Zanzibar Daima Collective

Zanzibar Daima Collective Zanzibar Daima Collective ni mmiliki wa gazeti la mtandaoni la Zanzibar Daima Online, mtandao wa ZanzibarDaima.Net.

Zanzibar Daima Collective ni jukwaa la mawasiliano miongoni mwa Wazanzibari na kati ya Zanzibar na ulimwengu. Makusudio ni kuiwasilisha na kuiwakilisha Zanzibar kwa mtazamo wa Kizanzibari, na sio kinyume chake. Tunaamini kuwa Wazanzibari wanapenda wajisemee wenyewe juu ya hisia na matakwa yao, khofu na matarajio yao, na hata juu ya nguvu na udhaifu wao. Imani kuu ya waanzilishi wa jarida hili ni

Uzanzibari, ambao ni fakhari kwa kila Mzanzibari anayeishi ndani ya mipaka ya Zanzibar au nje yake. Kwa hivyo, kazi kubwa ya Zanzibar Daima Collective ni kusimamia na kuendeleza msimamo wa Wazanzibari. Msimamo wenyewe ni kwamba nchi yao ya Zanzibar ilikuwepo, ipo na itakuwepo milele. Tunaamini pia kwamba Uzanzibari ni utambulisho ulio hai na kwamba Wazanzibari wenyewe wanajivunia na kuulilia utambulisho huo.

Adresse

Nonnstr. 25
Bonn
53119

Benachrichtigungen

Lassen Sie sich von uns eine E-Mail senden und seien Sie der erste der Neuigkeiten und Aktionen von Zanzibar Daima Collective erfährt. Ihre E-Mail-Adresse wird nicht für andere Zwecke verwendet und Sie können sich jederzeit abmelden.

Service Kontaktieren

Nachricht an Zanzibar Daima Collective senden:

Teilen

Medienfirmen in der Nähe


Andere Medien- und Nachrichtenunternehmen in Bonn

Alles Anzeigen