Kassim Adam Mwinyi

Kassim Adam Mwinyi all events call 0677 302067
(1)

27/01/2023
Alhamdulillah mwaka 2022 ulikua mwaka mzuri Sana kwangu kwa kuedit kazi hizo,na nyengine ambazo sijaziweka hapo, kipekee...
31/12/2022

Alhamdulillah mwaka 2022 ulikua mwaka mzuri Sana kwangu kwa kuedit kazi hizo,na nyengine ambazo sijaziweka hapo, kipekee nianze kwa kuwashukuru producer's tuliofanya kazi pamoja mwaka 2022, nikianza na na wengine wote ambao sijamention hapo, pili nije kwa media tulizofanya kazi hizo nikianza na
kazi ni nyingi ila nimeweka baadhi, karibu mwaka 2023 ukawe mwaka wa mafanikio zaidi amen.....

Alhamdulillah mwaka 2022 ulikua mwaka mzuri Sana kwangu kwa kuedit kazi hizo,na nyengine ambazo sijaziweka hapo, kipekee...
31/12/2022

Alhamdulillah mwaka 2022 ulikua mwaka mzuri Sana kwangu kwa kuedit kazi hizo,na nyengine ambazo sijaziweka hapo, kipekee nianze kwa kuwashukuru producer's tuliofanya kazi pamoja mwaka 2022, nikianza na na wengine wote ambao sijamention hapo, pili nije kwa media tulizofanya kazi hizo nikianza na
kazi ni nyingi ila nimeweka baadhi, karibu mwaka 2023 ukawe mwaka wa mafanikio zaidi amen.....

An unemployed man applies for a job as a toilet cleaner at a large computer company and takes an appointment for an inte...
29/10/2022

An unemployed man applies for a job as a toilet cleaner at a large computer company and takes an appointment for an interview with the company's manager.
During the interview, the manager told the unemployed person: You have been accepted for the job.
But we need your email to send you the work contract and terms.
The unemployed man replied that he had no e-mail and no computer at home.
The manager replied, "You do not have a computer, which means that you are not present, and if you are not present, it means that you cannot work for us."
The unemployed man came out upset after the doors were shut in his face and he was rejected.
And on his way, he bought with all he had, 10 dollars, 10 kilograms of strawberries, and started knocking on the doors to sell them.
At the end of the day the man earned $20.
After this the man realized that the process is not difficult.
The next day, he started repeating the process 3 times, and after a while the man started going out early in the morning to buy four times the amount of strawberries.
The man's income began to increase until the man was able to buy a bicycle.
After a period of time and hard work, the man was able to buy a truck until the man owned a small business selling strawberries.
Five years later, the man became the owner of the largest food store.
The man began to think about the future until he decided to insure the company with the largest insurance companies.
In an interview with the insurance company employee, the employee said I agree
But I need your email to send you the insurance contract.
The man replied that he did not have an e-mail and he did not even have a computer.
The insurance employee replied surprisingly, I established the largest food company in five years, and you do not have an email, what would happen if you had an email!!
The man replied to him If I had an email five years ago, I would now be cleaning toilets in a company!!.

Sometimes God forbids something from you that you think is good for you, but God Almighty is hiding the best for you. If God closes a door before you, He will open another door that is better than the first.

26/05/2022

Tuonane project ijayo, Leo tumemaliza rasmi mwanamuziki, kipekee nikushukuru boss wangu pamoja na crew nzima kwa kushirikiana katika series hii, hakika haikua kazi rahisi lakini kwa uwezo wa mungu tumefanikiwa kumaliza, tukutane project ijayo Kuna mengi mazuri yanakuja

12/05/2022

Mwanamuziki

29/04/2022

Put a frog into a pot of water and start heating the water: As the temperature of the water begins to rise, the frog adj...
16/04/2022

Put a frog into a pot of water and start heating the water: As the temperature of the water begins to rise, the frog adjusts its body temperature accordingly. The frog keeps adjusting its body temperature with the increasing temperature of the water. Just when the water is about to reach boiling point, the frog cannot adjust anymore and at this point, decides to jump out but it is unable to do so because it lost all its strength while adjusting to the rising water temperature. The frog then dies. What killed the frog? Think about it! I know many of us will say the boiling water. But the truth was, its own inability to decide when to jump out!

Moral: In life, we all need to adjust with people & situations, but we need to be able to identify when an environment is toxic, to determine when we need to move on..There are times when we need to face the situation and take appropriate actions. If we allow people to exploit us physically, emotionally, financially, spiritually or mentally, they will continue to do so.

Decide when to jump!

