MwanaSayansi

MwanaSayansi Gazeti la Sayansi kwa Kiswahili nchini Tanzania

  Gazeti lako la MwanaSayansi. Liko tayari. Ni toleo la 5 kwenye link utafiti.tz/mwanasayansi/Mwezi huu tunazungumzia UV...
13/08/2024

Gazeti lako la MwanaSayansi. Liko tayari. Ni toleo la 5 kwenye link utafiti.tz/mwanasayansi/

Mwezi huu tunazungumzia UVIDA katika muktadha wa jinsia. Kuna ripoti mpya na utafiti uliofanywa huko Monduli.

Wanawake na UVIDA: Kilio cha kimya kimya?

Gazeti lako la MwanaSayansi liko tayari. Kesho utalipata kwenye tovuti yetu ikiwa live: Kupitia link https://utafiti.tz/...
12/08/2024

Gazeti lako la MwanaSayansi liko tayari. Kesho utalipata kwenye tovuti yetu ikiwa live: Kupitia link https://utafiti.tz/mwanasayansi/

Mwezi huu tunazungumzia UVIDA katika muktadha wa jinsia. Kuna ripoti mpya na utafiti uliofanywa huko Monduli.

Wanawake na UVIDA: Kilio cha kimya kimya?

🗓️Kama kawaida yetu. Leo ni tarehe 10 ya mwezi.  📚Utafiti unaficha habari nyingi sana. Kazi yetu ni kuusoma utafiti kwa ...
10/12/2022

🗓️Kama kawaida yetu. Leo ni tarehe 10 ya mwezi.

📚Utafiti unaficha habari nyingi sana. Kazi yetu ni kuusoma utafiti kwa jicho la habari na kukuletea 🗞️Gazeti la MwanaSayansi.

Pakua nakala yako hapa: https://researchcom.africa/mwanasayansi/

Ni kutoka kampuni ya Researchcom

Siku ya Kisukari Duniani Ukisoma ukurasa wa 6 wa🗞️Gazeti la MwanaSayansi, unaweza kupanua uelewa wako huhusu jinsi ugonj...
14/11/2022

Siku ya Kisukari Duniani

Ukisoma ukurasa wa 6 wa🗞️Gazeti la MwanaSayansi, unaweza kupanua uelewa wako huhusu jinsi ugonjwa wa kisukari unavyoathiri mishipa ya fahamu; na mgonjwa anavyoweza kujilinda.
👉Bonyeza hapa https://researchcom.africa/mwanasayansi/ kupakua(download) toleo Namba 3.

13/11/2022

https://researchcom.africa/wp-content/uploads/2022/11/Gazeti-La-MwanaSayansi-Toleo-Namba-3.pdf

10/11/2022

Je, unajua kwamba leo ni Siku ya Sayansi Duniani?

Katika kuenzi siku hiyo, gazeti la MwanaSayansi limezinduliwa leo na limesheheni habari zinazoweza kupanua uelewa wako wa masuala ya afya, ubunifu wa kisayansi na mengine mengi.

Pakua gazeti lako sasa kwenye aplikesheni ya M-Paper kwa kubofya link hapo chini👇🏽

https://bit.ly/3UH3qHN

🗞️Gazeti la MwanaSayansi limesheheni habari zinazoweza kupanua uelewa wako huhusu maisha yako na sayansi.  👉Bonyeza hapa...
10/11/2022

🗞️Gazeti la MwanaSayansi limesheheni habari zinazoweza kupanua uelewa wako huhusu maisha yako na sayansi.

👉Bonyeza hapa https://researchcom.africa/mwanasayansi/ kupakua(download) toleo Namba 3.

09/11/2022

Sisi ni Gazeti la Sayansi kwa lugha ya Kiswahili

Tunaanza safari isiyo na kikomo.

Safari inaanza kesho, Siku ya Sayansi Duniani.

Tufuatilie hapa na kwenye mitandao yetu mingine: Twitter & Instagram

UKURASA WA "MTOTO NA SAYANSI"Ukurasa huu ulitoka mwezi Februari wakati gazeti la MwanaSayansi likiwa katika majaribio. T...
23/10/2022

UKURASA WA "MTOTO NA SAYANSI"

Ukurasa huu ulitoka mwezi Februari wakati gazeti la MwanaSayansi likiwa katika majaribio.

Taarifa njema ni kwamba kuanzia tarehe 10 Novemba, , gazeti litaaza kutoka rasmi likiwa limesheheni sayansi kutoka Tanzania.

Karibuni

27/09/2022

Simplifying Science Research Through Drawings and Designs

Our Digital Communications team member & Creative Designer Samwel Fundo takes us through communicating research visually.

Emphasis: Simplifying research for impact on communities. Book chapter coming
https://t.co/js7oTXKrdW

26/05/2022

Simenti mbadala wakati huu bei zikiwa ziko juu: Inatengenezwaje? Msikilize mbunifu kutoka University of Dar es Salaam akielezea.

21/05/2022

Trekta ya gharama ya chini inayoendeshwa kwa injini ya pikipiki. Ni ubunifu wa Justine Mrure kutoka USA River, Arusha. . Ufanisi wake ukoje?

19/04/2022

Africa is experiencing its longest-running decline in COVID-19 infections since the onset of the pandemic. Recorded weekly cases have fallen for the past 16 weeks, while deaths have dropped for the last eight.

UTAFITI TANZANIA:  Katika gazeti lako la MwanaSayansi leo, tunaangazia "Gesi asilia kwenye bajaji itakavyoleta ahueni."N...
14/04/2022

UTAFITI TANZANIA: Katika gazeti lako la MwanaSayansi leo, tunaangazia "Gesi asilia kwenye bajaji itakavyoleta ahueni."

