Onemoja maarifa

Onemoja maarifa History,news,entertainment and business

I've received 1,000 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. 🙏🤗🎉
14/07/2024

I've received 1,000 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. 🙏🤗🎉

Wananchi waungana kuzuia mapinduzi ya kijeshi Bolivia.🇧🇴K**a kuna sehemu hii kitu imewahi tokea naomba mniambie,lakini h...
27/06/2024

Wananchi waungana kuzuia mapinduzi ya kijeshi Bolivia.🇧🇴

K**a kuna sehemu hii kitu imewahi tokea naomba mniambie,lakini hii inapaswa kuwa ushindi mkubwa sana wa demokrasia duniani.

Bolivia ni nchi iliyopo Amerika kusini,inapakana na nchi kadhaa k**a Brazil🇧🇷 upande wa mashariki,Peru 🇵🇫 upande wa magharibi na Paraguay 🇵🇾 upande wa kusini.

K**a ilivo kwa nchi nyingi za ukanda huu wa bara la Amerika,,nyingi zimepitia utawala wakimabavu wakijeshi kwa miaka mingi na uchungu wa aina hiyo ya utawala wanaujua.

Mkuu wa Jeshi Juan José alimkosoa vikali rais wa nchi hiyo bw Moralés kwenye interview aliyoifanya siku kadhaa nyuma ambayo ilionyesha dhahiri mpango wake wakutaka kuipindua serikali kwa kisi gizio chakuwa anataka kurekebisha mfumo wa demokrasia nchini humo,na baada ya hapo Rais alimtaka José kutoka katika nafasi yake baada ya kumkosoa rais wa nchi lakini aligoma na ndipo kuamua kuchukua vikosi vya jeshi na kuingia mtaani na kwenda kuiteka ikulu.

Rais Moralés alilihutubia taifa akiwa ndani ya Ikulu na kuwaomba wananchi waungane kupinga mapinduzi hayo ili kuunga mkono demokrasia.

Wananchi walijitokeza kwa maelfu kisha kuandamana kuelekea ikulu ambako waliwashinda nguvu wanajeshi hao ma kupelekea bw José kuk**atwa na mapinduzi hayo kufeli.

Kabla ya sasa rais huyo alishawahi kutolewa madarakani mwaka 2019 na kukimbilia Mexico ambako Jeshi lilitoa sababu kwamba walifanya mapinduzi hayo kutokana na rais kutaka kufanya uchakajuaji wa kura kitu ambacho kilipingwa na rais huyo.

Alirejea mwaka 2020 ambako ulifanyika uchaguzi na akashinda tena ambako alihudumu hadi sasa.

Tutaendelea zaidi post inayokuja.

Follow page yetu

Nchi zinazoongoza kwa kupokea misaada ya kigeni Afrika.1. Misri - $7.7 billion2. Ethiopia - $5.3 billion3. Nigeria - $5 ...
27/06/2024

Nchi zinazoongoza kwa kupokea misaada ya kigeni Afrika.

1. Misri - $7.7 billion

2. Ethiopia - $5.3 billion

3. Nigeria - $5 billion

4. DR Congo - $3.4 billion

5. Kenya - $3.3 billion

6. Tanzania - $3 billion

7. Mozambique - $2.9 billion

8. Morocco - $2.6 billion

9. Uganda - $2.4 billion

10. Niger - $2.2 billion

Chanzo;IMF

FOLLOW PAGE YETU

Huyu jamaa anakuja Bongo kuupanda mlima Kilimanjaro.🔥🔥🔥😜😜Kashaupanda wa Mobetto 😅😅 anataka kupanda Kilimanjaro sasa😁Foll...
27/06/2024

Huyu jamaa anakuja Bongo kuupanda mlima Kilimanjaro.🔥🔥🔥

😜😜Kashaupanda wa Mobetto 😅😅 anataka kupanda Kilimanjaro sasa😁

Follow page yetu

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Ķ Mbombe, Rashidi Mbena, Furaha Mbega, A...
25/06/2024

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Ķ Mbombe, Rashidi Mbena, Furaha Mbega, Akulugula Berehani, Bob Rich, Flaviana Chileu, Dito Uliza, Ally Manyanya Manayanya, Maalim Abdul Kareem Hemed, Mwesiga Kikaka

Michael Jackson kabla yakuwa mzungu.Follow page yetu
24/06/2024

Michael Jackson kabla yakuwa mzungu.