Life is too short to wait around. Let's do something now, while we still have the strength.

15/03/2022

I never listened to this until now ... Home alone 2

05/03/2022

Sinia

04/03/2022

Mungu bariki kazi ya mikono yangu

12/01/2022

2022

09/01/2022

Leo usiku

Ohoo kimenuka huku, cosmas anamkimbia sharifa Baada ya kukutana nae ghafla mtaani, huyu mwanamke sio wa kukaa nae karibu anawanga usiku na mchana....

Baada ya cosmas na phiner kufungua Ukurasa mpya ghafla anaingia kidudu mtu, mtoto wa mchungaji ameanza kuliwinda penzi la phiner,

Mzee VENUS amemteka Isabella na kwenda kulazimisha madaktari wampime DNA kilazima....

Sharifa amepanga kwenda kutibua mambo huko kwa cosmas Mara Baada ya kusikia amerudiana na mkewe... Mmmh hili penzi lina mikosi Sana.....

Usikose utamu huu leo kila siku ya jumamosi na jumapili saa 3 kamili usiku pale pale DStv160

Pia unaweza kuwa follow wasanii wa hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿป





tz




05/01/2022

zimebaki siku 5 tu.....

A wife suspected her husband of having s*x with their house maid, then she set a trap for the husband by sending the hou...
26/11/2019

A wife suspected her husband of having s*x with their house maid, then she set a trap for the husband by sending the house maid to the village for weekend without telling the husband.

At night, the husband told his usual story "Darling i want to go and watch wrestling in the sitting room" and he left.

The wife silently went to the house maid's room lying down on the bed naked without any light, and the door was open and someone join her on the bed without wasting time and without a word, he had s*x with her.

After the fifth round she said, it's enough, i have caught u, so this is how you use to have s*x with her, and you will do two round with me and tell me you are tired; fifth round now you are still demanding for more habi?

The gate man shouted and replied "AM SORRY MADAM I DON'T KNOW YOU ARE THE ONE!

Madam shouted "OH MY GOD!", then the husband rushed in and caught them.

Moral Lesson:

Trust is one of the keys to happy home. Suspicion could bring disaster in marriage in every ramifications.
Forget all my plenty friends and give me d benefit of doubt, lets do it baby girl...๐Ÿฅฐ

WE G*T TO TAKE NOTE!!!!!๐Ÿค—๐Ÿค— Men attend 2 Women for two reasons, S*X, and LOVE, but in most cases, men do not Marry for S*...
21/11/2019

WE G*T TO TAKE NOTE!!!!!

๐Ÿค—๐Ÿค— Men attend 2 Women for two reasons, S*X, and LOVE, but in most cases, men do not Marry for S*x or for Love, they marry for STABILITY.
A man can Love you and not Marry you.
A man can have s*x with you for years without marrying you.
But immediately he finds someone who brings stability in his life, he marries her.

Men are visionaries when they think about marriage, they do not think about wedding dresses, bridesmaids, anything the woman thinks is fanciful.
They think that this woman can build me a home.

Women are tender, they have the capacity to receive and reproduce.
You give her groceries, she prepares a meal, you give her money, she gives you peace, you give her s***m and she gives you children.

You give it discomfort, it becomes your worst nightmare and most men know it. This is why a man can stay with a woman for years and meet another in a month, then get married.
It's the stability they want.
S*x is a pleasure, love is an affection, RESPECT is Stability.
Take Note.

Copied๐Ÿ™

BARUA YA MAMA KWENDA KWA MWANAYE - SIKU TATU BAADA YA MAZISHI.Mpendwa mwanangu,Nataka ujue kwa nini nilikufa nikiwa masi...
20/11/2019

BARUA YA MAMA KWENDA KWA MWANAYE - SIKU TATU BAADA YA MAZISHI.

Mpendwa mwanangu,

Nataka ujue kwa nini nilikufa nikiwa masikini wakati nina mtoto k**a wewe.

Mwanangu, nilitaka kukupa baraka zangu kabla sijafa, lakini sasa nimeondoka na baraka zangu.

Chakula changu cha asubuhi, cha mchana na cha usiku kilikuwa miongoni mwa changamoto zangu nilipokuwa hai, lakini wewe umetumia pesa kupika kila aina ya vyakula, nyama na kununua aina mbalimbali za vinywaji siku ya mazishi yangu.

Mwanangu, ulichagua kuupaka mwili wangu uliokufa kwa kutumia mafuta mazuri na manukato yenye kunukia wakati nilipokuwa hai nilitumia mawese kujipaka kwa kukosa mafuta.