Ni utafiti wa wanasayansi kutoka DIT na Central Punjab
Pakua gazeti lako bure katika App ya M-Paper: au pakua bure hapa https://researchcom.africa/mwanasayansi/
Linachapishwa na Researchcom.

Watafiti wamebaini jinsi bajaji 50,000 zenye mfumo wa gesi asilia(CNG) zinavyoweza kushusha gharama za usafiri wa abiria jijini Dar es Salaam, kupunguza uchafuzi wa hewa na kuingiza kwenye uchumi zaidi ya Sh144 bilioni kila mwaka.

WATAFITI WANAONA MBELE, WEWE JE?Katika gazeti lako la MwanaSayansi leo, tunaangazia "Gesi asilia kwenye bajaji itakavyol...
14/04/2022

WATAFITI WANAONA MBELE, WEWE JE?

Katika gazeti lako la MwanaSayansi leo, tunaangazia "Gesi asilia kwenye bajaji itakavyoleta ahueni."

Ni utafiti wa wanasayansi kutoka DIT na Central Punjab
Pakua gazeti lako hapa: https://researchcom.africa/mwanasayansi/
Linachapishwa na Researchcom

Karibu MwanaSayansi ni gazeti la kwanza la sayansi kwa lugha ya Kiswahili nchini Tanzania ambalo hutoka kila baada ya wiki mbili, linalochapishwa na ResearchCOM. Tunatoa habari na uchambuzi kuhusu sayansi/utafiti kukidhi mahitaji ya hadhira ya Kitanzania. INGIA HAPA KUPAKUA GAZETI MwanaSayansi Toleo...

Je, kumnyima dawa mteja asiye na cheti cha daktari inatosha? Hatua gani za ziada zinahitajika? Chanzo: Tole lililopita
13/04/2022

Je, kumnyima dawa mteja asiye na cheti cha daktari inatosha? Hatua gani za ziada zinahitajika? Chanzo: Tole lililopita

Sasa, tufanyeje ili kuepusha huu upotevu wa barafu? Ni dhahiri kwamba hakuna njia ya moja kwa moja, lakini tunajua kuna ...
13/04/2022

Sasa, tufanyeje ili kuepusha huu upotevu wa barafu?
Ni dhahiri kwamba hakuna njia ya moja kwa moja, lakini
tunajua kuna njia za kupambana na mabadiliko ya tabia
nchi. Toleo lililopita

Katika toleo lililopita, Dk Edward Lwidiko aliwapatia ujumbe ufuatao wazazi na walezi."Kuna usemi wa kiswahili usemao, m...
13/04/2022

Katika toleo lililopita, Dk Edward Lwidiko aliwapatia ujumbe ufuatao wazazi na walezi.

"Kuna usemi wa kiswahili usemao, mtoto akililia wembe, mpe, akijikata ndipo atajifunza. Mbinu za ki sayansi zinaendana sana na udadisi wa asili wa watoto. Mtoto anapoona wembe, kwake ni dhana mpya, ni sawa na wanasayansi wanapoona dhana mpya ambayo haijafahamika vema na kuna ombwe la taarifa. Mtoto ana nadharia zake kuhusu wembe na matumizi yake, hajui k**a utamkata ama la, vivo hivyo wanasayansi hutunga nadharia kuziba ombwe la taarifa kuhusiana na dhana mpya wanazokutana nazo. Ukimpa mtoto wembe achezee ni sawa na wanasanyansi wanapofanya majaribio, kuangalia k**a nadharia waliotunga ina mashiko katika kuelezea zaidi dhana hio mpya. Wakati wa majaribio, wanasayansi hutizama kwa umakini na kukusanya majibu"

12/04/2022

Global leaders unite behind make-or-break Pandemic Treaty talks that are key to strengthening the world’s ability to contain outbreaks and safeguard societies and economies

12/04/2022

Ilikuwa mchana, baada ya swala adhuhuri, Rehema* na wenziwe waliingia kwenye jengo la kituo cha sayansi Kisosora Tanga wakitoka shule ya jirani. Wote wakiwa wamechafuka kutokana na kucheza mpira baada ya masomo ya darasani, wamebeba vidumu na mifagio. Nilikuwa kwenye chumba cha maabara, nikiandaa vi...

09/04/2022

Shaukatali Hussein ni kijana mwenye ari ya kutaka kuleta mapinduzi katika sekta ya usafiri kwa kutengeneza mifano (prototype) ya magari au “bajaji” na pikipiki zinazotumia nishati ya umeme badala ya mafuta. Hussein ameamua kuwekeza katika teknolojia hii ambayo bado jamii haijatambua umuhimu wake...

09/04/2022

MwanaSayansi ni gazeti la Kiswahili linalochapisha habari zitokanazo na maarifa au utafiti wa kisayansi nchini Tanzania na kwingineko duniani. Hili ni chapisho letu la kwanza kabisa. Tunaanza tukiwa na matarajio makubwa yakuhakikisha taarifa na habari za sayansi, hasa kutoka nchini Tanzania zinapati...

09/04/2022
09/04/2022
31/03/2022

It’s two years since the COVID-19 pandemic emerged. Calls for pandemic preparedness that were made before the viral disease became known, have resulted in meaningful action at Mwananyamala Regional Referral Hospital during the outbreak. An old, dilapidated building existed at Mwananyamala as a tem...

20/03/2022

A social media post went viral on WhatsApp recently, leaving people wondering if oral HIV-self testing kits are now commercially available in pharmacies across Tanzania.

Address

P. O. BOX 34482 Kinondoni
Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MwanaSayansi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MwanaSayansi:

Videos

Share

Nearby media companies


Other Media/News Companies in Kinondoni

Show All

You may also like