21/11/2023
Huko kweny press conference hata hatuelew wanazungumzia nini
Badala yakutuletea kocha wanaleta mashabiki na k**a sikosei yawezekana hao akina kisugu,akina GB64,Pasi million na wengineo wamakula posho si hivi hivi hawa jamaa hawaongei kwa masilahi ya klab bali wanaongea kwa maslahi ya viongozi wachumia tumbo.
Press conference ya nn k**a tulikuja kutangaza mashabiki bora kuliko kocha mbona mashabiki tunajijua na ndo maana tumechukua tuzo ya mashabiki bora why leo wapo kweny press conference wanafanya nn very unprofessional.
Simba bado sana wanangu wa simba tuwe na moyo wa uvumilivu
Natamani sana mechi ijayo tufungwe ili tujue tunamapungufu makubwa sana maana mpka sasa ni mashabiki baadhi wenye kujua kuwa simba ina mapungufu ila tukifungwa mbona unyama Sana kila mtu atajua tyu😠