Follow page yetu

Follow page yetu      Simba SC Tanzania Young Africans Sports Club
24/06/2024

Follow page yetu

Simba SC Tanzania Young Africans Sports Club

Mount Kilimanjaro 🇹🇿Follow page yetu
24/06/2024

Mount Kilimanjaro 🇹🇿

Follow page yetu

Korea kusini yafyatua risasi za onyo kwa wanajeshi wa Korea kasakzini.Hili limetokea mapema siku ya alhamisi ambapo kuto...
21/06/2024

Korea kusini yafyatua risasi za onyo kwa wanajeshi wa Korea kasakzini.

Hili limetokea mapema siku ya alhamisi ambapo kutokana na taarifa kutoka katika jeshi la Korea kusini ni kwamba wanajeshi wa Korea kaskazini walivuka eneo lisilo la kijeshi linalofahamika k**a Demilitarized zone ama (DMZ).

Eneo hili ni eneo ambalo lina urefu wa kilomita 250 na upana wa kilomita 4 ambapo haparuhusiwi shughuli yoyote ya kijeshi na hutumika k**a mpaka baina ya nchi hizo mbili tangu mwaka 1953 ambapo makubaliano ya kijeshi kati ya Marekani chini ya mwamvuli wa umoja wa mataifa na Korea Kaskazini.

Ikumbukwe kwamba Korea hizi mbili hazijawahi kusaini mkataba wa amani wala wa kusitisha vita bali ni makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa mwaka 1953.

Korea kusini imedai kuwa kuvuka kwa wanajeshi wa Kaskazini kwenye eneo hilo ni mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja na mara zote imeonekana k**a walivuka kimakosa.

Tukio la hivi karibuni lilotokea alhamisi ,limetokea punde tuu baada ya ziara ya Rais wa Urusi Vladimir Putin nchini Korea Kaskazini alipokutana na Kim jong UN.

Hivi sasa nchi hizo zipo katika vita inayofahamika k**a "vita vya map**o" ambapo nchi hizo zimekua zikitumia map**o katika kutumiana vitu mbali mbali.

Korea kusini ilituma p**o likiwa na vipeperushi vya propaganda kuelekea Kaskazini na wao walijibu kwa kutuma map**o ya uchafu kuelekea kusini. Alhamisi pia ilishuhudiwa mwanaharakati wa Korea kusini akishirikian na mwananchi aliewahi kutoroka Kaskazini kutuma map**o 20 kwenda Kaskazini yaliyokuwa yamebeba vipeperushi laki tatu,flashi elfu tano zenye maudhui mbali mbali ya Korea kusini k**a nyimbo,filamu na michezo,lakini pia wakiweka na kiasi cha dola elfu tatu.

Jambo hili lilifanya dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Yo jong kutoa onyo la vitisho kwa Kusini akisema.
"Unapofanya jambo ambalo ulionywa waziwazi kutofanya, ni kawaida tu kwamba utajikuta ukishughulika na jambo ambalo hukulazimika kufanya," Shirika rasmi la Habari la Korea Kaskazini la Korea Kaskazini lilimnukuu Kim Yo Jong akisema.

Follow page yetu

✨ Platypus: mnyama wa ajabu zaidi! ✨ Huenda platypus ndiye mnyama wa ajabu zaidi kwenye sayari Dunia🌏. Ni mamalia 🐾, lak...
21/06/2024

✨ Platypus: mnyama wa ajabu zaidi!

