Fpct Mlima wa Bwana Veta Singida

Fpct Mlima wa Bwana Veta Singida Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fpct Mlima wa Bwana Veta Singida, News & Media Website, veta singida barabara ya standard radio, Singida.

Yesu asfiwe watu wa Mungu karibuni chakula cha jion ni kuhusu ndoto.watu wengi huota ndoto wanesema ni nizakawaida hawac...
24/11/2024

Yesu asfiwe watu wa Mungu karibuni chakula cha jion ni kuhusu ndoto.watu wengi huota ndoto wanesema ni nizakawaida hawachukuwi hatua yoyote.nataka nikwambie usidhalaundoto unapewa tarifa ya yatakayo tokea kwenye maisha Yusuph Aliota ndoto kujulishwa yeye ni nani baadae alikuwa anatarifiwa mwanzo 37:5-19 alipo wambia ndugu zake wakamchukia hivyo ndoto uzoota utfahamu wewe ni nani watu wamefungwq ktk ndoto watu wamebarkiwa ktk ndoto mwanzo 20:17-22 ,40:1-19 41:115 barikiwa usku mwema

03/11/2024

Yesu asifiwe watu Mungu habari ya sku sasa nimerudi

01/10/2024

Bwana Yesu asifiwe watu wa Mingu

15/09/2024

Yesu asifiwe wapendwa karibuni Leo kwa chakula cha usku ujumbe wetu ni siri watu wengi wana siri miyoyon mwao laki Leo tuzungumzie siri ya Bwana zabur 25:14 siri ya Bwana iko kwao wamchao naye atawajulisha agano lake ukimcha Bwana anakufunulia siri zake ukiwa umeokoka usikubali kutembea bila siri za Bwana basi pokea chakula hiki pokea kwa jina la Yesu barikiwa kesho tutaendelea usku mwema

11/06/2024

Yesu adifiwe karibu chakula cha usku waebrania 2:14-16 kwakuwa watoto wameshiriku damu na mwili yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo ili amharic aliye kuwa na nguvu ya mauti yaani ibirisi .natangaza kwa jina la Yesu kuhariwa kwa ibiris shetan juu ya maisha yako krk huduma yako kazi yako biashara yako elimu yako afya yako kwa mauti ya msalaba uwe huru sasa tangu mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka amina pokea

Address

Veta Singida Barabara Ya Standard Radio
Singida

Telephone

+255764529890

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fpct Mlima wa Bwana Veta Singida posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fpct Mlima wa Bwana Veta Singida:

Share