Umeivika maiti yangu kwa nguo ghali wakati ulishindwa kuninunulia hata khanga.

Maiti yangu ilipokuwa mochwari ulikuja kunitazama mara kwa mara, kwa nini umeijali maiti yangu wakati ulishindwa kunijali nilipokuwa hai?

Kitu kinachoniuma zaidi ni jeneza la bei kubwa ambalo umeuweka mwili wangu ilhali nilipokuwa hai The most painful niliishi katika nyumba mbovu ambayo haikumaliziwa kujengwa.

Ulipokuwa mdogo nilikaa na njaa ili wewe ule na kushiba, nilivaa nguo kuukuu ili upate nguo za kutosha. Nilidhani utanitunza nikizeeka.

Wakati wa mazishi yangu ulimalizia nyumba, ukaipaka rangi na kuusafisha uwanja ndani ya wiki moja ili tu upate kuadhimisha mauti yangu.

Sasa umeniandikia tanzia ukisema "Mama, nakupenda sana, pumzika kwa amani" - ilhali nimekufa nikiwa na maumivu moyoni.

Mwisho kabisa, mwanangu, nimekuandikia kukukumbusha kuwa hakuna mtu anayempenda mtoto k**a mama yake.

Mungu akusamehe.
____________________________

Tafadhali shea ujumbe huu uwafikie watu wengine ili waweze kuwajali watu wakiwa hai badala ya kuwajali wakiwa wamekufa.

Wajali sana wazazi wako wakati wakiwa hai.

Nawatakia usiku mwema

๐Ÿ“ธBy Shot and retouch by me
20/11/2019

๐Ÿ“ธBy
Shot and retouch by me

WAKATI MWINGINE KATIKA MAISHAUnahitaji watu watakaokudharau ili ukimbilie kwa Mungu.Unahitaji watu watakaokunyanyasa ili...
04/11/2019

WAKATI MWINGINE KATIKA MAISHA
Unahitaji watu watakaokudharau ili ukimbilie kwa Mungu.
Unahitaji watu watakaokunyanyasa ili uwe shupavu
Unahitaji watu watakao kwambia HAPANA ili ujifunze kujitegemea au namna ya kutatua changamoto zako mwenyewe..
Wakati mwingine unahitaji watu wa karibu kabisa ambao hukutegemea hata siku moja watakuja kukuacha ili ujifunze KUMWAMINI MUNGU nasio MWANADAMU.
Kuna wakati unahitaji Boss ambaye ni katili atakaye kufukuzisha kazi ili uwe na ujasiri wa kuanzisha biashara yako/
ujasiliamali kabla ya hujazeeka.
Kuna wakati unahitaji ndugu watakao kuuza katika nchi ya ugenini ili ukawe waziri mkuu(k**a Yusuph huko Misiri)
Kuna muda unahitaji baba landlord mkatili mnyanyasaji anayepandisha kodi kila mwezi ili ujifunze kujenga ya kwako mwenyewe na ikiwa na wapangaj uwaheshimu na hata kuheshimu wenzio waliojenga..
KWA KIFUPI TAMBUA YA KUWA kila jaribu huambatana na baraka zake wakati mwingine huwezi kuona BARAKA za MUNGU anazokufungulia katika mlango huku ukiwa umeushupaha kuusukuma mlango ambao MUNGU ameamua kufungua..
MUHIMU
Tambua kuwa hakuna jaribu ni k**a dhihaki inayokuja kwako bila kuwa na BARAKA nyuma yake.
Ndugu yangu. Upatapo jaribu lolote juwa ya kuwa linaambatana na BARAKA muombe MUNGU akupe macho ya ROHONI..na UVUMILIVU wakuona BARAKA Zake pale upatapo na majaribu..
Siku zote Mungu wetu hujibu kadri ya uombavyo..
MTUMAINI MUNGU SIKU ZOTE ZA UHAI WAKO.

03/11/2019

Na enjoy link kwenye bio ya

Happy birthday  mungu akupe kila unachostahili...
03/11/2019

Happy birthday mungu akupe kila unachostahili...

