Isio Rasmi: story za ukweli

Isio Rasmi: story za ukweli elimishana

Mwizi alie k**atwa usiku akiwa anakimbia mapolice hapa mtaani kwetu anae mjua ampe ushauli
05/05/2024

Mwizi alie k**atwa usiku akiwa anakimbia mapolice hapa mtaani kwetu anae mjua ampe ushauli

Basi zinazo tumia gesi zime wasili
24/04/2024

Basi zinazo tumia gesi zime wasili

23/03/2024
23/03/2024

Fanya unachoweza wakati unapokuwa mzima!

-Jitahidi kuishi na watu vizuri maana maisha pia ni watu.

-Kubali kulaumiwa kwasababu huwezi kufanikiwa bila lawama.

-Usijilaumu saaaana unapokosea sababu mtu hujifunza kutokana na makosa.

-Kumbuka maisha mazuri hayawezi kuja bila vikwazo!

-Huwezi kupata maisha bora bila kuyatafuta!

-Na huwezi kupata maisha mazuri k**a huna roho nzuri.

Zingatia haya utaishi kwa amani hapa duniani.
Nakuombea baraka za Mungu ziwe na wewe ulie poteza muda wako kusoma ujumbe huu asikuache daima katika maisha yako awe nawe kwa kila hatua unayo piga.🙏🙏

23/03/2024

Je k**a wew ni binhadamu nikweli kufanyia mwenzio hili ,je wew haunamakosa zaidi ya huyu unae mtendea haya?

Address

Makambako

Telephone

0769836933

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Isio Rasmi: story za ukweli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Nearby media companies