Mwesi Media

Mwesi Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwesi Media, News & Media Website, Singida.

MWANA WA ADAMU AKIWA AMECHUKIA
27/02/2024

MWANA WA ADAMU AKIWA AMECHUKIA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga mkoni Shinyanga Bi, Johari Samizi amewataka wanachama wa mtandao wa waandishi wa habari za k...
13/07/2023

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga mkoni Shinyanga Bi, Johari Samizi amewataka wanachama wa mtandao wa waandishi wa habari za kupinga ukatili kuifikia jamii ambayo haipati nafasi ya kueleza ukatili wanao fanyiwa.

Ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya waandishi wa habari za kupinga ukatili wa kijinsia kitoka mikoa 9 hapa nchini yanafanyika mkoani Shinyanga.

Bi,Johari amesema lipokundi kubwa la akina baba ambao wanafanyiwa ukatili wa aina mbalimbali lakini wanashidwa kufika katika maeneo husika ilikupata msaada.

Amesema kupitia mtandao huo ipohaja ya kuja na mkakati wa jinsi ya kuwafikia wanaume ambao wanafanyiwa ukatili majumbani kwao na maeneo mbalimbali.

Mkuu huyo wa wilaya amesema ukatili uko kila mkoa hapa nchini na ukatili wa aina mbalimbali hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha anatokomeza vitendo hivyo.

24/06/2023
25/06/2022
10/06/2022
Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo atastafu mwishoni mwa Mwezi huu wa Sita baada ya kulitu...
06/06/2022

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo atastafu mwishoni mwa Mwezi huu wa Sita baada ya kulitumikia Jeshi kwa nafasi mbalimbali kuanzia January 1,1979

30/05/2022
TASAF SINGIDA MAMBO BAMUBAMU
26/05/2022

TASAF SINGIDA MAMBO BAMUBAMU

Address

Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwesi Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwesi Media:

Share


Other News & Media Websites in Singida

Show All

You may also like