapema ili kupona ugonjwa wa Endometriosis

https://bbc.in/3XfniEy

Address

BBC
London
W1A1AA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BBC Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Nearby media companies


Other Broadcasting & media production in London

Show All

You may also like