✨ Huenda platypus ndiye mnyama wa ajabu zaidi kwenye sayari Dunia🌏.

Ni mamalia 🐾, lakini cha kushangaza hutaga mayai 🥚. Ana mdomo k**a wa bata 🦆, mkia wa beaver 🦫 , miguu ya bata na, ana sumu 🐍.

Mnyama huyu anayevutia ana vipokea umeme vya kutafuta mawindo 🦐, macho yenye koni mbili 👀, na cha kushangaza, hana tumbo. Kwa kuongeza, DNA yake ina chromosomes 10. Na ikiwa haya yote hayatoshi, platypus ni fluorescent! 🌟 yaani hung'aa chini ya mwanga wa UV, na kumfanya kuwa wa kushangaza zaidi.

Follow page yetu

Msimamo wa FIFA wa timu za taifa hivi sasaFollow page yetuKumi bora ya timu bora za taifa duniani hivi sasa.Argentina ba...
20/06/2024

Msimamo wa FIFA wa timu za taifa hivi sasa

Follow page yetu

Kumi bora ya timu bora za taifa duniani hivi sasa.

Argentina bado wanashika usukani.

Ottawa siku ya Jumatano iliorodhesha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran k**a kundi la kigaidi huku ikitoa wito kwa Wakanada ka...
20/06/2024

Ottawa siku ya Jumatano iliorodhesha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran k**a kundi la kigaidi huku ikitoa wito kwa Wakanada katika nchi hiyo ya Kiislamu kuondoka.

"Serikali yetu imefanya uamuzi wa kuorodhesha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu k**a chombo cha kigaidi chini ya Kanuni ya Jinai," Waziri wa Usalama wa Umma Dominic LeBlanc aliambia mkutano wa waandishi wa habari. Akiwa ameambatana na mawaziri wa mambo ya nje na haki wa Kanada, aliishutumu serikali ya Iran kwa "kuunga mkono ugaidi" na "kuonyesha mara kwa mara kutozingatia haki za binadamu ndani na nje ya Iran, pamoja na nia ya kuvuruga utaratibu unaozingatia sheria za kimataifa.

Waziri wa Mambo ya Nje Melanie Joly, akibainisha kuwa Ottawa ilivunja uhusiano wa kidiplomasia na Tehran mwaka 2012, aliwataka Wakanada dhidi ya kusafiri kwenda Iran. "Kwa wale ambao wako Iran hivi sasa. Ni wakati wa kurudi nyumbani," alisema.

Uorodheshaji wa ugaidi unazuia wanachama wa jeshi hilo kuingia Kanada na Wakanada kuwa na shughuli zozote na wanachama binafsi au kikundi. Mali yoyote ambayo Walinzi au wanachama wake wanayo nchini Kanada pia inaweza kutwaliwa.

Wahamiaji wa Irani na familia za waathiriwa wa Ndege ya PS752, ambayo ilitunguliwa na Iran muda mfupi baada ya kupaa kutoka Tehran mnamo Januari 2020, na kuua abiria na wafanyakazi wote 176, wakiwemo raia 85 wa Canada na wakaazi wa kudumu, kwa muda mrefu wameishinikiza Ottawa kutaja wanamgambo k**a jeshi au chombo cha kigaidi.

Wabunge mwezi uliopita walipiga kura kwa kauli moja kufanya hivyo. Utawala wa Waziri Mkuu Justin Trudeau ulikuwa, hadi sasa, ulionyesha kusita, ukielezea kwamba orodha ya ugaidi inaweza kuwa pana sana na kuwaathiri kwa bahati mbaya Wairani wa Kanada wanaopinga utawala huo.

Picha ni walinzi wa mapinduzi ya Iran

Follow page yetu

Israel ina mpango wakupanua vita vyake kutoka Gaza mpaka Lebanon ikiwa Hezbollah hawatoondoa jeshi lao kwenye mpaka kati...
20/06/2024

Israel ina mpango wakupanua vita vyake kutoka Gaza mpaka Lebanon ikiwa Hezbollah hawatoondoa jeshi lao kwenye mpaka kati yao na Lebanon.

