🛑live MAZISHI YA MWAMI OMARI CHARLES SIMBI /MBOKO
AUDITION PUBLIQUE DES CANDIDATS AU POSTE DE PRESIDENCE MMBONDO DU CANADA
Baada ya muhula wa Mkiti EBUELA EUTE kumalizika,kamati wa maandalizi ya uchanguzi canada,inawaletea kwenu wagombea wa nafasi ya uwenyekiti na kufanya nao mdahalo wa wazi
NJOO TUYAONGEE,SIO AUDIOS
Tuwe watu wa kufanya midaalo kuliko kuwa wataalam wa kurikodi audio,nyingi ni potovu.Enzi za Mh ELOCO MKWALA/Mmbondo usa
UBYF NI IDARA YA EMMUS KWELI?!
Kundi la United Babondo Youth Fondation(UBYF) ni kweli ni kundi wa umoja wa vijana la Babondo Marekani ao ni JINA TU?
$100 BADO YAWEZA KUWA MTAJI NYUMBANI?
watu wa nyumbani wanakunja mikono sana kwa kusubiriwa wapewe,ila fursa zipo nyingi sana za kufanyikiwa kimaisha fizi
WANANDOA KUFANYIA MAMBO YAO PAMOJA
Walimu wa kwanza huwa ni wazazi,mkijichanganya mtachanganya watoto wenu pia
MUNGU WA KIGENI HANA MAADILI
Ni kweli ni lazima uongee na Mungu kwenye Lugha yako ya Asili?
ETI KWELI?
Mtazamo wa mzee ya kwamba Ni Ukosefu ndio chanzo cha Bei ya Mahari kuwa juu kwenye kabila za ki Bantu(haswa wa Bembe)unakubliana nalo kwa asilimia ngapi?
MAWESE YA FIZI
Una nini kama Urithi kutoka kwa wazazi wako?
WANAOJIFANYA KUJUA WAKATI HAWAJUI//MMBONDO
Tafiti zaonyesha kwamba,Asilimia kubwa kwenye jamii ya Ebondo ni watu wanaojifanya kujua wakati HAWAJUI.
WANAOSUSA WANASABABU
Safari bado ni ndefu,kujiorganiser bado ni shughuli sana kwa mmbondo.creation ya BUMAGROUP hapa na hapa na mwisho wa siku,MICHANGO😎😜
BOTE BWA BABONDO BULE NA ACHI BENI?
Hebo tuulizane kwa wale wataalam wa haya mambo,uchawi wanautumia kwa njia ipi?
ANASOMA NINI?WENZAKE WAMESHAOLEWA!
Ni wasi kabisa,haswa kabila la wabembe huwa hawaonagi umuhimu wa elimu kwa ajili ya mtoto msichana #darasa #elimu #mmbondo #msichana
SHINDA IPO KWETU WENYEWE/MMBONDO
Lushi ni sumu sana kwa maendeleo kwenye kabila la wabembe
COLLEGE UKIWA HIGH SCHOOL INAWEZEKANA KAMA IPO SAWA KICHWANI
Waweza kuanza kusoma College yako wakati bado upo High school,lakini inabidi uwe shwari kichwani
KAMPENI YA KUSITISHA MAKUNDI MADOGO MADOGO YA KIJUMBA KWENYE KABILA LA WABEMBE
Kama unakubaliana na Mzee,please share kwa watu.kampeni itaanzishwa tu. #mmbondo #mmbungwe #mmindji #bulambao
GHARAMA YA KUZIKA WATU WAKATI WAPO KWENYE UANGALIZI WA SERIKALI
Ni swala wa kuangaliwa kwa jicho la tatu kweli kweli.
MZEE APEWE MAUA YAKE
#mmbondo #lushi #lobolo
BEI KALI YASABABISHA VIJANA KWENDA KUOA KABILA TOFAUTI
vijana wengi wanalalamika sana bei ya kuoesha mabinti wa kabila la kibembe na kuwasababishia kukwepa na kwenda kuoa mabinti wa kabila zingine,nini unatazamo wao?
NI VIGUMU KUWATENGA WAZAZI KAMA HAWAJIWEZI TENA
Wengine huwa wanaofia sana kuwaacha wazazi wao kutokana na uzaifu wao na kulazimika kuwa nao kwa kuwaleya kama inavyoombwa na Maandiko matakatifu