24/07/2024
*MAELEKEZO KUHUSU HIII HUDUMA*
INAITWA HUDUMA YA MALIPO YA BAADA (POST PAID )
*VIGEZO ILI MTEJA APATE POST PAID*
MTEJA ILI APATE HUDUMA HII ANATAKIWA AWE NA LAINI YA TIGO.... KITAMBULISHO KIMOJA WAPO KATI YA HIVI
Mpiga kura
Kitambulisho Cha Taifa
Leseni ya udereva
Au passport size inayoonesha sura yake
MTEJA ATALIPIA BANDO KWENYE LAIN YAKE YA TIGO MWENYEW...HARUHUSIWI MTU YOYOTE KUPOKEA HELA YA MTEJA
UKISHALIPIA UTANITUMIA MESEJI YA MALIPO PAMOJA NA KITAMBULISHO KIMOJA WAPO
MTEJA AKILIPIA KWA MARA YA KWANZAAA SECURITY DEPOSITY ATAPATA BANDO LAKE NDANI YA MASAA 24
Zingatia:Usimtumie mtu pesa kila kitu unafanya mwenyewe Mimi nakuelekeza tu
KILA MWEZI ATAKUWA ANAPOKEA BANDO TAREHE MOJA BAADA YA HAPO NDIO ATALIPIA KUANZIA TAREHE 1 TAREHE HADI 15 YANI WANAKUKOPESHA BANDO NDOMANA TUNAIITA (POST PAID) MALIPO BAADAE
*VIGEZO*
40000 ANAJIUNGA MTEJA MMOJA
30000 MNATAKIWA MUWE WATEJA KUANZIA WAWILI MMOJA WAPO ATALIPIA KWENYE LAIN YAKE SH 60000 NDIO WATAPATA HUDUMA HII
HII KUBWA KULIKO NA HAIJAWAHI TOKEA MNARUHUSIWA HADI KUCHANGA FEDHA YA BANDO
NIPIGIE AU NJOO WHATSAPP:0676107370
NIKUPE MAELEKEZOš„š„