Mpaka sasa Israel na Hezbollah wamekua wakibadilishana risasi mpakani bila kuvuka mipaka na hii ilichochewazaidi baada ya Israel kuua baadhi ya viongozi wa juu wa Hezbollah wiki iliyopita.

Baada ya mauaji ya viongozi wao, Hezbollah walijibu kwakurusha mamia ya makombora nchini Israel ambapo hii ilitishia zaidi kupanuka kwa vita hivyo.

Hezbollah wameonya kuwa Israel ikipanua vita hivyo kwenda Lebanon basi watapigana bila kufata sheria na watafanya mara tatu ya kile Israel inachokifanya Gaza.

Mpaka sasa msemaji wa jeshi la Israel amesema kua viongozi wa juu wa jeshi tayari wamesaini mipango ya kuendeleza vita huko Lebanon na sasa inasubiriwa amri kutoka kwa Waziri mkuu.

Picha ni wanajeshi wa kundi la Hezbollah.

Follow page yetu.

PINGA MAUAJI YA ALBINO
19/06/2024

PINGA MAUAJI YA ALBINO

Idi Amin Dada Oumee Alikuwa rais wa tatu wa Uganda. Aliibuka mamlakani baada ya kumpindua Milton Obote baada ya kujua kw...
19/06/2024

Idi Amin Dada Oumee Alikuwa rais wa tatu wa Uganda. Aliibuka mamlakani baada ya kumpindua Milton Obote baada ya kujua kwamba alikuwa akipanga kumk**ata kwa ufujaji wa pesa.

Alitawala kutoka 1971 hadi 1979. Alijiongezea jina la The Conquerer of British Empire (CBE) baada ya Waingereza kuvunja uhusiano wao na Uganda mnamo 1977. Aliwafukuza Waasia nchini Uganda. Mnamo 1975, alikua mwenyekiti wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU).

Mwaka 1978,alijaribu kutwaa mkoa wa Kagera nchini Tanzania na kumfanya Nyerere kulipiza kisasi.

Julius Nyerere alituma wanajeshi wake Kampala Uganda ambako waliliteka Jiji la Kampala na kumung'oa Rais Idi Amin kutoka madarakani.

Alikimbilia nchini Libya, kisha akahamia Iraq na baadaye Saudi Arabia ambako aliishi hadi kifo chake mwaka 2003.

Uongozi wake ulikuwa na maswala mengi ya ukiukwaji wa haki za binadamu ambayo yalielekezwa kwa wapinzani wake wa kisiasa.

Follow page yetu

Hii ni noma,,,,,tandiko hili limetengenezwa kwa kutumia sigara laki sita na hamsini elfu. (650000)Follow page yetu
18/06/2024

Hii ni noma,,,,,tandiko hili limetengenezwa kwa kutumia sigara laki sita na hamsini elfu. (650000)

Follow page yetu

Msichana huyu mwenye umri wa miaka 15 aliishi katika himaya ya Inca na alitolewa dhabihu (Kafara) miaka 500 iliyopita k*...
18/06/2024

Msichana huyu mwenye umri wa miaka 15 aliishi katika himaya ya Inca na alitolewa dhabihu (Kafara) miaka 500 iliyopita k**a dhabihu kwa miungu.

Amehifadhiwa vema kiasi hiki kwa sababu pahali alipokua amewekwa ni mita 6000 juu ya usawa wa bahari ambako kuna hali ya baridi kavu kali. Uchunguzi ulipofanyika aligundulika kua alikua amesinzia wakati amewekwa huko.

Hakuna matibabu mengine yaliyohitajika kwaajili ya kuutunza mwili huo uliopatikana mnamo mwaka 1999 karibu na kilele cha volkano ya Llullaillaco, kaskazini-magharibi mwa Argentina, haya yalikuwa mapinduzi ya kiakiolojia kwa kuwa huu ni moja ya miili iliyohifadhiwa bora zaidi, kwani kulikuwa na damu (iliyoganda) hata katika mwili wake na viungo vyake vya ndani vilibaki.