KISA KIZURI mnoSiku 1 Mtu mmoja alichimba Kaburi nyuma ya Shamba lake akawa kila akihisi Moyo wake umekuwa mgumu anaingi...
02/11/2019

KISA KIZURI mno
Siku 1 Mtu mmoja alichimba Kaburi nyuma ya Shamba lake akawa kila akihisi Moyo wake umekuwa mgumu anaingia kwenye hilo kaburi na kulala kwa mfupi kisha anatoka.
Akiwa ndani ya hilo Kaburi alikuwa akitafakari kuwa siku 1 ataiacha hii dunia na kuachwa katika hali ambayo atahitaji msaada lakini hatoupata, atahitaji kutoa sadaka lakini muda utakuwa umeshapita na hatoruhusiwa tena, akiwa katika mawazo hayo ghafla akaikumbuka Aya ifuatayo SURATUL MUUMINUN,99-100; Mpaka Yanapo Mfika Mmoja Wao MAUTI (KIFO) Husema: MOLA Wangu Mlezi! Nirudishe (Duniani) Ili Nitende Mema Sasa Badala Ya Yale Niliyo Yaacha, Waapiii (Hatokubaliwa) Hii Ni Kauli Aisemayo Yeye Tu Na Nyuma Yao Kipo Kizuizi ( Hicho Kizuizi Kinawazuia Wasirudi Tena Duniani) Mpaka Siku Watakapo Fufuliwa. Alipomaliza Kuikumbuka Aya Hii Alitoka Katika Lile Kaburi Huku Akijiambia Mwenyewe; EWE NAFSI YANGU Leo Umerudishwa Tena Duniani Basi Kumbuka Itafika Wakati Ombi Lako Hili Halitokubaliwa Wala Kusikilizwa Na Hivyo Hutorudishwa Tena DUNIANI, Chukua Tahadhari Sasa Na Ongeza Bidii Kwa Kufanya Kile Ambacho MUNGU Anapenda Kwani Matendo Mema Ndio Kibali Chako Cha Kuingia Katika Pepo Ya MWENYEZI MUNGU.
NB: Nilichojifunza Hapa Ni Kuwa Dunia Ni Ya Kupita Njia Tu, Huyu Mwenzetu Alibuni Mbinu Nzuri Itakayo Mfanya Awe Anamkumbuka MWENYEZI MUNGU Kila Pale Anapoona Imani Yake Inapungua Na Kudhoofika Ili Asitoke Nje Ya Mipaka Ya MWENYEZI MUNGU Kwani Atakuwa Ameharibikiwa Basi Na Sisi Tujitahidini Kubuni Mbinu Nzuri Au Kufanya Kitu Chochote Kile Kitakacho Tuletea Hofu Ya Kumuogopa MWENYEZI MUNGU Pale Tunapoona Imani Zetu Zinataka Kupotea. SURATUL ANBIYAA,106: HAKIKA KATIKA HAYA YAPO MAWAIDHA KWA WATU WAFANYAO IBADA. SURAT AZZUMAR,9; HAKIKA WANAO KUMBUKA NI WATU WENYE AKILl
Allah atujaalie mwisho mwema

She asked him, 'How much are you selling the eggs for?'The old seller replied, '$0.25 an egg, Madam.'She said to him, 'I...
02/11/2019

She asked him, 'How much are you selling the eggs for?'
The old seller replied, '$0.25 an egg, Madam.'

She said to him, 'I will take 6 eggs for $1.25 or I will leave.'
The old seller replied, 'Come take them at the price you want. Maybe, this is a good beginning because I have not been able to sell even a single egg today.'

She took the eggs and walked away feeling she has won. She got into her fancy car and went to a posh restaurant with her friend. There, she and her friend, ordered whatever they liked. They ate a little and left a lot of what they ordered. Then she went to pay the bill. The bill costed her $45.00 She gave $50.00 and asked the owner of the restaurant to keep the change.

This incident might have seemed quite normal to the owner but, very painful to the poor egg seller.

The point is, Why do we always show we have the power when we buy from the needy ones? And why do we get generous to those who do not even need our generosity?

I once read somewhere:

'My father used to buy simple goods from poor people at high prices, even though he did not need them. Sometimes he even used to pay extra for them. I got concerned by this act and asked him why does he do so? Then my father replied, "It is a charity wrapped with dignity, my childโ€

I know most of you won't share this message but if you feel that people need to see this, then do spread this message.

31/10/2019

Happy birthday

Happy birthday kwenu mapacha  Mungu awape nuru na kheri katika maisha yenu, amin
31/10/2019

Happy birthday kwenu mapacha
Mungu awape nuru na kheri katika maisha yenu, amin

30/10/2019

Leo usiku

Abdul ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ameamua kujitolea Figo kwa ajili ya Linda,

Carin ameanza kumbana nice kwa maswali magumu mpaka nice anashindwa cha kuongea,

Rebeca amemfuata manager wa hotel, na kumpa vitisho Kisha ku record ukweli wote kuhusu tukio la mauaji hotelini,

Kobanga anamfuma nice akiongea na simu isiyoeleweka, je ni Nani alikua akiwasiliana nae, kwanini alipomuona Kobanga akaanza kuogopa?....

