Fahamu Media

Fahamu Media Don't raise your voice; improve your argument. Musician.

02/10/2024

Vunjajungu, hiyo ni namna ya kumtisha adui au pia hutumia k**a namna mojawapo ya kujilinda pindi anapohisi yupo hatarini!

30/09/2024

Beavers

Wanapatikana katika baadhi ya maeneo ya Amerika ya Kaskazini, Ulaya na Asia. Wanapenda kutafuna miti kwaajili ya chakula lakini pia kusaidia ujenzi wa makazi yao!

Hapo anapotafuna na kuacha kidogo, anasikiliza sauti ya mti k**a unakaribia kukatika ili usije kumuangukia!

26/09/2024

Tangazo 🔥

📽️ Woolmark

11/09/2024

😑

26/07/2024

Kunguru' (Raven) wana uwezo wa kuongea kuzidi hata Kasuku. Wana uwezo mkubwa wa kukariri vitu mbalimbali.

Kunguru aina ya Raven' wanafugika lakini sio k**a hawa wanaopatikana Tanzania.

12/07/2024

Je, wajua?

Maisha ya jamii nyingi za nyoka huanzia tangu siku ya kwanza baada ya kutoka kwenye Yai na hapo hapo huanza kujitegemea k**a kujitafutia chakula, makazi, kujilinda, n.k.

Jacob & Co. na Bugatti wamezindua saa mpya ambayo inafanana kimuundo sawa na gari mpya 'Bugatti Tourbillon'. K**a gari, ...
04/07/2024

Jacob & Co. na Bugatti wamezindua saa mpya ambayo inafanana kimuundo sawa na gari mpya 'Bugatti Tourbillon'. K**a gari, zitaachiwa pisi 250 tu na bei yake itaanzia Tshs. Milioni 902.8 ($340,000).

Powered by FUCHS Lubricants Tanzania

Credit: Bugatti & Jacob & Co.

Apple wameongeza simu toleo la iPhone X kwenye idadi ya bidhaa ambazo zinakaribia kukosa huduma ya maboresho kutoka kati...
03/07/2024

Apple wameongeza simu toleo la iPhone X kwenye idadi ya bidhaa ambazo zinakaribia kukosa huduma ya maboresho kutoka katika maduka yao maalumu ya matengenezo.

Hii ina maana, kuanzia sasa utaweza kutengeneza simu yako katika maduka yao maalumu lakini kutokana na uwepo wa spea utazozipata, na k**a utakosa basi huenda ndio inaweza kuwa mwisho wa simu yako sababu Apple hawazalishi tena vitu vyovyote vipya kuhusu toleo hilo.

Baada ya miaka kuanzia sasa wataacha kupokea kabisa maboresho ya simu hizo. Vifaa vingine vilivyo ongezwa ni spika janja za HomePod (2020) pamoja na Airpods (2016).

Powered By FUCHS Lubricants Tanzania

Bugatti wamezindua gari mpya 'Bugatti Tourbillon' ambayo inaenda kuwa mrithi wa Bugatti Chiron.Gari hiyo itaanza kuuzwa ...
03/07/2024

Bugatti wamezindua gari mpya 'Bugatti Tourbillon' ambayo inaenda kuwa mrithi wa Bugatti Chiron.

Gari hiyo itaanza kuuzwa rasmi mwaka 2026 na zitatengenezwa 250 tu. Bei ya kuanzia bila makato ya kodi inatarajiwa kuwa Tshs. Bilioni 10.9 ($4.1M).

Powered by FUCHS Lubricants Tanzania

Powered by FUCHS Lubricants Tanzania
01/07/2024

Powered by FUCHS Lubricants Tanzania

Ili kupata picha ya mwezi yenye ubora k**a hii, mpiga picha alichanganya fremu (shots) tofauti 24,000.
19/06/2024

Ili kupata picha ya mwezi yenye ubora k**a hii, mpiga picha alichanganya fremu (shots) tofauti 24,000.

China: Kampuni ya BYD imezindua gari yenye teknolojia mpya ya injini (Hybrid ) ambayo ina uwezo wa kutembea mpaka km 2,1...
15/06/2024

China: Kampuni ya BYD imezindua gari yenye teknolojia mpya ya injini (Hybrid ) ambayo ina uwezo wa kutembea mpaka km 2,100 bila kuchaji au kuweka mafuta. Gari hiyo inauzwa $14,000 USD sawa na Tshs. Milioni 36.

Vyuo bora zaidi Tanzania 2024;1. UDSM2. SUA3. MUHAS4. UDOM5. SUZA6. Ardhi University (ARU)7. NM-AIST8. SAUT9. CUHAS10. M...
13/06/2024

Vyuo bora zaidi Tanzania 2024;

1. UDSM
2. SUA
3. MUHAS
4. UDOM
5. SUZA
6. Ardhi University (ARU)
7. NM-AIST
8. SAUT
9. CUHAS
10. MoCU

Chanzo: 4icu

26/03/2024

UTURUKI: Wahandisi wamefanikiwa kuunda Tripod ya kijanja yenye uwezo wa kupiga picha yenyewe bila muongozo wa mpiga picha.

Tripod hii bunifu ina uwezo wa kugundua nafasi bora ya kamera, kurekebisha pembe na mwelekeo sahihi kiotomatiki ili kupata picha sahihi zaidi.

Wapiga picha, kazi kwenu!

Nchi ambazo wananchi wake hawana furaha 2024;1. Afghanistan2. Lebanon3. Lesotho 4. Sierra Leone 5. Congo, DRC6. Zimbabwe...
21/03/2024

Nchi ambazo wananchi wake hawana furaha 2024;

1. Afghanistan
2. Lebanon
3. Lesotho
4. Sierra Leone
5. Congo, DRC
6. Zimbabwe
7. Botswana
8. Malawi
9. Eswatini
10. Zambia

13. Tanzania

Nchi ambazo wananchi wake wana furaha zaidi 2024:1. Finland2. Denmark3. Iceland4. Sweden 5. Israel6. Netherlands 7. Norw...
21/03/2024

Nchi ambazo wananchi wake wana furaha zaidi 2024:

1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Sweden
5. Israel
6. Netherlands
7. Norway
8. Luxembourg
9. Switzerland
10. Australia

29/01/2024

Huenda hivi karibuni watumiaji wa Android wakapata Chatbot ya Bard ambayo ilitengenezwa na Google, ikifanana kiuwezo na kimatumizi k**a ChatGPT.

Tetesi zinaonesha uwezo huo unaweza kuachiwa kuanzia mwezi Machi, huku kwa sasa ikiwa imeanza kuandaliwa eneo katika simu za Pixel, hivyo inaashiriwa huenda zikawa ndio simu za mwanzo kupata uwezo huo.

19/01/2024

Google Pixel 8 na Samsung Galaxy S24 zinaenda kupata kipengele kipya cha "Circle to Search"

"Circle to Search' ni uwezo wa kutafuta vitu kupitia Google kwa kuzungushia eneo husika ambalo unataka litafutwe kwenye Google mfano k**a wa video inavyoonekana.

Ili kuwezesha uwezo huo, itatakiwa ushikilie sehemu ya home button ambapo Google Lens itajitokeza kisha utaenda kuzungushia sehemu ambayo unataka upate majibu.

Uwezo huo utaanza kupatikana kuanzia Januari 31 kwenye Pixel 8, Pixel 8 Pro na katika mfululizo mpya wa Samsung Galaxy S24.

Address

Amana, Arusha Street
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category


Other Media in Dar es Salaam

Show All