Follow page yetu

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la  Urusi Vladimir Putin na Rais wa jamhuri ya watu wa Korea Kim jong UN,walipokutana leo ...
18/06/2024

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Vladimir Putin na Rais wa jamhuri ya watu wa Korea Kim jong UN,walipokutana leo wamekubaliana kua

⭐Korea itaongeza upelekaji wa makasha ya mabomu na risasi Urusi.

⭐Urusi itaasaidia na kutoa mafunzo ya teknolojia ya rocket na satelaiti kwa Korea.

⭐Kuongeza ushirikiano kwenye masuala ya Ulinzi na usalama.

Hii inamaanisha nini??

Ina maana kua Urusi ni k**a anataka kurudisha wale rafiki zake wote wa kipindi cha Usovieti,,,China,Korea,Cuba.

Ikumbukwe sio mda sana meli za Urusi zilienda Cuba kwaajili ya mazoezi ya pamoja na Cuba.

Hii inaiweka wapi Marekani ambayo kwa sasa inaunga mkono Israel yenye mikwarazo na nchi zote za Kiarabu na baadhi ya nchi nyingine, Ukraine yenye mizozo na Urusi lakini pia Taiwan yenye mikwaruzo na China.

Follow page yetu

Hezbollah waachia video ya droni ambayo waliituma Israel ikionyesha maeneo yote muhimu ya Israel na jeshi lake.Hii imeto...
18/06/2024

Hezbollah waachia video ya droni ambayo waliituma Israel ikionyesha maeneo yote muhimu ya Israel na jeshi lake.

Hii imetokea hivi punde na Aljazeera imeripoti hilo.

Hatua hii inabadilisha kabisa muundo wa vita vya mashariki ya kati kwani kitu k**a hiki hakijawahi tokea na inaonyesha jinsi gani Hezbollah ni tofauti kabisa na Hamas na uwezo wake wa kivita.

Huu ni ujumbe kwa serikali ya Israel na waungaji mkono wake kuwa Hezbollah ya sasa sio sawa na ile ya mwaka 2006 ambapo Israel ilifanikiwa kuwadhibiti.

Droni hiyo imeweza kupenya mpaka kilomita 6.5 ndani ya Israel bila mitambo ya Israel kuweza kugundua hata ule wa IRON DOME ambao ndio mfumo bora zaidi duniani wakutambua makombora na ndege za kivita.

Hezbollah wameachia video hiyo ili kuonyesha utofauti na onyo kwa Israel kusitisha vita huko Gaza mara moja na k**a watataka kwenda hatua ya pili basi na wao watajutia.

Kwenye video hiyo imeonekana Bandari ya Rafa ambako hata mfumo wa Iron dome ulioko hapo haukuweza kuigundua droni hiyo ,,pia imeonesha maegesho ya meli za kivita za Israel,mji na baadhi ya maeneo ya kimkakati ya Israel.

Follow page yetu

Saido Ntibazonkiza apewa Thank you ya kirundi na Simba SC Tanzania Follow page yetu
18/06/2024

Saido Ntibazonkiza apewa Thank you ya kirundi na Simba SC Tanzania

Follow page yetu

👀😅😂😂Follow page yetu
18/06/2024

👀

😅😂😂

Follow page yetu

Milionea anaetumia damu ya mwanae ili kuzuia  kuzeeka.Bryan Johnson ni milionea anayejiita mdukuzi wakibaiolojia (bio ha...
18/06/2024

Milionea anaetumia damu ya mwanae ili kuzuia kuzeeka.

Bryan Johnson ni milionea anayejiita mdukuzi wakibaiolojia (bio hacker) ambae alianza tiba za kisayansi ili kupunguza umri wake. Yaani arudi kutoka miaka aliyopo sasa na kuonekana k**a kijana wa miaka 18.

