Kev damas support

Kev damas support Vichekesho 4G

26/10/2024
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said  ameshinda Tuzo ya mwanamichezo m...
24/10/2024

Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.

Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Rais Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mhe.Ali Jabir Mwadini.


Alhamdulilah πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
19/10/2024

Alhamdulilah πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Mtoto KAUTAKA πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
19/10/2024

Mtoto KAUTAKA πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

KILA LA HERI STARSLEO, Taifa Stars watakuwa dimba la nyumbani, Benjamin Mkapa wakisaka ushindi dhidi ya DR Congo  mechi ...
15/10/2024

KILA LA HERI STARS

LEO, Taifa Stars watakuwa dimba la nyumbani, Benjamin Mkapa wakisaka ushindi dhidi ya DR Congo mechi ya kundi H kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.

Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia .

RATIBA YA SIMBA SHILIKISHOπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
07/10/2024

RATIBA YA SIMBA SHILIKISHOπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

07/10/2024
π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—”Timu bora Yanga imetoa wachezaji watano timu ya Taifa.Tunaendelea pale tulipoishia Kwa Wachezaji wetu kwenda kuy...
02/10/2024

π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—”

Timu bora Yanga imetoa wachezaji watano timu ya Taifa.Tunaendelea pale tulipoishia Kwa Wachezaji wetu kwenda kuyawakirisha mataifa yao.

KENYA -Duke ABUYA βœ“
UGANDA -Khalid AUCHO Β©βœ“
BURKINA FASO -Mr MVP Stephanie Azizi KI βœ“
MALI -Djigui DIRRA βœ“
ZAMBIA -Kennedy MUSONDA,, Clatous Chotta CHAMA βœ“
ZIMBABWE -Prince DUBE βœ“

✊

 : Mchezaji Mbwana Samatta, ni miongoni mwa Kikosi cha Timu ya Taifa 'Taifa Stars' kitakachoingia kambini kujiandaa na m...
01/10/2024

: Mchezaji Mbwana Samatta, ni miongoni mwa Kikosi cha Timu ya Taifa 'Taifa Stars' kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, dhidi ya Congo DR Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024 .

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ|   Ken Gold 0-1 Young Africans SC
25/09/2024

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ|

Ken Gold 0-1 Young Africans SC


MTOTO KAUTAKA KIKOSIπŸ’šπŸ’›πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
25/09/2024

MTOTO KAUTAKA KIKOSI
πŸ’šπŸ’›πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Mbeya

Telephone

+255742668246

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kev damas support posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kev damas support:

Share