Ni Leo usiku pale pale DStv160
Social media by

29/10/2019

Leo usiku

Siri nyingi zinaanza kufichuka, Grayson amejua baadhi ya maeneo ya siri ambapo maadui hukutana kwa ajili ya vikao vyao,
Mbaya zaidi amejua kua Mkuu wa polisi anashirikiana na KOBANGA, je wao ndio wenye saver?

Deo na LINDA ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚......?

Ni Leo usiku pale pale DStv160
Social media by

KWA KILA AMBAE HAKURIDHIKA NA BAHATI YAKE DUNIANI ASOME KISA HIKI.. Zilipita siku ndege hajazungumza chochoteMalaika wak...
22/10/2019

KWA KILA AMBAE HAKURIDHIKA NA BAHATI YAKE DUNIANI ASOME KISA HIKI..

Zilipita siku ndege hajazungumza chochote
Malaika wakauliza: 'kwanini ndege hajakuzungumzisha yaa Rabb?'
Allah akajibu: 'Hapana budi atakuja, kwani mimi ndio sikio la pekee la kusikiza malalamishi yake, na moyo wa pekee unaobeba maumivu yake.'
Na siku moja ndege akasimama juu ya tawi la mti na malaika wakasubiri azungumze, lakini aliendelea kua kimya...

Allah akamsemesha: 'Zungumza yaliyodhiki kifua chako...'
Akasema: 'nilikua na nyumba yangu ndogo ndio ninaporudia nikichoka na nikiwa pweke, hiyo pia umenichukulia yaa Rabb? Kwanini umeleta upepo mkali? Kimekutia dhiki gani kijumba kile kidogo?' Akalia sana na kukawa kimya kwenye maumbile, malaika wakainamisha kichwa wakitafakari....

Allah akasema: 'kulikua na nyoka anakuja upande wa nyumba yako, na ulikua umelala nikaamrisha upepo uipindue uamke upate kuruka uokoke.'

Ndege akashangaa na Ubwana (ulezi, utendaji) wa Allah.

Allah akasema: 'ni balaa ngapi nimekuepusha nazo kwasababu nakupenda, lakini ukawa unanifanyia uadui kwa hilo.'

machozi yalikusanyika machoni mwa ndege na kilio chake kikaenea mbinguni....

una huruma ilioje yaa Rabb!

usihuzunike Allah akikunyima kitu unachokipenda...lau mungejua anavyopanga mambo yenu nyoyo zenu zingeyeyuka kwa mapenzi yake.

Ni Mtukufu ulioje ewe Allah!!

โ– Ukimuona mtu amesimama nawe siku moja... jua ya kwamba Allah ndiye aliyemtiisha asimame ubavuni mwako akupunguzie uliyonayo... na unapojiona mpweke hamna mtu ubavuni mwako... kumbuka kwamba Allah anataka umuendee Yeye peke yake akupunguzie uliyonayo.

โ—vyovyote qadar ya Allah inavyo onekana ni uchungu, aminini kua ndani yake kuna rahma kubwa...!

Kwa niaba ya Team nzima ya FOCUS PRODUCTION na REBECA SERIES, tunakupongeza kwa kuongeza miaka, huyu ni DIRECTOR OF PHOT...
22/10/2019

Kwa niaba ya Team nzima ya FOCUS PRODUCTION na REBECA SERIES, tunakupongeza kwa kuongeza miaka, huyu ni DIRECTOR OF PHOTOGRAPHY wa Series hii ya rebeca,
Happy birthday DENNIS NGAKONGWA

19/10/2019

Before and after.... Usikose kuangalia tamthilia ya kila siku ya jumatatu mpaka jumatano saa 1 na nusu usiku

Monday to Wednesday channel 160.
15/10/2019

Monday to Wednesday
channel 160.

Happy birthday brother
04/10/2019

Happy birthday brother

11/09/2019

Divorce is not an OPTION....

11/09/2019

Leo usiku

DANIEL ameamua kueleza ukweli sababu za kumfanya achepuke, lakini je huo ndio utakua mwisho wake yeye na nice.......?

Shemson anapata vipingamizi baada ya kuweka wazi Nia yake kua anataka kumuoa SAKINA, BAKOLI MBOMBO amekataa kabisa......

DEO bado anazidi kuliingilia dili la KENZO, nini anakitafuta kwa Hawa watu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ajali nyengine au ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Ni Leo usiku kwa kifurushi Bomba 19,000 tu...

Social media by

Address

1656
Kigogo
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kassim Adam Mwinyi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category