Hivi sasa Bryan ana umri wa miaka 45 na ametumia mamilioni kuhakikisha hilo linafanikiwa. Mwanzoni kipindi anaanza mwaka 2018 alitaka kusitisha majaribio haya baada ya kutumia damu ya mtoto wake aliekua na umri wa miaka 17 pamoja na ya baba yake aliekua na umri wa miaka 75.

Alitumia vinasaba (DNA) zao lakini hakuona mabadiliko na ndipo alipotaka kusitisha kwani njia hiyo ilionekana kufanya kazi kwa kiasi kidogo sana,lakini baadae aliendelea na mbinu nyingine k**a gene therapy ambayo alilipa zaidi ya dola elfu ishirini ili kupatiwa huduma hiyo huko kisiwani Honduras.

Mpaka sasa Bryan amekwisha tumia mamilioni na licha ya hivo amebadilisha kabisa mfumo wake wa kuishi,kula, na ni mtu wa mazoezi sana.

Jamaa anasema ana mpango wa kuvuka kipimo cha binaadamu kuishi ambacho ni miaka 120.

Je unahisi atafanikiwa?? Hizi ni picha za mabadiliko yako tangia aanze majaribio haya,,,,

Follow page yetu

Mechi za kwanza ligi kuu ya Uingereza (EPL)  BINGWA MTETEZI MAN CITY ATAKIPIGA UGENINI DHIDI YA CHELSEA🔥🔥🔥FOLLOW PAGE YE...
18/06/2024

Mechi za kwanza ligi kuu ya Uingereza (EPL)

BINGWA MTETEZI MAN CITY ATAKIPIGA UGENINI DHIDI YA CHELSEA🔥🔥🔥

FOLLOW PAGE YETU

Mbappe baada yakuvunjika pua Inasemekana atavaa mask mpaka mwisho wa Euro 2024Follow page yetu
18/06/2024

Mbappe baada yakuvunjika pua

Inasemekana atavaa mask mpaka mwisho wa Euro 2024

Follow page yetu

Follow page yetu❤️❤️😍😍🥰
18/06/2024

Follow page yetu

❤️❤️😍😍🥰

The most famous kid in East AfricaMtoto maarufu zaidi Afrika MasharikiTiffa🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿Follow page yetu
17/06/2024

The most famous kid in East Africa

Mtoto maarufu zaidi Afrika Mashariki

Tiffa

🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Follow page yetu

Diana Armstrong anashikilia rekodi ya kucha ndefu zaidi duniani, akizikuza kwa miaka 25 hadi kufikia inchi 10.4.Follow p...
17/06/2024

Diana Armstrong anashikilia rekodi ya kucha ndefu zaidi duniani, akizikuza kwa miaka 25 hadi kufikia inchi 10.4.

Follow page yetu

Twende mbele,turudi nyuma,NANDY ni mzuri aiseeMashaallah😍❤️🥰Tha African Princess🇹🇿Follow page yetu
17/06/2024

Twende mbele,turudi nyuma,NANDY ni mzuri aisee

Mashaallah😍❤️🥰

Tha African Princess🇹🇿

Follow page yetu

Bocco apewa thank you na Simba SC Tanzania  👋🏽👋🏽👋🏽Jamaa ni legend sio kwa Simba tuu,,,,,na kwa Nchi.🇹🇿🇹🇿Follow page yetu...
17/06/2024

Bocco apewa thank you na Simba SC Tanzania 👋🏽👋🏽👋🏽

Jamaa ni legend sio kwa Simba tuu,,,,,na kwa Nchi.🇹🇿🇹🇿

Follow page yetu

Mabaharia hapa tunaend na gia ngapi??Follow page yetu
17/06/2024

Mabaharia hapa tunaend na gia ngapi??

Follow page yetu

Address

Block T
Mbeya

Telephone

+255654752753

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Onemoja maarifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Onemoja maarifa:

Videos

Share

Nearby media companies



You may also like